I have been following you and pastor kapola for 2 yrs. I like your style of teaching kwasababu kanisa lako halina kelele. I listen to you in my car every morning at 5:30 and at 21:00 nikilalala. Very calm teaching pastor
Yani Mtumishi unatupatia, sisi binadamu tuna jisahau kutangaza utukufu wa mungu kwanza kwa zawadi iliokuwa ndani yetu Ila tunajisahau tunaanza kujisifu sisi
Postor naomba uniombeee nimeota na mm yangu aliyekufa miaka kadha iliyopita kwamba naomba watu wanisaidie kutoa jeneza lake kaburini niliongeze. na walifanya hivyo nawakarudisha tena kaburini hii nini mtumishi ?
Daaah ni muislam ila kuna kitu nimejifunza Ahsante Mungu
My Genius pastor mmbaga, waga unapiga penyewe Mung akupe nguvu Sana uendlee kuelimisha vjana
AMEN mtumishi wa Mungu. Mungu aendeleee kukuimarisha na kukuongeza zaidi
Pastor I'm really touched with your preaching may God bless you, I will never give up in life Amen 🙏🙏
Mungu azidi kukuinua ,nimebarikiwa na umeniokoa kwa kiwango kikubwa Mungu ndiye anayejua.
Nabalikiwa Sana Mutumishi nyakati hizi ni hatari MUNGU atu fungue macho yakiroho tumekuwa vipofu was neno kalibu SOngwe
Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu, Mungu akuinue sana na kukutunza. Nimeondoka na vitu vingi na Mungu anipe neema ya kuvitendea kazi, Amen
Umesema Ukweli kabisaa, AMEN ubarikiwe
Mungu Asante kwa Huu ujumbe… ubarikiwe mtumishi
Amen pr
Pasta mafundisho haya zimebarikiwa.Nazi pata kamili.Mtumishi ubarikiwe sana Happy New Year to you and your family
Asante Mungu akubark
Amina mchungaji najifunza mengi kwako Mungu akubariki
Asante kwa somo
I have been following you and pastor kapola for 2 yrs. I like your style of teaching kwasababu kanisa lako halina kelele. I listen to you in my car every morning at 5:30 and at 21:00 nikilalala. Very calm teaching pastor
Mchungaji mimi huwa naota ndoto sana nipo shuleee yaan sielewi nisaidie
Nimebarikiwa kabisa you have changed my life for real be blessed man of God 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa Sana mtumish
Nimebarikiwa na mafundisho pastor..
Mahubiri yamenigusa sanaaa
Thanks paster for good teachings
Amen be blessed pastor
Amina mchungaji Davi.
Ubarikiwe Mtumishi ..
MUNGU AKUBARIKI PASTOR.
Yani Mtumishi unatupatia, sisi binadamu tuna jisahau kutangaza utukufu wa mungu kwanza kwa zawadi iliokuwa ndani yetu Ila tunajisahau tunaanza kujisifu sisi
Ubarikiwe sana Pastor
Mungu akubariki
Mchungaji umenibaliki nilikua nakata Tamaa sasa naongeza bidiii
Amine
Mbona mimi nimetengenezewa matukio ya ajabu na ya uongo nachezea pesa
Nimejifunzaa mtumishi ctamdharau mtuu
Haya sasa ndio maubiri
Barikiwa
Jamani wapendwa mwenye namba za mchungaji mbaga naomba anitumie
Amen Amen
Amen Amen jamani Sadaka tunatoa kwa number gani ??
Ameeen
Amen
Ameeni
Amina 🙏🙏👏
Ameeen..
Amina
🙏🙏🙏
Postor naomba uniombeee nimeota na mm yangu aliyekufa miaka kadha iliyopita kwamba naomba watu wanisaidie kutoa jeneza lake kaburini niliongeze. na walifanya hivyo nawakarudisha tena kaburini hii nini mtumishi ?
Umeupiga mwingi
Amina mchungaji tufungue kwa neno lako
🤣🤣🤣🤣🤣
Amina
Amen
Amen