Na hii ndio maana yakuitwa ninyi ni wakubwa nyimbo imetukuka imeimbika imetungika yana misingi yenu hamjaiyacha mnapita kulekule tena kwa kisasa zaidi aise mmenisuuza moyo wangu natamani kuwa kama ninyi katika utunzi wa nyimbo.Sijaishiwa ya kusema ila nimeona ninyamaze tu
Ameen Ameeen Mungu awabariki sana watumishi
Wimbo unanibariki na kunipa matafakari ya kumtumikia Mungu kwenye ujenzi. Asanteni sana.
Mungu wabariki Sana upendo choir kwa nyimbo nzuri ya ujenzi Dr lupaa
Upendo Choir🔥
Nice song tujenge hekalu ka Bwana
My no one favorite choir of all times
Kazi NZURI. asante
kweli kabisa kazi hii inatuhusu sisi
Ameeen..mbarikiwa sana Upendo kwaya..hakika mmeweka alama ktk ujenzi wa kanisa..
Mung u awabariki sana,,,,
Hongera sanaa
Hongereni sana.
Na hii ndio maana yakuitwa ninyi ni wakubwa nyimbo imetukuka imeimbika imetungika yana misingi yenu hamjaiyacha mnapita kulekule tena kwa kisasa zaidi aise mmenisuuza moyo wangu natamani kuwa kama ninyi katika utunzi wa nyimbo.Sijaishiwa ya kusema ila nimeona ninyamaze tu
Wao! Amazing
Perfect 😢
Ujenzi
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Nzuri sn ,mbarikiwe watumishi