Ni Msiba kwa UKRAINE na NATO kwani URUSI yafanya Maangamizi ya kutisha huko UKRA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- Join this channel to get access to perks:
/ @mediagroup10095
Jiunge na kituo hiki ili upate video bora zaidi zinazogusa kila jamii BONYEZA LINK HAPA CHINI
/ @mediagroup10095
Uko vizuri, taarifa na video vinaendana❤
Asante sana ndg mtangazaji
Shukrani Putin 🤝🤝
Nato inaendelea kuchezea kichapo😅😅
Tena cha maana
Kila siku hali ni ngumu ,tusiombee vita
HONGERA NA PONGEZI KWA URUSI
Unasifia Ujinga
Nilikuaga nakuamini sana ila naona umeingia kwenye mfumo wa propaganda
Hatuna haja ya kushabikia mashoga sie
Urusi yupo vzurii hawamwezii
Ila Pope "kiutu uzima " alimwambia Zelesky ajisalisalimishe.
Acha kubeza upande mmoja
Kumbe nawee ni mfuasi wa jamii ya upinde
GOOD PUTIN.
Fool
Ni F-16 na sio f-14
yaah ilikosewa hapo
Sasa katika shambulio hilo la Urusi lililoteketeza wanajeshi wa Ukraine lilikwisha je bila Urusi kunyakuwa hiyo jiji? Acheni raarifa za uongo
maskiniiiiii ukraine😃
Mh ujui vita kuua wanajeshi sio kuchukua Kijiji
@@JuliusSenyael-ej6hghata hvo lazima wachukue maeneo na mbona walishachukua maeneo mengi sana au yeye hajui
Kwaiyo hayo yanayochukuliwa nnn?
Usikasilike