"Mawazo" Sehemu Ya 4. (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

ความคิดเห็น • 41

  • @user-nw9ny2il8n
    @user-nw9ny2il8n ปีที่แล้ว +6

    Am so exitedi na huyu baba jaman namfatilia namuelewa huu mwaka wa 5 kwa neema ya MUNGU nimejifunza meng nimebadilika kwa kias kikubwa 🙏🙏MUNGU endelea kunibarikia dr.Elly na team nzima ya chomoza na clouds tv

  • @jumannejisena3117
    @jumannejisena3117 ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiwe team chomoza tunajifunza vyema!!!!

  • @brown24photography
    @brown24photography ปีที่แล้ว +1

    Nitaprint picha ya Dr. Elie niweke subureni Mungu ambariki sana anawapa watu maarifa na mimi ni mmoja wapo

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 ปีที่แล้ว +2

    Mungu abariki uzao wako
    Na wazazi waliokuzaa huu ni mwaka wa 6 nakufatilia kwa team chomoza kila j2 nipatapo notification nadownload video zako
    Zimenipa mwanga ktk maisha yangu
    Mbarikiwe team chomoza ❤

  • @lichacarim8778
    @lichacarim8778 ปีที่แล้ว +3

    Salam nyingi za dhati kutoka kwangu kuja kwenu team chomoza am really touched by every teaching from the doctor. Am much glad for the continuity of the episodes. Carim from Kenya

  • @poliamgunda
    @poliamgunda ปีที่แล้ว +1

    Nipo pamoja na team chomoza, nawapenda daima

  • @egidekalume1085
    @egidekalume1085 ปีที่แล้ว +2

    Gloire à Dieu

  • @markkenneth3937
    @markkenneth3937 ปีที่แล้ว +2

    Asante Dr Elly hakika umebadilisha maisha yangu kwa mafunzo yako

    • @eliaspeter1258
      @eliaspeter1258 ปีที่แล้ว

      WISH nijue namna ya kufanya BOOKING ili aje Tanga

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 ปีที่แล้ว +1

    Umebarikiwa sana kwa uzao wako tunashukuru kupata elimu ya imani

  • @brown24photography
    @brown24photography ปีที่แล้ว +1

    Dr Elie Mungu akubariki sana

  • @ezramanjerenga9514
    @ezramanjerenga9514 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana!
    Aonavyo MTU nafsini mwake ndivyo alivyo. Somo zuri Sana katika kujitambua

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว

    Imani ni ruhusa kuwa wazo.

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 ปีที่แล้ว

    Asante Dr Elie ukweli Huwa nakuombea na mafundisho yako yamenibadilisha sana Mungu azidi kukutunza na namshukuru Mungu sana Kwa kunipa wewe

  • @nyamumwigeorge2263
    @nyamumwigeorge2263 ปีที่แล้ว

    Dr Elie Mwenyezi Mungu akutunze, akuongezee miaka ya kua hai ktk mwili wako ili upate kutugawia uelewa na mwangaza ambao yeye amekujalia, team chomoza naomba msaada wenu nipate flash ya clip za Dr Elie nikiwa ktk utulivu

  • @lucycharles477
    @lucycharles477 ปีที่แล้ว

    Thank you team Chomoza. Mungu akubariki sana Dr.Ellie..
    Tunaomba episode ya leo please

  • @djurio
    @djurio ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kiongezewe Muda at least 45 Minutes or 60 Minutes. Maana kinaruka hewani mara moja kwa wiki. Tunapata maarifa makubwa sana. Uongozi angalieni hili. Ikiwezekana mpunguze muda kwenye vipindi vya Burudani Masomo ya Dr. Elie ni nyeti sana.

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 ปีที่แล้ว

    Salaam za shukrani Dr. Kwa maombez yako ktk hitimisho la somo. Naam tukutane tena kesho maana hata wiki ijayo ni kesho. Salaam toka Mwanza🐟

  • @marcomtui4471
    @marcomtui4471 ปีที่แล้ว

    Mwambieni DJ Sam huko redio anatutoa kwenye upako na hizo background zake. Aaache wimbo uimbe Aaache madoido.

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    🥰🥰😍

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    Thanks Dr Ellie and team chomoza

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 ปีที่แล้ว

    Thank you..nabarikiwa sana

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 ปีที่แล้ว

    Shukran sana na muzidi kubarikiwa

  • @erastodaudi4349
    @erastodaudi4349 ปีที่แล้ว +1

    Jaribuni kuweka sauti vzr sauti inakuwa chini sana

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    Sawa bhana Dr Ellie kumbe ndo maana jua kali

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @mabadamabada8631
    @mabadamabada8631 ปีที่แล้ว

    Ambayo hayakuandikwa na yanatoka kwa MUNGU unayafundisha wewe ili watu wajisome vyema. Elimu nzuri!!

  • @EdmondMosi
    @EdmondMosi ปีที่แล้ว

    Cover iandikwe mawazo na sio majibu

  • @abednegopaul2705
    @abednegopaul2705 ปีที่แล้ว +1

    Yaanii huyu Mzee Mungu amzidishiee hizo falsafa na theologia zake ni hekima tosha kwetu

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 ปีที่แล้ว

    Kiukwel mm ni miongoni mwa wanafunz wenu , na kula matunda ya chomoza kila sku kimaisha .

  • @isayandege1837
    @isayandege1837 ปีที่แล้ว +1

    Yani kama fundisho ambalo Yesu au mitume hawakufundisha wewe una fundisha....umetoa wapi???? Dr unaongea mambo nyeti sana yani natamani nipate mawasiliano yako.....kweli ujumbe wa Kristo Yesu umepotoshwa na baadhi ya wajiitao watumishi wa matumbo yao

  • @samwelandondile2500
    @samwelandondile2500 ปีที่แล้ว

    Jaman team chomoza tunaomb dr elli vd akimaliza ili somo afundishe somo la kukataliwa maana tunateseka sana na kukatariwa

    • @mwatimeabdallah3523
      @mwatimeabdallah3523 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @samwelandondile2500
      @samwelandondile2500 ปีที่แล้ว

      @@mwatimeabdallah3523 mbona unacheka sasa

    • @mwatimeabdallah3523
      @mwatimeabdallah3523 ปีที่แล้ว

      Nimefurahia hicho unachotaka kijadiliwe

    • @user-oo6fb8tv8j
      @user-oo6fb8tv8j ปีที่แล้ว

      Kuna mahali nilisoma kukataliwa kunaanza na kujikataa mwenyewe kwanza,so ukijikubali utakubalikaa

  • @nathanieljonasi6385
    @nathanieljonasi6385 ปีที่แล้ว +1

    Dr vitabu vyake vinapatikana wapi?

  • @brown24photography
    @brown24photography ปีที่แล้ว

    Wanao record sound hawako gud sauti iko chini sana

  • @josephanania4756
    @josephanania4756 ปีที่แล้ว

    Shule ni mpango wa binadamu Ili kuendeleza mpango wa binadamu

  • @mleusatoshi3278
    @mleusatoshi3278 ปีที่แล้ว

    wokovu -