"Mawazo" Sehemu Ya 3 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

ความคิดเห็น • 38

  • @ezekielijohn3834
    @ezekielijohn3834 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wachawi na waganga tusiwapinge, wanadhihirisha uwepo wa Mungu muumbaji❤

  • @documentariestvshow
    @documentariestvshow ปีที่แล้ว +5

    Naendleea kusisitiza somo hili ni nyeti. Bwana Mungu awabariki wasikilizaji pia tuweze kuelewa na kuweka katika maisha yetu ya kila siku. Mbarikiwe nyote

  • @isayandege1837
    @isayandege1837 ปีที่แล้ว +2

    Leo mzee wangu nimekuelewa sana....ya kuwa ukristo ni uhusiano kati ya Mungu na mtu....Kristo ni kwa watu wote...yani alikufa kwajili ya watu wote....

  • @maholokeramabushe8519
    @maholokeramabushe8519 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa Divin Mabali ni kiwa Rdc uvira naipenda sana chomoza tv zaidi kipindi cha dr Élie Mungu wa bariki pamoja nasi

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 ปีที่แล้ว +3

    Nasubiria vitabu by aDr Ellie yaan kila j2 naidownload ili nipate washa wa kuiskiliza😂kwa utulivu
    Mbarikiwe timu chomoza hakika hii ni zaidi ya elimu ya darasani
    Ukimwelewa Dr umeelewa maisha

  • @dktneynyanda4209
    @dktneynyanda4209 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki Sanaa walioandaaa hiki kipindi mungu aendeleee kuwapa Maono makubwa zaidi

  • @user-nw9ny2il8n
    @user-nw9ny2il8n ปีที่แล้ว +2

    Nawafatilia sasa yapata ni miaka mi 5 asanten kwa dr.Ellie wetu hakika najifunza namuelewa alafu nakaa kimyaaaa

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 ปีที่แล้ว +2

    "Dunia inakutambua unavyojitambulisha, lakini Maisha yanakutambua unavyojitambua. Pia Ulimwengu unakutambua unavyo jitambua". kujitambua (Identity) binafs nafikir ndyo kiwe kichwa cha somo. Labda pendekezo hili ni kwakuwa; nimetokea kuipenda elimu na maarifa ya kujitambua kabla ya elimu nyngnezo. Ikipendza Dr. Tuandalie kitabu peke cha somo hili maana binafsi sijui ni kwa nin? Nisomapo maarifa ktk kitabu naelewa kwa upana zaid na kwa utulivu kuliko njia nyngnezo. Pongezi Sana kwenu wana wa ufalme wa Mungu si wana dini. Nikmnukuu pia Dr. Myles Munroe.🌅🇹🇿

  • @rehemaelibariki9222
    @rehemaelibariki9222 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifahamu kupitia masomo yako
    Endelea kubarikiwa Docto

  • @samuelbahizire761
    @samuelbahizire761 ปีที่แล้ว +3

    I call this school of life
    Thank you for making us think ...merci infiniment cher docteur ELIE

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dr Elie Mungu azidi kukupa maarifa ili utusaidie.

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +6

    Pure physics, nice to listen hard to understand

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 ปีที่แล้ว +1

    Unanitafsiria nilichosoma kama naangalia muvie asante sana

  • @josephanania4756
    @josephanania4756 ปีที่แล้ว +1

    Nimekua nikimfuatilia sana Dr Hayati Myles Munroe. Naona roho yake ndani ya Dr Ellie. Miili ni tofauti ila Roho ni yuleyule atendaye kazi ndani yetu. Ashukuriwe Mungu Kwa kipindi hiki

  • @johnfubusa1598
    @johnfubusa1598 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki mara dufu
    Dr eli hakika wewe ni mwalimu mzuri nakupenda sana

  • @user-nw9ny2il8n
    @user-nw9ny2il8n ปีที่แล้ว +2

    Naomba mnialike juma pili ijayo nije nimsikilize Dr.ana kwa ana tafadhar naomba nimuone dr.Ellie uso kwa uso nitapona vitu ving sana

  • @leonardphilip565
    @leonardphilip565 ปีที่แล้ว +2

    Very good message

  • @djurio
    @djurio ปีที่แล้ว +3

    Time Keeper. Ninaomba Hiki kipindi kiongezewe Muda... Ni masomo nyeti sana ila yamebaniwa muda... (30Minutes) na umuhimu wa masomo haya ni kidogo... Management ifanyie kazi hili...

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana Team chomoza, Mungu atubariki tuendelee kujifunza

  • @adammzambili
    @adammzambili 2 วันที่ผ่านมา

    safi kabisa

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 ปีที่แล้ว

    YAANI DR ELIE.. OH MY GOD
    THIS KNOWLEDGE YOU ARE GIVING US IS SUPERBIG GOSH!! THANK YOU GOD🙏

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 ปีที่แล้ว

    Heshima Baba

  • @lilianmkindi3058
    @lilianmkindi3058 ปีที่แล้ว

    Am so proud of you Dr.Elly
    Can I get a book for this lesson please

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa Dr Ellie unayosema kumbe kuangalia juu ni ishara ya unyenyekevu hata mimi nilikuwa sijui wakati mwingine tunafanya mambo bila kujua

  • @mleusatoshi3278
    @mleusatoshi3278 ปีที่แล้ว

    Uni-verse, individuality, Brilliant Knowledge... & Thank you

  • @geoffreyluvanda7801
    @geoffreyluvanda7801 ปีที่แล้ว

    Usilalamike kuwa namwambia kila siku hanielewi muonee huruma kwani hata yeye mwenyewe hajielewi its sad but nikwer..powerful statement from Doctor Elly

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 ปีที่แล้ว

    Thanks for a powerful lesson. We are indeed waiting for the book to be out. Probably do it in series just as your lessons have been. Much appreciated.

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 ปีที่แล้ว

    Respect

  • @djurio
    @djurio ปีที่แล้ว +1

    Asante. Vile vitabu vitatoka lini?

  • @wabaremasandiko1024
    @wabaremasandiko1024 ปีที่แล้ว +1

    Vitabu tunasubili xna fanyeni hima tupate madini!

  • @neemaandrew4776
    @neemaandrew4776 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano tunahitaji kumualika mbeya

  • @johnmwanganda491
    @johnmwanganda491 ปีที่แล้ว

    Maisha yanakutambua unavyojitambua

  • @Sospeter-D1995
    @Sospeter-D1995 ปีที่แล้ว +2

    Vitabu

    • @josephatulomi9458
      @josephatulomi9458 ปีที่แล้ว

      Ninamshukuru sana kipindi hiki cha Dr Ellie, ni vema uwaze kuanza school of life! Hatujui maisha wa maana halisi ya kuishi!

  • @Muka_26
    @Muka_26 ปีที่แล้ว

    Doctor m nina swali sisi ni sura na mfano wa Mungu kwanini hatuwezi fanya mambo makubwa ata tu robo ya mambo ambayo Mungu alifanya na anafanya??

    • @hezkez8734
      @hezkez8734 ปีที่แล้ว

      Pengine me nadhani ni kule kupungukiwa na utukifu wa kujitambua. Tukiweza kujitambua ipasavyo sisi ni akina nani haswa, pengine at flow ya mawazo yetu itakua ktk hali ya uchanya, na utambulisho wetu utatambulika kiulimwengu ktk usahihi wake. Ukitaka kujua kua utukufu wako umepunguka, ona vile mbu watakavyokutesa usiku kama hujalala bila neti au kupuliza dawa.., just a tiny insect like that can humiliate you..

  • @enockjumanne6308
    @enockjumanne6308 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuwabariki kikamilifu nawapenda mno 🙏🏽🌺❤️