Mungu amenipa kibali leo kufatilia mahubiri na mafundisho ya bibilia kwa muda wa msaa3si kawaida yangu kila nikitaka kuangalia hua napata usiingizi asante Mungu nimebarikiwa sn pia nimejifunza vitu vikubwa barikiwa mtumishi
Mungu atusaidie baba....natamani sana niachane na mshahara nifanye mambo yangu ila sioni namna yakujinasua...Maombi yako baba ili nipate kutoka hapa....barikiwa sana
Ameni barikiwa Sana mtumish, hili SoMo naona limenilenga kwa kiasi furan, hasa kumsogelea mtu nisie mjua, pia ndoto nyingi naota nazini Ila Sina ata mpenzi ndoto hizi sielewi
Mshahara ni madawa ya kulevya ninayopewa na mwajiri ili nisahau ndoto zangu 😭😭😭. This hits me so differently, Mungu wangu naomba nisaidie niukomboe wakati
Mchungaji Bwana asifiwe napenda kuuliz kuhusu hapo kwenye kuongeleshwa na Mungu Mimi mara KWA mara naweza mkumbuka mtu fulani na siku hiyo lazima aje nyumbani ama nikutane naye njiani na ninaweza kukaa na mtu na nikasikia kuwa utafanya Jambo fulani na muda huo huo nateuliwa kufanya Hilo Jambo naam hii hali niitambueje au niisimamieje kwa kujua kuwa ni ya Mungu ama
Mungu akubariki na barikiwaga sana ivi ninavyo kufatiliya nimerudiya tena kuisikiliza hii kwa mara tena yaani hata ni sivyo sikiliza sina amani. Mimi ni mcristu ila ninavyo kufatiliya naona naelewa neno lamungu. Please naitaji angalau ni pate namba yako ya sim nikaelewe zaidi. Amen 🙏
@@MahubiriPrMmbaga mambo yapi ambayo umtenga mtu mbali na uwepo wa mungu na kijana wa kiadvestista msabato Ni mambo yap hatakiw kufanya nataman kuisoma biblia kuijua kwel lakin nasoma bila kuelewa nasoma kama gazeti
Uko tapeli Nani alikuambiaka kama kila siku mtu anaweza toa sadaka ? Ukaangalia bibilia hakuna mtu alitoa kila siku. Nyinyi munaingiya kilasiku kanisani n'a munashurutisha watu watoe kila siku, munasomaka bibilia ya wapi ?
Asante sana Pastor nampenda sana huu Mungu Baba yangu. the way he does talk to me. I humble myself to my God
Ee YESU naona aman moyoni Asante sana
Mungu nisadie niukombee mda
AMEN mtumishi wa Mungu. Tabia zangu zimuakisi Kristo ili niwe barua ya wazi inayosomwa na watu wote.
Mchungaji Mungu azidi kukupatia maisha marefu, ninachangamito ya kifamilia Ila kwa Iman ya bwana wetu kristo nitashinda mniombee
Mungu amenipa kibali leo kufatilia mahubiri na mafundisho ya bibilia kwa muda wa msaa3si kawaida yangu kila nikitaka kuangalia hua napata usiingizi asante Mungu nimebarikiwa sn pia nimejifunza vitu vikubwa barikiwa mtumishi
Ukidhaminii kidogoo trust me sikuzote mungu anakuongezea zaidi ninao ushuhuda, Ila kutoa ndio Kila kitu
Amen kabsaa alarm ya Mungu ipo,ila tunaipuuza naomba urejesho wa kimungu in Jesus mighty name Amen 🙏
Mungu atusaidie baba....natamani sana niachane na mshahara nifanye mambo yangu ila sioni namna yakujinasua...Maombi yako baba ili nipate kutoka hapa....barikiwa sana
Mungu akufungue macho
Very true ni Kwa neema tuu ya bwana YESU MUNGU atupe nguvu ya kumpenda na kumtafuta Kwa hiiii, utukufu Kwa MUNGU ALIE JUU HALLELUJAH AMEN
Ameni barikiwa Sana mtumish, hili SoMo naona limenilenga kwa kiasi furan, hasa kumsogelea mtu nisie mjua, pia ndoto nyingi naota nazini Ila Sina ata mpenzi ndoto hizi sielewi
Mshahara ni madawa ya kulevya ninayopewa na mwajiri ili nisahau ndoto zangu 😭😭😭. This hits me so differently, Mungu wangu naomba nisaidie niukomboe wakati
Sio wewe tu rafiki Yani hiyo kauli imenipa funzo nafanya kazi lakini nawaza sana kufanya yangu
@@mauricejuma8487 😭😭😭
How
Amina!! Nimwangalie Yesu kwa kila kitu
Hapo pa kufasiriwa ndoto! Mwokaji
Mimi ningemwambia Yusufu Niombee kwa Mungu wako hukumu ibatilishwe!!!…
Ni kweli pasta Mungu na atusaidie
Napataga Imani sana nikisikiliza mahubiri yako,Mwe/Mungu akuongoze Sana.
Ameen mchungaji uzidi kubarikiwa maana nimebarikiwa na neno
Asante sana mchungaji ubarikiwe sana . MUNGU atulinde katika inchi ya CONGO .
fantastic
Pr.ipo ck ntakuona Tuongee. MUNGU akutunze.
Ni kwa neema ya mungu kuwa jinsi nilivyo
éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Asante sana mchungaji kwa masomo aya ubatikiwe Sanaa
Amen 😊😊🇰🇪
Amina mchungaji
Mungu azidi kukubariki
Funzo nzuri sana
Barikiwa mchungaji Mbaga. Kazi yako tunaiona
ubarikiwe muchungaji
Bwana yesu asifiwe mahubiri mazuri
Amina mtumishi naomba maombi yako
Barikiwa sana kwa somo zuri.
amina nabarkiwa sana na mahubiri
Amina am ever blessed na your teachings
Mchungaji Mungu akubariki nakuombea upone mafua
AMINA MTUMISHI
Najifunza mengi kupitia hii channel. Mungu akubariki sana pastor 🙏🙏
Angalia SEHEMU ya pili kwa kubonyeza hapa th-cam.com/video/sauGthN1Q34/w-d-xo.html
Asante kwa part 2
Aminaaa! Pastor
POLE SANA MAFUA HAYO YAKASHINDWE KWA JINA LA YESU MUNGU AKUPONYE HARAKA
Amen. Nabarkiwa kwakweli
Naomba maombi yako yamponye mama yangu ambae amesumbuliwa na maumivu ya miguu kwa muda mrefu
Amen, Mungu akubariki sana pastor
AMEN MTUMISHI UBARIKIWE
MUNGU akutie nguvu sana
Mchungaji Bwana asifiwe napenda kuuliz kuhusu hapo kwenye kuongeleshwa na Mungu Mimi mara KWA mara naweza mkumbuka mtu fulani na siku hiyo lazima aje nyumbani ama nikutane naye njiani na ninaweza kukaa na mtu na nikasikia kuwa utafanya Jambo fulani na muda huo huo nateuliwa kufanya Hilo Jambo naam hii hali niitambueje au niisimamieje kwa kujua kuwa ni ya Mungu ama
Hiyo ni nguvu tuliyo umbwa nayo. Ijapokuwa kuna wakati Mungu anaitumia kuongea nasi
Mungu akubariki Mtumishi
Amen amen🙏🙏🙏
Barikiwa san pastor
Asante muchungaji kwa mahubiri naacha hii kazi naenda kumtumikoa mungu
mungu afungue njia kwa kuamua kumtumikia mungu wa mbingun
@@agneskilindu5927 amen
True be blessed pastor 🙏
ubarikiwe mchungaji
Aminaaa. Ubarikiwe
Be blessed man of God, the message has inspired me
Be blessed servant of God.
Amen be blessed pastor
Amen pr Mmbaga
I can't wait for part two
Amina mchungaji
Pastor ubarikiwe
Asante nahitaji namba yako ya simu,,,ni mara ya kwanza nakusikia hata jina sikufahamu,,
Nambar ya simu
God bless you
Amina baba
Mungu akubariki na barikiwaga sana ivi ninavyo kufatiliya nimerudiya tena kuisikiliza hii kwa mara tena yaani hata ni sivyo sikiliza sina amani. Mimi ni mcristu ila ninavyo kufatiliya naona naelewa neno lamungu. Please naitaji angalau ni pate namba yako ya sim nikaelewe zaidi. Amen 🙏
Ameeeeen pasta
Ubarikiwe
Ameeeen,Ameeen kubwaa
Natamani kupiga simu,namba sijui naipataje
Amen amen
Amen God bless you pastor David am blessed and l learned alot keeped up 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah
Mmeanza utapeli wenu kwa kutumia dini
Amina
Tunatokaje hapo maana tumeshatumbukia huko
Amen
Pastor Naomba msaada wako nina changamoto ya kiafya!
31:08-
Mithali 11:29_Ataabishaye nyumba yake mwenyewe ataurithi upepo; mpumbavu atakuwa mtumwa wa mtu mwenye moyo wa akili.
Kwa ulevu wake
Mjungaji uyu ni wa Nai yaan city ya kenya
Anima
Amen🙏🙏
Ameeeen
Jamani natafuta darect number ya sim ya mchungaji mbaga
Tuma ujumbe wa Whatspp +255 755 932 283
@@MahubiriPrMmbaga asante
Ahsant
Nataman nipate aman ya moyo lakin kila siku narud dhambin
Soma Warumi sura ya 3 mpaka ya 7 ukiwa umetulia
@@MahubiriPrMmbaga mambo yapi ambayo umtenga mtu mbali na uwepo wa mungu na kijana wa kiadvestista msabato Ni mambo yap hatakiw kufanya nataman kuisoma biblia kuijua kwel lakin nasoma bila kuelewa nasoma kama gazeti
🙏🙏🙏
🙏
Mmmmh
Uko tapeli Nani alikuambiaka kama kila siku mtu anaweza toa sadaka ? Ukaangalia bibilia hakuna mtu alitoa kila siku. Nyinyi munaingiya kilasiku kanisani n'a munashurutisha watu watoe kila siku, munasomaka bibilia ya wapi ?
Amina
Amen Amen
Amen and Amen
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen
Amen and Amen 🙏
Amina
Amen 🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen
Amen
Amen 🙏🙌🙏
Amen