@@miltonjohn9779 wewe ndio aunahakili kk okiona nzii wanakufuata kichwani basi akili mavii ndege unataka kupigana Na Nani kunavifalu vimenunuliwa mpaka Leo vinaoza
Kwa ulinzi wa anga sisi bado sana ukitizama comparison reports za kijeshi ktk east africa tuko chini sana wakati hata Uganda tulio wapigania na Rwanda wana ndege za kivita na helicopter gunship za uhakika(Mir24) sisi tuna light aircraft helicopter kadhaa na ndege za mafunzo tu, Kenya ndio usiseme wako matawi ya juu sana airforce, infantry, na japo wana ukanda mfupi wa bahari ila wako vizuri, hapo Ethiopia ndio balaa na hii ni kwa idadi ya askari na ubora na wingi wa vifaa tukae kwa Amani tu na majirani zetu na Mungu atupe Ulinzi kama ni kweli hizi report tuko chini ila Rais wetu hata hivyo ameahidi kuimarisha jeshi letu.
Mmmh tukonyuma sana
Sio sana,soon new planes are coming in
Bado Sana Sana. Ila tuombe Mungu tukae kwa Aman.
🙏
Ina huzunisha tuombe2 amani lakini kwa jeshi nawasiwasi %70 ya jeshi sasa hivi duniani ni jeshi la anga.
😊🫡
Hapa hata tukisema tuombe mechi ya kirafiki na Uganda tutabakizwa majivu
😂😂
kwahyo sikuiz mnatukusanyia ad ma games shinda ni mbs zetu tu
🤔
Kwanza ndege zote mimi nimeona sio za vita ni za kubeba abilia kama zingine 😂😂
😄
Bado sana, tunataka Drones, ICBM na Nyambizi,pesa ipo vinunuliwe.
kweli kabisa🤝
Kwani wanaonyesha nni mbona videge kama senene😅😅😅
😉
Hizi habari umezitoa wapi?Hakuna nchi duniani inayoweza kuonesha uwezo wake wote wa kijeshi.
🤷
Wamtume tulia aksoni kwaputini awauzie ndege za kivita na vifaru hapo hamna kitu
😄🫢
Nani aonyeshe ndege za Kavita hapa Athenian maneno
🫠
Amani itawale vita atuweZi vifaa vyetu duni
Kweli kabisa
Mnataka kupigana Na Nani mpaka mnunuwe ndege zakisasa
Huna akili hata kdg
@@miltonjohn9779 wewe ndio aunahakili kk okiona nzii wanakufuata kichwani basi akili mavii ndege unataka kupigana Na Nani kunavifalu vimenunuliwa mpaka Leo vinaoza
Dahhhhhh
🫠
Kuna. Kandege nimekaona apo. Ulaya wanachezea watoto
🤔
Live kaka wanamaliza mafuta2 Amna lolote
😅😅😅😅
Ila sisi w tz
sasa APA washazoea kupiga izo ndege watanunua sangap
🤒
Hahahahhahahahahahhahahahhaha naona picha ya rambo mbona hahahahhahaha
😁
Angani nasisi wapi wapi. Tz ardhini sawa ila angani labda uchawi
Nunueni silaha za kisasa hizo hapo hamnakitu
😉
😮😮
Kwa dunia ya sasa hamna kitu hapo tuwe wawazi sio mpaka yatufike shingoni
👍
Kwa ulinzi wa anga sisi bado sana ukitizama comparison reports za kijeshi ktk east africa tuko chini sana wakati hata Uganda tulio wapigania na Rwanda wana ndege za kivita na helicopter gunship za uhakika(Mir24) sisi tuna light aircraft helicopter kadhaa na ndege za mafunzo tu, Kenya ndio usiseme wako matawi ya juu sana airforce, infantry, na japo wana ukanda mfupi wa bahari ila wako vizuri, hapo Ethiopia ndio balaa na hii ni kwa idadi ya askari na ubora na wingi wa vifaa tukae kwa Amani tu na majirani zetu na Mungu atupe Ulinzi kama ni kweli hizi report tuko chini ila Rais wetu hata hivyo ameahidi kuimarisha jeshi letu.
Sijui nikwambie nini lakin tambua kuwa upo salama katika nchi yako na siku zote mjanja hujifanya mjinga
Tz huwa hatupendi kujionyesha me ndo ninachojua hicho!
Chopper za mwaka 1947
🤭
ICBM ya nn kwetu? Hizo ni kati ya strategical wins, ww za nn? Kama hujui mambo ya mil, don't put anythind
🤏
Hatupaswi hata kuonyesha tuombe amani hiyo ndiyo siraha yetu.
😊
😄😄😄😄
🫶
Hapa amnakitu aibu tupu
😁
🤗
Bado maskini sana sisi
Siku hizi ni vita vya settelaiti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😲
Nothing about the fleet at all
okay