Kama hamjajua sasa swala mtandao limeanza kuwa gumu yani Internet sasa imeanza kuwa slow sana ili tusiingie mitandaoni na hili lipigiwe kelele ni haki yetu kupata taarifa
Unaongea vitu nyeti sana. Hongera sana. Ili usiwe unachafua points zako kwa kuchanganya na maneno ya kiingereza, ambacho tunajua hukijui km sisi. Ongea kiswahili fasaha kwa sabbu unakijua.
Vizuri sana mweishimua Lema
LEma kumbe safi
Position? Direction? Concern? Sustainable? Ndio nini? Ongea kiswahili tu km Lissu
Kama hamjajua sasa swala mtandao limeanza kuwa gumu yani Internet sasa imeanza kuwa slow sana ili tusiingie mitandaoni na hili lipigiwe kelele ni haki yetu kupata taarifa
Ninakuelewa sana
Hiki kiburi Cha serikali kinatokana na Nini?
Mh Lema nakuelewa sana mkuu.
Ulio yasema100 % nikweli yanapaswa kufanyiwa kazi
Unaongea vitu nyeti sana. Hongera sana. Ili usiwe unachafua points zako kwa kuchanganya na maneno ya kiingereza, ambacho tunajua hukijui km sisi.
Ongea kiswahili fasaha kwa sabbu unakijua.
Sasa kwa nini Hakuna maadamano ya kuwaunga mkono wamasai????munasema sema saaaana no action.
Hata wakoloni hawakuwahi kuwa na roho mbaya kiasi hiki
honger 😅😅😅
Najiuliza sana naomba mnieleze vipi KUHUSU makabuli yatahamishwa?
Ila juzi kwa makonda ulikuwa unaongea kama una hila na makonda