Urusi yafanya balaa yawaua Majasusi wa Marekani na Uingereza huko Ukraine kwa kombora la Kinzhal
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2024
- Join this channel to get access to perks:
/ @mediagroup10095
Jiunge na kituo hiki ili upate video bora zaidi zinazogusa kila jamii BONYEZA LINK HAPA CHINI
/ @mediagroup10095
Asante sana ndg msomaji kumbe komenti zote za watu wanaisapoti URUSI safi sana putini ndiye raisi wa dunia kwa sasa ataki uonevu kwa mataifa mengine waacheni waende na utamaduni wao uwasili wao hasa huku kwetu afrika PUTIN mtu wa maana kabisa
Nakukubali Sana bro sema uraaaaaaaaaaa
HMG unapiga kaz kama putin nakukubal sana
Kazi njema
Waliwalea Sana hawa ndio maana wakafanya ugaidi
Wamechokoza kila dola ina mwisho wake hakuna dola inayotawala milele
😂😂😂😂 kz kweli nakwambia mrusi hawezekani .atatumia ht nyukilia .ili .walizane .tuu.
Ashambulie ndani ya marekani
We ujui hata kidogo marekani ilikuwa zamani mtu wanasumbuliwa na wausi mpaka umewaisikia ulaya hakuna network WEWE wamekata nyaya zote z internet za ulaya chin y Bahar
Yani ukren yote inatakiwa iishe ibaki historia tu,kuwa kulikuwepo na nchi inaitwa ukren ya mashoga.
Poa iko vizuri Habari
Hahaha hahaha huraaaaa asaa ata bdo wanatakiwa wajuwe urusi cio Iraq wala libya
Excellent Média!
Viva hmg
Safi sanaa
Putin piga hao magaidi bila huruma
Baba wa vita maliza3 kabisa hao magaidi
Baba wa marekani
Na bado wao si wameanzisha acha waoneshwe kazi
Kama ni mbwai iwe mbwai.
😂😂😂 uraaaaaa
Hii habari ni yalini
Putin shkamoo🙌
marhaba😀
😂😂😂 Ukraine bhn mi siwaelewag mara watuambye wameyadungua mara watuambye kunauhalbif sas tuelewe nin
Hongera sana russia wapate kichopo tu
MWAGA BARUTI BABA PUTIN. WAMEKUCHOKOZA WENYEEEWE ASANTE SANA. IFANYE UCREIN KAMA WALIVYOIFANYA WAAO LIBIYA.
Wanatakiwa kuuangusha utawala haram wa magaribi
😂😂😂😂
Viva Rússia ❤