🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 100

  • @nashonmatiku3430
    @nashonmatiku3430 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni sana Mungu awatangulie na atatuokoa na janga hili

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mhe msomi madeleka nimefurahi kidogo naona uwazi wa kuikomboa bandari za tanganyika ubarikiwe na bwana Yesu milele

  • @AnossyMbonekela-sb6ol
    @AnossyMbonekela-sb6ol ปีที่แล้ว +3

    "Wanangu nisokilizeni mimi sikufanya vizuri form four ila namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa kazi niliyonayo"

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie,, awaguse Hawa wanaojifanya kutousikia ukwelii wageuke

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i ปีที่แล้ว +2

    Uko sahihi Phd Dr. W Slaa kwa kuwapasha wandishi wa Nape!!

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i ปีที่แล้ว +2

    Bravo mwanasheria msomi Mwabukusi unaongea vitu nyeti na makini sana kwa maisha na mustakhabari wa watanzania!!

  • @ChristinaWengae-ps5jr
    @ChristinaWengae-ps5jr ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana baba yangu mung akulinde

  • @luqmankasanga-bk7nn
    @luqmankasanga-bk7nn ปีที่แล้ว +3

    Nilicho gundua unaweza ukawa ujasoma ila ukawa na akili kuliko aliyesoma hapa ndy unajua muhamad s.a.w ajasoma ila amepokea uhai kutoka kwa jibrili na kuandaa qur'aan ambayo itaelezea maisha ya kila kipindi cha maisha ya mwanadamu mpk mwisho wa dunia MUNGU tupe hekima na busara tunapo endesha maisha yetu na maamuzi

  • @Werema3760
    @Werema3760 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Ni sisi wa kusaini MKATABA ule kweli?

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru ปีที่แล้ว +5

    Mungu naomba uwalinde watetezi hawa wa mali zetu

  • @luqmankasanga-bk7nn
    @luqmankasanga-bk7nn ปีที่แล้ว +2

    Good man Madeleke

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s ปีที่แล้ว +1

    Wote madeleka. Mwabukusi. Dk silaha. Mungu awabariki Sana.sana kuipigania nchi hii hao wanatuuza kwa tamaa zao . wanakula kodi za wananchi bado hawarithiki bado wanauza moyo wa nchi ni watu wabaya sana

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +1

    Bahati mbaya sana madeleka umeoa au sivyo ningekuoza msichana wangu na sisi ni wakristu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว +2

    Mwabukus Mungu awatie nguvu Tuko nyuma yenu

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 ปีที่แล้ว +2

    God bless you all

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว +2

    Baba ni heri asiyekaa katika shauri la wenye mzaha .maana ya kaisari
    Mpe kaisari na Mungu mpe Mungu

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 ปีที่แล้ว +1

    Mama aliyemzaa Wakili msomi madeleka .Atembee kifua mbele , mtoto wako ni kichwa , tumwombee maisha marefu ataisaidia nchi kwa mambo ya sheria.

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +3

    Mama please soma haya ya wakili msomi ametusaidia sana

  • @idrsaramadhani-9745
    @idrsaramadhani-9745 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuwa wakwanza nipeni mauwa yangu mnasemaje kuhusu swala hili la bandari

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 ปีที่แล้ว +1

    mungu mwenyezi aturindi na atie nguvu za ushindi kwa kudai haki

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 ปีที่แล้ว +1

    Madeleka uko vizuri

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwatia nguvu na mshikamano

  • @remmymsakusy
    @remmymsakusy ปีที่แล้ว +3

    Na aliye upande wetu na asikie kilio Cha watanzania maskini. Kilicho liwa kitatapishwa na MUNGU ajuae KILA kitu.

  • @isackcharukula-wy2hn
    @isackcharukula-wy2hn ปีที่แล้ว

    Aksante mawakili wetu Tunazidi kuwaombea kwa mungu ili atusaidie ,nahuyo samia anakitu anatutaka

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 ปีที่แล้ว +2

    HIV viongzi wa serekali mnasikia hayo kweli kwanini hamelewi,mnataka kupeleka nchi wapi

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s ปีที่แล้ว

    Watu hawa wako sawa. Kabisa. Wako kwa niaba ya watanzania. Mama samia tusikilize uliwekwa na watanzania
    Sikiliza maoni yetu acha kutumia ubabe nchi hii waifaidi wazawa.

  • @user-ni6jt3cd4k
    @user-ni6jt3cd4k ปีที่แล้ว +1

    Mungu atawasaidia ili kutuokoa kwa hili janga

  • @GuntramLyassa-fb8rp
    @GuntramLyassa-fb8rp ปีที่แล้ว

    Kweli hii ni faida ya kusomeshe watu wetu,kama hao wanasheria.Serikali yetu iwasikilize .Hatutaki kuingia katika hali ya vujo na utumwa Kwa mara ya pili Kwa Waarabu.Hao wanasheria wapo Kwa niaba ya Watanzania ambao hatujasomea Sheria.Mwenyezi Mungu uwalinde wanasheria wetu.Amina.

  • @gilbertdaudi5039
    @gilbertdaudi5039 ปีที่แล้ว

    Nakupenda madeleka mpaka napitiliza

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i ปีที่แล้ว +1

    Waache kutisha watu wanaotoa maoni na mitazamo yao juu ya mkataba maana huo ni uhuru wao kikatiba kufanya hivyo na hata mungu hakuelekeza hivyo kwamba pawepo na watu wanaowaamulia wenzao maisha au vifo!!

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 ปีที่แล้ว +1

    Meno bila nganzi,,,,, asanteee

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU atusaidie kwakweli

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabsa

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 ปีที่แล้ว +1

    Haya kwa ...wale waliokula mlungula ..khs suala la bandari wakae tayari ..binafsi maombi ya mwamakula na sheikh ponda binafsi huwa siyapuudhi hata kdogo na yanajibu ....mliopewa vbahasha kazi kwenu ......

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru ปีที่แล้ว +2

    Kweli wakili umesoma mpaka katiba ya Emirates

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว +1

    Madeleka umewakalia kooni Hadi waisome namba

  • @MichaelJulius-zp6dp
    @MichaelJulius-zp6dp ปีที่แล้ว

    Mungu awatangulie wapiganajiwetu

  • @leonardinnocent9638
    @leonardinnocent9638 ปีที่แล้ว

    The role of elites towards revolutionary......(Just remembering French Revolution)

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 ปีที่แล้ว +1

    kwel makamanda wazarendo wapo

  • @user-vr2ne3lq5u
    @user-vr2ne3lq5u ปีที่แล้ว +1

    Wasifedheheshwe tu, wafe .

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 ปีที่แล้ว +1

    Sijui nitakuona wapi Mkuu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว

    Madeleka hekima hiii endelea nayo Mungu akutie nguvu na hata rais unaemshauri Mungu auponde moyo na kubadilika aendane na matakwa ya wananchi

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    Be strong tanganyika belongs to tanganyika peaple and joinvectuer of
    Zanzibar call tanzania
    We think lndipendet Tangamuika advocate stand for tanzania nation resources agest dp would agreement

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j ปีที่แล้ว

    Nyie makanisa mshazowea kupitisha makontena yenu bila ya kulipa kodi ndio wakali. Mama Samia 5 tenaaaa

  • @furorianifurederiki288
    @furorianifurederiki288 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni ukweli,napinga

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 ปีที่แล้ว

    Mawakili wetu akili sn. .M/Mungu awahifadhi ... na awalinde na hasadi yeyote iwe ya binadamu majini na wanadamu ....

  • @yussuph-lx7cu
    @yussuph-lx7cu ปีที่แล้ว +1

    Wengekwepo madekeka 10 tu ,,ccm wengekaa sawa ,hongera mwanasheria madeleka,,,sasa nyie viongozi wa ccm hamufahamu kwamba hii nchi mushaitia kwenye matatizo ,hakika INA fadhaisha ,,sisi watanzania tumerogwa ? Hebu nyie ccm wasikilizeni hao wasomi wetu

  • @chiaseeds6919
    @chiaseeds6919 ปีที่แล้ว

    Wameshaelewa ila ni ugumu wa mioyo yao wameshaelewa Mungu sema nao

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 ปีที่แล้ว +1

    Jaman jaman.. vitisho vinatunyegezesha

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 ปีที่แล้ว

    They take us ninnies!...total mediocrity!!

  • @emanuellyatuu731
    @emanuellyatuu731 ปีที่แล้ว

    Aminà Amina

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 ปีที่แล้ว

    They take us as mere ninnies!!..what a mediocrity!!

  • @silasponeka1773
    @silasponeka1773 ปีที่แล้ว

    Umenipa ujasili sana

  • @florenceLema-ou4my
    @florenceLema-ou4my ปีที่แล้ว

    Hawa ni viongozi vipofu kama Kitabu cha Mathayo 23:23-26 inavyosema, viongozi wasio na Uzalendo kabisa hawafai kuwa viongozi..

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j ปีที่แล้ว

    Mie ni mpinzani wa ccm lakini kwa hili .hhhhhhhh. hongera Mama weee!!

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +1

    Madeleka wewe kabila gani tutakulindaje na wauwaji waliotaka kumuua dr nshala

  • @ALFASimte-pl7lt
    @ALFASimte-pl7lt ปีที่แล้ว

    Uko vizul blo

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja engine wapambanaji wa haki za Watanzani

  • @user-ep7uz3tk3f
    @user-ep7uz3tk3f ปีที่แล้ว

    Neno gumu hili!!!

  • @erastomathias911
    @erastomathias911 ปีที่แล้ว

    Yaan hyu mwanamke kahalibu kila kitu

  • @user-qo1np9iv9k
    @user-qo1np9iv9k 10 หลายเดือนก่อน

    SERIKALI YETU INAPOTEUA VIONGOZI WAPIMWE KWA KAZI ZAO WALIZOWAHI KUZIFANYA KABLA YA KUKABIDHIWA MAJUKUMU YA KULEA ROHO ZA WATU ISITOSHE WACHUNGUZWE KUANZIA KUSOMA KEAKE

  • @dangoteeddow5118
    @dangoteeddow5118 ปีที่แล้ว

    Dr Slaa huwa ananunulikaga kiboya sana

  • @alexchawe-ln7dq
    @alexchawe-ln7dq ปีที่แล้ว +1

    Hivi hii inchi hii ina jeshi kweli?

  • @remmymsakusy
    @remmymsakusy ปีที่แล้ว +1

    Kilicho liwa atatapishwa

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini tusiwe na Rais 1 tu Tanzania na hawa wazanzibar tukawapa mkuu wa mkoa uko, wanakuja kujaza wingi tu huku na kutuzibia na kutuaharibi nchi yetu, nchi hawana wala mabalozi hawana ni Rais wao ni kama sanamu tu linalo lipwa mshahara 😅😮

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Maandazi kweli wee aisee ati askofu fatani mkubwa wee na Chadema wenzako fatani mkubwa kahubirie kanisani kwako brth umekosa kazi wee

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว

    Wito kwa selikari jmn sisi watanzania tunaomba sikieni kulalama huku hiki ni kilio mambo mengi yamefanyika yalivumilika lkn kwa nn hili ? Naomba viongozi na raisi ili taifa lipone

  • @RithaTlatla-bt7pk
    @RithaTlatla-bt7pk ปีที่แล้ว

    Mimi sijatoa maoni bado

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np ปีที่แล้ว +1

    Watu wasio mwelewa wasimwelewe ila sisi tunaelewa

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 ปีที่แล้ว +2

    "Wakageuza bunge sehemu ya kucheza kibao kata".......haaaa haaa

    • @yussuph-lx7cu
      @yussuph-lx7cu ปีที่แล้ว

      Wabunge wajiulize wanafaa kwa hili walilolifanya kuendelea kuwepo bungeni? Kwamaana hiyo bunge ni baraza LA mapambio

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 ปีที่แล้ว

      @@yussuph-lx7cu nafikri tuandae vichinjio 2025,asirudi mbwea yeyote mjengoni kasoro waliopinga na kuzidiwa kwa uchache wao

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni mtoto wa nani heri tumbo lililokuzaa

  • @florenceLema-ou4my
    @florenceLema-ou4my ปีที่แล้ว

    Mipango yao sio mizuri.. wanataka kuvunja mwungano wetu wa Afrika mashariki huo ni mpango wa Umoja wa mataifa, na ndio maana wametuletea magaidi wa kiarabu wa Afghanistan Uganda wanataka kufanya uharibifu na mauaji makubwa, kwanza tuungane kuwaita waafrika wenzetu waliochukuliwa na Wakoloni, warudi nyumbani kwao Afrika ndiyo kwao... kwanza waarabu walishatutawala enzi ya Sultani said seid huu ni mpango wa umoja wa Mataifa.. someni kitabu cha DANIELI 11:39-45 Hawa hawajielewi Tena ni ile chembechembe za wale watu wasaliti waliokuwa wakiwasaidia waarabu kuteka ndugu zetu na kuwanauzia waarabu.. Afrika unit 😡😡😡✌️✌️✌️

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 yawezekana nimkazanaa wadubaiii

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 ปีที่แล้ว

    0:38 asikofu gani

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 ปีที่แล้ว

    Wewe nenda kwenye uanahalakati usibebe jinala asikofu bule

  • @user-qo1np9iv9k
    @user-qo1np9iv9k 10 หลายเดือนก่อน

    KUFUTA MKATABA HAITAWEZEKANA KWA SABABU VIONGOZI. TULIOWAPATA AU TUNAOWAPA KUPITIA CCM NI MASIKINI WA AKILI NI AFADHALI KUWA MASIKINI WA MALI KULIKO UMASKINI WA AKILI. HUWA HAWARLIWI KITU

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 ปีที่แล้ว

    Mhhh

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Njaa tupu yamsumbua anda ufatani mtupu hawana issues za kuongea wapuuzi watupu wacheni kupotosha watu bhana mafatani wakubwa ndo kazi yenu askofu gani mpuuzi mtupu

  • @ayubusaidi922
    @ayubusaidi922 ปีที่แล้ว

    Mama nchi huwezi achia kwa hesima Kuna Jambo liepuke

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j ปีที่แล้ว

    Nyie wajinga sana mnaofata mkumbo tu. Makafiri hao wanalinda makontena yào tu. Bure hakuna Mama lete Mwalabu Mama mwalabu

  • @BakariAbdala-so9wk
    @BakariAbdala-so9wk ปีที่แล้ว

    Acha ijinga huo na wewe mchungaji gani wewe umechoka Ivo mbona kipindi Cha mzee hujaonekana gala wewe

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

    Unaelimisha wananchi au uko kwenye kuipinga CCM

    • @user-le1mo8ru7u
      @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว

      Watanganyika

    • @jonasmushi5145
      @jonasmushi5145 ปีที่แล้ว

      Hakuna anaeitaka ccm kwa sababu imejaa laana na dhuluma, wanaojifanya ni ccm ni unafiki tu!

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 ปีที่แล้ว

      @@user-le1mo8ru7u Hakuna Tanganyika hapa, kuna bara na pwani tu, pwani ndiyo wenye bandari, hawa maaskofu wakaabidu huko bara

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 ปีที่แล้ว

      kua bass vipi unakuakama mwijaku

    • @fabianlilenga9897
      @fabianlilenga9897 ปีที่แล้ว

      Kama huna chakusema kaa kimywa wew waache hawa wapihanie uhuru make sisi tanzania hatuna uhuru

  • @joisejimmy750
    @joisejimmy750 ปีที่แล้ว

    Tanzania tupokwenye msukosuko hata wafiche vipi tunakili hadi dalasa la saba tatizo wao ccm hawausomi mkataba

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i ปีที่แล้ว +1

    Halafu watu muhimu kama hawa eti kwa ufisadi wa kundi la watu wachache tu kwa maslahi yao binafsi, familia zao, na marafiki zao wanawatishia vifo hii haikubaliki kamwe!!

  • @CollinceFrances
    @CollinceFrances ปีที่แล้ว

    Ungu na Hawabariki