Matumizi ya P2 kwa wanawake | Namna inavyotumika, faida zake na madhara kwa watumiaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @paskalinanaali1434
    @paskalinanaali1434 3 ปีที่แล้ว

    Thanks brother my God bless you

  • @marymuoki5811
    @marymuoki5811 3 ปีที่แล้ว +6

    Ukimeza p2 day ya Kwanza unaweza fanya tendo la ndoa before 72 hours kuisha🙏

  • @tabithalusenga1183
    @tabithalusenga1183 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki anachokizungumza doctor ni sahihi mimi ni mhanga nilikuwa natumia kipind nasoma , nimehangaika sana kupata mtoto zaidi ya miaka 8 ya ndoa

  • @RebeccaAyubu
    @RebeccaAyubu 7 หลายเดือนก่อน

    Icho kisauti kinakela banaa

  • @HaithamMajid
    @HaithamMajid 4 หลายเดือนก่อน

    Tumia na imenisalit maziwa yananiuma yamejaa na mate machungu na nilikunywa kabla ya masaa 72

  • @leylarajabushabani4491
    @leylarajabushabani4491 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo sauti jaman mliyo iweka nyuma disgusting😏😑😣😖

  • @sarahedwin9841
    @sarahedwin9841 ปีที่แล้ว

    Iko vzr ila ukikosea kutumia lazima ikusaliti

  • @paulinapaulo6750
    @paulinapaulo6750 3 ปีที่แล้ว +13

    Me nilitumia ndani ya saa moja baada ya tendo lkn nmeshika mimba

  • @FATUMAIBRAHIM-e9i
    @FATUMAIBRAHIM-e9i 9 หลายเดือนก่อน

    Utajuaje kuw p2 inafany kaz

  • @gladyvictor9094
    @gladyvictor9094 ปีที่แล้ว

    Pow

    • @tabujames
      @tabujames ปีที่แล้ว

      Mbona wanameza kwa xaa moja baada ya tendo na mimba zinatunga hii imekaaje doctor

    • @PrincessMunirah-lb2gf
      @PrincessMunirah-lb2gf ปีที่แล้ว

      ᵁⁿᵃⁱᵗᵘᵐⁱᵃʲᵉ ʰʸ ᵖ2 ᵘⁿᵃᵐᵉᶻᵃ ᵏʷᵃ ᵐᵃʲⁱ ᶻᵒᵗᵉ ᵐᵇⁱˡⁱ ᵃᵘ ᵛᵖ

  • @manyandatimoth7
    @manyandatimoth7 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah, huyo dada kakohoa hapo kanistua sana

  • @misskimaro6495
    @misskimaro6495 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn hiyo sauti mnayoiweka kwa nyuma ina kera

  • @alihacker9453
    @alihacker9453 3 ปีที่แล้ว +14

    utajuaje kama inafanya kazi baada ya kuimeza

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 5 หลายเดือนก่อน

      ndo na Mimi nilitaka kujua inatumikaje kazi baada kumeza
      swali kweli inasaidia
      mbona wanaongea kwakuficha maelezo lengine

  • @RebeccaAyubu
    @RebeccaAyubu 7 หลายเดือนก่อน

    Mnashahur watu kutumia mara ngapi kwa mwaka?

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +5

    Me hata siijuwi hyo p2 🤔

  • @stanslaus.
    @stanslaus. 4 ปีที่แล้ว +1

    Niiice!!!

  • @ZuhuraAbdallah-bx8nb
    @ZuhuraAbdallah-bx8nb 5 หลายเดือนก่อน

    Inaitwaje ivo vidonge

  • @catherinejabeya4455
    @catherinejabeya4455 3 ปีที่แล้ว

    p2 ukimaliza kumeza after tendo la ndoa na siku salama unaweza mbele yake unaweza Fanya tendo la ndoa

  • @NoreenPeter-k2y
    @NoreenPeter-k2y ปีที่แล้ว

    Zinauzwa 5000

  • @kilipa646
    @kilipa646 4 ปีที่แล้ว +1

    Good Bro. Keep it up

  • @DorcusKizongona
    @DorcusKizongona ปีที่แล้ว +1

    Alaa so hakuna vile p2 inaweza lead to abortion?

  • @victoriasitephano2548
    @victoriasitephano2548 3 ปีที่แล้ว

    We dada mbonge unaogea Sanaa

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 3 ปีที่แล้ว

    Kabla swali la Kwanza hajajibu mnauliza swali lingine mbona hamko systematic

  • @estherkiruma
    @estherkiruma ปีที่แล้ว

    Unafa kutokwa na damu wakati umemeza p2

  • @mawezikz6704
    @mawezikz6704 2 ปีที่แล้ว

    Zinauzwa bei gani izo p2

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว

    Tuleteeni madhara ya kutumia dawa yakupunguza ukubwa wamatiti dawa yakupaka au yakunywa

    • @aminajuma3352
      @aminajuma3352 2 ปีที่แล้ว

      Dada unatumia daw ya kupunguza matiti au

  • @emmanuelchama3657
    @emmanuelchama3657 ปีที่แล้ว +1

    sasa inaisha kwamda gani kutumika mwilini nqomba kujua

    • @RebeccaAyubu
      @RebeccaAyubu 7 หลายเดือนก่อน

      Inaisha Mda gani kutumika mwilini?

    • @RebeccaAyubu
      @RebeccaAyubu 7 หลายเดือนก่อน

      Inaisha Mda gani kutumika mwilini?

    • @NassorAbeid
      @NassorAbeid 6 หลายเดือนก่อน

      Masaa 72

  • @sarahkijalamboe1109
    @sarahkijalamboe1109 2 ปีที่แล้ว

    Hizo dawa unakunywa moja baada ya nyingine ama zote kwa ujumla