INTRO: Ooh mganga, mganga wee, Ooh mganga, mganga wee, nahitaji msaada, mganga wee, Ooh mganga... VERSE-1 (SAJNA) Mi mcha Mungu wala si mshirikina, walimwengu mnieleweee, niko timamu hata uchizi sina, ni moyo unachotaka upewe, uzuri wake zaidi ya hadhi ya ikulu, ntampataje mi mwenyewe mtoto wa Kasulu haa, uzuri wake zaidi ya hadhi ya ikulu, ntampataje mi mwenyewe mtoto wa Kasulu haa, nimejaribu njia zote na hii ndo ya mwisho, haa ng'wana waneee, nimechukua za mbayuwai nimeongeza na zangu, haa ng'wana waneee,(ng'wana wanee) CHORUS (SAJNA) Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, VERSE-2 (SAJNA) Kwanza nachohitaji mganga, anapokuja kwangu awe na khanga (yeeah), nikikutana naye barabarani (mamaa), nikimuita basi aache kuringa (na), aniombe ndoa mimi mtoto wa mtaa, na mahari atoe yeye (mwenyewe), ntakupa mali zote hata nilale njaa, ufanye nimpate yeye (we mganga), na na na na mgangaaaaa aaaah ah, CHORUS (SAJNA) Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, VERSE-3 (JOSEFLY) Horai horai horai tabuu, wameshaskia skia wakuu, songa mpaka ndani kwanza toa viatu kwa miguu, usiwe na wasi hapa umefika na utampata tuu, hii dunia ni yetu lakini wachache tunaijua, na wao mabinti wazuri wazuri ni wa kwetu tumeumbiwa, mi nauwezo wa kuibadili mbalamwezi ikawa jua, ni mtoto wa mwana mpolimpolimo,na wale wa kale wakolikolimo, wakaja waganga wabolibolimo na,namimi nimonimo, niskize Sajna una nyota ya kichaga ila una moyo wa kichina, huyu binti amefanya moyoni umekosa stamina, usijali umeshampata ila ukifanya nachosema, leta leta kucha za huyo binti alizokata kwa meno, nywele za kikwapa na harufu yake umenipata, (SAJNA) Ntapata vipi na mwenyewe anaringa, hata nikimwita kitaani ananipinga, Ntapata vipi na mwenyewe anaringa, tafadhali mganga sema kingine tena, (JOSEFLY) Nenda ulete sabuni ambayo tayari ameogea, kijana fanya fastafasta kabla giza kuingia, leta bra anayovaa pindi anapozima taa, nyayo za miguu za marehemu babu aliyemzaa, kope za macho yake anapoanza kusinzia, nahitaji nywele zake na alama y viganja pia, umeniskia, hapa atakuja tu kubembeleza umwite dear, umwite dear, CHORUS (SAJNA) Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga, nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda, VERSE-4 (SAJNA) Ntajaribu kufanya lolote, ili mimi nimpate yeye, niko tayari hata kukatwa ulimi,ilimradi mi niwe na yeye, kama ni kope zake, ama na kucha zake,nitaongea na rafiki zake, kama ni kope zake, ama na kucha zake,nitaongea na rafiki zake, kuna vingine mi nashindwa mganga,hapo itabidi unielewe, kama ni pesa nitaongeza mganga,ili vingine ufanye wewe, ooh mganga, ooh mganga nahitaji msaada, msaada ooh mganga, mganga we ooh hii ooh oh oh (mganga we), ooh hii ooh oh oh (mganga we), ooh hii ooh oh oh (mganga we), ooh hii ooh oh oh (mganga we), lalalalalalalalalalala mganga we), ooh hii ooh oh oh (mganga we), lalalalalalalalalalala (mganga we), ooh hii ooh oh oh (mganga we), Outro Ooh, Josefly, Sajna END
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 leta nyayo za marehem za babu alieye mzaaa kijana Fanya fasta kabla jua kuzama,hapa atakuja kukubembeleza umwite dear,umwite dear.Hahahaaa jamani hiyo Ngoma hainishoshi kabisa
Anae sikiriza hi Ngoma 2024 gonga like hapa
Elfu mbili 24 gonga like
Kama bado unaisikiliza hii ngoma gonga like apo twenzetu
INTRO:
Ooh mganga, mganga wee,
Ooh mganga, mganga wee,
nahitaji msaada, mganga wee,
Ooh mganga...
VERSE-1 (SAJNA)
Mi mcha Mungu wala si mshirikina, walimwengu mnieleweee,
niko timamu hata uchizi sina, ni moyo unachotaka upewe,
uzuri wake zaidi ya hadhi ya ikulu,
ntampataje mi mwenyewe mtoto wa Kasulu haa,
uzuri wake zaidi ya hadhi ya ikulu,
ntampataje mi mwenyewe mtoto wa Kasulu haa,
nimejaribu njia zote na hii ndo ya mwisho, haa ng'wana waneee,
nimechukua za mbayuwai nimeongeza na zangu, haa ng'wana waneee,(ng'wana wanee)
CHORUS (SAJNA)
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
VERSE-2 (SAJNA)
Kwanza nachohitaji mganga,
anapokuja kwangu awe na khanga (yeeah),
nikikutana naye barabarani (mamaa),
nikimuita basi aache kuringa (na),
aniombe ndoa mimi mtoto wa mtaa,
na mahari atoe yeye (mwenyewe),
ntakupa mali zote hata nilale njaa,
ufanye nimpate yeye (we mganga),
na na na na mgangaaaaa aaaah ah,
CHORUS (SAJNA)
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
VERSE-3 (JOSEFLY)
Horai horai horai tabuu,
wameshaskia skia wakuu,
songa mpaka ndani kwanza toa viatu kwa miguu,
usiwe na wasi hapa umefika na utampata tuu,
hii dunia ni yetu lakini wachache tunaijua,
na wao mabinti wazuri wazuri ni wa kwetu tumeumbiwa,
mi nauwezo wa kuibadili mbalamwezi ikawa jua,
ni mtoto wa mwana mpolimpolimo,na wale wa kale wakolikolimo,
wakaja waganga wabolibolimo na,namimi nimonimo,
niskize Sajna una nyota ya kichaga ila una moyo wa kichina,
huyu binti amefanya moyoni umekosa stamina,
usijali umeshampata ila ukifanya nachosema, leta
leta kucha za huyo binti alizokata kwa meno,
nywele za kikwapa na harufu yake umenipata,
(SAJNA)
Ntapata vipi na mwenyewe anaringa,
hata nikimwita kitaani ananipinga,
Ntapata vipi na mwenyewe anaringa,
tafadhali mganga sema kingine tena,
(JOSEFLY)
Nenda ulete sabuni ambayo tayari ameogea,
kijana fanya fastafasta kabla giza kuingia,
leta bra anayovaa pindi anapozima taa,
nyayo za miguu za marehemu babu aliyemzaa,
kope za macho yake anapoanza kusinzia,
nahitaji nywele zake na alama y viganja pia,
umeniskia, hapa atakuja tu kubembeleza umwite dear, umwite dear,
CHORUS (SAJNA)
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
Hodi hodi hodi mganga, jina langu Saj kwako nimetinga,
nachohitaji unifanyie manyanga, kwa yule binti mi ninayempenda,
VERSE-4 (SAJNA)
Ntajaribu kufanya lolote, ili mimi nimpate yeye,
niko tayari hata kukatwa ulimi,ilimradi mi niwe na yeye,
kama ni kope zake, ama na kucha zake,nitaongea na rafiki zake,
kama ni kope zake, ama na kucha zake,nitaongea na rafiki zake,
kuna vingine mi nashindwa mganga,hapo itabidi unielewe,
kama ni pesa nitaongeza mganga,ili vingine ufanye wewe,
ooh mganga, ooh mganga
nahitaji msaada, msaada
ooh mganga, mganga we
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
lalalalalalalalalalala mganga we),
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
lalalalalalalalalalala (mganga we),
ooh hii ooh oh oh (mganga we),
Outro
Ooh, Josefly, Sajna
END
Waliokuja 2022 tujuane
2023
kama umerud 2024 kuangalia hii nyimbo like hapa
Twende Kaz 2024 mwez wa 8
Nimerudi tena kuchukua hii message kwenye huu wimbo 2022🔥🔥🔥🔥
Naipenda sana hii nyimbo.from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mganga ametisha nimekubaki kwa wana hiphop kidogo amesogea kwenye mataa yetu
Sajna ulitaka vingi sana mpka mahari atoe yeye jaman amekua mhindi😂😂😂
Noma sana😀😀😀
Mganga anauwezo mbn
Hahaha 😂😂😂😂 sajna hataleee sana yaani ampe mganga Mali yote alale njaa
Atakuja umwite dear hahaha 😂😂😂
Mganga nae alimpa mashart magumu sajna
April 2023 tupo hapa. Kipindi hicho Tanzania bado ina wasanii. Sio leo wamebaki matapeli tu
Hii nyimbo nimeikubali tangia niko mdogo coz nilikuwa ninamiaka 18🎉🎉🎉❤❤❤
January 2024... still smashing
Dah jamaa kapotea ivi iv
Nani anaskilza wimbo huu 2023
Tunakomaa nayo
Iko Swa Brother
Leta harufu ya binti noma sn
Mganga vitu anavoviimba sasa afu yuko serious verse ya mganga naipenda tena na tena mganga alijuaaaaaa weeeee
Masha Allah...so nice message in this song
Nilkuwa ckul wanaa dah nakumbuka mbal xana
2020 hapa nimeludi tena kulichek ili goma
Saj ulienda wapi❤❤❤
2023❤
2024 likes pls😂❤
Old is gold I say 2021 still on it
mwezi wa3 huu 2021 nimerud kulichek hawa ndowalikua wasanii bana ngoma inadumu kwa moyo muda wote
full mahisia
no kutukana
Sajna nazikubal xana song's zake zote nikali
2021 Nmerudi kulitizama hili dude jamani Wanao sema Sajna arudi npeni zangu apo chin
Wapi 2021
nalikumbka Sana hili gomaaa
Noma sana
lost na wapi wakuu
Lyrics za Huyo mganga ni za kimataifa. Thumbs up if you are listening in 2022.
2 days to 2024
Mwez wa 6 2021 ngoma naskiza hii doooh good job
Hiyo nyimbo nimeikumbuka nikiwa mdogo sana duuh
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 leta nyayo za marehem za babu alieye mzaaa kijana Fanya fasta kabla jua kuzama,hapa atakuja kukubembeleza umwite dear,umwite dear.Hahahaaa jamani hiyo Ngoma hainishoshi kabisa
Ila hii nyimbo kali jmn
❤❤❤
2020 ??
❤️🇧🇮❤️Nayipend
Uyu mwaba alienda wapi jamani maana alijitaidii sana,na mganga wake pia ninoma katisha sanaa
Daaah ngoma tamu sana
Best sog of all the time by Bomani
Ilitisha sana
Nifanyie manyanga😜😜😝😝
Hii ngoma Naizimia sana huwa siachi kuisikiliza Daily!!!!!!!!!!!!!
2020???kma mm
Sio kwA masharti hayo
Old is Gold 2020🔥🔥
Na mahali atoe yeye
Mganga shikamooo masharti gan hay sasa
2023🔥🔥🔥🔥
Good job
Unaahidi msosi wakati mpishi analala njaa
Hodi hodi
4 jan,2023 this song is 🔥
Mh mashart ya mganga mhh
Song likali jaman3019 tuooop
Badooo mpoo 2021 tujuane
Naitazama trh 20 /6/2021. Dah
2021 hapa kwa mara nyingine tena
Daaaah jamaniiiiiiii Leo tar 20/06/2021 ndio nairudiaaaaaaaa
2023
July 14 Wednesday 2021 22:35 Usiku tujuane bado tunafuatilia kazi Nzuri
2046 gonga like kama upo.
2022 like
Yes
Ngoma kali
2021 hakuna anaejua dawa ya mapenz
Ayo shalahut
2022 bado in kali
2022 bado
2022. +27 🤝
Nice song sajna
Nimekuja 2023 . T U J U A N E🤣
Nelly wa TZ
2023 I'm here
Ngoma kali
😅hawa watu wako wap
Ngoma noma
October 23 Wednesday 2024 3:55 usiku
2024 gonga like
2021
Mashalaa
Hatar sana
Sweet
My favorite song
4/7/2021 nimelud tena kuchek hii Ngoma
Best
2024 ❤❤
here
Anaetazama 2021 tujuane
Talent
Unakumbuka wap pind ukiisikia ama kuiangalia nyimbo hii ahahahahaaa
2020
Uko wap ndugu yangu sajina umepotea San bado 2nataka hit Kama hiz
11 August 2023
❤
🎶🎶
2024🎉🎉🎉
Apeleke kope🤣🤣🤣
Nice
❤😂
💯💥💥👍
2022
Saf
till this time ,Sajina💥💥💥💥🔥🔥🔥2022
.