BREAKING: VITA YATANUKA URUSI NA ULAYA NA NATO HAPAKALIKI, MAWIZIRI WAAMUA UKRAINE ISHAMBULIE URUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2024
  • If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 102

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 26 วันที่ผ่านมา +18

    Putin anasubili wanze ili asije akaonekana yeye nimbaya wakione Cha moto

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 26 วันที่ผ่านมา +10

    WAAFRICA TUJIPANGE TUACHE KUWATEGEMEA WAZUNGU HUU NI WAKATI WETU WA KU,ALISHA CHAKULA CHA KUROAHA.

    • @user-ju4md1yq6o
      @user-ju4md1yq6o 25 วันที่ผ่านมา

      Sahihi ulaya kutachafuka soon

    • @ga2revocatus91
      @ga2revocatus91 25 วันที่ผ่านมา

      Ruto na samia wakikusikia mmmmmmhhh

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@ga2revocatus91😂😂😂 biggest point

  • @RamaTraceur
    @RamaTraceur 26 วันที่ผ่านมา +7

    Angalizo ‼️ Hatutaki wakimbizi Africa. Mkae huko huko na Ma nyuklia yenu..watu tushaanza kutoka kimaisha.nyie mna mchokonoa putin. Ngoja sasa awashe moto.🤔🤔

  • @User-mo9ox
    @User-mo9ox 26 วันที่ผ่านมา +8

    Na Urusi ishambulie ulaya

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 26 วันที่ผ่านมา

      Ajidanganye😂😂😂😂😂

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@liberatusjackson5045Ulaya pamoja na Mungu wa Marekani watapigwa na Mrusi...Mimi naishi Marekani kwa hivyo huwa nafatilia habari za wanajeshi walio staafu wakisema kwa hivi sasa Mrusi ndio mbabe wa dunia...Media vikupa kama CNN,NBC,BBC, huwa hawatangazi ukweli kwa sababu wanakontroliwa na Serekali

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@liberatusjackson5045 ivi unajua ulaya nzima na NATO ata ziungane hazifikii nyuklia za urusi ulaya yote ufarasa ujerumani UK USA pamoja na nchi zote zina miliki nyuklia 5,000 Kwa jumla na urusi pekee Bila kumuingiza china au Korea anamiliki nyukli 6500 Kwao lazima wajipange pia urusi moja nikubwa kieneo kuliko inchi yoyote Dunia maana ndani ya urusi kuna see Ni usiku uku seem nyingine Ni mchana kwaiyo urusi Ni nchi kubwa sana ndugu yangu ndo maana wao Wanaumiza kichwa jinsi ya kuishambulia urusi wasije wakakurupuka Wakachakazwa urusi sio siria au Irani au Iraq urusi sio muarabu Ni Mzungu mwenzao Kwao lazima waende Kwa tahazali sio wajipeleketu 😂

    • @user-gz1cd6kn5j
      @user-gz1cd6kn5j 24 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 26 วันที่ผ่านมา +6

    Pigeni tu ili mziki uwe mtamu. Sisi kazi yetu ni macho tu.

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 26 วันที่ผ่านมา +1

      brother....NGANO na MAFUTA vilipotea,,huwez kusema YETU macho nakwambia huto ENDA hata CHOONI...mafuta, VIPULI, usafir,SIMU /network vyote hivyo huto PATA...ulikatika mkongo wataifa massaa 3 TU tulitafutana sasa wakilipua KABISA huo mkongo SINDIO WATU WATA Baki hoi.

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 25 วันที่ผ่านมา

      @@daudimaniseli759 wapige tu ahhh kwani nini sanasana? Waache wapige tu

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v 26 วันที่ผ่านมา +3

    jamani hawa machoko hata waungane vipi mrusi ni shauri kubwa watauwawa sana hao nato

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 26 วันที่ผ่านมา +2

    Marekani hapoi

  • @user-hj4bc5uh2x
    @user-hj4bc5uh2x 26 วันที่ผ่านมา +4

    Ufaransa wanamchukia mrusi kwasababu ufaransa uchumiwake upo africa kwaiyo anajua putin kalitibua

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 26 วันที่ผ่านมา +4

    Na urusi iruhusiwe kuipiga ulaya nukes na jarobuni muone😂

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 26 วันที่ผ่านมา +6

    Ao Wahuni Wamaghalibi Kilasiku Putini Anawakalisha Vikao Viva Putini😂😂😂😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 26 วันที่ผ่านมา +4

    NATO wanahaha,vijana wa kujitolea kutoka usa wamekimbia

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 26 วันที่ผ่านมา +4

    Macron akili ndio maana alipigwa na mayai

    • @user-qp5vi9yt6m
      @user-qp5vi9yt6m 26 วันที่ผ่านมา +2

      tena alipigwa hadi makofi

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa watu nishawachoka kwanini wasianzishe vita kamili kama wanaiwaza urusi

  • @mohdrajab5818
    @mohdrajab5818 26 วันที่ผ่านมา +2

    Wana malengo yao kupekeka majeshi ucraine lakini watambue kama Urusi atawaonyesha,,,,

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 25 วันที่ผ่านมา +2

    hapa PUTIN/RUSSIA iwachape na hao NATO

  • @user-pk4qq6kn9c
    @user-pk4qq6kn9c 26 วันที่ผ่านมา +3

    Wamefeli

  • @sultanmohammed8634
    @sultanmohammed8634 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ulaya hawezi nakama watazimishwa Ulaya maneno tuu wa najuwa kuwa mrusi sio michezo Ulaya ifutwa kt map ramani

  • @user-ju3jy7jy5e
    @user-ju3jy7jy5e 12 วันที่ผ่านมา

    Hamna busara yoyote kati yahizo nchi ulizo taja mtangazaji hao ni vichaa tatizo hamja liweka wazi ulaya inategemea afrika kwahiyo afrika inaenda kujitambua kwamafunzo kutoka urusi hapo ndipo chuki imeanza namchochezi mkubwa ni mfaransa nahuyu ndio chungu nakino chamauwaji nababa la materorist.

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 26 วันที่ผ่านมา +8

    Huyu ufaransa ni mke wa marekani na nimiongoni mwa wachochezi kwenye huu mzozo

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 25 วันที่ผ่านมา

      Usisahau ujeremanii na wengine wengiii

  • @USAIDforHomelessPeopleOfUK
    @USAIDforHomelessPeopleOfUK 22 วันที่ผ่านมา

    Stop Fighting Help Homeless people ✌️

  • @user-yn3ve7gi2r
    @user-yn3ve7gi2r 21 วันที่ผ่านมา

    Mchambuzi bado saan hajawa waz kabsa

  • @user-sy4ku4xm7q
    @user-sy4ku4xm7q 26 วันที่ผ่านมา +1

    Yani urusi ikubali wakati nyie ndo mmefeli kweli akili hamna yani msipokuwa macho ukraine imeenda. Yani nyie endeleeni kujikuna. Pesa zenu zinaenda bila usaidizi wowote nyie kaeni chini NATO yenu mmeishiwa mbinu akili hamna

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k 26 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂azisheni mumalizwee .nass tupate nafasi .yakupungua kuibiwa

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 25 วันที่ผ่านมา

    Mazungu ovyo sn
    Yameungana kwakumuogopa urusi 1 tu
    Aambiwa umoja wakujihami
    Woga umewajaa yanachojua ni wiz tu

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ulaya mnatpigwa nukes, acheni upuuzi!

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mikwara hiyo,kwani wameshakaa mara ngapi!.Putin piga manyang'au hao.

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa hatari inaanza kuzidi yarabi wape nguvu wanaotetea haki na wasiopenda batili. Mungu wetu tuepushe na kila shari inayotokana na waovu na wadhoofishe kwa nguvu kubwa wanaokusudia kufanya fujo ndani ya dunia hii.

  • @user-xk4os6jx8x
    @user-xk4os6jx8x 25 วันที่ผ่านมา

    Zina maeneo madogo na idadi kubwa ya watu 😮 ukipiga unauwa wengi

  • @miruhongin
    @miruhongin 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa nini watume Ukraine siwa pige wenyewe

  • @EmanuelIdd
    @EmanuelIdd 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni atangulie kwenye hilo

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 26 วันที่ผ่านมา

    abari za jioni WD je nitapaje kuwa mshirika wenu natamani sana kuongea na ujerumani

  • @user-gz1cd6kn5j
    @user-gz1cd6kn5j 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wachawi wote waungane Russian tupo tayali kupigana na yeyote na WA Africa msiokuwa upande wa Russian ni watumwa na bado mnatawaliwa huraaaaa team Russian

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 25 วันที่ผ่านมา

    ulaya wanategema afrika kukua kiuchumi. kinachofanyika hapa, ni hasira zao dhizi ya urusi pale nchi nyingi za afrika ambazo zimekuwa zikinyonywa na magharibi kugeukia urusi. hasa afrika magharibi ni makoloni ya ufaransa, na ndo yamekuwa akikuza uchumi wa ufaransa. kwasasa ufaransa ipo hatihati kufirisika. sasa wanataka kumpiga mrusi kutuma ujumbe. kitu ambacho mrusi hatokubari. uchumi wa dunia utakufa. hapa itabaki uchina kama taifa kubwa na afrika itaanza kukua kwa kasi. hapa natabiri

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 26 วันที่ผ่านมา

    WAZUNGU WANAMALIZANA SOON

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 26 วันที่ผ่านมา

    2:44 sio maeneo madogo Bali zitapotea kabisa, patriot ndio nini😂

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ulaya atakiona

  • @EmmanuelGwisu-dy4ck
    @EmmanuelGwisu-dy4ck 25 วันที่ผ่านมา

    Macron unapeleka wapi nchi Yako?

  • @miruhongin
    @miruhongin 26 วันที่ผ่านมา

    France iko naongea myaka bili sasa washa sahidia kilakitu wali tumaba wa pigana Ukraine wali ishia wapi

  • @Kibudu
    @Kibudu 26 วันที่ผ่านมา

    Ulaya ipigwe,, URAAAAAAAA to Russia

  • @aidandamian2566
    @aidandamian2566 25 วันที่ผ่านมา

    Macron ana hasira makolon yake meng urus ameyaingilia

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q 26 วันที่ผ่านมา

    Urusi ypo tyr kimazungumzo ulaya kiburi

  • @jacksonmwakatika2372
    @jacksonmwakatika2372 26 วันที่ผ่านมา

    Vita ikapiganwe USA sio nje ya USA tuone ujasiri wa nchi hiyo kujilinda na kuwalinda raia wake.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 24 วันที่ผ่านมา

    Kama Putini anajua mamluki wa Ufaransa wako Ukrein aishambulie Ufaransa sasa😂😂😂😂,

  • @RichardLufyega
    @RichardLufyega 26 วันที่ผ่านมา

    Kama urusi haitakubari kufanya mazungumuzo itakuaje

  • @didaslunkoto
    @didaslunkoto 25 วันที่ผ่านมา

    Ulaya isipoishambulia urus, China itaivamia Taiwan, Iran itaishambulia Israel na Korea kaskz itaishambulia Korea kusin. Hivyo ulaya ifanyea haraka kuishambulia urus ili na wengne waogope

    • @simonmwashambela3233
      @simonmwashambela3233 25 วันที่ผ่านมา +1

      Dah kweli hicho kitu akiwezi tokea kwa mzki wa putini awawezi kabsi wameshindwa

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 25 วันที่ผ่านมา

    Wacha wamchokonoe putin . Aki switch button ON kwa ile broofcas ya nuclear control ulaya nzima watazima majivu maana ni mara 💯 ya Hiroshima na Nagasaki

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 26 วันที่ผ่านมา

    ila putin ni kiboko yani nchi za ulaya na amerika zote zinashindana na mtu mmoja tu😀😂😂

  • @qassimislam5291
    @qassimislam5291 25 วันที่ผ่านมา

    URUSI pekee anawasumbua Hivi CHINA atakuwa wapi kweli nimesahau KOREA nawale jamaa waliopata msiba wanyekauli mbiu ukitupiga tunapiga hapohapo wa IRAN mmmh 😂😂😂

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 26 วันที่ผ่านมา

    Uko poa laisi wa ufalasa

  • @user-ie3lw9eb6p
    @user-ie3lw9eb6p 26 วันที่ผ่านมา

    Russia itawakosowa hao wa magharibi kwa vile watajutiya

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 26 วันที่ผ่านมา

    SASA MNAOGOPANINI ??? INGIENI MUONE KIDUDE ANACHOTEMBEA NA PUTIN. MANA HAWAJAONA KAZIAKE. MMEZOWEA KUWAUWA WAARABU NA WAAFRICA. PUMBAVUZENU INGIENI MAZIMA NATOOO😂😂😂😂

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 26 วันที่ผ่านมา

    Mmetuchosha bwana

  • @miruhongin
    @miruhongin 26 วันที่ผ่านมา

    Mtatu mtoto na nyinyi wa kubwa mupo

  • @MaugadoMaugado
    @MaugadoMaugado 26 วันที่ผ่านมา

    vita ya 3 as coming

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 25 วันที่ผ่านมา

    Urusi akuna kituu achane na vita

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani majimbo aliyochukua urusi kule Ukraine yamerudi,,,nijibu😂

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Muda si mrefu putin chaliiiiii

  • @user-hm9ir7yz4z
    @user-hm9ir7yz4z 25 วันที่ผ่านมา

    Tumewachoka wajinga nyie, kila siku makelele tu silaha hamtoi na mrusi hamumuwezi mnakazi ya kutumalizia bando tu. God Bless Russia....

  • @HajiMwanz-to3vg
    @HajiMwanz-to3vg 26 วันที่ผ่านมา

    Viva putin viva afirika

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 25 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa urusi umefka sas

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Ata Mimi naona, watamchapa tu.

  • @dela78895
    @dela78895 26 วันที่ผ่านมา

    macron hida yake ninini

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 25 วันที่ผ่านมา

    Putin ana lolote nyie mnaeshabikia urusi ngoja muone chamtemakuni

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Urusi atapata kipigo kikubwa sana

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 26 วันที่ผ่านมา

    Wewe una ijua NATO urusi mwenyewe anaogopa

    • @user-sj2ii4gm7z
      @user-sj2ii4gm7z 26 วันที่ผ่านมา

      Ndio, unacho kisema ni kweli NATO wananguvu, ila sio kwa MRUSI. Ujuwe Kama wameharibikiwa sana uko Ukraine, ivyo wana hasira sana ,na kama wangekuwa na uwezo wangekuwa wamekwisha ishambulia Urusi. Kumbuka ilivyo kuwa Iraq na sehemu zingine.

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Atachapwa huyu putin

  • @user-dj6rr4lu4p
    @user-dj6rr4lu4p 26 วันที่ผ่านมา +2

    Duuh urusi anasumbua myamba vichwani mwao

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 25 วันที่ผ่านมา

    Putin kashindwa

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Anachapika vizuri tu.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 25 วันที่ผ่านมา

    Putin afe

  • @andrewpeter7492
    @andrewpeter7492 26 วันที่ผ่านมา

    Na ufaransa wapo vizuri kijeshi

  • @user-hi8go7pk4t
    @user-hi8go7pk4t 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wataweza.kupambana.nambabe.putini.watakufa.ulaya.watajilaumu.kamaputini.ataoiya.ngamiza.ulaya

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana ufaransa kwa kufanya maamuzi ya kupeleka wanajeshi huko ukreini.na wengine wa nato wafanye hivyo.huyu puting anataka kuiabisha nato.hiyo haikubaliki.lazima apigwe.

  • @JohnValle-xn1dx
    @JohnValle-xn1dx 25 วันที่ผ่านมา

    Putin ameshafeli anabidi akubali kishindwa , akilazimisha ataangamia mwenyewe maana hata wa Rusi wamesamchoka pia

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 25 วันที่ผ่านมา

      Duh, we jamaa vipi? umetoka usingizini au?

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 22 วันที่ผ่านมา

      Ngoja afundishwe adabu

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 25 วันที่ผ่านมา

    Wamangaribi ni mashetani wanapenda vita

  • @cholophone4221
    @cholophone4221 25 วันที่ผ่านมา

    Putin anasubiri wajichanganye tu awashe moto ulaya

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg 26 วันที่ผ่านมา

    Tutawapa kibarua cha kupalilia kahawa wauni tyu Hawa VIONGOZI waafrika wafanye utopolo