B-2 Stealth Bomber: Ndege ya TZS Tril.5.4, isiyogundulika na rada ilivyotumika kushambulia Wahouthi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 272

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ila sky ...u a so bright

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Daa! Hizo ndege ni noma.
    Noma sana ❤😂

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Kama kweli hii ndege ni chuma kwelikweli, wapeleke ukrein, tuone Urusi atakavyopigwa na hii ndege. 😂😂😂😂, Urusi iko mbaliii sana kwa teknolojia. Usiione hivo Urusi ukafikiri iko kiholela. Subutu!!!

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Dunia haiko hivyo unavyowaza wewe

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      @@emmadora7848 acha maneno mengi, wapeleke ukrein afu utaona jambo jipya sana.

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@emmadora7848si litokee tu. Kama m'bwai m'bwai tu. Wanyama wauwaji wakubwa.

    • @bashirksabu3540
      @bashirksabu3540 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Tushaizoe America kuidanganya Dunia maneno mengi kuliko uhalisia. Tulishawahi kuambiwa kuwa wazungu Wana chakula cha kula miaka 100. Tukaambiwa makomandoo 100 Sawa na mwanajeshi mmoja Wa Israel. Tukaambiwa kuwa iron dome mfumo bora kuliko mfumo wowote duniani. Acha mvua inyeshe tuone panapovuja.

    • @jumaamsuya5
      @jumaamsuya5 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Wajaribu kupeleka ukrein waone moto wa urusi

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wamarekani kwa kujisifu kila siku wao kila kitu wapo juu b2 inaenda kupigwa kirahisi soon chocolate uone irani or huth

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Iran iliompakia raus wake kwenye ndege mbovu akafa😂 mzee marekani isikie tuuu

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alafu uningea kuusu iran irani siniuchafu kabisaaa

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unajuwa sn kuerezea sn kuliko ware wachambuzi wako wamchongo unao waretaga apo studio kuja kupiga polojo tu naplopaganda zakidini wanabii wauwongo

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Haya sasa tumeona makali ya MAREKANI Iran waonyeshe ndege zao Sasa zisizo za kununua 🤗

  • @Thedonbling
    @Thedonbling 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Unajua sanaa kuelezea kwa sisi wasomi tunakuelewa sanaa sanaa

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Naomba hata elfu 10 kaka!
      Nyinyi wasomi ni hazina na Nuru ya taifa

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Ukijinadi msomi jua kuna msomi mwingine aliokuzidi

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@lexq-sm6lq😂😂😂

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@jumamaliemfundisha msomiussantuiche

    • @Thedonbling
      @Thedonbling 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@jumamussantuiche nani kajinadi toa ukora wako hapa

  • @evansmumo3921
    @evansmumo3921 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunapojadili hili, tukumbuke bado Mondi anataka kuwa tajiri namba moja duniani

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Marekani ndiyo kiranja wa hii dunia mpaka mwisho wake

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiv hii ndege ubora wake wote huo ilikuwa wap walipokimbia huko afganistan? Au ilikuwa haijaingia kazn? Dah inaleta ukakas

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawakukimbia afghan ni mission walishamaliza wewe kwa akili yako taliban anaweza mkimbiza marekani hiyo nj strateggy huon taliban anamuuzia nan mafuta

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    American wapo juu....mimi nawakubali wawapige awa wa Hiuthi....Yemen masikini muno....na hawakimbili Iran wanakwenda American kupata Maisha..wa gaidi bwana .
    Wende uko Iran

  • @husseinc
    @husseinc 10 นาทีที่ผ่านมา

    Iyo ndege aiwezi kufanya kitu kwa iran, iran sio yemen wana mifumo bora ya anga,

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waipeleke Ukraine hiyo ndege tuone ndo tutajua inaonekana au haionekani hatutaki kuaminishwa Kama mifumo Ya Israeli Ya Iron dome ,sasa hivi watu wanajipigia😄😄😄

  • @champion-dz6kr
    @champion-dz6kr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vita ni kupigana sio kupiga chukua Ilo sky, nakumbuka leopard 2ya Germany zikipgwa na RPG kule Gaza😢

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Marekani Ni hatariiiii sanaaaaaaa

  • @bakarially253
    @bakarially253 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kisha unakuwa wanasheji wetu wapo busy kuzuia pikipikia kwa meno na wengine wapo busy na Technology

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nimecheka apo kwa meno 😂😂😂

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Marekani ndio top wa kila kitu duniani .

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Muongo 😂, vipi kule Ukraine 😂!

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@nizarrama225huo ndo ukweli hakuna jeshi lenye nguvu kama Marekani

    • @evansogutu4167
      @evansogutu4167 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ino akili ndio unatumia kuvukia barabara

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      ​@@evansogutu4167 kuna watu kichwan kuna Mavi kwaiy unabisha nn mfano mbn kila kitu kiko wazi Amerika akuna jeshi juu yake ata kwa beji tu iko wazi 😂😂

    • @johnthesimba4764
      @johnthesimba4764 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Dah vichwa vingine ni dispenser ya makamasi😂

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji Marekani ana muogopa mrussi sana

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Muulize sma Russia wanazo ngapi

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan we mzee umewai kusikia mrusi alimpiga nani kama sio kuionea nchiaake mwenyewe ukraine .mmarekani aliua SADAM
      AKAUWA OSAMA😂
      AKAUWA GADAFI😂
      AKAUWA MIROSOVICH😂
      Ukiipata chi uyo mrusi alifanya zaidi ya marekani niite mbwa

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haya mambo huwa yana mbwembe sana ..mpaka watakapo kutana na hali halisi ..kwa nchi zenye rada na mifumo ya kujilinda

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    This is americ hawa jamaa pamoja na ushoga wao kwa kwel ni habar nyingine katika sayar hii jamaa wako mbali zaidi .timu urus weus hapa hatuna jambo zaidi ya kubishana ili kuzilizisha nafis zetu tuu .hawajamaa ndio maana wanafanya kila wanacho kitaka dunian. Wanajua wanamidude ya ajabu zaid ya hivyo. Tofati na sisi ni nyukilia tuu tunayo jivunia.

  • @saidalkassaby1795
    @saidalkassaby1795 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa nyie mnamjua Iran Ana tecknologia gani? Nani alijua km iran Ana makombora ya hypersonic ambayo yanaenda kwa kadi kubwa sana second 400 tu na Ana uwezo wa kupiga makombora zaidi ya elfu 10 kwa dakika moja na Iran alisema Ana kombora la kupiga meli ya marekani ya air craft

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii ndio SNS😇 mnatupa raha kwelikweli🙏

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hw Marekani hawawezi pigana na Yemen ni haibu .. Yemen ni watoto wadogo sana ..na Marekani anamshikashika kidogo tu

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Izunguke tu anga la urusi itatunguliwa tu , mrusi ndo mtundu wa wote hao mana ana rada zilizorutubishwa utaonekan tu ,

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ziende urusi muone,maana marekani inawahadaa sana

  • @KhamisChaz-td4nz
    @KhamisChaz-td4nz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtetea haki haogopi kufa hawa jamaa washazoea vita kumbukeni marekani wamepigana vita na watalebani wakakimbia miaka 20 watalebani wamepambana mpaka wameshinda nchi imerudi mikononi mwao na wanaiendesha kwa mujibu wa sheria zao wanazotaka wao Afghanstan(talebani) hawa jamaa hawaogopi vita hata siku moja

  • @StephenKingwaa
    @StephenKingwaa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We have seen america in ukraine hizo drone zilikuwa wapi buda

  • @stewartmsamila5691
    @stewartmsamila5691 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    marekani muongo ukute anazo zaidi ya 19

  • @heriurio6410
    @heriurio6410 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ili niikubal Io ndege mpaka mupitishe Mel ya Israel bahar ya sham

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tumezowea me sishangai kuona marekan kuvumusha vitu ambavyo. Ajawai Ata kuviota km kawaida wamepakwa wese na properganda zao

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa kumbe 2naona nguvu ya wahothi.yan unawasha bomba kam B-2 kushambulia kundi dgo na sio jeshi😁😁😁

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hazionekani na rada mbona haziend Urusi. Waace kudanganya watu na Google

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jumaciza461 boya wewe wanakutomba mbwa wewe

    • @Jasim-uddinIftakhar-uddiin
      @Jasim-uddinIftakhar-uddiin 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@godsonkyense4742 matusi ya nini sasa kwanini ujipatie madhambi ya kujitakia kosa lake ni lipi hadi umtukane hivyo ukumbuke anaye tombwa ni mwanamke hivyo hata mama yako katombwa sana hadi ukazaliwa wewe unampo mtukana mtu ujue ni sawa na kuwatusi wazazi wako tu

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waende wakafanye nini urusi😂😂😂 et kaka kwan urusi ikovitani na mmarekani labda sisi atujui kaka tuambie

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@godsonkyense4742umechukia nini kaka mbona utachukia saan kak mamae😂 uyo ndo mmarekani kaka

  • @eliacmaginya3429
    @eliacmaginya3429 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kuja B-21 raider hyo n moto wa kuotea mbali inaitwa popo bawa

    • @FrankKashamakula-xb1pc
      @FrankKashamakula-xb1pc ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nahisi ni Generation moja na hii B21 Ni noma

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jopo unapromoti na kuwapaka mafuta marekani,israel bado maneno mifumo iron dom assad akuna mpango.

  • @ziongate5464
    @ziongate5464 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndugu mtoa mada tunaomba ndege hiyo B-2 ipite juu ya anga za Rashia, China na Iran ikitoka salama ndio utoe makala yako na kusema ni ndege isiyo dunguliwa.

  • @toyimwamedi6460
    @toyimwamedi6460 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KAMA NIKWELI HAHIHONEKANI KWENYE RADA YENDE URUSI.IKIPITA JUU YA URUSI IKARUDI NITAHIKUBALI

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Eti mtu aje kwako akupiddy alafu aondoke ujui hata amekuja sangapi mwamerika hafai..yani hapo wamemshikashika tu marekani hawezi pigana na mtoto mdogo ..ni haibu hawa waarabu hawanaga kitu ni mandevu tu akili hakuna kabisa ..

  • @FrancisKajange
    @FrancisKajange 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kapitisheni meli zenu zisiposhambuliwa ndo nitaaamuni hizo ni porojo tu😅😅

  • @japhetsamson773
    @japhetsamson773 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu mnabishana wakati bibi yangu ana B_4 haionekani kwenye macho na radar

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waerekeze waerekeze vzr wafaasi wanabii wauwongo

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unatafunwa ww

    • @AbdallahSumbinyo-ln9qi
      @AbdallahSumbinyo-ln9qi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa hao wenzako ni mashoga basi na nyie wenye mungu wa uwongo aliekufa msalabani Kwa ajili ya dhambi zenu ,cha ajabu mpaka Leo Bado mna dhambi tele😅😅😅😅yaani mungu wenu anauliwa na binadamu Ili aokoe binadamu mwingine 😅😅so stupid😅😅😅😅na hao unaowatete niashoga kwaiyo nawe ni shoga

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@kassimrajabu7805kasimu tulia mzee

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ije majingambo ya nn tunaisumbili

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii itadondoshwa na drone ya dola buku tu😂😂😂

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Utakuta watu wanailinganish na urus,Mara Iran ila wat mnadhamb

    • @othmanmalik6468
      @othmanmalik6468 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo kwa Iran sio sawa, lakini kuilinganisha Urusi na Marekani ni sawa tu

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbwembwe tu izo

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawana lolote maongezi tuu anaonea vikundi mwache wapige iran tuone mambo ayo ni maneno tuu

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mchina pia anazo !

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwapenda kuwasifu hawana lolote walikonalo maghari wasifiwe kuowana kinyume na sheriya

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nyie Huwa mmekalilishwa pumba ndiyo maana Huwa mnapinga kila kitu Kwa akiri Yako unafikiri Marekani kuwa Kaka wa Dunia unafikiri sifa hii wamepewa tu eh😂😂😂 pia hiyo ndege watengenezaji ni Wayahudi 😂😂😂

    • @Jasim-uddinIftakhar-uddiin
      @Jasim-uddinIftakhar-uddiin 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@georgekimasaofficial1629we mwenyewe umekaririshwa pumba na utumbo uliyooza! Umebaki kushabikia nchi ya mashoga tu

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Israel amepewa hizi tayari Ni suala la muda tu

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naiona vita ya 3 yadunia asee 😅

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Technology ya Mrusi ndo wanaitumia leo baada ya kuona hari imekuwa tete

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wanaanzisha baadhi ya vita ili kutest siraha zao hao wahuth wanatolewa kafara tu kama sehemu ya kujaribia siraha zao

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ndoo umeongea la point Kuliko mbuzi wote timu weus urus

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      This is americ huyu jamaa ni hatarii katika hii sayar ndiyo maana anafanya anavyo taka. Putin na hao masikin wengine wanabaki kubweka tuu. Tim urus weus najua munaumizwa Sana na taarifa kama hizi.jikazeni matako nyie. Mashoga wapo juu Sana kitekenology

  • @hamisiomary8681
    @hamisiomary8681 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa mbona hawawezi kuwamaliza wahouth na mikwara yote ya ndege hizo

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Unataka wawamalize wapige Mabomu wafe magaidi na raia 😂 umewachoka wajaidina wenzako. Myahudi tu uku anataka kuifuta Hamas Ila raia wengi wanaangamia. Ebu kuwa na akili kichwani

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Magaid mnatabia ya kujifch kwa raia ,,ili muanz lawama,

    • @GeorgeBush-p1y
      @GeorgeBush-p1y 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waki pigwa hamchelewi kulala mika

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii NI kiburi Israel

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Iyi wiki niya moto

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ipelekeni Russia 😅😅 subirini wazamishe meli😊

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wanaijua hyo awawez tbubutu

    • @Kujason12
      @Kujason12 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kuna b2 apo utakuta Mrusi anazake tofauti na izo tena zenye uwezo ndo mana marekani wanaogopa kuingia vitan na urusi

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iran inaogopwa sana hadi marekani analeta fivaa vyake vyotr muache huyo demu anaejita Israël apambane pekeake aone mziki wa iran hhhhhhh

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmmmh!!! Yaani hiyo ni zaidi ya bajet ya zanzibar ya mwaka mzima!! Yaani ni x 2 ya utajiri wa mo. Marekan ni kama haiko kwenye hii dunia tuyomo cc !!

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nihatar bos

  • @mohammedshishishi6375
    @mohammedshishishi6375 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pamoja na ndege zake ajaribu kwa mrusi aone

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Na urusi ajaribu marekani😂😂😂😂

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      😂😂😂 sasa amerika ajibu mara ngap mbn Ukraine anapiwa silaa na America ila urus awez ata kujibu ata kulusha jiwe America

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@raydanfrenk vp hizo silaha zimeisaidia nn Ukraine je amerejesha ardhi yake maana yake hizo silaha za marekan ni takataka Kwa urus

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      URUSI NAE akajaribu KWA marekani

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@josephwilliam5813 Toka lini Mrusi akawa na choko choko? Huyo mwenye choko choko nda ajaribu kuliko kujificha kwa chambo

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona ukraine hawampi hiyo B 2 sasa?????

    • @kassimbayuu
      @kassimbayuu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Vita ya tatu ya dunia hiyo

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Waitume irani wanashindana na kikundi cha watu ndio wanatamba

    • @Theman-dn8vo
      @Theman-dn8vo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kua mpole majibu ya Israel ndo yatasema kma waliitumia au laaahh

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Iran ni mtaji wa Marekani na Marekani anaipenda sana Iran

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa ka Iran unafananisha USA na wewe jimbo moja la marekani uchumi wake Iran afiki hata nusu

    • @bakariyusuph-uf7nc
      @bakariyusuph-uf7nc 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@FredMwamgogwa-td6ni kumbe unaanglia ukubwa tembo mkubwa lakini anadoshwa na sisimizi mkojo mdogomdogo ndio unaolonisha chupi mzahamzaha wa mbuzi mtoto kampanda mama

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ngoja hizo meli zitakavyokunywa maji😅😅😅

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ndiomaana husema , Urusi hawawezi shinda Amerika

    • @othmanmalik6468
      @othmanmalik6468 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na vilevile Amerika hawezi shinda Urusi!

    • @Jasim-uddinIftakhar-uddiin
      @Jasim-uddinIftakhar-uddiin 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@othmanmalik6468huyo kafiri ni bendera fata upepo hana cha maana hata anacho ongea zaidi kuisifia nchi ya mashoga tu

  • @sadikkazimoto7466
    @sadikkazimoto7466 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnawaonea tu mbona awaendi urusi

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa wahouth wana radar ya kugundua , wahouth ni kikundi tu , wapeleke ukrain

    • @pesaspy_tv
      @pesaspy_tv 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 et mzee kwa nini wasipe Russia

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sns tuambieni mkuu wa kijeshi wa Israel yuko wapi mbn hajaonekana tangu siku ya shambulio la drone

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We unataka aje nyumbani kwako ? Juzi katembelea kambi iliyoshambuliwa ,ka unamtaka nenda Israel watakupeleka kwake

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew ulikuwa umezimia ndio unaurupuka😂😂😂

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@GeorgeElias-p5o sasa me nimewauliza sns mbn black Zionist mnakuja juu

  • @ericmutalemwa8040
    @ericmutalemwa8040 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WAhouth hawana Rada za wala mifumo ya Anga

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅 n ndio maan ameipereka

  • @lourykibudu
    @lourykibudu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mrusi Yuko next kwenye technology sana maana Hawa jamaa wangekua na technology yoyote ile ya kumuangusha mrusi wangefanya mda sana

    • @moonlightTv-me9zw
      @moonlightTv-me9zw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Wapo next technology wapi acha ujinga wa ki fikra nenda uwendako USA ndio inarun the world fara wewe

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sahihi 💯!

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Marekani mjanja hataki vita ya hasara kwake lakin ukweli ni kuwa mwenye uchumi mkubwa ndo mwenye nguvu,hakuna kama Marekani

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@yohanakananika3586 muongo, vipi kule Ukraine..? 20% ya maeneo ya Ukraine Donbass yamechukuliwa au yapo chini ya Urusi, Marekani kafanya nini....?

    • @johnmakori6041
      @johnmakori6041 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ata huyo Mrusi angekuwa na technology ya kuiangusha marekani angefanya zamani mno

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Marekani na Russia, ndio vigogo wa maangamizi basi✋,wanako kanyaga elewa hakuna mwingine wakupinga ,wengine wangoje mda wao bado sio karne hii, hii karne isha wahiwa

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Russia inayo pigana na Ukraine au kuna nyingin😂😂😂

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Russia Bado sana Mkuu kasome Project 51 ndo utajua

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      ​@@godcompeter9844 awa wanaongozwa na ushabeki tu ila ukwl wanaujua vzr 😅😅😅😅

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huyo urusi mwenye alishawahi pigwa na marekani

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@raydanfrenk ndio inayo pigana na mabara 3

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ailete Ukraine 😀😀😀

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    alishindwa vita na somalia , afganistani , iraq, , nguvu iko arithini shuka ukutane na mishale na mapanga

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @mackpinno10
      @mackpinno10 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Vita za kizamani hizo njoo juu tukutane

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@jonasmrema8550 mwisho wa siku lazima ushuke chini , uko ndiyo utakutana na mapnga na mishale na mikuki , mitego, waulize jamaa afghanistani kwenye milima

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🇺🇲🙌

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo imechemka 😊😊😊 wacha tuone Kati tá Rússia na US Nani mkali

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha America kumbanisha na vitu vya kijinga 😊 Ulizia kwanza Bajeti ya kijeshi ndio uje kuongea urus angekuwa ndy America now Ukraine angekuwa imechukuliwa zamani

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani unaifananisha urusi na marekani marekani ndio super power mzee

  • @khamisali9569
    @khamisali9569 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Walituna ndege iso na rubani walisifu haigunduliki na uwezo kuzima mifumo ya mawasiliano ya adui lakini Irani waliifanya majivu Sasa nawapeleke tuone mujisifu tu na nyinyi kuwasaidia kawasifu halafu mje mutwambia.

    • @allykwaya
      @allykwaya 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mfumo wa anga Tehran Moscow anahusika kuulinda hivyo sio rahisi kupenya kirahisi.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Iran mtoto mdogo sana unaongea kwa mihemko na ushabiki wewe kwenye meza hapo lazima uwazungumzia America na urusi tu.

    • @danielmwandenga5369
      @danielmwandenga5369 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni sahihi dunia imebadilika sana we adi Israel miaka hii anaomba yaishe , mana dunia tamu san hii , irone done nayo inaona makombora ya supersonic , ila ya hypersonic aioni man yanakasi zaid y saut mara tano sasa yakitestiwa mengi kwke hoiii,

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@dasilvajr9647😂😂😂 wamarekani wanawaogopa wa iran ww ww skiliza habar za hovyo huko

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mrusi anaona hizo ww

  • @jumaseif7514
    @jumaseif7514 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ili tuamini kuwa haigunduliki na rada basi ajaribu kuipeleka kwa kiduku halafu apigege maeneo yake japo mawili.. Akifanya hivyo basi sitakuwa na shaka nae

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan kiduku anashida na America 😂😂 Korea kusini tu ilusha ndege juu ya anga kila siku

  • @HarounKhamis-ug1qd
    @HarounKhamis-ug1qd 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuchambulie tu-160

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapige waone israel alipiga ilan akapigwa kipigo chakuzidi wanatuambiaga ooh alipigana sikusita kwavile alisaidiwa na wanafki wakiarabu analibu aone

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    US watazidi kudhalilika nabado huu moto waliouwasha watashindwa kuuzima

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndege inatisha urus pekeyake bas Hawa marekan ni propaganda tu

  • @KhamisChaz-td4nz
    @KhamisChaz-td4nz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni udhaifu sana kutumia gharama na vitisho kwa vikundi vya wanamgambo kama houth ni dalili za kushindwa kumbukeni irani kashawaambia anamiliki silaha za siri na bora kuliko nyuklia sasa mchokozeni

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Heeee acha kwanza nchekee

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabla ya uchaguzi WA marekani Israel kasema atampa majibu yake Iran

  • @saidmwasemu-do5tp
    @saidmwasemu-do5tp 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bambo yamechemka kwel

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimegundua kuwa Africa 🌍 tuna madini Asian kuna mafuta American kuna silaha😂😂😂 kwaiyo vita kwa marekani ni biashara kwake ana viwanda vingi bila vita silaha auze wapi😂😂

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wameiba mafuta syria iraq Lebanon na kadhalika na bado watu wao wanateseka na kulala barabara 😂 kama wanampenda sana myahudi wa mchongo mbona wamfukuze wlete shida Palestine ji ulize kwa nini Hitler Alichoma na kusema nawabakisha kidogo muwajuwe tabia zao bila marekeni akuna kitu

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamarekani watalipa gharama ya mshambulizi kwa wahooth tusubiri kipigo kwa wamarekani

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yn wajiandae haswa make km mziki wa Osama uliwatetemesha huu je

  • @goodlegacytv5068
    @goodlegacytv5068 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Propaganda tu hizo

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni salamu hio wanatoa kwa Irani wasi jichanganye 😂

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    du sio poa

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sizani kama mchina hana hii maana wale jamaa ni Hatari sana..

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na wala hawaringi

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inaitwaje waarabu weusi bhana 😂😂😂

  • @ABALKASIM1
    @ABALKASIM1 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wambie wazipeleke urusi ndio tutajuwa b 2 au b 0

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na urusi wapeleke Zao marekani

    • @eradiusaporinary1130
      @eradiusaporinary1130 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@FredMwamgogwa-td6niF-16 marekani anayojiringia haikumaliza hata wiki urus alkuwa ameishaipiga chini bado ww humuogopi mrusi

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@eradiusaporinary1130 nani amuogope mrusi ambaye amemshindwa hata Ukraine 😂

    • @eradiusaporinary1130
      @eradiusaporinary1130 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@lakasid3860 marekan wana akili sana ndo maana hawataki vita na urusi kuna silaha urus anazo marekan hawana ndo sababu ya hofu hiyo marekan hawana roket za hypersonic kwahyo makombora yote ya marekan urus inaweza kuyaangusha lakin marekan haiwez kuangusha kombola la hypersonic ndo maana hata iran iliweza kushambulia israel pamoja na kuwa na iron dome kwahyo respect russia iko ahead of usa militarily. Patriot ilifyekelewa mbal ukrain e na sircon missile ya russia ni russia pekee inaweza kuangusha kombola la hypersonic tu kwa kutumia s-500 hiyo ni zaid ya patriot, thaad na iron dome.

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unajua maana ya hypersonic au unaropoka yaani marekani muanzilishi wa hypersonic useme Hana Una akili kweli​@@eradiusaporinary1130

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kuna pimbi et wazipeleke urus yan urus inayo pigwa na Dron za Ukraine 😅😅 ndio awez huo mziki 😂😂 mm nashanga pimbi za bongo yan mrus anapewa msaada na iran au kuna mwingn dron tu za Ukraine zinalipua Daraja je hiyo mashine itapiga mpka ikulu 😊😊 tuache utani American ndio Nchi pekee uwez shambulia ndan labd kambi alizo weka Nchi za watu

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe mwenyewe pimbi ndiomana unajichekesha chekesha ovyo mwanaume mzima hujui unaongea nini eti dron za ukrein nani alokwambia ukrein wana dron....usibweke sana kwa kuona urusi yupo na iran na north korea huyo bwana wenu marekani, ujerumani, uingereza, ufaransa, denmark, sweeden, hispania na nchi zote za NATO ambazo zinafika 30+ wanampa silaha ukrein ila bado washapokonywa maeneo kibao wamebakia kulia lia tu....wewe shoga na bado dawa ya marekani ndokwanza inaandaliwa, urusi+china+iran+north korea+venezuela+burkinafaso+mali+niger, hawa ndio watakaomaliza marekani na vibaraka wake ambao ndio nyinyi mashoga😅😅😅

    • @jumaseif7514
      @jumaseif7514 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww humtakii mema amerika.. Ukiona drone ya ukren imepiga urusi basi ujuwe ulikuwa ni mtego.. Kwani marangapi ukren kajaribu kuivamia urusi na akaingia ndani ya urusi halafu unajuwa alinyaa nini

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Endelea na mhemko yako tu ila iko siku utajua urussi ninani mzee wangu yani hao masha go wote nato wakutunishiana msuri na rassia nia America tu hao kenge wengine ni hakuna na kingine hakuna vita inayo weza kutokea kwa sasa Kati ya America na Russia

    • @alexshauri4899
      @alexshauri4899 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa mrusi izo ndege siyo kitu. Nakumbuka walivyokuwa natowa sifa kwa LOPARD TWO na AMBRAMS TANKS kuwa havipitishi risasi, kufika Ukraine mrusi akavichoma moto na kuviteka.
      Sila za usa zinatisha kwa nchi zenye uwezo mdogo kijeshi na kwa hayo makundi .

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wenzetu wametuacha mbari alafu kuna kenge za buza inasema America ataanguka 😅😅 kwan kwa hali hii acha waongoze Dunia mpka yesu aludi

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nawewe kachunge ng'ombe mpaka Yesu arudi kwa kujidharau.

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@omaryjumas6327 ww unajiweza kwa lipi 😅😅 kuoga tu uwez au nije nikufire

    • @gosbertireneus5558
      @gosbertireneus5558 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwani Yesu anakuja lini?,tuanzie hapo

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SINWAR AMEKUFA NDO HABARI YA MJINI 😂😂😂 ACHANA NA NDEGE

    • @Laughter_man
      @Laughter_man 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hi Mara ya ngap wanasema wamemuua sinwar kaka tulia sinwar bado yupo

  • @JaphetJairos
    @JaphetJairos 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poll😂😂😂😂

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    America kwa Propaganda tu wakovizuri mnoo

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sns fuatilia nnasikia Yahya Sinwar Wa Israel washamalizana naye ..

    • @HumudNassor-pg6lq
      @HumudNassor-pg6lq 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usisahau kumuliza na yule mkuu wamajeshi wa Israel hatumuoni

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@HumudNassor-pg6lq yupo 😂😂😂 tena alikuwa anawasiliana na wazir wa mambo ya njee America

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@HumudNassor-pg6lqwaarabu wamuue mkuu wa majeshi wa Israel kwa shule gani walio nayo

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wajichanganye tu tuingie kwenye vita vyatatu vyadunia wapuuzi ao

  • @simonitolya8029
    @simonitolya8029 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Putin ana bomu za kugonga hiyo ndege

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Linaitwaje Hilo bom

  • @salcle9702
    @salcle9702 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Urusi ni mavi tu na hao iran ni kipisi ya kinyesi wote watapigwa hiyo ndege anayo america tu

    • @SalumuChamkulu
      @SalumuChamkulu 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We endekeza ushoga

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na ndio ukwl Kaka

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SalumuChamkuluKeshaliwa huyo usinshangae😂😂😂

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wee si matako mwambie basi huyo mmarekani wako akashambulie urusi na hiyo b 2 kama haitaunguzwa kwa sekunde chache mrusi ni bingwa wa anga ana kila setilaiti ya kugundua hata kipepeo akipita juu yake apeleke basi hiyo b 2 kwa mkorea au muirani itadunguliwa chapu

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mrusi anayo S 70 ndege isiogundulika kwenye rada anaweza kuingia marekani na asionekane warusi ni mabingwa wa electronics kuliko marekani ndo maana wanachukiwa sana na mashoga.

  • @godcompeter9844
    @godcompeter9844 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Leta Story ya Kiongozi mkuu wa Hamas boss

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂kafa nini

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tyr amesha tangulia

    • @moonlightTv-me9zw
      @moonlightTv-me9zw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yule jamaa kafa

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@raydanfrenksio kweli Israeli wenyew wanahisi kua wamemuua lakini hawana uhakika

    • @othmanmalik6468
      @othmanmalik6468 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@kamanapomo7029Wameshathibitisha

  • @farajishafii-le4ml
    @farajishafii-le4ml 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apa naona vita ya tatu vya dunia