@@marijanimohamed8875 haujanielewa ndugu, ilunga alikuwa anauelezea vizuri mfumo kristo, kwa mfano hapo sheikh mziwanda alipoelezea kuhusu ubaguzi ktk ajira Kati ya waajiriwa elfu kumi na tatu waislam ni 2 na kidogo. Kitendo hicho ni madhara ya mfumo kristo aliokuwa akiulalamikia Sana enzi za uhai wake. Ilunga hatetei dhulma Bali anakemea dhulma.
Bwana mungu atuepushie hila zote na kuilinda TZ ,Bwana mungu atuangazie nuru za uso wk na kutufadhili Bwana mungu atupe AMANI YK WATANZANIA DHIDI YA KILA OVU na baraka hz zikawe juu yt katika umoja wa roho mtakatifu, kwa jina la baba , mwana na roho mtakatikafu. Amina
Team Magufuli tuwe tayari kwa lolote. Tupo tayari kuipigania nchi yetu muda wowote. Hatutaki waarabu. Walibeba Wanyama kwenye ndege zao waliowachukua kutoka kule Ngorongoro. Watu hatari sana Waarabu
Sio kweli kabisa, Kosovo Haina kiti kwenye umoja wa Mataifa lakini inaingia kwenye mikataba na Mataifa mengi kila siku. Ktk hili la Bandari hata wanasheria Kama Hawa hawatakiwi kuaminika
Wanawake saa ingine hatufikiri wakati mwingine wawe wanaume tu hafikirikwanini watoe bandari zote utakuta waarabu wanajenga mahotel baharini namtupangizwa ndoo kujenga nchi?
Hao ni company ipo dunia nzima ni ya weasten na hao watakuwa na agenda zao hapo tuwe makini sasa hivi nchi zina pitia watu unafikili wapo salaama kumbe sio wao hilo serikali iwe makini sanaa hii dunia ina majambazi wanao ona mbali sisi tumelala Tu
Kumbuka kaka , wazanzibari wamelalamika myaka mingi kwamba inanyonywa na Bara. Sasa Kosa kubwa ni kwamba , Leo hii Bara inatawaliwa na Mzanzibari na Zanzibari inaongozwa na Mzanzibari. Kwa hio kinachofanyika, Bara wanaweza kwasasa kufanya wanachokitaka na mwisho wa siku Zanzibar yao iko salama. Bandari za Zanz mbona hazimo? Jiulize, za Bara tu😂😂😂😂😂😂
Uwekezaji tunatamani kufaidika lakini siyo kwa kudhurumu maoni ya Tanganyika hivi hatujifunzi kupitia inchi zingine hatuji funze kupitia inchi ya Libya Gadaffi yuko wapi vita hii tunayo kwenda kuitengeneza itatumaliza vita majeshi yetu je mpo tayari kwa hili linalo endelea mlipewa dhamana ya kujenga ikulu mliaminiwa jamani isiwe maslai ya watu binafsi
utawala wa serikali ya ccm hata haujali Sauti hizi zinazo pazwa na Watu wa kada mbalimbali. Na akina tulia na nape ndio wanashia Watu wanao jitokeza na kujaribu kukosoa kuonya na kushauri! Hatari sana na kweli hapa ule msemo wa "Ashibaye hamkumbuki mwenye njaa." maana wao tayari wamesha nufaika na Mali za Nchi hii basi hawataki kujali na kuona umuhimu wa kuwapigania Wa Tanzania fukara.
Insikitisha sana chuki ya wakiristo dini ya kiislaam wakati hao waarbu wanasema waafrika ni karibu sana NA sisi waarbu hawana chuki ni waaslamu wenzetu ni ndugu zetu kwa uslaam hivyo alivyo sema mtume mohamed alikuwa wanampenda bilali muathini wanampenda sana sana dubai ni tajiri sana inayo pesa wanataka kuizalisha sio wahuni jitu pesa
Wanaofundisha sheria, wanasheria tueni elimu kuelimisha umma juu ya vifungu vya mkataba huu. Mkataba huu sio size ya wa darasa la saba. Kwa nini Prof. Kabudi hakuongea bungeni?
Hatutaki huo uwekezaji tunamashaka nao kwann bandari ya zanzibar hapewi mwarabu acheni uoga huyo mzanzibar hana heri na sisi huyo ni ndugu na hao warabu
You are a real lawyer
Well said
Nakushukuru sana msemaji
Barikiwa sana, Tumtangulize Mungu
Safi sana
Mbona wakati wa misaada mbio mbio munaipokea hamulizi litigation cha UN.
Nyinyi wenyewe mumechukua kiti cha UN cha Zanzibar
Mulikua hamuna kiti UN.
Hapa ndipo huwa namkumbuka Dr. Ilunga kwenye mada zake za mfumo kristo, nilimuelewa Sana.
usiingize udini ilunga hawezi kutetea zuruma eti kwa kuwa ni warabu 😅😅😅😅
usiingize udini ilunga hawezi kutetea zuruma eti kwa kuwa ni warabu 😅😅😅😅
@@marijanimohamed8875 haujanielewa ndugu, ilunga alikuwa anauelezea vizuri mfumo kristo, kwa mfano hapo sheikh mziwanda alipoelezea kuhusu ubaguzi ktk ajira Kati ya waajiriwa elfu kumi na tatu waislam ni 2 na kidogo. Kitendo hicho ni madhara ya mfumo kristo aliokuwa akiulalamikia Sana enzi za uhai wake. Ilunga hatetei dhulma Bali anakemea dhulma.
Bwana mungu atuepushie hila zote na kuilinda TZ ,Bwana mungu atuangazie nuru za uso wk na kutufadhili Bwana mungu atupe AMANI YK WATANZANIA DHIDI YA KILA OVU na baraka hz zikawe juu yt katika umoja wa roho mtakatifu, kwa jina la baba , mwana na roho mtakatikafu. Amina
Team Magufuli tuwe tayari kwa lolote. Tupo tayari kuipigania nchi yetu muda wowote. Hatutaki waarabu. Walibeba Wanyama kwenye ndege zao waliowachukua kutoka kule Ngorongoro. Watu hatari sana Waarabu
Tupo live
Kwani wazungu kila kucha wanabeba na wanapeleka kwao. Swali jee Big cat nani alipeleka ulaya? Enda kila meseum zote za ulaya utazopata.
Asante
Kweli dunia tutaiacha na kila mtu atatoa habari zake mbele ya mungu
Kweli kabisa. Tumekuelewa. 🇹🇿🇹🇿🙏
Mungu hakulinde.
Tusaidien jaman
Sio kweli kabisa, Kosovo Haina kiti kwenye umoja wa Mataifa lakini inaingia kwenye mikataba na Mataifa mengi kila siku. Ktk hili la Bandari hata wanasheria Kama Hawa hawatakiwi kuaminika
Huyu baba nimwelewa sana baba uko sahh sana
Wanawake saa ingine hatufikiri wakati mwingine wawe wanaume tu hafikirikwanini watoe bandari zote utakuta waarabu wanajenga mahotel baharini namtupangizwa ndoo kujenga nchi?
Inasikitisha sana
Hao ni company ipo dunia nzima ni ya weasten na hao watakuwa na agenda zao hapo tuwe makini sasa hivi nchi zina pitia watu unafikili wapo salaama kumbe sio wao hilo serikali iwe makini sanaa hii dunia ina majambazi wanao ona mbali sisi tumelala Tu
Hapa nimeelew tena zaidi RIP JPM
2025 ccm mtanisamehe kura yangu nitapigia mpinzani yoyote
Basi wapewe wazungu ili tusipige kelele wachukuwe wanacho taka na kiongozi hao walioenda huko kumbuka ni wasomi kama ww na waelewa kama ww
Hujaelewa,hapa hatusemei uzungu na uarabu k,kinachogomba ni namna mkataba ulivyowekwa.
Mungu hazidi kuwaweka wasomi waukweri tuwaache ware wa mchongo nimekuwe rewa wakiri kichwa nakukubari sana
Bora wazawa waendelee kuiba tutaendelea nufaika mtaan Ela itakuepo kuliko hao
Watanzania wameelimika
Petter madeleka na mawakili wengine pamoja na raia tupige vita mkataba wa kipuuzi.
Uuui. Tuelezeni tujue tumechoka
Kumbe bandari niswala la muhungano,kwanini sasa sisi tu bara? Nielewesheni?
Kumbuka kaka , wazanzibari wamelalamika myaka mingi kwamba inanyonywa na Bara. Sasa Kosa kubwa ni kwamba , Leo hii Bara inatawaliwa na Mzanzibari na Zanzibari inaongozwa na Mzanzibari.
Kwa hio kinachofanyika, Bara wanaweza kwasasa kufanya wanachokitaka na mwisho wa siku Zanzibar yao iko salama.
Bandari za Zanz mbona hazimo?
Jiulize, za Bara tu😂😂😂😂😂😂
Upigaji umeshawaingia kwenye ubongo watauza kila kitu
Wewe mpumbavu achana na Zanzibar yetu
Mkataba wa kihuni kihuni. Dubai sio nchi
Dubai ni nchi tajiri sana inayo uwezo ya uwekezaji mbona huyo haelewi nini dobai nchi tajiri duniani over the wold
kumbe sio nchi haya man yang 'au ni hatari sana yana kwapua hayaibi hayana haya
Uwekezaji tunatamani kufaidika lakini siyo kwa kudhurumu maoni ya Tanganyika hivi hatujifunzi kupitia inchi zingine hatuji funze kupitia inchi ya Libya Gadaffi yuko wapi vita hii tunayo kwenda kuitengeneza itatumaliza vita majeshi yetu je mpo tayari kwa hili linalo endelea mlipewa dhamana ya kujenga ikulu mliaminiwa jamani isiwe maslai ya watu binafsi
utawala wa serikali ya ccm hata haujali Sauti hizi zinazo pazwa na Watu wa kada mbalimbali. Na akina tulia na nape ndio wanashia Watu wanao jitokeza na kujaribu kukosoa kuonya na kushauri! Hatari sana na kweli hapa ule msemo wa "Ashibaye hamkumbuki mwenye njaa." maana wao tayari wamesha nufaika na Mali za Nchi hii basi hawataki kujali na kuona umuhimu wa kuwapigania Wa Tanzania fukara.
M nachoweza kumlaumu Magufuri ni kutotuachia katiba maana aliyoyafanya yangelindwa na katiba
Cha msingi hakuna haja kama wanasheria kuleta blah blah hili ni suala la kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima wa mkataba huu.
Insikitisha sana chuki ya wakiristo dini ya kiislaam wakati hao waarbu wanasema waafrika ni karibu sana NA sisi waarbu hawana chuki ni waaslamu wenzetu ni ndugu zetu kwa uslaam hivyo alivyo sema mtume mohamed alikuwa wanampenda bilali muathini wanampenda sana sana dubai ni tajiri sana inayo pesa wanataka kuizalisha sio wahuni jitu pesa
Sasa si tukapinge mahakamani
Kwanza ianzishwe halafu ndio mapata yatakua na halafu manufaa yataonekana na haki inapatikana kama hamtaki acheni
Watanzania hawapingi mkataba wanapinga mkataba Kwa sababu hauna ukomo binadamu anaukomo Kwa nini mkataba usiwe na ukomo
Tuungane KWA NGUVU ZOTE KUPINGA JAMBO HILI KUUZWA KWA BANDARI ZETU KWA WAARABU..
Kama wahuni washakula mawe tushaliwa
Hata Kama wakiita watu wataita maccm tu ili yaunge mkono.
Nyie uzeni TU muhimu nisikose ugali
Jee hizo nchi nyingine zimedhulumiwa sisi Tzndio tudhulumiwe
Mshezi acha uchawa unaleta ajenda za kichawa hao wengine wameibiwa loliondo, ngorongoro
Awa selekali awaoni bona wana tuigiza kwenye chaka
Maccm hawawezi kutoaelimu kwasabbu nimajangili,wamefanyataifa letu kuwamladi wakujinufaisha waonafamiliazao wakitumia polis jeshi usalama wataifa eemungu tusaidiye utuepushe napepo wanafiki kwenye taifaletu
Wanaofundisha sheria, wanasheria tueni elimu kuelimisha umma juu ya vifungu vya mkataba huu. Mkataba huu sio size ya wa darasa la saba. Kwa nini Prof. Kabudi hakuongea bungeni?
Hapo sasa, je kwanini Kabudi hakuongea Bungeni?
Aongee nini wakati anaona ni madudu! Kaamua kukaa kimya mzee wa watu
Okay kumbe na wewe wareware udini
Endelea kuishi uko loliondo. Mambo ya bara huyawezi
Wewe nani
Mkundu kabisa wewe !
😳😳😳😳
Tuache ubinafsi ! Kwnn tunazingatia mambo ya Sasa tuu ! Baba wa Taifa letu na wazee wetu wameturithisha sisi tunafeli wapi wap ?
Hatutaki huo uwekezaji tunamashaka nao kwann bandari ya zanzibar hapewi mwarabu acheni uoga huyo mzanzibar hana heri na sisi huyo ni ndugu na hao warabu
Watu wanahakiri kushinda wewe
Akina nani wana akili kushinda yeye? Unapayuka tu.
😃🤣🤣🤣bwege kweli wewe
jinga sana ww
Wacha udini wewe mbwa wewe
Wewe mkundu kweli. Nani kaongelea udini apo?
Mkundu mbwa wewe
Mbwa mama yako
Safi sana
Nakushukuru sana msemaji
Usiusahau na mkataba wa kanisa alousaini Lowasa.
Mkataba wa kihuni kihuni...Dubai sio nchi
kumbe sio nchi haya man yang 'au ni hatari sana yana kwapua hayaibi hayana haya