WAONGO WANAOPITILIZA SAFARI SGR WADAKWA, TRC YAKAZIA YA TAKUKURU “KUNA VISHOKA, MASHINE ITAKUUMBUA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • ‪@millardayoTZA‬

ความคิดเห็น • 105

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 25 วันที่ผ่านมา +19

    Wekeni mashine za kutokea ambazo hazimfungulii mlango wa kutoka kama amezidisha safari,

  • @CHUYUTV
    @CHUYUTV 25 วันที่ผ่านมา +19

    Wagawe tu behewa wanao ishia njiani wawe na behewa zao

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 24 วันที่ผ่านมา +1

      utaratibu uliopo dunia nzima ni kukagua tiketi, ila kiti gani na behewa gani mtu anakalia huamua mteja lwa kadri alivvyowahi, wahudumu wa treni pia kazi yao ni ukondakta, kwahiyo ikitokea wamekamata mtu anafanya utapeli, basi kituo kinachofuata mtuhumiwa anashushwa na kuwekwa chini ya ulinzi, vituo vya treni kuna polisi pia, hivyo mtuhumiwa atashughulikiwa kama mwizi, ndivyo ilivyo hata nchi za nje. utapeli wa wachache hauwezi kuondolea wengine uhuru wa kuchagua behewa la kukaa

  • @nelsonkilasi979
    @nelsonkilasi979 25 วันที่ผ่านมา +9

    Mnajisahau sana Watu hizo sifa sio za Samia kazi aliimaliza Mwenda zake the best President in Africa JPM huyu hajatia nguvu zaidi ya kusimamia alipoachiwa.Maana naona kila sehemu mnatumia nguvu Mama mama mama mnasahau walioasisi mpaka hapo......

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 25 วันที่ผ่านมา +2

      Magu alianzisha samia akasimamia vizuri mpaka ikatimia kwa iyo lazima atajwe yeye. Mwendazake hata ukamtaja yeye hasikii tena yeye anapambana na hali yake tu huko aliko

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 25 วันที่ผ่านมา

      Bro wote washukuriwe wote lakini samia sababu yupo ndio yeye

    • @AbdulwaheedSeif
      @AbdulwaheedSeif 25 วันที่ผ่านมา

      Na kikwete pia yupo kwenye ilo usijisahaulishe

    • @MM-Advanced
      @MM-Advanced 25 วันที่ผ่านมา +1

      Huu ndo utaratibu wa kisiasa.... Kwa namna yoyote ile lazima atajwe rais aliyepo madarakani, hata kama aliyeasisi ni mwingine.

    • @uzalendocontentschannel3277
      @uzalendocontentschannel3277 25 วันที่ผ่านมา

      Hii ni mikataba ya Kimataifa, angetaka asingetaka, kisheria, Serikali Bado ilikuwa na wajibubu wa kusimamia. Ko wanasema ni miradi ya mtangulizi wake wako sahihi na wanapaswa wote kupewa maua yao, sisi ndo wenye nchi tunajua nani kafanya Nini na nani ameendeleza nini @@Mumewangu

  • @lovsply
    @lovsply 25 วันที่ผ่านมา +8

    TRC INAITAJI JESHI LA POLICE… (Tanzania Railways Police)

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 24 วันที่ผ่านมา

      kila kituo cha treni tayari kina polisi, hata zamani kwenye treni ya zamani iko hivyo.

  • @IbrahimMohamedally
    @IbrahimMohamedally 25 วันที่ผ่านมา +6

    Jamani watanzania tuwe patriotic na nchi yetu be proud to be Tanzanian

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 25 วันที่ผ่านมา

      Uzalendo uwe mnafiki tu basi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@ChoroTeslakwa hiyo wewe ni mnafiki si ndio?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 25 วันที่ผ่านมา

      @@MilloWamilonga-ft8ir mie sio mnafiki uzalendo haupimwi na maneno km mtu alitihubiroa uzalendo yeye mwenyewe akaktaza wa wasihoji 1.5T iko wapi kupitia ripoti ya CAG tusemejje

  • @LweguRutaserwa
    @LweguRutaserwa 21 วันที่ผ่านมา

    Congratulation SGR Management!

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 24 วันที่ผ่านมา

    Mrudisheni msemaji wa Reli Beni Mwanantala. Huyu msemaji hana speed ya SGR.

  • @NaomiMbise-l4c
    @NaomiMbise-l4c 25 วันที่ผ่านมา +3

    Mkikamata mtu faini iwe x50 ya nauli aliyotoa. Kama atashindwa apelekwe mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi. Hapo shirika litajiongezea kipato.

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 25 วันที่ผ่านมา +2

    Haija fika mwezi moja teyari matatizo kwenye management...... He investment kubwa Sana Ata kama bei ni juu acheni siasa And run kama ya biashara tuna experience ha management hovya na Mgr....

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 24 วันที่ผ่านมา +1

    TENGENI BEHEWA LA ABIRIA WA NJIAN TU LIJITEGEMEE NDIPO MTABAINI KWA HARAKA VITUO VYA NJIAN

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi nilisafiri juzi kutoka Dar kwenda Dom, hatukukaguliwa ticket ndani ya tren mpaka tumefika Dom, labda kama ukaguzi anaosema umeanza mara baada ya taarifa kutoka mitandaoni jana. Na kesho natoka Dom kwenda Dar, nitaona kama kweli ukaguzi upo.
    Nashauri wanaoshuka njiani wawe na behewa lao na wakaguzi wakae ndani ya behewa hilo kuhakikisha abiria wanaoshuka njiani wanashuka kweli

    • @zubeiramlanzi2480
      @zubeiramlanzi2480 25 วันที่ผ่านมา

      Utupe feedback tena km watakagua..

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 25 วันที่ผ่านมา +1

      Anatufaa kijana Kwa updates😂​@@zubeiramlanzi2480

    • @VictorMbagga-k4l
      @VictorMbagga-k4l 24 วันที่ผ่านมา

      Ilo nalo tatizo la kushuhulikiwa kwa kweli

  • @UnitedAfrica-uw9ct
    @UnitedAfrica-uw9ct 25 วันที่ผ่านมา +3

    Toa adahabu ambayo mtu akiipata hataisahau........ujinga kama huu haukubaliki kabisa...kila mwisho wa safari tumieni scanner , kwenye ticketi..mtu akipitiliza akamatwe...hakuna msamaha

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 25 วันที่ผ่านมา

      Kwanza wakamatwe wanaosemwa na CAG wameiba Hela.

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 25 วันที่ผ่านมา +1

    1.Wekeni faini ya shilingi 50 ,000 kwa kila atakayefanya uhuni huo .
    2. kupelekwa mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi.
    3.Fanyeni ukaguzi kila baada ya masaa 2 mabehewa yote yakaguliwe ticket za abiria😮

  • @IbrahimMohamedally
    @IbrahimMohamedally 25 วันที่ผ่านมา +2

    Tuipende nchi yetu mara watu wanaiba miondombinu ya barabara.aibu tupu

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 25 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu lazima atumbuliwe unakuja kuongea leo baada ya takukuru kulalamika

    • @VictorMbagga-k4l
      @VictorMbagga-k4l 25 วันที่ผ่านมา +2

      Sio kutumnuliwa kaka katika kila uongoz zipo changamoto..na chain inayoshuhulikia kichwa kimoja huwez jua mambo yote uongoz unahitaja ushirikiano usipopata WA kusema kama ivi hamuwez fika...so tatizo sio kutolewa .

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 25 วันที่ผ่านมา

      Ovyo kabisa, comment use les

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 24 วันที่ผ่านมา

      @@MilloWamilonga-ft8ir ni useless kama wew ulivyokua useless

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 24 วันที่ผ่านมา

    Afisa habari mwenyewe amepoa sana,, inaonekana ndiyo wale wanaoingia kwa mgongo wa MJOMBA

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna watu hawana vitambulisho wanakatiwa tiketi na ndugu zao kupitia mtandao sasa hizo habari za vitambulisho mnazozileta mtajikwamisha wenyewe

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 24 วันที่ผ่านมา

    Kukata ticket ya train hakuna mtu anayeulizwa kitambulisho Ulaya isipokuwa ticket maalum ambazo hupunguzwa bei ndio akija mtu wa kukagua ticket ndio anauliza kitambulisho.

  • @patrickmarwa5024
    @patrickmarwa5024 24 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni kuweka mfumo wa card tu.uwezi kusafiri sbbu milango aiwezi kufunguka kuruhusu uweze kupita kama ujalipia.

  • @DM_15
    @DM_15 25 วันที่ผ่านมา

    Kuokoa muda ni kuwatenganisha tuu wakati ana kata ticket aelekezwe behewa lakupanda inakua rahisi mkifikakituofulan basi lazima watashuka

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 24 วันที่ผ่านมา

    Watu wanafanya ufisadi wa mabilioni hawakamatwi umpeleke mahakamani mtu kisa kapita kituo? Mgesema tu faini ELFU 50.

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 24 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada hajaeleza jinsi hao abiria wa njiani walivyokuwa wanashuka vituo ambavyo sio vyao. Hii inaonyesha walikuwa hawana mifumo ya udhibiti sema anashindwa kujisemea.

  • @durangobasics6195
    @durangobasics6195 24 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawakuwa wamelifikiria HILI? Maana hili liko wazi SANA!
    Sasa kama hili kama hawakufikiri basi ni lipi wamefikiri? UADILIFU?😂😂😂

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 22 วันที่ผ่านมา

    Balaaa

  • @nasibusaid4161
    @nasibusaid4161 24 วันที่ผ่านมา

    Mimi huyu msemaji hata simuelewi,rudisheni yule mwanaume

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 24 วันที่ผ่านมา

    Inatakiwa akuwepo na inspector wa kukagua tickets.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 25 วันที่ผ่านมา

    Kilanpenye ueaji anawekwa Mwarabu.

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 24 วันที่ผ่านมา

    Wanakula kodi zao xhida nn?selikali haifanyi .biashala

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 25 วันที่ผ่านมา

    WEKENI MKAGUZU KILA BEHEWA, AU KUWE NA BEHEWA MAALUMU WATU WA KUSHUKA NA KUPANDA

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 24 วันที่ผ่านมา

    Acheni mbwembwe kitambulisho kinahusiana na Nini?tumerogwa wapi sisi watanzania.
    Kwani ticket haionyoshi wapi anashuka?daa inaudhi wanaopewa madaraka siku zoote akili ndogo.baada ya kutatua tatizo ambalo ni simple kagu,a tickets unalifanya zoezi la ukaguzi "tickets "lizidi kuwa gumu kwa kuliongezea madoido na mbwembwe 😮

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 25 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni kua wananchi hawajajua
    New technology ya digital
    Hiyo ticket inajisoma yenyewe
    Unapo ingia na kutoka
    Na ukitoka sehemu ambayo siyo
    Malipo ya ziada yalipwe kwenye simu
    Yake mda maalum na ukipita anakamatwa

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 25 วันที่ผ่านมา

    TRC pia muwe positive na taarifa zinazotolewa na wananchi pamoja na vyombo vingine ambavyo havipo ndani ya shirika. Multiple eyes will save us a big deal!

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 25 วันที่ผ่านมา

    Maneno mengi tu

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 25 วันที่ผ่านมา

    wanaajiriwa watu wasio na UWEZO.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 24 วันที่ผ่านมา

    Faini kwa ticket ya 1, 000shs instalować iwe 65,000shs.

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 25 วันที่ผ่านมา

    Kuna wamama wanapanda na watoto wao kisha wanashindwa kuwa control kitoto kitundu kinachezea vikanyagio viti na vifaa vingine muwe mnatoa maangalizo sio maneno mengi kuweni makini bhana

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 25 วันที่ผ่านมา

    Watenge vituo kama mwendokasi kuna msimbazi A wa kimara wapewe behewa lao na b wa mbezi wapewe behewa lao.

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 25 วันที่ผ่านมา

      Haiwezekani kuwapakia behewa moja,na wanakata tiketi za mdaraja tofauti!?

  • @user-fh7wu8vx1y
    @user-fh7wu8vx1y 25 วันที่ผ่านมา

    Tatizo si wateja
    Tatizo niwafanyakazi
    Wa TRC tiketi wanawapa watu wao
    Wauze. Tiketi hizo kwabei ya juu
    Tangu zamani hilo tatizo lipokabla yahiyo
    Trein yamwendo kasi
    Haijaanza

  • @abdullahmanmiyanjamo1796
    @abdullahmanmiyanjamo1796 25 วันที่ผ่านมา

    Vituko vimeanza.....Nchi ngumu sana hii

  • @Worldunite
    @Worldunite 25 วันที่ผ่านมา

    Nchi nyingi zina Railway police, nasi tunapaswa kuwa nayo kwa ajili ya kuzuia uhalifu

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 25 วันที่ผ่านมา

    Ushauri wangu kuwe na route mbili tofauti treni kutoka dar mwisho Moro ,na treni kutoka Moro adi Dom. Kutoka Dom to mwanza.

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mwendo Kasi ilianza kwa mbwembwe lakini machine zote zishakufa kituo kina milango miwili Leo unatumika mmoja watu wanaruka anaona kuzunguka ni shida kwaiyo najiuliza huku Nako haitakua kama mwendo Kasi ?

  • @geja8708
    @geja8708 25 วันที่ผ่านมา

    Kwann mmetoa online ticket

  • @BrunoNjonjo
    @BrunoNjonjo 25 วันที่ผ่านมา

    wekeni bei moja dar moro

  • @user98771
    @user98771 25 วันที่ผ่านมา

    Vitambulisho vya NIDA ziharakishwe km mtakuwa mnaangalia na vitambulisho

  • @BundalaShija-yb4vo
    @BundalaShija-yb4vo 25 วันที่ผ่านมา

    Wekeni makonda kila behewa kwa ajili ya ukaguzi wa ticket

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 25 วันที่ผ่านมา

    Watanzania wana ujinga sana na management imelala usingizi mzito

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 25 วันที่ผ่านมา

    Wekeni masanduku ya maoni ya maoni yasomwe na taasisi ingine

  • @simonsmithajax
    @simonsmithajax 25 วันที่ผ่านมา

    Waonyeshwe hao waharifu pia wapigwe picha

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ndiyo hii itasaidia lakini kama makonda WA mabasi wanajua abiria zao na hata wanaoshukia njiani kwaninhawo coach attendants wanashindwaje mbona wanatuhesabu idadi kabla y kuondoka? Halafu na ninyi wabongo acheni ujinga huo Kwa wenzetu walioendelea husikii ujinga huo. Uzalendo jamani

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 25 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tunaotumia usafiri huu tuendelee kufichua maovu, hila au madhaifu, sio kwa ubaya ila ni kuisaidia TRC, serikali na Tanzania yetu.

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 25 วันที่ผ่านมา

    Mtu akidakwa ni ale mvua hata ya miaka 3,watashika adabu tuu au fine ya bei mara 10 ya nauli,tunatakiwa kuwa na adabu

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi nililigundua mara tu ya kwanza napanda nikamuuliza abiria mwenzangu itakuwaje mtu akitaka kupitiliza sijui kwanini wao hawakufukiria au hawana afisa usalama ni uzembe wao kabisa ni mangapi mtaambiwa ndio mfanyie kazi

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 20 วันที่ผ่านมา

    Magufuli akili nyingi, uthubutu mwingi.
    Alisema “hatuwezi kujenga reli ya diesel Karen ya 21”.
    Hapo tu, alizuia wizi mkubwaaaaaaaa…..maana wizi Ungenauigkeit kwenye kalamu wakati wa ununuzi wa mafuta ya kuendesha treni.
    Wizi mwingine ungekuwa kwenye watunza mafuta wenyewe…..UPIGAJI videbe

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo wa takukuru amekurupuka kwa nini asiwasiliane na TRC kwanza halafu ndio akatoa hayo maelezo yake analeta taharuki bure isiyokuwa na maana waache kukurupuka ni woga tu alioufanya kuogopa kutumbuliwa

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 25 วันที่ผ่านมา

    Hao watu kwenye escalator wanatakiwa wasimame upande wa kulia kuwapisha wanao weza kutembea kwa kutimia upande wa kulia.
    Wekeni matangazo pale mtu anapo kwepa nauli, atatozwa maximum fare

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 25 วันที่ผ่านมา

    Inakera sana Rais anakopa pesho nyie mnakuwa careless

  • @Worldunite
    @Worldunite 25 วันที่ผ่านมา

    Dada yangu nawapongeza TRC na TAKUKURU kwa hatua hiyo, ila jamani tunusuru hii lugha ya kiswahili,swagga za nini katika kuongea kiswahili?? tamka vizuri "reli" sio "rweli", hako ka "w" mnapenda sana vijana kuongeza kwenye matamshi yenye herufi "r".mfano:
    Reli,sio Rweli
    Morogoro,sio Morwogorwo
    Rahisi,sio Rwahisi
    Sheria,sio Sherwia
    Mrefu,sio Mrwefu
    ....nk

  • @upgo6112
    @upgo6112 25 วันที่ผ่านมา

    Bado hamjasema

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 25 วันที่ผ่านมา

    Kadogosa ni mtu mwaminifu tunaomba uwe mkali tena rais akuamini usicheke na nani ttunsjuvunia serikali ya mama yetu

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 25 วันที่ผ่านมา

    HAWA WAHALIFU NDIO HAO HAO KESHO WATAANDAMANA BARABARANI WAKIDAI SERIKALI NI FISADI.TABIA YA UDOKOZI KWA WATANZANIA IMEZIDI KILA SECTA KUANZIA VYAMA VYA SIASA,SERIKALI,MAHAKAMA,WAFANYABIASHARA,WANANCHI WA KAWAIDA n.k,HAKUNA MAHALI KUMESALIMIKA

    • @Worldunite
      @Worldunite 25 วันที่ผ่านมา

      Wako wahalifu wa aina hiyo ambao wanaandamana, lkn pia wako wahalifu wafisadi ambao hawaandamani, ndo dunia ubinadamu kazi

  • @gwidge4985
    @gwidge4985 25 วันที่ผ่านมา

    Nonsense

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ni blabla za kiswahili tu hamna. Hamna lolote la maana.

    • @AshaMwamba-g3l
      @AshaMwamba-g3l 25 วันที่ผ่านมา

      Ivi Mimi naona ili swala haliongi akilini ivi utowe 1000 adi Moro mmmm mm

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 25 วันที่ผ่านมา

    Yaani uwo mladi ni wawsnanchi isije kua lams udat Yale mabasi hksduozo mkubwa tunaomba raisi akemee

  • @babajay3445
    @babajay3445 25 วันที่ผ่านมา

    Wekeni nauli mbili tuu dar Moro dar Dodoma toeni hiyo ya pugu upuuzi mtupu

  • @VictorMbagga-k4l
    @VictorMbagga-k4l 25 วันที่ผ่านมา

    Niwashauri gaweni mabehewa wakikata tiketi WA msoga wakae pamoja na tiketi zao ziwe elekez kama ilivyo ada..wakiwa wote WA sehem moja itasaidia wakishuka wanashuka wote behewa lao

    • @pasalmdemu7225
      @pasalmdemu7225 25 วันที่ผ่านมา

      Sasa kama wa msoga wapo 2 tu wanapewaje behewa lao?

    • @VictorMbagga-k4l
      @VictorMbagga-k4l 25 วันที่ผ่านมา

      @@pasalmdemu7225 kama wapo wawil basis ni kuhakikisha wapandao kayika behewa inawekwa kama sit post kwamna no fulan unashuka msoga no fulan hadi fulan unashukia morogoro. Ii itawakumbusha poa WA tiket kuona tangazo kiila kituo na kwa kuwa anahuduma atawajua no fulani wanashukia hapo inaweza pia ikasaidia

    • @VictorMbagga-k4l
      @VictorMbagga-k4l 25 วันที่ผ่านมา

      Pia ikulikane muhudumu WA ndege awe anakagua tikek tens ikifikia karibu na kituo au pia kuwe na tangazo pia kwa TV ikigundulika umedanganya utalipa zaid ya iyo uliotoa ...