DIVA Amuomba MSAMAHA Mumewe/BADO NAMPENDA/Nilikosea/Anatakiwa ABADILIKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 614

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 6 หลายเดือนก่อน +42

    Watu wenye Upendo wa kweli/dhati huwa wanapitia changamoto kubwa sana Kwa mahusiano! DIVA ni mtu calm, anajitambua, waelewa tutatamuelewa, Binafsi ninamkubali, Yuko makini, ana msimamo na mambo yake Kwa future yake💪🥳

  • @jaziramwimbo9145
    @jaziramwimbo9145 7 หลายเดือนก่อน +42

    Maskini!
    Nimemuonea huruma.Mungu amsaidie ,hvi vitu vinachanganya!.pole sana Diva,tabia ya mtu haibadiliki.

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 7 หลายเดือนก่อน +28

    Your voice tone say it all, you still love that man and you're hurting and bleeding inside

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 3 หลายเดือนก่อน +2

    With abdul his big problem ni tamaa yake kwa wanawake anatamaa sana. Angetulia tu na mwanamke mmoja akafanya maisha mana umri unaenda sio kijana mdogo tena. Diva you are right and what you did is for your own good and don't let anyone tell you otherwise

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 7 หลายเดือนก่อน +61

    Diva bado moyo,akili na utu wako haujakubali uhalisia wa kuachana na huyo bwana!
    Kaa kimya achana na hizi interviews zinakupunguzia heshima. Tuliza akili yako muda ukifika utaamua kwa uzuri! Mtu habadiliki sbbu umetaka au umemshauri kwa maoni yako dear stay silent 😶
    He is narcissistic and he Will never change for you.History inajirudia.
    Itafute thamani, furahaa na amani yako then pendo la kweli litakutafuta lenyewe kwa muda usioutarajia. Stop feeding his ego huyo ni vampire yuko king'ang'anizi sbbu ana furahia mateso Yako and he doesn't luv you!!! Come on amka mwanamke, umepuuza hizo red flag and now they are turning 🖤🖤 ukijipoteza kwenye hili tope ni hasara Yako! Hana cha kupoteza huyo mpuuzi!

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 7 หลายเดือนก่อน +5

      My ex husband ni narcissist na Huwa haoni akikosea ni hupoint mistakes za mwingine au wengine tuuuu. Yeye hata akikosea atasema because of you ulimfanya akoseee. Watu aina hii wasioona makosa tao ndiyo narcissist na Huwa milele hawabadiliki.

    • @RareRobertha
      @RareRobertha 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kila sik apendae anaonekan mjinga kun sik utaelew ninacokiongelea

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 6 หลายเดือนก่อน

      @@HappyMwaigwisyamimi kutwa na deal na narcis men. Ni watu wabaya sana wanakuharibu kisaikolojia totally. Ukiendelea nao unaishia kuwa depressed kwa kuchitiwa, kudharauliwa, kusingiziwa kila kitu nk

    • @beauty2239
      @beauty2239 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa kifupi diva ajawahi ishi kweny mahusiano ya kweli kayaanza Kwa huyo mumewe na wanaonekana walionyeshana mapenzi fire❤️‍🔥 sasa hizo fujo ZOTE za diva nikuona Kwa nn yy na anateseka ndyo maana anakuja mitandaoni kupooza machungu but sio sehem salama ila muhimu utulivu ndani ya nafsi upooza moyo taratibu huku ukiilinda heshima yako Kama mwanamke

    • @DiaPlamoz
      @DiaPlamoz 4 หลายเดือนก่อน

      Dia Plamoz 🇹🇿🦁

  • @TRUEHUBBY
    @TRUEHUBBY 7 หลายเดือนก่อน +8

    Too much talking my dear. Its so tough for a normal man to deal with you. May be you should be married with an Angel 🙌🙌

  • @johnsosy3128
    @johnsosy3128 7 หลายเดือนก่อน +32

    Dini tofauti ndochangamoto hapa. Umelelewa kama Christian woman huwezi kuishi kwa amani na huyo jamaa, nijambo lakiroho usilizarau unless uamue kuteseka hivi maisha yako yote.

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w 6 หลายเดือนก่อน +1

      Johnsosy thats not true you're lie here my friend marriage other religion but they're still together until now

    • @sakinaomary7207
      @sakinaomary7207 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo diva haeleweki dini yake ni ipi

    • @johnsosy3128
      @johnsosy3128 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-to6up4hg2w Haya mambo yakiroho my friend yapo real kuliko tunavyo Dhani,ukiona wanaishi kwaamani basi Kuna mmoja kaamua kuamini upande wa mwenzake100% au Kila mtu kakubali kulainisha sana Imani yake ili kumridhisha mwenza wake Tena hapo mtaishi Kwa kuvumiliana sana maisha yenu yote.

    • @sabrinamwampiki6456
      @sabrinamwampiki6456 6 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna jambo la kiroho wala kimwili ,huyu kaka ni mshenzi sana , mbona aliowa wanawake wa kiislamu na wakamshinda ,huyu dada ndio akili hana

    • @kiri5807
      @kiri5807 6 หลายเดือนก่อน +2

      Jambo la dini ni imani . Huwezi kubadili dini kwa kufata ndoa tu ni unafiki , ndio huyu Diva .

  • @raheemaal-hady9328
    @raheemaal-hady9328 7 หลายเดือนก่อน +9

    For the first time nimemuelewa Diva! Kanyoosha sana maneno, na kama mtu ukimskiliza open mindedly utamuelewa.

    • @MimaMummy-zk2qi
      @MimaMummy-zk2qi 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa once upon atime I had a relationship like this but Alhamdulilah I separate with the guy and now am well and fine be strong my dea diva 💖

    • @zakiashauri
      @zakiashauri 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nimemhurumia masikini anampenda sana mumewe

  • @kileohemed4958
    @kileohemed4958 6 หลายเดือนก่อน +5

    Beautiful interview 👌

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 3 หลายเดือนก่อน +1

    Am with you gal what you said is totally true 👍
    Hao wanaosema hawakuelewi for real hawako timamu😂.

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 7 หลายเดือนก่อน +24

    Huyu dada nimkichaa bado anapenda mwanaume aliyemuita bibi,mara mie muislamu ohoo Nina mchungaji wangu,ohhh sitakosa mwanaume wa kunioa nuna mzungu mara ohh naweza kurudi mara ohh talaka mkichaa sana huyu

  • @ElinaPoul
    @ElinaPoul 7 หลายเดือนก่อน +5

    Diva utateseka sana na uyu abdul na hatobadilika, uyo Hana mapenzi ya dhati naww yupo naww kwa sbb zake akishakamilisha yake hutomuona Tena kwako, ni ww unakubali kuendelea kupoteza mda, ni kweli si rahisi kuachia na inauma sana ila jua tu apo ulipotea bora usikilize ushauri wa mange uwa anashauri ya kweli na ya kuwatakia mema japo anaonekana mbaya

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 7 หลายเดือนก่อน +11

    Mtoto akililia wembe,uliambiwa ww hyu sio mwanaume ukawa unachamba watu haya umejionea sasa😂😂😂😂

  • @zipporahwayua9498
    @zipporahwayua9498 7 หลายเดือนก่อน +5

    Diva, is this really what you want? You can leave marriage cz of infidelity, why are you entertaining this man? Ain't you tired?? Pls decide once and for all the life you want. I know it's not easy, but pls drop this man.

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole diva, just close your eyes and MOVE ON❤❤❤mr right will come for you

    • @RoseLekule-j3t
      @RoseLekule-j3t 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @vero57
    @vero57 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ndugu za huyu dada ebu msaindieni Ndugu yenu divaaa tafadhali!!!

  • @FurahaMwajeka
    @FurahaMwajeka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nice speach diva kweli Abdul aamue watu wa kuwa weka pembeni ni ufanisi pia

  • @Ruu974
    @Ruu974 7 หลายเดือนก่อน +12

    Diva akipinguza mdomo mambo yake yatakua sawa she talks alot

    • @WINIFRIDAIGULU-bf1fh
      @WINIFRIDAIGULU-bf1fh 6 หลายเดือนก่อน

      Na anampelekesh san mwanaume utadhn ni super

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 หลายเดือนก่อน

    few women I do understand ....and she is so magnetic professional what not big up DIVA

  • @stellaMwakatulie
    @stellaMwakatulie 7 หลายเดือนก่อน +17

    Diva kapewa uzuri sauti nzuri kanyimwa akili pole mwanamke mwenzamgu akuna mwanaume atakaye kupali kuongelewa Kila siku ata kama masikini

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 7 หลายเดือนก่อน +10

    Diva na mumewe bado wanapendana watu wacheni kuaribu ndoa za watu sio vizuri

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 6 หลายเดือนก่อน

      Hata Huyo mumewe still love her

    • @kimcoonsweeptie3342
      @kimcoonsweeptie3342 6 หลายเดือนก่อน

      Wanapendana kweli

  • @EllyMarua-ge8rf
    @EllyMarua-ge8rf 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yan diva anapenda kuishi kizungu wakt ni mwafrika ishi km mwanamke wa kiafrika afu usione wanandoa wowote wapo wanafuraha ukadhani hawapitii misukosuko ukiwa mwanamke unastaimili mambo huku unaomba Mung amtengeneze mmeo awe Kama unavyotaka usikimbilizie mambo mitandaon wanaokupa sifa uko mitandaon wanakudanganya

  • @sund2553
    @sund2553 7 หลายเดือนก่อน +29

    Huyu bado anampenda mganga na mganga atamchezea sana huyu mdada hajielewi haki

    • @EsterMsafiri-nx9cd
      @EsterMsafiri-nx9cd 6 หลายเดือนก่อน +3

      Katakua kamemroga😂😂

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 6 หลายเดือนก่อน

      Hajawajua bado ukipenda ushilikina matokeo yake nihayo unakua combo chakutumiwa tu

    • @LuluMushi-tu7jd
      @LuluMushi-tu7jd 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂 mbona mganga

    • @rihannaahmed
      @rihannaahmed 6 หลายเดือนก่อน

      Ndoa hufungwa mbinguni na wakuachanisha ni mungu pekee

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 6 หลายเดือนก่อน +4

    MASKN DIVA WANGU.❤❤❤ MIE YAMENIKUTA HAYO. NILKUA KILA LEO NAONGEA. JAMAN DIVA SIO KICHAA KUONGEAAA. KUNA MENGI ANAPITIA😢😢😢IPO SKU MUNGU ATAKUVUA SALAMA NA HUTOONGEA TENA UTAKAA KIMYA NA NDIO MWSHO WA HYO MALAYA ABDUL. WANAUME NYOKO ZENU MNATUMIZAA KENGE NYIEEE

  • @FouzHaroon
    @FouzHaroon 7 หลายเดือนก่อน +14

    Mwandishi leo kapatikana maana sio kwa mohojiwaji huyo maana ataki kuulizwa Swali..😀😀😀

    • @mwajumalubunga1534
      @mwajumalubunga1534 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @RahabuLyogo-cq5yu
      @RahabuLyogo-cq5yu 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂yeye ndo anajpangia maswal ya kujbu,hakun mwanaume anaependa mwanamke mjuz wa kla jamb

    • @hyy4114
      @hyy4114 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @Misrest710
      @Misrest710 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha kabaki sure sure 😀😀

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 7 หลายเดือนก่อน +3

    Diva ni mzuri bila kuvaa miwani. Na anajua kujieleza vzuri.

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 7 หลายเดือนก่อน +10

    Diva hataki kuachwa. Anaingia huku akitoka hataki kujibu direct. Sasa si unyamaze? Mbona kusebu sebu kingi? Diva is like a child ata hajui anataka nini. She needs to see a therapist for sure 😊

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 7 หลายเดือนก่อน

      It is natural process.

  • @btylove1870
    @btylove1870 7 หลายเดือนก่อน +77

    Aibu naona mimi! Diva please unahitaji kutumia dawa za ugonjwa wa akili hauko sawa upstairs. Ndugu wa diva wako wapi jamani?

    • @MariamAbdullah-q6x
      @MariamAbdullah-q6x 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅

    • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
      @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kwakwel 😢😢😢dah,,mara maex wasifiwe mara mzungu mara MUME apondwe mara apongezwe Yaan MUME anataka umaarufu anautaka.dah

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน +4

      Huyu madawa ya abduli mganga yanamzuru jaman khaa😂😂

    • @asyakhatib7942
      @asyakhatib7942 7 หลายเดือนก่อน

      Kwanin haihitaji kutumia madawa yoyote tu aache kiromoromo ndo kinamonza na kufata watu wanataka nin na kuendekeza ustar tu Hana maradhi huyu

    • @annakbunga8377
      @annakbunga8377 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa kabisa kweli

  • @johnmalisa9373
    @johnmalisa9373 7 หลายเดือนก่อน +14

    Huyu demu anaongea sana..mshikaji sijui alikua anakaaje naye

    • @neemamollel6057
      @neemamollel6057 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂kama kameza kanda

  • @mwanajeiothmanhabeeb91
    @mwanajeiothmanhabeeb91 6 หลายเดือนก่อน

    Siyo rahisi kumuelewa Diva kama hutomsikiliza kwa makini. Namuelewa sana huyu Dada na alikuwa na real love kwa mumewe

  • @lightouma477
    @lightouma477 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua ndoa haikosi kikiri kakara,ila huyu dada anaitaji kupendwa sana,moyo wake umeumizwa, she need to be loved,she need huge....

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h หลายเดือนก่อน

    Mmh wala hausemi uongo Diva ,yaani hii kitu inanikera sana

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Diva sidhani kama anajielewa, hana msimamo katika maongezi . Anaulizwa kama bado anampenda hajibu yes or no, mara anataka divorce, mara anataka kuolewa, mara akikaa sawa watayamaliza...yaaani hajielewi

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 6 หลายเดือนก่อน

    Pole diva true love inatesa sana

  • @zedylui4861
    @zedylui4861 6 หลายเดือนก่อน

    Dah! Nimejisikia huruma sana, Diva sio wa kumshambulia saizi ni kumtia moyo, Kwa kifupi Hana ujanja Kwa Abdul, sura yake tu anapojib maswali inaonesha anampenda mwamba na anamuhitaji ila anashindwa Cha kufanya, I feel sorry for her😢😢

  • @josephinenavin6299
    @josephinenavin6299 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wanawake kama Diva ndo wanasababisha maisha yanakuwa magumu hela zinapotea Tanzania

    • @gracepatric4371
      @gracepatric4371 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @bavanmusictz6771
    @bavanmusictz6771 6 หลายเดือนก่อน +2

    😀😀😀ww ni mbongo hzooo yugareeee yunooooo zann..nenda kwenye point😀😀

  • @chaurembo9379
    @chaurembo9379 7 หลายเดือนก่อน +8

    Kumbe Abdul nae ulikua unamuelezea matatzo yko ya Mahusiano kama yule hacker 😂😂😂

    • @SophiaChmpaya
      @SophiaChmpaya 7 หลายเดือนก่อน

      Si ujinga huo

  • @MohamedAli-mv6dk
    @MohamedAli-mv6dk 6 หลายเดือนก่อน

    Good interview, keep on with life, when one door closes,another one opens, no need of taking each other in public

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 5 หลายเดือนก่อน

    Wote wanapenda tuwaache na ndoa yao! Mahusiano mengi ndivyo yalivyo Abdul mpende mkeo mfanye maisha

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 7 หลายเดือนก่อน +16

    Abdul ni Mume wa wote

    • @asnathcharles9842
      @asnathcharles9842 7 หลายเดือนก่อน +3

      Na ww ni mumeo😂😂😂😂

    • @lilianestephanie7881
      @lilianestephanie7881 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 4 หลายเดือนก่อน

      Jamaniiiiii 😅

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 7 หลายเดือนก่อน +11

    Already mganga amefanya interview na Manara TV. Amesema atapaswa kupata medali kwa kuishi na Diva alivyo mgumu

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 7 หลายเดือนก่อน +2

      Tapeli😂😂😂😂😂 mganga gani

    • @asnathcharles9842
      @asnathcharles9842 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa diva akatibiwe

    • @hyy4114
      @hyy4114 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @aj-gw1rl
    @aj-gw1rl 7 หลายเดือนก่อน +8

    Diva wewe huna nia ya kumuacha mganga. Unatoa ushauri wa nini tena😂

  • @asnathcharles9842
    @asnathcharles9842 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mumuache sheikh jaman mbn yy yuko kmya na anamtetea sana diva akin diva ndo hampi heshima mumewe ....yeye analeta ustar ndani kwake analeta u diva akiwa na mumewe ..............ukiskilza mahubiri ya pastor rose shaboka anasema akiwa na mumewe uchungaj anaeka pembeni anakua mke na yy anatakiwa awe hivo ampe heshima mumewe

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hamuna ameisha fanya interview.
      Yule mme ana visa ni kweli Diva alimpenda ao anampenda bado ila jamaa yule hajatulia.

    • @NUSRATRAJABUMTANDIKA
      @NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 หลายเดือนก่อน

      Na ustar ndo unawaponza hakii amuulze fahyma alifanya Kim kardashian mbona alivopelekewa paula sahv akili imemkaa sasa huyu kibibi nae mwache akilambe

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh hayuko sawa jnm yaani hii sasa ni kujidhalilisha na huyo mganga wake anamuongelea kwa dharau kbsa kuwa ameoa binti mbichiii .Maskini Bibi analazimisha. Ndoa😳😢

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 6 หลายเดือนก่อน

    Diva. Usifamye interview tena. Kaa kimya hao wanauza na wewe ni brand. Kaa kimya na fanya mambo yako kimya kimya waone tuu

  • @beatricekemirembekiwanuka7768
    @beatricekemirembekiwanuka7768 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hata sielewi anaongea nn jamani 😅😅😅😅😅watu wake wa karibu wamsaidie ana ugonjwa wa afya ya akili 😂😂😂😂

    • @Misrest710
      @Misrest710 7 หลายเดือนก่อน

      Namuona anazunguka jamani anajielezea San Kama anatafuta muafaka jamani

  • @naimakhamis8748
    @naimakhamis8748 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana diva unaonekana unampenda sana Abdul anakutesa mno

  • @gracemathias6082
    @gracemathias6082 7 หลายเดือนก่อน +9

    Diva unatuangaisha ujue em just move on bana 😢😢

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 7 หลายเดือนก่อน +2

      🤔Huyu kashadata Chizi muongo sana na Hana Ujancha Tenaaa kwishaaa.

    • @noelobed12
      @noelobed12 7 หลายเดือนก่อน

      She can’t, unfortunately 😂😭💀

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kadata jamani, anahitaji maombi, huyo mganga kamloga

  • @farijala1
    @farijala1 7 หลายเดือนก่อน +2

    Suala la Kujistiri ni la Kiimani. Kama uislamu Unasema Kujistiri, Huwezi kuwa na Option yako kwamba Unaweza Usijistiri na Ukabaki Kuwa Safi. Huwezi kuwa Jambazi halafu halafu useme mie ni mtoa Sadaka Mzuri

  • @RR-dn3ph
    @RR-dn3ph 7 หลายเดือนก่อน +10

    Fala ety ‘’Aliniambia he loves me’’ huyu amerogwa I swear daim 😢sad

    • @CathyPeter-zu1jw
      @CathyPeter-zu1jw 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani namuonea huruma uchawi mbaya sana

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 7 หลายเดือนก่อน

      yaan adi huruma 😂😂 angempenda angemfanyia hayo yote😂😂

  • @jestinaluvanda-jm4tc
    @jestinaluvanda-jm4tc 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mbona huyu anapata shida waganga sio wazuri ona anavyoteseka awe anakaa na Dida hizi mambo hazimpagi shida😅😅

  • @khadijasaidy6468
    @khadijasaidy6468 7 หลายเดือนก่อน +7

    Yaan diva kapendaa mpaka kapitiliza pole sana mapenzi shikamoo

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน

      Yule mganga nasikia haachwagi

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 7 หลายเดือนก่อน +3

    eti i won't devoce you coz i love you😂😂😂 he is lying to you , anakataa kuku devoce ili wewe ndio umdivoce ili urudishe mali, and hapo haupo kwenye kipindi chako muache mwenye kipindi akiendeshe sio wewe kua mbele mbele mda wote unaonesha hata ndani unaonekana unataka kua juu ya mwanaume

  • @jumakuswa715
    @jumakuswa715 6 หลายเดือนก่อน +2

    Diva mm nimekulewa abduli hayuko sawa na hana elimuu ya ndoa hebu arudi darasani a some mtume kaelekeza nini kuhusu ndoa,

  • @ShemsaSeleman-l5x
    @ShemsaSeleman-l5x 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂dada kiukweli anampenda bado shem shem

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 7 หลายเดือนก่อน +1

    Da mungu msaidie madam wetu atachanganyikiwa

  • @NUSRATRAJABUMTANDIKA
    @NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 หลายเดือนก่อน

    Hii story ilivoanza tu inaonesha kalogwa how mtu hampo kwenye mahusiano anakwambia akuoe ghafla tu mungu akufanyie wepesi sis utoke katka hiko kifungo

  • @MadamVee-im4px
    @MadamVee-im4px 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dada achana na huyo mpuuzii ana roho ya ibilis utapata mwingne we mzuri

  • @JanethChambo-me6ku
    @JanethChambo-me6ku 3 หลายเดือนก่อน

    Diva yupogo real bac Tu nyota Ake haipendwi na watu

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nimempenda mtangazaji yupo vizuri sana

  • @MohamedHussein-tj5eu
    @MohamedHussein-tj5eu 6 หลายเดือนก่อน

    This lady she is right

  • @sophiemohammed9961
    @sophiemohammed9961 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jibu swali unampenda Abdul 😂😂😂

  • @maryamChumas
    @maryamChumas 6 หลายเดือนก่อน

    Da diva pole my ❤❤❤❤❤

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 7 หลายเดือนก่อน +2

    You Understand?😂😂😂 we Understand we Akili punguani......na Abdul pia Tapeli....sasa mumepatana

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 7 หลายเดือนก่อน +20

    Hapa sielew anayehoji yupi na anayehojia ni yupi😂😂😂😂😂😂muhojiwaji anaunganisha maneno km kamezeshwa betr😂😂😂😂

    • @AminaAhmad-m8t
      @AminaAhmad-m8t 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 pamoja sana

    • @winnieexavery3304
      @winnieexavery3304 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 6 หลายเดือนก่อน +1

      😃😃😃😃😃😃😃hatar sanaaa

    • @CeciliaShauri-vc7up
      @CeciliaShauri-vc7up 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂sanaaaa....hadi aibu

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 6 หลายเดือนก่อน

    Diva punguza Interview ,maneno mengi hayasaidii kitu ,nakupenda Diva

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke aki kupenda lazima awe ana kusimulia hadithi za wanaume wanao mtongoza 😄

  • @AISHAYAHYA-pd8kl
    @AISHAYAHYA-pd8kl 6 หลายเดือนก่อน

    Kila neno lazm abdul iwepo hmmm hatr mapenz😢😢

  • @IyaAhmadi
    @IyaAhmadi 6 หลายเดือนก่อน

    Allah awaraisishiye waweze kumalizana izo tofauti Zao waweze kuishii kwaaamanii

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 6 หลายเดือนก่อน

    Diva mungu anakuona, hivi unaijua vizuri familia ya Abdul?

  • @FatmaAli-ul3ff
    @FatmaAli-ul3ff 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bila miwani diva mrembo sijui Kwann anapenda miwani

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Divya naona hayupo sawa liability maana ugomvi kila leo mwanaume naye Malaya ila anajua huyu mwanamke hawezi Pata mwanaume maana hayupo sawa 😂😂😂

  • @MohamediNyari
    @MohamediNyari 7 หลายเดือนก่อน

    Upo wapi izii😮😮😮 shemelaaaaaaa

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Dada hayako sawa kabisa Diva kuanza unaongea sana hata huyo mtangazaji hutaki kumpa nafasi ya kuongea aulize maswali jmn khaaaa wewe Dada

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 7 หลายเดือนก่อน +5

    Diva yule muzungu ulimtoa Google 😅jamani harafu unaongea sana eti bland duh muganga mwaka huu kazi unayo utajuta mpaka unakufa

  • @HameedAlawi-ju5ub
    @HameedAlawi-ju5ub 6 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu diva nakuomba suluhisha mambo yako ya ndoa kwa kufata talatibu za dini na ikitokea rizki imefika mwisho basi fata taratibu za dini kutalikiana na mumeo. Sio lazima upewe talaka unaweza kwenda bakwata ukafanya kitu kinaitwa KUJIGHULU yaani kujiacha huru toka kwenye kifungo cha ndoa, utarudisha mahari ya mume automatically umeachika.

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 7 หลายเดือนก่อน +10

    Mke hamna humu.

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 7 หลายเดือนก่อน +12

    Diva kachanganyikiwa, dada achana na media. Alafu sio "on public" ni " in public"

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ndo hujui mwaya. 😂😊

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww na Diva nani anajua kingereza? 😂

    • @MoosaMd-h6b
      @MoosaMd-h6b 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂​@@sikudhanimohammad7692

    • @BMboss108
      @BMboss108 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 true kiingereza chao needs improvement

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 6 หลายเดือนก่อน

      @@BMboss108 kingereza cha nani sasa?

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 6 หลายเดือนก่อน +1

    Akili 0 sasa si umetoa siri za mumewe,umepata followers keep doing that is your choice

  • @SophiaMigiro
    @SophiaMigiro 6 หลายเดือนก่อน

    She's smart

  • @Keyjop
    @Keyjop 6 หลายเดือนก่อน

    Diva we nimzuri bila kuvaa miwani ...pole saana

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe diva hio miaka yako na huyo Abdul wako munadanganya umri wenu wewe diva umezaliwa baina 1984 - 1986.

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 6 หลายเดือนก่อน

    Diva unahitaji dawa ya ubongo, yaani unasubiri divorce si umalize mwnyw hyo Abdul anakunyosha tu hatoi divorce na anakaoa tyr.Divaaaaa una shidaaaaaaa

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 7 หลายเดือนก่อน

    Basi mme wako ndo alikuwa anatoa information zako.Pole sana Diva lakini hakuna mme hapo ukweli usemwe.Umeona wapi mmw anaomba pesa na hasipopewa anampost mwanamke mwingine..Utoto mwingi hata umueleweshe vipi hakuna kitu hapo,hawezi,kubadilika.Mmh Diva umepitia mengi.

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona haujibu maswali? Ujuaji mwingi mbele giza. Kwa ujuaji huu hakuna mwanaume atakaye kuvumilia. Na bado, wanaume watakutumia sana. Tupo hapa..!

  • @DiaPlamoz
    @DiaPlamoz 4 หลายเดือนก่อน

    Dia Plamoz 🇹🇿🦁

  • @maryjohn2150
    @maryjohn2150 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dada umeolewa na Toxic person He uses you, mentally abuse, saikology also physically abuse.cut off this Man my Dear .he will destroy your self estem , your Freedom and Financial. Hatokuja habadilike huyo mwanaume.ndio Maana unaongea sanaa pia inaonekana kila kosa lake wewe ndio unamuomba samahani.

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 7 หลายเดือนก่อน +2

    Diva una nyota ndio maana anashine huyu kijiumtu. Ila naamini haezi kukuacha ,soma quran mungu akulinde na huyo mganga 😢😢😢😢😢 you're very beautiful lady. I understand it's very painful 💔 huyu abdul atafute wanawake anao waweza kum order around. Continue respecting yourself, bila kujiheshimu utakua useless🇬🇧🇾🇪

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa mbona huyu bibi ndio anaonekana anampenda zaidi huyo unaemtikana??😊😊😊

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 7 หลายเดือนก่อน

      @@annasolomon9855 mm na ww hatukujua km yy ni bibi ila wapendanao wakipigaba shika jembe ukalime🫡

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@firdaussheikh4817 inamaana haya kwa macho huoni kuwa Diva ni bibi kwa Abduli?? Abduli ni kijana mdogo Sana 32 ni jirani yetu huku Arusha, Diva yupo kwenye 38 huko

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 7 หลายเดือนก่อน

      @@annasolomon9855 mtume wetu p b u h alikuwa na miaka 25 wakati mke wake wa kwanza akiwa na miaka45 na mtt juu. Ni suna sioni kuna shida .wacha diva aishi maisha yake. Ww uwe na roho ya utu Mungu atakupebda zaidi

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 6 หลายเดือนก่อน

      @@firdaussheikh4817 huo si ukweli kwani kuwa na umri mkubwa na mwingine kuwa na umri mdogo ni dhambi?? Jibu ni hapana!

  • @beatricesamwel6136
    @beatricesamwel6136 6 หลายเดือนก่อน

    Me mbona namuelewa diva😍😍

  • @SitheyCuteradhia
    @SitheyCuteradhia 6 หลายเดือนก่อน

    Namuelewa sana huyu dada,,..hauezi elewa km halijakukuta

  • @annewanjiku5154
    @annewanjiku5154 7 หลายเดือนก่อน

    Diva umejishusha sana hapa, hou were supposee to be the bigger person here.

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 6 หลายเดือนก่อน

    mtangazaji kapatikana😅😅😅😅 hana hata nafasi ya kuuliza wala kuchangia chochote😅😅😅😅😅wooooi

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila diva anampenda sana huyu mganga JMN

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 4 หลายเดือนก่อน

    Majina yetu yanashida mm nimeteswa Sana na haya maneno

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 6 หลายเดือนก่อน

    The family were using you as well as Abdul himself. So get away from that problem as fast as you can otherwise they will bring you down with them. Pleeees Diva ruuun 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️

  • @josephinecletus9310
    @josephinecletus9310 6 หลายเดือนก่อน

    Hyu anampenda jamaniiiiiii, anazungukaaaaaaaaaa

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 6 หลายเดือนก่อน

    Kitu naona apa ni diva anampenda sana mume wake na Ana wivu nae sana which is very okay kwa mtu ambae yupo kwenye mahusiano…sasa si amrudie tu sabab kwenye jamii zetu wanaume wetu hata wafanye nini hawawezi kudhalilika

  • @ifferbae
    @ifferbae 6 หลายเดือนก่อน +3

    Dada punguza mdomo pyeeeee unaulizwa swali moja unasoma kitabu kizima 😅😅kwa maelezo hayo ww kwa mganga hupindui

  • @NUSRATRAJABUMTANDIKA
    @NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 หลายเดือนก่อน

    Divaa maskini kujionaga Kim kadarshian ndo kuna mponza wakati hata huyo Kim mwenyewe alitulia kwenye ndoa akuleta u star 😢😂