Somo "Akili" Sehemu Ya 9. Dr.Elie V.D Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#GospelUpdates#2020

ความคิดเห็น • 26

  • @irenenguku8198
    @irenenguku8198 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana kwa masomo maana yamenibadilisha Sana katika maisha yangu ...Yani nimekuwa mtu wa furaha Sana. kweli furaha unayo mwenyewe sio kwa watu Asante Sana Dr..

  • @reganpaul8542
    @reganpaul8542 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuu doctor uko viziru Mungu akupe maisha marefu ili tujifunze zaidi kutoka kwako

  • @marrykundya5629
    @marrykundya5629 4 ปีที่แล้ว +3

    Nafunguka sana kupitia wewe Dr.Mungu azidi kukupa afya njema,utufundishe zaidi

  • @brysonkaaya1059
    @brysonkaaya1059 2 ปีที่แล้ว

    nashukuru sana jamani ninawafuatilia vizuri mungu awabariki sana

  • @gerryndyamukama9058
    @gerryndyamukama9058 2 ปีที่แล้ว

    Ili kupata haki,amani na furaha LAZIMA kwanza umkubali na kumkiri YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako. Yeye TU ndio ufunguo wa kukupeleka mbinguni hakuna njia nyingine yyte.

  • @ndayizeyedesire8767
    @ndayizeyedesire8767 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba wageze muda please chomoza tunapenda sana mafundisho ya Dr Elie

  • @ramadhanimgonja3462
    @ramadhanimgonja3462 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa madini Dr elie mafundisho yako yamefanyika baraka kubwa maishani mwangu.

  • @joelkahesi7280
    @joelkahesi7280 4 ปีที่แล้ว +1

    A Truly Hub of Hope.

  • @adamusamson5279
    @adamusamson5279 4 ปีที่แล้ว

    Naendelea kujifunza. Asante sana Dr.

  • @saimonalfred3596
    @saimonalfred3596 4 ปีที่แล้ว +4

    Tunangojea kipindi week 2....unakuja kumpa Dr Elie dk 28 kweli? Fanyani mpango jamani muwe mnarecod kipindi off camera cha masaa 2 mtuwekee TH-cam itasaidia kumaliza topic kwa haraka....maana Dr anamasomo mengi yakutufundisha....matumaini yangu mtafanyia kazi hilo

    • @riikostar5950
      @riikostar5950 4 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa, hekima inahitajika sana hapo kwa waandaaji. najua walifungiwa kwahiyo hawakuweza kurecord, sasa si waje na saa nzima ya kipindi kifidia.. alafu Dr Wli kuna maswali mengi anatakiwa kutoa somo, mfano Malaika nk

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 4 ปีที่แล้ว +1

    Haki, amani ,furaha ni vigezo na ufunguo wa kuingia katika ufalme wa MUNGU. Vigezo hivi ni kwa watu wote. Hakuna dini hapa Jimmy! Chomoza ni maswala ya kujenga watu tu , siyo "dini"

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      Hii ndo injili aliyoifundisha Yesu Kristo. Yesu hakufundisha habari za dini.

  • @godlistenemanuel4329
    @godlistenemanuel4329 4 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe chomoza

  • @humphreydavies9439
    @humphreydavies9439 4 ปีที่แล้ว +5

    Muislamu ni nani? na Mkristo ni nani? 😂😂 Dr wise sana🙌

    • @revocatusbyabato6010
      @revocatusbyabato6010 4 ปีที่แล้ว

      AWAJAMAA WANAOFUNGUWA ACCOUNT BILA KIBALI CHA DR ELLIE WATAFUTWE NAWASHITAKIWE

  • @Iam_stansTz
    @Iam_stansTz 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr Elie Vd nina swali, naomba kuelekezwa. Biblia inaposema iheshimu siku ya bwana na kuitakasa. Je siku ya bwana hasa ni ipi?

  • @davidtukiko2545
    @davidtukiko2545 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe kitu physically kama mungu hakuna!!! Ni imani tu.

  • @kelvinvenance3627
    @kelvinvenance3627 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye FURAHA NI MWENUE IMANI
    Haki n BAYANA YA IMANI
    MWENYE uhakika ndio mwenye HAKI

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

    Ila jimy jitahidi kusoma na kutafakari maandiko. Nakuona uko mweupe sana. 🙉🙉🙉😆😂Nakushauri vzr tu kwa upendo.

  • @romanstephen4101
    @romanstephen4101 3 ปีที่แล้ว

    Hakika akili anafanya kazi yake

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 4 ปีที่แล้ว

    Tukutane next week

  • @BornBush255
    @BornBush255 4 ปีที่แล้ว

    Dr, Kwa Ufunuo huo huo Tafadhali tuambie na Shetani ni Nani?

  • @davidtukiko2545
    @davidtukiko2545 4 ปีที่แล้ว

    Dr Mungu ni imani kwa hiyo hakuna mungu physically? Hebu weka wazi hapo

    • @dr.elievd.waminian5835
      @dr.elievd.waminian5835 4 ปีที่แล้ว +2

      Karibu, ndugu Manfred.
      Vyote ambavyo ni vya kimwili (physical) vimesababishwa na visivyo vya kimwili ( Non-physical or immaterial).
      Umungu ni sababu, sio matokeo.
      Mungu akubariki
      Ahsante!

    • @egbertmachumu8552
      @egbertmachumu8552 4 ปีที่แล้ว +2

      Dr. Waminian V. D tengeneza jukwaa lako, muda ni mfupi sana kupitia chomoza. Ujumbe haufiki kamili.