NJIWA AFIKISHE SALAMU KWAMBA MARGARITHA AMEWASHIA MAJENERETA JUKWAANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2021
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - บันเทิง
Nimempenda huyo Dada anajua kulitukia jukwaa anachia Mashallah na kaumbo kazur Sawa na. Nyimbo
Mungu akutangulie🎊🎊🎊
Huyu dada yuko vzr kwa kila pande I just love her 💓
Mwaka huu anashida huyu dada😘😘
Huyu dada yuko vizuri sana Mungu akutangulie ushindi uwe kwako
pro trick : watch series at Flixzone. Me and my gf have been using it for watching lots of of movies these days.
@Louis Bronson yea, I've been watching on flixzone} for years myself :D
Ajabu kaabisa.yaan aibu kama hii unasema Mungu amtangulie
uzuri wa show tunaunderrate tukisema tu Kaimba vizuri aisee,douh! That is talent
😂😂😂 The voice of this baby girl😘😘😘
Mungu aku tangulize dada uko visuri sana love you
Taarab suits her. She did 👌
Team master j ni nomaa sanaaa
Just love her performance 😍
Nakupenda bure dadaa
This one killed me,@master J😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
I love magret she did it ❤❤❤❤
Ela. Master jey na huyyo director😂
It's incredible performance
kucheza kacheza but hamfikii angel kwa kuimba njiwa
Kaweza na kaweza tena
Ni mwanafunz wa chuo cha Saut mwaka wa 2 sheria
Mashallah
Izo nyimbo hamzijui.kuimba
Waooooh ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉katish sanaaaaa
Idriss 🤣🤣🤣🤣ametumia vibayaaaaaa, tumeumia
I would wish to perform in bss one day am from Kesha lakini bss itanileta tanzania
Hii performance 🔥 alijitahid
Master kaona dubwasha chap kakimbilia😂😂😂😂
Anajua kupafom lkn hiyo sauti sio ya njiwa mwenywewe kama alivyopanga kuinakishi nyimbo yake
Kila mtu na sauti yake
so tight to predict..wote wakali sana
Huyu dada kama Ruby sura hadi sauti
Ommy ni muhuni...hahahahahahaaah
❤❤❤❤❤apo sasa
Kwenye hilo gauni kuna jenereta au😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, Ommy dimpozi love you my.
😆🤣🤣
Shilole una VIBASTOLA 😅😊❤
Huyu dada hahahhahahahahahahahah wachaaa weweeeee
Idriss bhana!!
Mtihani aibu zimetutokaaaa
Kafanana na lulu
Dada umetisha kiuno Kama hakina mfupa
Nilidhani master atadunga kwake maokoto😂
Kajituma kweli hahhahahahaha
Muda mwingine iwekwe namba ya donation tuweze kuchangia kipindi burudan hii kuipata bure ni ngumu kwakweli
Kwenye hilo gauni ndani kuna generator 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yupo vixur
My margarithaaa 😍
Huyu dada kajua kutupa remix ya njiwa
Waziiiii
Mwakahuu kulikuwa kuna vipaji aswwaq
Waziii
Master j m'beya
💞💞💞
Nimefurahiii jamani
Majaji tunao 😆😆😆
Omy suti yako meielewa
Suti na pensi hahahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hivi masta j na ommy mnamatatizo gani jmn
Ommy 😂😂
Ila ommy fala saana nahisi wakimaliza hapa ataenda kumnyandua COE😂😂😂
CEO
Kauaaaaaaaaa jamaniiiii
Amezidisha machocho
Yamekua hayo
Uyu dada
Kazi
Mtaita I wana follow u
@@americanotv7782 🤗🤗
Duuuhh kipaji icho
Sandi sana
😂😂😂😂😂ommy et umo ndani kuna jenereta???
Yaaaan wewe ninoma sana
unajua dada
Duuu
Nzuz
💋💋
🤣🤣Master J amenyoosha maelezo hapo
😂😂😂😂😂😂😂master unasikiliza nini wew
Master j mpk kachanganyikiwa🤓🤓
Htr sana😂😂😂
Mrithi wa ruby huyu
Dimpozi muhuni wewe
Hajui kuimba wala hajui kucheza
Wivu
Tena umemjaa Sana aimbe yeye