Hakika leo nimekuwa wa kwanza,trh 24 ndo mwisho sijui mshindi atakuwa nani, maana hii kitu ya mwaka huu iko competative sna... TEAM MESHACK MIKONO JUU,KISHA GONGA LIKE KUCOMFIRM KAMA TUKO PAMOJA!!
Me shabiki yako Meshark since day 1 Na Leo mmeua na huyo pacha ako aisee nilipendelea muimbe pamoja daima ktk safari yenu ya Mziki you're the best guys. tusubili tu ushindi wetu team Meshark
Daaa inauma sana ila nahisi walimtoa makusudi kwasababu kabla ya mashindano walikatazwa mahusiano Sasa ilionekana dhaili kuwa alikuwa kwenye mahusiano na mshiriki mwenzake walieimba nae
Hamisi anajiheshimu Sana halafu nilichokiona kwa hamic kusema vibaya na majaji yeye hajali bado anajituma safi Sana hamic na fatuma ila kutoka kwa Mariam sijaelewa tatizo ni nini maana toka mwanzo mpaka sasa anafanya poa lakini pole Sana Mariam mungu atakufungulia milango mingine kipaji unacho na unaweza
Jaman nmerudia kama mara kumi hiv iyo duet ya maryam ili nielewe kwanin alitolea ila bado naona alifanya vizur sana, yuko na amazing vocal yan daa😢😢😢 imeniuma
Master J anataka anachosema yeye na wenzake wote waone iko....! Kila mtu ana maoni yake kama ingekuwa unachotaka wewe ndio kiwe basi ungekuwa peke yako hapo.....
Naangalia hii 2023.gongga like tujuane
Tunao angalia BSS ya mwaka 2019 mwishoni mwa mwaka 2020 please tujuane japo kwa like kabla atujaamia 2021
✌✌✌✌✌🔥🔥🔥
👆
Kama unaagaria hii mwaka2020 npe like yako
Safi sana lakini masta jy mhh
Ok to come over now
N mm my ii mpya inaanz lin km unajua nijibu
@@makapulyasanga5358 qq
@@makapulyasanga5358 q
Tunao angalia bss huyu mwaka wa2021
Kuna watu wanacoment uku waangalia nimegundua 😀🎤
Idris sultan computer unaitumia vyemaaaa kbsaa Yani. Blessed More
I'm in love with Patrick and Patricia's duet 🔥🔥🔥🔥 Gosh 💃💃💃💃
Wako vizuri sanaaaaaa
2020 nipeni na mimi like apa jaman
Alaf fatuma angeimba na mtu mwingine tofauti na hamiss angefanya amaizing kweli..
Hakika leo nimekuwa wa kwanza,trh 24 ndo mwisho sijui mshindi atakuwa nani, maana hii kitu ya mwaka huu iko competative sna...
TEAM MESHACK MIKONO JUU,KISHA GONGA LIKE KUCOMFIRM KAMA TUKO PAMOJA!!
Wangapii wameipenda combinenga ya meshack na Leonard sunday ??
Me
Noma sana
Tunavyoishi wanazani tudaganyana wadogo zangu nimefurah
Frank and mariam,oooh my,oooh my. Love you wapenzi. Mmenitisha
Dah mariamu nimekukumbuka sana ila uko so hot
Me shabiki yako Meshark since day 1 Na Leo mmeua na huyo pacha ako aisee nilipendelea muimbe pamoja daima ktk safari yenu ya Mziki you're the best guys. tusubili tu ushindi wetu team Meshark
Kama unaona bss yamwaka Jana ilikuwa Kali kuliko mwaka huu gonga like
Wow, I am the first one to follow this episode! Mimi ni wa kwanza kwaku fata hiyi episode 10. Like chini.
This is December of 2023, still am watching the good talent from mbeya boy (meshack)
Marion Musa and Frank are meant for each other i love them together with their voice i find myself like wow!!such an amazing song mmmh
Mngecheza ki harmonice sada
Daah! Nmesikiaa Warudieeee!!!!
Fukuta 🎶🎶📣🎸🎙🎤🎷🎧🎻🎺
Fukuta my favourite. Kama na wewe uko pamoja nami gonga like hapa kwa udhamini wa Muyo Tv
Meshack Fukuta napenda nachokiona,keep it up bro!
Sauti nzito ya mdada inapendeza sana kuimba gospo
actually this episode i cant choose,
wote wamekua fire
Jamn idris nakupenda bureeeee😂😂😂😘😍😍😍😆😆
Jamaa wanajua ( meshack na Leonard) mpaka wanakera
waw!! i like the intro of the show. Idris killed it!
🔥
Moja hapa team HAMISI gonga like
❤❤❤❤❤
Jamani Mariam kwasababu gani ametoka ameimba vizuri Mariam nipo upande wako
Mariamu mussa
Patrick and patricia you made me love this song 💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
Tunaongalia hii show 2022 tujuane kwa likes
The ngoma is yeyaring 😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣 siku mkimtoa idris nawaama pia
Meshack na mwenzako mmesababisha nimetoa machozi kabsa hisia 100%
Leo nimewakania mpaka niwashushie kibano bss utabaki kuwa juu bsssssssssssss!!
Leonard x Meshack 💥💥💥
Bichari yan hawa majamaa wakikaa pamoja ni shiiiiida
Bonge la show big up
Da! Hatari!
Mm jmn Patrik jmn natamani utoe nyimbo Alf uwe Kama diamond nakupenda sana
Wow meshak hatar
Jackleen Mandary akazane
Leonard nameshack yaan nyie ndo washindi kbs nawapenda sana
ila meshack na Leonard wameua
Sanaaa
Wa kwanza weka like yako
I'm really proud for sure I love them
Da hao walioimba gospel wamenbark sana
Hio gospel ya hao ma guys🔥🔥🔥🔥
Yani awa majaji muda mwingine wanakela na wanaubaguzi yani wamemtoa maliamu wmembakisha hamisi. Sasa hamisi kaimba nin jaman
Mariamu alitolewa siku hii baada ya kuimba vizuri namna hii, nafikiri majaji wakitazama sasa hv nafsi zinawasuta!!!!
Daaa inauma sana ila nahisi walimtoa makusudi kwasababu kabla ya mashindano walikatazwa mahusiano Sasa ilionekana dhaili kuwa alikuwa kwenye mahusiano na mshiriki mwenzake walieimba nae
yaan nmeumia sana mariam kutolewa,,, mpenz wake kaumia sana jaman
😂😂😂😂😂😂 hamisi aibu mpaka kufumbua macho
Amiss hajui kuimba ila anawazid nyota nani anakubaliana nami
N
Ww umeona * lakin# hukuiona
Ohiii kamaa nilivyoo kuwa MTU wakwanza. Kama unamkubali hamisi APA. Gonga like APA,,,,,
Ina onekan mastaer j ampendi duli ili lichanga lina matatizo
Tujuane wenye muemko na kusisimka💃🤸♀️ tukimuona HAMISI lkn hatuwaelewi km anajua au hajui🏃♀️🏃♀️🏃♀️
twende sawa bss madam rita usikochoke kuibua vipaji bila wewe tusingewajua hao akina hamic meshak na wengne kaza mama
Meshaki namwenzio mmeua km leo ingekua final nyie ndo washindi wngu
Kama unaangalia hii show 7/1/2023
😂😂😂😂Idris jamani
Mashallah tabarakallah safisanaaa 💪💪💝🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤗🤗🤗🇧🇾
Alelua I was blessed ..nai nyimbo za mungu
Hamisi anajiheshimu Sana halafu nilichokiona kwa hamic kusema vibaya na majaji yeye hajali bado anajituma safi Sana hamic na fatuma ila kutoka kwa Mariam sijaelewa tatizo ni nini maana toka mwanzo mpaka sasa anafanya poa lakini pole Sana Mariam mungu atakufungulia milango mingine kipaji unacho na unaweza
Emmanuel joseph mahusiano na frank
Idris nomaaaaaaa nakupenda bure
Hamis gonga like kama unamkubariiiii
Ambao tunaicheki hii mpaka Leo 2021 tugongeee
Leonard we ni mkali.
Mariam anajua
Mariamu NI fire
Idriss ❤️😁... Patricia aki win ita kuwa poa 😊
Team frank Charles mikono juu
Maryam jamani dah too sad sio mwisho wa ndoto zako nna imani kuna kitu kizuri mbele yako dongve up
Aisee meshack fukuta na Leonard Sunday iyo collable yenu ibebeni hvyo hvyo pelekeni studio...mkamalize kazi..
Nakubali kazi za
Ilikuw noma xna
Love you guys love from Italy
Jaman nmerudia kama mara kumi hiv iyo duet ya maryam ili nielewe kwanin alitolea ila bado naona alifanya vizur sana, yuko na amazing vocal yan daa😢😢😢 imeniuma
Fireeeee
Gonga like if team mexhak 😍
I like Agnes spirit... Very powerful woman in future
Tunao angalia Bss 2024 let's gather here🥰🥰
The ngoma is yeyaling
Idriss u made my day
Mariam anajuwa sana
Huyu dem alieimba na hamsin au hamsi mwenyewe ndio watakuwa washindi ni wakari
Mariam hawakumfanyia haki ingawa naingalia 2020 but nifatilia toka mwanzo ata wange mtoa hamisi
Nipo pmj now
mariam should be there
Tuko pamoja watching from qatar yelele mama arabiiiiii yallah
Good
meshaki umetisha sana dogo
Kizazi sana boy mix ya dini imekaa kibabe sana
Master J anataka anachosema yeye na wenzake wote waone iko....! Kila mtu ana maoni yake kama ingekuwa unachotaka wewe ndio kiwe basi ungekuwa peke yako hapo.....
hamis na fatma mmeuwa💏
mi nahisi mariamu ametolewa kwa sababu ya mahusiano yao ila anajua sana kuimba
Mariam should be there
Sultan idris 😇❣️❣️❤️🙏
Ilikua ya moto sanaa
Team hamisi
Idrissa you're talented ..with comedy
Nyie wanangu cnimewachagulia mavaz #Redtag mliman city....nawapenda sana jaman 💋💋💋💋💋💋💋
❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahahah the ngoma is yeyaa 😃😃😃😃😃
Wako watu na vipaji vyaoo hamis kuwa makini na huyo dada
Bss 2019 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂idris daaah
Guyz nimewakubali mno duet no 3,ya meshack na mwenzie
Hamis endelea kusonga mbele dogo