ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

BALAA LILILOMKUTA ALIYEKUNYWA ENERGY DRINK TANO, MISHIPA IMEZIBA, ATAKUNYWA DAWA YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 92

  • @daatyabdul652
    @daatyabdul652 ปีที่แล้ว +7

    Yaanii me kitu wakisema mama mjamzito asitumie unipati

  • @jackstanley8029
    @jackstanley8029 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman zifutwe kabisa zisiwepo tena vijana wanazitumia Sana

  • @ibrahimmagere5545
    @ibrahimmagere5545 ปีที่แล้ว +18

    Naiheshimu energy drink, niliwahi kunywa red bull sita kwa usiku mmoja. Maumivu ya kichwa niliyohisi Mimi na Mungu pekee ndo anajua.

    • @priscamsuya-xd4tu
      @priscamsuya-xd4tu ปีที่แล้ว +1

      Mimi nilikunywa 2 miaka 10 iliyopita nimekoma

    • @geoufo2858
      @geoufo2858 ปีที่แล้ว +1

      Keeh sita

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

      Hahahahaa aisee pole

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Si imeandikwa kma usinywe zaid zle na asinywe mtu mwenye umri miaka 18

    • @scottgeorge5677
      @scottgeorge5677 ปีที่แล้ว +1

      Nilikunywaga red bull 2 nilikuwa nasikia moto mwili wote syo vitu vzur hivi

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh izi ebergy drink ni noma sana but watu wengi hawajui

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 ปีที่แล้ว +1

    Sitaki
    Tena kunywa hizo nilizipenda na kunywa sana, Asante Yesu kwakuniondoa kwenye adiction hiyo

  • @FaudhiaAlly-hl2gk
    @FaudhiaAlly-hl2gk 3 หลายเดือนก่อน

    Jamanii mm nilikunywa wine kidgo na nikanywaq energy moja jmni ilikuuwa saa11 kuminamoja jioni ila sahvi saa 6 uck tumbo linanisumbua jmni nmeharisha kidgo vp jmni na mm nakufaa au

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +3

    Energy niliwahi kuonja kwenye kile kifuniko Cha chupa yake tu kimoja Basi na sizipendi hata kuzisikia yani kwa kifupi situmii energy

    • @AdonisMniko
      @AdonisMniko 3 หลายเดือนก่อน

      Ata usitumie kufa kupo TU

  • @Mamateekatuni
    @Mamateekatuni ปีที่แล้ว +2

    Jamani Dokta wangu leo umehojiwa 🥰🥰🤣🤣

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 ปีที่แล้ว +11

    Ukiona chakula au kinywaji unapewa na kimewekwa masharti ya ukomo wa matumizi, tafadhali usitumie. Kama unahitaji energy kula ndizi au tikitimaji hivi vina nguvu asilia na havina ukomo wa matumizi.

    • @matthiasrekembr
      @matthiasrekembr ปีที่แล้ว

      💯

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 ปีที่แล้ว

      Vyakula vyote vinaukomo wa kula mfano huwezi kula gunia la ugali pia ni vema mtu akajari afya yake bila shuruti

  • @HighzackMichael
    @HighzackMichael ปีที่แล้ว +3

    Dr pallanjo watu wa Kanda moja na Millard Ayo wanapotoa maelezo vizuri sana

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว

      nawe pia inaonesha ni wa kanda hiyohiyo !! wacha habari za kikanda HAYO MAELEZO YAMEKAA VIZURI SANA WALA HAIUSIANI NA UKANDA !"!!

    • @hamisimuhammad3656
      @hamisimuhammad3656 6 หลายเดือนก่อน

      Energy shikamoo

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamisimuhammad3656marahaba ujambo toto

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna utofauti kati ya wa it’s bangi, wanywa Pombe na hizo energy drinks

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 ปีที่แล้ว +3

    Energy zote mbaya , hamna cha kampuni wala nini?

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂energy drink mwisho ni mbili tu kwasiku...zimeandikwa pale muwe mnasoma maelekezo jmn

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 ปีที่แล้ว +6

    Mtaani huku vijana wanakunywa na maandazi asubuh kama breakfast yaaan kuna jamaa anakunywa nane kwa siku

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว +4

      Halafu hao wakikufa kwa ghafla itakuwa ooh amelogwa,uchawi, amepewa sumu,... nakuwazia aina zote za kishirikina, ila ukweli ni upumbavu wao ndio unawauwa

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 ปีที่แล้ว +3

      😄😄😄 na maandazi?

    • @onesmoelias2285
      @onesmoelias2285 ปีที่แล้ว

      Hom boy umenichekesha sana kwel aise vjana wanagonga kama chai asbui na ukiwaangalia kwa macho wanakaa wamelewalewa had hakl zao kama vile zmepungua maana hata hawafikilii kwa kina anaweza akapita amevaa pens yakulalia kila kiungo knaionekana je kama eneg drink inamadhara kiss hcho je bia na kvantl

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 4 หลายเดือนก่อน

    Uwiiiii mm nanunua keton kwajili yangu mm mwenyewe

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 ปีที่แล้ว +3

    Wangapi mmegundua hili ni tangazo limeletwa kijanja au ni elimu ya kiafya iliyoletwa kwa njia ya kijanja, afisa masoko muhimbili yupo vizuri

    • @gyestudios267
      @gyestudios267 ปีที่แล้ว

      ukigundua kuwa daktari anazungumza sana, na ndio maana amejipanga kutoa hilo somo

    • @MaryJohn-hh2ku
      @MaryJohn-hh2ku ปีที่แล้ว

      Sasa kwa nini msizipige mafufuku kama ni hatarishi? 🙆‍♂️

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 ปีที่แล้ว +5

    Leo nakunywa ya mwisho sinywi tena..

  • @DogoTistiany7
    @DogoTistiany7 21 วันที่ผ่านมา

    Mmh nisiwe muongo naacha

  • @user-mt5mj5yp8g
    @user-mt5mj5yp8g 9 หลายเดือนก่อน

    Jaman nimeamin maana jana usiku nimezimia energy so kinywaj nilikuwa 4 maana moyo ulienda kas sana

  • @assengamn
    @assengamn 4 หลายเดือนก่อน

    Pia matumizi mabaya ya pombe, madawa ya kulevya, madawa ya kuongeza nguvu za kiume na matumizi mabaya ya dawa za hospitali yote haya husababisha madhara ya mishipa kama ilivyo kutumia energy drinks.

  • @darweshk7342
    @darweshk7342 ปีที่แล้ว

    Mate hongera

  • @ashamaneno9819
    @ashamaneno9819 ปีที่แล้ว

    Jaman nkajua n mm labda ushamba wangu tu. Hyo sku nilikunywa 3 nkachukua y 4 nikishindw kumaliza Kila nkijaribu kupeleka nilikua nahis maumiv kwenye moyo Yan nilikua kama nasukuma kitu kwenye moyo mwishowe nkaimwaga ilikua mwaka jan mwez w 4 yan had hii leo Sina hamu n iko kinywaj kwa jins nilivyojajiona hyo siku. Jaman tuuche tuache TU iki kinywaj

  • @SilivestaTesha-xg1si
    @SilivestaTesha-xg1si ปีที่แล้ว

    Daktari hapouna tupandisha Meli hukukwetu tuna kunywa 6 nakawawa chungu

  • @binkanakinyasi1612
    @binkanakinyasi1612 ปีที่แล้ว

    Yaan mimi hii energy drinks naipendaga sana ila nikiinywa robo tu chamoto huwa nakipata kichwa kuuma halafu moyo sasa huwa najihisi hovyo sana ila sijawahi kufahamu kinywaji ndio tatizo nakuiacha sasa nashindwa kabisa sijui shida ninijamani

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

    Mie nafikiri zinaziba huko Africa,Mbona huku Nje watu nimewaona wakinywa Energy drink tokq nafika huku hadi leo na Ni wazima,Na USA na Canada Haizuii mtu kunywa Energy drink na Zinauzwa kuliko hata soda za kawaida

    • @NeemaSteven328
      @NeemaSteven328 4 หลายเดือนก่อน

      Nahisi hizi energy drink za huku tz hazina ubora ! Sumu nyingi

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +2

    Uwii mm nilikua napenda zile MO Enegy sinywi tena sitaki tena

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 ปีที่แล้ว

      Kunywa kwa kiasi moja kwa siku au 1 kwa week

    • @pendo8082
      @pendo8082 ปีที่แล้ว

      @@athumanfuko199 wasiwasi ndio akili sinywi

  • @onesmomashembo8495
    @onesmomashembo8495 ปีที่แล้ว +1

    Hizi energy drink nahisi zinavichocheo vya drugs maana ukinywa ikakulea mwilini ni ngumu kuiacha Mimi kila siku asubuhi lazima niipige vivyohivyo na mchana .

    • @binkanakinyasi1612
      @binkanakinyasi1612 ปีที่แล้ว

      Yaan we acha tu hata chai huwa siitamani kwakweli

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel ปีที่แล้ว

    kuna maandishi kwenye chupa ya kinywaji yanasema ,hairuhusiwi kunywa zaidi ya chupa 2

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 ปีที่แล้ว

    Jembe ni Jembeee

  • @tyzervisualsstudio
    @tyzervisualsstudio ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mo enegy ilivyo tamu siez isalitiiii ntakunywa sanaaaa

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว

    Kwann zisiondolewe tu kabisaa,, hazina faida

  • @salwasalum6758
    @salwasalum6758 ปีที่แล้ว +3

    Sinywi tenaaa...

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 9 หลายเดือนก่อน

    Serikali iingilie kati hiko linywaji hakifai serikali ikataze

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 4 หลายเดือนก่อน

    Hii nayo ipigwe marifuku kama viloba

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว

    Zipigwe tu marufuku

  • @hekimasichone
    @hekimasichone 2 หลายเดือนก่อน

    je energy inawez kutoa mimba au

    • @namdigumagwenge193
      @namdigumagwenge193 2 หลายเดือนก่อน

      Haiwezi best tafuta dawa au dr bas utajiua kwa pressure bure 😢

    • @hekimasichone
      @hekimasichone 2 หลายเดือนก่อน

      @@namdigumagwenge193 ok saw

    • @hekimasichone
      @hekimasichone 2 หลายเดือนก่อน

      @@namdigumagwenge193 ok

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 ปีที่แล้ว

    Duuh cnywi tena

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +2

    TBS na TFDI wako wapi kumama zao wakati wao ndo wanahusika na hivi vitu so why mpk zimefika kwa jamii na wakati huo zinaleta madhara?serikali iziadhibu hizi sekta maana zipo tu bila kushugulika na kazi zao!!!

  • @isacksamuel5503
    @isacksamuel5503 ปีที่แล้ว

    Sasa 5 anatafuta nini

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 ปีที่แล้ว +1

    Shirika la viwango wako wapi?

    • @zahakiosward1575
      @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว

      Ndo hapo

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว

      wapo ndio walosema usinywe zaidi ya mbili mfululizo

    • @devisshirima6780
      @devisshirima6780 ปีที่แล้ว

      @@ayububakari9942 Wapo lakini kwanini wapitishe kitu kinachoweza kuwadhuru watu? Hata hizo mbili zenyewe haziwezi kuwa salama kwa mwili, maana yake madhara yake yatakuwa katika mrundikano ambapo baadae lazima itakuwa na athari kwa watu.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว

    Afu hiz energy drinks c zimeandikwa usitumie zaidi ya chupa moja kwa siku?😂😂

  • @samsonbalige1627
    @samsonbalige1627 ปีที่แล้ว

    Energy drink ya kwanza ni red bull aache uongo

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 ปีที่แล้ว

    HAYO MAGONJWA YALIANZA KABLA YA HIVYO VINYWAJI ACHENI UONGO

    • @tyzervisualsstudio
      @tyzervisualsstudio ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂 utam wa mo enegy ilivyo tam siwez kuisality nakunywa mpk last day na nikiwa ospitalin dawa iwe eney

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน

      Yalianza mwaka gani?

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 ปีที่แล้ว +1

    Mi nakunywaga zaid ya 5 kwa ck hakia mungu

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 ปีที่แล้ว

      Ndo uache lisije likakukuta jambo ndugu yangu

    • @joramkimario9321
      @joramkimario9321 ปีที่แล้ว

      Nilikuwa nakunywa mo energy ikanioetea kiungulia saiv nakunywa Azam energy naona Kama mapigo ya moyo hayapo sawa hv af Kuna wakt nqpata kiungulia

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 ปีที่แล้ว

    😂😂😂energy drink mwisho ni mbili tu kwasiku...zimeandikwa pale muwe mnasoma maelekezo jmn

    • @rosejohn8494
      @rosejohn8494 ปีที่แล้ว

      kwa ushaur kiwanda kifungwe kwan tayar kina madhara na syo watanzania wote wako kweny mitandao kuna vijiji hata redio hadi taarifa ya habar ndo tunasikiliza