"Mawazo" Sehemu Ya 10 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

ความคิดเห็น • 22

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว +7

    Tofauti zetu wanadamu ni namna tunavyowaza.Kukanusha tuliyoyajua na kujifunza upya katika ubora zaidi. Sheria ni kwa kila kitu. Historia ni mpangilio wa mambo ndani ya muda.Lengo la sheria ni kudumisha haki. Historia ni misingi ya kale ya ukoo wako. MWENYEZIMUNGU anahesabu haki stahiki tu. Asante, nimejifunza .

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 ปีที่แล้ว +2

    Asante dokta for your lesson maisha yangu yamebadilika sana kupitia wewe Mungu azidi kukutunza uzidi kutuimarisha zaidi kiroho na kimwili

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 ปีที่แล้ว +3

    Thanks Dr. Elie for such eye opening lessons. I'm indebted to you. Life has become better and relationships manageable for me through your lessons. God bless you for always showing up.

  • @brown24photography
    @brown24photography ปีที่แล้ว +1

    Mungu ambariki Dr. Elie tunapata maarifa muhimu maishani kwetu tena bure ❤️

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 ปีที่แล้ว

    We ni muhim sana kwangu Baba

  • @bestitz7633
    @bestitz7633 ปีที่แล้ว +1

    Thanks 🙏

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 ปีที่แล้ว

    🔥 🔥

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 ปีที่แล้ว +1

    Pure love, Thank you team chomoza God bless you

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @mohammedikidwaka9013
    @mohammedikidwaka9013 ปีที่แล้ว

    Asante dokta kwa somo zuri. Naomba nijue na ss waAfrica tuna nguzo zetu nne muhimu au imekaaje. Manake ninachokijua mm wayahudi na waarabu wote ni Ibrahimic faith na wote naona wanajitahidi sana kufata mafundisho ya ancestors wao.
    Je ss waAfrica tuna vitabu na mafundisho yetu tunatakiwa kuyafuta ili tufaulu vizuri zaidi.
    Kwa mfano ukifatilia historia ya wazee wetu wengi wa zamani walioa wake wengi na cha ajabu migogoro na taraka hazikuwepo. So inawezekana ss kuiacha hili fundisho ndio maana kila leo tunaacha na kugombana. Tafadhari dokta naomba unisaidie kuelewa dini yetu ss wanaAfrica ni nn na ipi.

  • @katulalazaro4606
    @katulalazaro4606 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @marrykundya5629
    @marrykundya5629 ปีที่แล้ว

    Thank you so much 🥰

  • @user-ps7id8wk3r
    @user-ps7id8wk3r ปีที่แล้ว

    Much lov♥︎♥︎♥︎♥︎♥....

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @linuslucas-gq9tg
    @linuslucas-gq9tg 5 หลายเดือนก่อน

    kwanini mawazo sehemu ya saba haipo kwenye channeli yenu ya chomoza ?

  • @geraldndibalema-dc3wg
    @geraldndibalema-dc3wg ปีที่แล้ว

    Du! Mungu mwema Kila wakati

  • @johnjohnmaganga6594
    @johnjohnmaganga6594 ปีที่แล้ว

    Napendelea sana hivi vipindi lakini mnahitaji kurekebisha sound ya kipindi...ipo chini sana kiasi kwamba inahitaji umakini sana kusikiliz

  • @user-ps7id8wk3r
    @user-ps7id8wk3r ปีที่แล้ว

    Nilikua naisubiri kwa hamu sana...

  • @neemaurassa6208
    @neemaurassa6208 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafunzo mazuri, ila hapo ulipotaja Yuda nadhani ni Tomaso kwa Mujibu wa Biblia ndiye alitaka kuona ushahidi wa makovu ya Bwana Yesu. Kama ndivyo Tafadhali sahihisha kipindi kijacho ili twende pamoja

  • @katulalazaro4606
    @katulalazaro4606 ปีที่แล้ว

    Leo nimekua mtu wa tano

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 ปีที่แล้ว

    Daah nazisubiri kwa hamu hizo kkkk