SAJNA ft. JOSEFLY - MGANGA_YAMENISHINDA (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Video mpya ya SAJNA ft. JOSEFLY, wimbo unaitwa MGANGA, na wa pili unaitwa YAMENISHINDA.Ni story moja ndio maana nyimbo zote mbili zote zipo katika video moja. Imetengenezwa na kampuni ya SHOWBIZ DEFINED chini ya Eryne D. Epidu. Video script imeandikwa na JOSEFLY. Mganga Audio produced by Amba na Yamenishinda audio produced by Kid Bwoy, Tetemesha Recordz.

ความคิดเห็น • 634

  • @JumanneSelemani-x4g
    @JumanneSelemani-x4g 8 หลายเดือนก่อน +134

    Kama umefika 2024 salama na hi nyimbo nipeni like zangu wadheee

  • @LucyRobert-g3c
    @LucyRobert-g3c 9 หลายเดือนก่อน +88

    Wanao itazama Ngoma hii 2024 like please

  • @fredythomas1848
    @fredythomas1848 ปีที่แล้ว +32

    Dah naikubali sana ii ngoma kama bado upo nayo gonga like hapa 2023

  • @NeemaLameck-c6q
    @NeemaLameck-c6q 5 หลายเดือนก่อน +40

    Tunao tazama 2024❤❤ like hapo

  • @G-meJames
    @G-meJames 8 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mganga noma kweli...Rapa mmoja mkali mno...hata sijui jina lake...here in 2024 kujikumbushia

  • @SsconcreteMbezi
    @SsconcreteMbezi 7 หลายเดือนก่อน +26

    2024 apa ngoma bado inogile🔥🔥🔥

  • @aclesaclemence8784
    @aclesaclemence8784 7 วันที่ผ่านมา +1

    Old is gold, Mungu atusaidie soote tunaotazamia kuuendea mwaka 2025 kwa neema zake

  • @Itawon_Genus_Cleaning
    @Itawon_Genus_Cleaning 3 ปีที่แล้ว +42

    Sunday, August 22, 2021..
    Wangapi wako hapa na hii ngoma bado iko kwa playlist.

  • @mtumishihewa7595
    @mtumishihewa7595 5 ปีที่แล้ว +128

    2019 ngoma bado inatazamwa...gonga like kama unaikubali forever

    • @mawiamlabon5814
      @mawiamlabon5814 4 ปีที่แล้ว +1

      Mizk zamin bwana sas hiv du fullu shida

  • @saidinassorotz8105
    @saidinassorotz8105 5 ปีที่แล้ว +450

    mistari ya mganga kama umekubali gonga like yako hapo 2018_2019

  • @itsafrikanah769
    @itsafrikanah769 4 หลายเดือนก่อน +6

    I had to come back in 2024 and listen to this song which made my childhood memories live.
    Mnipe likes zangu

  • @254_teabuzz.
    @254_teabuzz. 4 ปีที่แล้ว +184

    kama umefika 2020 na huu wimbo wapi likes sajna jamani

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 6 ปีที่แล้ว +68

    Mganga nimekupenda kweli sio kwa kuflow huko

    • @ilhamirfan9994
      @ilhamirfan9994 5 ปีที่แล้ว

      Doctor are u artist or Reality witch

    • @salimmwinyi1216
      @salimmwinyi1216 4 ปีที่แล้ว

      Mganga ana flow Kali sana

    • @salimmwinyi1216
      @salimmwinyi1216 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ilhamirfan9994 his is an Artist see the way he flows

    • @danielmwass8782
      @danielmwass8782 4 ปีที่แล้ว

      Nakubali Sana2020 bdo 2naitizam

  • @YusuphKapita
    @YusuphKapita 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ingeimbwa mwaka 2024
    Mganga angekuwa mwakatobe humu😅😅😅

  • @michaelmwiti4619
    @michaelmwiti4619 4 ปีที่แล้ว +18

    Hii ngoma ilinibamba sana enzi zile, bado naipenda sana 🔥 🔥 🔥

  • @dennislugano6332
    @dennislugano6332 3 ปีที่แล้ว +8

    Sajna nowadays uko wapi,,nyimbo zako zilikuwa Zina ujumbe Sana mzee🙌🙌

  • @hawamazengo5807
    @hawamazengo5807 3 ปีที่แล้ว +16

    Wanaoitazama hii nyimbo 2021 gonga like hapa🤝

  • @bonifasjohn6167
    @bonifasjohn6167 4 ปีที่แล้ว +4

    Nitampata wap wakati mim mwenyew mtoto wa buhigwe kasulu ya zaman😂😂 kama umesikia neno hilo gonga like twend sawa🙏

  • @kwizeranadia119
    @kwizeranadia119 5 ปีที่แล้ว +193

    wangap tupo pamja 2019

  • @abdulkadirlayltygago8607
    @abdulkadirlayltygago8607 5 ปีที่แล้ว +119

    mm nina endelea pley hadi leo 2019 kma niwe kati yao gonga like

  • @ramadhansaid3280
    @ramadhansaid3280 5 ปีที่แล้ว +62

    Gonga like wangap mnaimiss 2019

  • @danovibes7203
    @danovibes7203 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mganga aliechana hapa yuko wapi aisee??? 🙌🔥😂,, 2024

  • @roseventure3232
    @roseventure3232 3 ปีที่แล้ว +8

    hii dunia ni yetu lkn wachache tunaijua na hao mabinti wazuriwazuri niwakwetu tumeumbiwaaa😂😂😂😂mgangaaaaa noumaaaa Dec 2020 bado tupo

  • @Joshua-bz5vw
    @Joshua-bz5vw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli enzi za kale ngoma zilikua juu sana imgne beb wNgu nlimuoa coz ya kumuimbia hio song if you still ❤ hio song ngota nayo

  • @thedoncomplex3679
    @thedoncomplex3679 5 ปีที่แล้ว +9

    Hivi huyu mganga yupo wapi aisee!! Ni mashineeee balaaa.

  • @limbumboyi1233
    @limbumboyi1233 6 ปีที่แล้ว +104

    Sajina wew mkali, gonga like kama unamkubali

  • @chrismhonda8051
    @chrismhonda8051 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daahh kitambo sana. Leo naitazama 2024

  • @shabanlezzah92
    @shabanlezzah92 2 ปีที่แล้ว +25

    2022 still enjoying this hit

  • @SadaMulady
    @SadaMulady หลายเดือนก่อน +2

    ❤Nimekubali hii Ngoma ni Noma sanaaa

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SAJNA SIJUI YUPO WAPI KIPAJII SANA HUYU JAMAA 2024

  • @masoudmkwavi9681
    @masoudmkwavi9681 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sio poa Sajna

  • @enobaboy1161
    @enobaboy1161 4 ปีที่แล้ว +2

    ngoma unazo towa saivi hazifiki kama best nasso kaka we we n fire. toka mkoa rudi dar utahiti kama zamani tafta intaview kwa wingi

  • @aishakichunachamjikasoro9411
    @aishakichunachamjikasoro9411 5 ปีที่แล้ว +27

    Sajna rudi broo gem bdo linakuitaji

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj หลายเดือนก่อน +1

    Noooooumah!.. sana ❤❤

  • @ngeckshumangeck5959
    @ngeckshumangeck5959 5 วันที่ผ่านมา +1

    Maganga nakukubali sana

  • @sabayaist
    @sabayaist 12 ปีที่แล้ว +20

    Sajna wewe mkali mwanawane....dah, mganga anaflow hatari!!!!Great Job

  • @faridkhamis9424
    @faridkhamis9424 5 ปีที่แล้ว +22

    Ukisikia nyimbo zinaishi Ndo kama hizi (2019)

  • @samohboy9937
    @samohboy9937 4 ปีที่แล้ว +8

    Uzuri wake zaid ya hathi ya ikuru ntampataje mtoto wa matombo....😖😖😖😖😖😖 Dah like za 2011 nazitaka leo 2019

  • @josephsabuni1003
    @josephsabuni1003 3 ปีที่แล้ว +3

    ''Una nyota ya kichaga ila una moyo wa kichina'' balaa sana huyo mganga namkubali

  • @Hery-tg5ef
    @Hery-tg5ef หลายเดือนก่อน +1

    Kama bado unaisikiliza hii ngoma 2024 like kama zote

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว +1

    Mganga bwana anafurahisha sana yaan na yeye anasema, wanawake wazuri tumeumviwa sisi,,,,kaah!

  • @official_ya13
    @official_ya13 3 ปีที่แล้ว

    Kidbwoy mrudishee jamaaa tetemeshaaa akisanue tenaaaa jamaaa anawezaaaa

  • @japalablack1588
    @japalablack1588 4 ปีที่แล้ว +4

    🇰🇪 Representing kambi nyege 2023

  • @georgeskioi2393
    @georgeskioi2393 ปีที่แล้ว

    2023 nipo hapa Sajna to the World 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saidynamkanda746
    @saidynamkanda746 3 หลายเดือนก่อน +2

    2024 inanikumbusha kipindi flan iv🎉🎉🎉

  • @jumasetumbi147
    @jumasetumbi147 5 ปีที่แล้ว +58

    Wangap wa leo 24.2.2019 piga like ksma tupo sawa

  • @petermarwawankaba5378
    @petermarwawankaba5378 4 ปีที่แล้ว +3

    sajna likuwa kiboko ila mepotea mpaka leo.baada ya kushindwa mashart ya wimbo wa mganga

    • @SabinaHaonga
      @SabinaHaonga 29 วันที่ผ่านมา

      😃😃😃😃

  • @jumaabdallah8694
    @jumaabdallah8694 4 ปีที่แล้ว +2

    Anapo kuja kwangu awe na khanga 🙈 🙈 twende sawa 2020

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 5 ปีที่แล้ว +1

    😍😍😃😃😃😃huu wimbo bhana ni wa siku nyingi lkn ukiusikiliza unakubamba😃😃😃😃😃😃

  • @hajrafareed2070
    @hajrafareed2070 5 ปีที่แล้ว +3

    Natamani wakati ungerudishwa nyuma enzi hizo. Mziki mziki kweli si mikorogo haieleweki.

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 2 หลายเดือนก่อน

    Watu tupo apa 2024 dah mganga kanikosha sanaa🎉🎉🎉🎉

  • @chamlilekivuruga3189
    @chamlilekivuruga3189 3 ปีที่แล้ว +18

    2021 still rocking..🙌🙌

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 2 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo nyimbo n noma ad leo 2024 bado n kal

  • @sakinatanzanian5000
    @sakinatanzanian5000 5 ปีที่แล้ว +2

    Duh yaan hiz nd nyimb zilikuwa dah hawa sijui wap waliend yaan ni nzuri hichok kusikiliz

  • @JohnMtatiro-kx4jw
    @JohnMtatiro-kx4jw หลายเดือนก่อน

    Hizi ndizo nyimbo zinazoishi masikioni halaaaa sajna

  • @katyetyegosper218
    @katyetyegosper218 4 ปีที่แล้ว +3

    Mistari ya mganga inaweza kukufanya uzimie

  • @chazadamas7286
    @chazadamas7286 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah wapi like zenu kwamala nyingine. Sijui uyu jaama ameenda wapi.

  • @nasraabdughafur6913
    @nasraabdughafur6913 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice song inanikumbusha mbali sn Enzi izonahangaikia mapenz

  • @deusnyengo9324
    @deusnyengo9324 2 หลายเดือนก่อน +1

    2024 and still here for Sajna

  • @markokyando1709
    @markokyando1709 หลายเดือนก่อน +3

    Nani mwingine anamisi ngoma kali kama hizi😅😅gonga like twende sawa

  • @shaibahkmwangoto8089
    @shaibahkmwangoto8089 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama kunaaliye muelewa mganga. Aliposema namimi nimonimo. Atupiye like

  • @salimmwakukana5544
    @salimmwakukana5544 6 ปีที่แล้ว +12

    What the current artistes are missing creativity bro you just great much love from +254

  • @doi255
    @doi255 ปีที่แล้ว +2

    Kama bado unaamini old is gold likes siusike 2023

  • @shabaniissah8464
    @shabaniissah8464 5 ปีที่แล้ว

    thats done old music ni nzur sana kulko sasa @john chande hapa kama unakubali vitu vya zamani kama mm gonga like. mganga kafeli

  • @SospeterChambo
    @SospeterChambo หลายเดือนก่อน +1

    Tujuane 2024 mapema

  • @Joseph-zp6vl3du4s
    @Joseph-zp6vl3du4s 4 หลายเดือนก่อน

    Thr10 mwezi6 2024 niko hapa mganga masharti yatanishinda

  • @veronicakimaro7554
    @veronicakimaro7554 3 ปีที่แล้ว

    Wap Sajna?!!!! Rudi kwenye game

  • @PrackcidisAmbani
    @PrackcidisAmbani หลายเดือนก่อน +2

    Kama umefika huku gonga likeee

  • @andrewlumande9651
    @andrewlumande9651 3 ปีที่แล้ว +9

    Am still listening to this song upto this year 2021 it's the best in Zambia

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 6 ปีที่แล้ว +124

    kama unamkubali mganga dondosha like

  • @samsonmatulanya8962
    @samsonmatulanya8962 ปีที่แล้ว

    Daah sijui huyu jamaa now yuko wap, 2023

  • @fipa1823
    @fipa1823 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah ngoma makin sana hadi leo me uwa na sikilizaaa

  • @calvenyusuph9750
    @calvenyusuph9750 3 ปีที่แล้ว

    Kizazii jeurii hichii cha 2021 lkn bado tunasikiliza enzii hzoo wangapii wako wanaiskilza2021 ngoga LIKE apoo

  • @derickerick6707
    @derickerick6707 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa yupo vzr sijui yupo wapi kwa sasa

  • @mantweladanielita2354
    @mantweladanielita2354 3 ปีที่แล้ว +18

    2021 still rocking ❤️

  • @cholloriyamiy8995
    @cholloriyamiy8995 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah mzee baba uko wapi Sajna.. Tumezimisi sana kazi zako kaka

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 ปีที่แล้ว

    Tarh 25mwez wa 9mwaka 2021 yaan zamani walikua anaimba na video vixen hawavai uchi ila sikuiz duuh🙌🙌

  • @amosuswege5992
    @amosuswege5992 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza anapokuja aje na kanga kama umesikia hiyo achia like

  • @ModestutiNyoni
    @ModestutiNyoni ปีที่แล้ว

    Umepotelea wap sajna kid bway yupowapi sikuiz

  • @brigittealex2264
    @brigittealex2264 6 ปีที่แล้ว +17

    Dahh bado tupo hapa it still on fire

  • @edwinamos2575
    @edwinamos2575 12 วันที่ผ่านมา

    Miaka hii diamond alikuwa hasikiki nyimbo zilikuwa zinatamba hizii

  • @arynxbaba9091
    @arynxbaba9091 5 ปีที่แล้ว +10

    Who's still watching this video in december 2018???

  • @naimaneema2279
    @naimaneema2279 6 ปีที่แล้ว +47

    safi sana wako wapi wale2018

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 3 ปีที่แล้ว +9

    Hii nyimbo kwangu inaishi sana 2021

    • @lucyeduad7808
      @lucyeduad7808 3 ปีที่แล้ว

      Naipenda Sana had leo😍

  • @barakalangia5703
    @barakalangia5703 5 ปีที่แล้ว

    Ngoma hatariii Sana kweli napenz ya kweli hayapo kwa waganga

  • @mmanyi8609
    @mmanyi8609 ปีที่แล้ว +1

    Wanaotizama hii nyimbo 2023 gonga like twende

  • @ayubuamosi4198
    @ayubuamosi4198 5 ปีที่แล้ว +18

    2019 nani yupoo
    Tujuanee mistar ya mganga sio poa

  • @allychande8716
    @allychande8716 4 ปีที่แล้ว

    nimeikubali yamenishinda mganga

  • @AgstinoLwila
    @AgstinoLwila 2 หลายเดือนก่อน

    Miaka hiyo nachinga viatu tunduma❤❤

  • @barakaelias5241
    @barakaelias5241 3 ปีที่แล้ว

    Laah mganga naomb like

  • @adiaosward9277
    @adiaosward9277 3 ปีที่แล้ว +1

    Sajina daar nimefurai Sana kuixikia nyimbo yak

  • @mudyally6097
    @mudyally6097 5 ปีที่แล้ว +6

    Mgaangaa kama umemkubali gonga like

  • @Asmaa-nk4ef
    @Asmaa-nk4ef ปีที่แล้ว

    Nilkuwa naipenda hii nymbo jmn nilkuwa naimba yote mwanzo had mwisho had kesho naipenda 🙏🙏🌹

    • @kichuboy5737
      @kichuboy5737 ปีที่แล้ว

      na mistar ya mganga unaijua

  • @richardbahati4095
    @richardbahati4095 3 ปีที่แล้ว

    Rock CTY daaa namkubali sajna

  • @josephngonyani1816
    @josephngonyani1816 4 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa fundii saaana kapotelea waaapii

  • @nassorhamadi5738
    @nassorhamadi5738 3 ปีที่แล้ว +1

    Banaee huyu jamaa arudi tu kuna kitu. Ziki wa kiswahili unakosa na hicho kitu kina huyu boy

  • @allybtz1263
    @allybtz1263 ปีที่แล้ว

    Mgaga katisha 2023

  • @PaschalMologa
    @PaschalMologa 8 วันที่ผ่านมา

    2004 hata huendi Kwa mganga wanaenda wao,khanga wanavaa bila hata namna gani ndani

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 4 ปีที่แล้ว +8

    Aliye ona bibi anashangaa tu camera hap a like🤣

  • @يوسفالحمادي-ح1ب
    @يوسفالحمادي-ح1ب 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma tam sana afu naipenda atar 2021 bado iko juu