Pasha - Hidaya (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Mapenz ni ya wawili hata utie fitina vipi huwez kuyaharibu kila mtu ana chaguo la moyo wake we unaweza ukaona ni mbaya lakin kwa kua moyo wa mtu ukishapenda umependa.haya maneno yanajieleza katika wimbo huu wa #hidaya uliotoka 2009 kutoka kwa #pasha ilikua ni wimbo wa kwanza kutoka kama single baada ya kutoa albam ya #nisoo 2008
    #pasha - #hidaya
    Produced by Lil ghetto
    Director Tonee blaze
    For bookings:
    Call:+255653597070
    Email:paahamtepa1@gmail.com
    Follow pashamtepa on
    Instagram: / pashamtepa
    Facebook: / pashamtepa

ความคิดเห็น • 124

  • @nayrahmalessa8750
    @nayrahmalessa8750 5 หลายเดือนก่อน +46

    Team 2024 mko wap??

  • @EstherWangeshi-w9r
    @EstherWangeshi-w9r หลายเดือนก่อน +6

    Hadi leo naskiza huu mwimbo nipeni likes zenu 2024 😢

  • @casmirchami8914
    @casmirchami8914 3 หลายเดือนก่อน +32

    Yaani kimbunga hidaya kimenileta hapa😅😅😅😂😂

    • @RutaRubedi
      @RutaRubedi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hata mimi nimeletwa na hidaya

    • @dynershio40
      @dynershio40 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅nlikua natafuta hii comment nikajua lazima itakuwepo

    • @herbertituga8696
      @herbertituga8696 3 หลายเดือนก่อน

      F..ra ww

    • @hidayyakassimtz
      @hidayyakassimtz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ilikua lazima wataje jina 😂😂😂

    • @gracehadidah7501
      @gracehadidah7501 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @user-fv9kv5nq8y
    @user-fv9kv5nq8y 3 หลายเดือนก่อน +19

    Tunaosikiliza mwaka 2024 like apa jamaa aliweza apewe maua yake🙏

    • @STANLEYMAPESA
      @STANLEYMAPESA 3 หลายเดือนก่อน

      Tupoooooooo

    • @ayubabeira
      @ayubabeira 2 วันที่ผ่านมา

      Certo ekiely

  • @amurasunji9800
    @amurasunji9800 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wako wapi 2024 gonga like hapa 😂❤❤

  • @MathewTheodory
    @MathewTheodory 25 วันที่ผ่านมา +4

    Hidaya pasha wahenga kama Mimi 2024 gonga like nyingi sana

  • @ChamngandaRamadhan
    @ChamngandaRamadhan 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ninomaaa Ngoma hii ilikuwa ikipigwa pande Za kusini nr hotel ninomaa sana.

  • @user-xx8dh2bp3b
    @user-xx8dh2bp3b 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna vitu havuzeeki daaah

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 2 หลายเดือนก่อน +2

    Said Comorien aliewahi kufanya kazi metro studio enzi zile aliutendea haki huu wimbo sio kwa vinanda hivyo .pasha nae akiwa anapiga mulemule ..SALUTE 👮sana bro kazi uliifanya.

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +18

    Jaman npo mdogo darasa la tatu naimba huu wimbo nkawa naeka jina la mtaani kwetu majengo kanamai kuna machali kibao😂😂😂 NA mpka leo nauskiza kaka jaman rudi uimbe 😢😢 una sauti nzuri hatari love from kenya❤

    • @fridahoyodah
      @fridahoyodah 11 หลายเดือนก่อน

      Pia mm nkiwa class six

    • @antonykinyuaak8805
      @antonykinyuaak8805 5 หลายเดือนก่อน

      Kama pasha bado hajarudi kuimba,njoo huku majengo ya Nyali ntakuimbia mm 😜

  • @christineshem4043
    @christineshem4043 2 หลายเดือนก่อน +3

    Si vibaya kupenda mtoto hidaya sing for me 100 times please. Gosh your voice 😊😊😊

  • @user-uu6jl6ss7w
    @user-uu6jl6ss7w 4 หลายเดือนก่อน +9

    Du nakumbuka kijijini kwetu tv ilikuw Moja watoto wamatajiri ndo walikuwa😂 wanarusiwa kuingia ndani sisi wa choka mbay tunafunguliwa pazia tunachungulia dirishani

  • @RehemaOmari-qd7rr
    @RehemaOmari-qd7rr 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ lazima apewe maua yake

  • @SatwantHoogan-yu6oh
    @SatwantHoogan-yu6oh 6 หลายเดือนก่อน +8

    Voice yako nzuri sanaa Pasha!👍🏻❤

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j หลายเดือนก่อน +1

    Lil gheto alikuwa noma, Ila pasha Hili goma kali sana pamoja na Ile umeniweza

  • @Abedy-o4p
    @Abedy-o4p 11 วันที่ผ่านมา

    Ngoma Moja Kali sana

  • @user-bm3vs1vo1j
    @user-bm3vs1vo1j หลายเดือนก่อน +1

    This song has been playing on my head since yesterday.where is this guy pasha nowadays he needs a comeback.❤❤

  • @mkomimkomi5126
    @mkomimkomi5126 6 หลายเดือนก่อน +6

    daaaah huyu mwamba itakuwa kalogwa haiwezekan apoteee kimiujza hvyooooooo

    • @hafidhali815
      @hafidhali815 5 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi Nina was was hilo

    • @tunjevictor1178
      @tunjevictor1178 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu atakua kalogwa 😢

    • @LatifaJuma-z5w
      @LatifaJuma-z5w 10 วันที่ผ่านมา

      Au labda kafariki😢

  • @magdalenakefa1462
    @magdalenakefa1462 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kama upo hapa 2023 gonga like hapa 👏

  • @evarichard4866
    @evarichard4866 วันที่ผ่านมา

    Fire

  • @anoldmbarama985
    @anoldmbarama985 ปีที่แล้ว +7

    This was amazing generation #Pasha umefanya makubwa sana kwenye huu mziki

  • @STANLEYMAPESA
    @STANLEYMAPESA 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba kwann umekaa kimya muda wote,,, na kaz zako zinakuwaga SO HOT 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @victoriamhanuka7667
    @victoriamhanuka7667 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kimbunga Hidaya day 04 May 2024, listening to Hidaya

  • @user-ye6me3ng5z
    @user-ye6me3ng5z 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah Leo hii tupo wote kwenye foleni ya mihogo asubuhi yombo abiola

  • @DonDon-mh8sp
    @DonDon-mh8sp 2 ปีที่แล้ว +2

    I loved bongo I bought cd song nikiwa form two bro ulinifanya nikajua kipaji changu Cha kuimbi ju ya kuimba song zako Asante kwa kurudi kwa game

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 9 หลายเดือนก่อน +3

    2023 still my favourite😢❤

  • @collineedson9964
    @collineedson9964 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ilikuwa 2009- 2010 nipo nachingwea 😅 dah Leo ni miaka 14

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 หลายเดือนก่อน

    Enzi hizo kupeta na kuteka uswahilini.👍

  • @alchanokisonga4828
    @alchanokisonga4828 11 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥👆

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน +3

    Who is here in 2023

  • @manasebenjamin6494
    @manasebenjamin6494 8 หลายเดือนก่อน +2

    My Favorite Artist of all Times

  • @jacksonmwakasege7011
    @jacksonmwakasege7011 5 ปีที่แล้ว +4

    kaka we unajuwa sana

    • @pashamtepa7596
      @pashamtepa7596  5 ปีที่แล้ว +2

      Jackson Mwakasege shukran sana kwakukubali kazi

  • @joycemnzava6691
    @joycemnzava6691 3 ปีที่แล้ว +4

    Sivibaya kumpenda ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @fredamlima1150
    @fredamlima1150 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma naifeel kinyama jinsi ilivyoandaliwa inanipa raha sana.

  • @bernadethamrutu7408
    @bernadethamrutu7408 ปีที่แล้ว +3

    😌😌 mzuri sanaa 💯

  • @user-xz8qk7jk7u
    @user-xz8qk7jk7u 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daah kitambo npo dalasa la 4

  • @DonDon-mh8sp
    @DonDon-mh8sp 2 ปีที่แล้ว +2

    This was my favorite song from Kenya

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuh dada hiyo lipstick ni yakuomba kwa jirani nn.❤❤❤😂

  • @FrollaWillson
    @FrollaWillson หลายเดือนก่อน

    2010 nipo dar kota za porice kilwarodi,,wap Elizaaa jamani wimbo mtamu huu

  • @EsauRafaelDaudi
    @EsauRafaelDaudi 4 หลายเดือนก่อน

    Usiogope jomba 2024 tupo pamoja

  • @naftarmalekela7135
    @naftarmalekela7135 2 หลายเดือนก่อน

    duuuh hiii ngoma itabaki milele

  • @dainahussein9942
    @dainahussein9942 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooooo bongee la song

  • @josephmayenga1163
    @josephmayenga1163 3 หลายเดือนก่อน

    Tusikilizie kimbunga Hidaya

  • @polycarpokello3215
    @polycarpokello3215 หลายเดือนก่อน

    2024 from Nairobi Kenya

  • @rosemsigara6093
    @rosemsigara6093 หลายเดือนก่อน

    Imekaa poa saana kiukwer❤❤

  • @SudyBrown-gy2gh
    @SudyBrown-gy2gh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Since i was born till today❤❤❤❤

  • @tanuatvcomedy9923
    @tanuatvcomedy9923 2 ปีที่แล้ว +2

    Saaaaaaaanaaaaa mwambaaa

  • @barakabahati4315
    @barakabahati4315 5 ปีที่แล้ว +5

    mic u mkubwa pasha now ure back in the game mungu awe nawe

    • @pashamtepa7596
      @pashamtepa7596  5 ปีที่แล้ว +3

      Baraka Bahati asante kwa dua yako njema

    • @EutropiaJastine-nn4ot
      @EutropiaJastine-nn4ot 10 หลายเดือนก่อน

      Wapendwa wetu tunatamani sana kazi zenu hizo Leo mi sizielewii😢😢😢

    • @EutropiaJastine-nn4ot
      @EutropiaJastine-nn4ot 10 หลายเดือนก่อน

      Pasha I miss your music

  • @BartolomeuAdamoBartolomeu
    @BartolomeuAdamoBartolomeu 3 หลายเดือนก่อน

    I love this song till now,,,from Moz

  • @paddyotieno5786
    @paddyotieno5786 ปีที่แล้ว +1

    Hit kubwa enzi hizo Mombasa

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน

      Nakuambia nko class naimba darasan majengo academy😂😂😂

  • @akramlipemba2968
    @akramlipemba2968 ปีที่แล้ว +4

    Perfect definition of the good music

  • @timothymsigwa5942
    @timothymsigwa5942 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uhakika sana❤❤❤❤

  • @mwanatumumwaboza7801
    @mwanatumumwaboza7801 5 หลายเดือนก่อน

    Pasha the handsome guy😊

  • @Manumwarome001
    @Manumwarome001 3 หลายเดือนก่อน

    Tamu sana ya dem days🔥

  • @katangakitojo1329
    @katangakitojo1329 8 หลายเดือนก่อน +1

    One love mamen

  • @BrownMcbaddest
    @BrownMcbaddest 3 หลายเดือนก่อน

    Hiday kaaamua bana😂

  • @GeraldAgustino-fz5mn
    @GeraldAgustino-fz5mn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda sanaaa ❤️❤️

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 4 หลายเดือนก่อน

    Whose here 2024.

  • @WinifridaPeter-se6lt
    @WinifridaPeter-se6lt 7 หลายเดือนก่อน +3

    2024❤❤

  • @williama.chikonya3458
    @williama.chikonya3458 7 หลายเดือนก่อน

    Oyaaa huu wimbo niliuziwaga sabuni badala ya simu😂😂

  • @fabyboyofficial8647
    @fabyboyofficial8647 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoto Hidaya jaman

  • @MwambaTz11
    @MwambaTz11 8 หลายเดือนก่อน +3

    2024🎉🎉

  • @RoseMnubi-ce2jb
    @RoseMnubi-ce2jb 7 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana jamani

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 5 หลายเดือนก่อน

    Pashaaaa 2009 enzi izo

  • @FloraRobert-tv1in
    @FloraRobert-tv1in 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ 🎉

  • @johngasto4154
    @johngasto4154 4 หลายเดือนก่อน

    Form 1

  • @Chidboy014
    @Chidboy014 5 หลายเดือนก่อน

    Niwakat wakati wake ume ita

  • @queenvee
    @queenvee 6 หลายเดือนก่อน

    My song forever ❤

  • @stewartnairo4897
    @stewartnairo4897 2 หลายเดือนก่อน

    16-06-24 anybody??

  • @BettyNzegenuka-yr5xq
    @BettyNzegenuka-yr5xq 3 หลายเดือนก่อน

    Kimbunga Hidaya

  • @zuhuraali6585
    @zuhuraali6585 ปีที่แล้ว +1

    🥰my fav

  • @westcijosh
    @westcijosh 4 หลายเดือนก่อน

    Pasha is a legend ., hv huyu hidaya yupo wapi?

    • @AbduliMaulidi
      @AbduliMaulidi 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂unamtaka

  • @user-vq3zu8ne9b
    @user-vq3zu8ne9b 5 หลายเดือนก่อน

    Noma Sana still 🔥🔥🔥2024

  • @adidjahassan6046
    @adidjahassan6046 2 หลายเดือนก่อน

    2024/06/24 🥰🥰🥰

  • @chakudekasarah5759
    @chakudekasarah5759 ปีที่แล้ว +3

    11/7/2023❤️

  • @pilijuma6095
    @pilijuma6095 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana

  • @rosesesala9131
    @rosesesala9131 6 หลายเดือนก่อน +1

    2024❤❤❤❤🎉🎉

  • @jumadiwa
    @jumadiwa 4 หลายเดือนก่อน

    Katisha

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 8 หลายเดือนก่อน

    Nipo apa Leo 5/12/2023

  • @boazelias5297
    @boazelias5297 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza baba but Anza shoo tena

    • @AnordPatrick-vl4ue
      @AnordPatrick-vl4ue ปีที่แล้ว

      P

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน

      Mm n mkenya ila naishi bongo pasha aliwah kusema kwenye interview yake kwamba kilichomwangusha ni management which is true i have been supporting underground artist tanzania kwa hela yangu mda wangu bando langu nalipa maredioni ila Mpenzi wangu akasema hatak nikae kwenye miziki nakaa kisela mi wa kike nkaacha hiv walw wasanii wote hawajulikan hata youtube views zmeshuka😭😭 mziki investment hata kama una kipaji lazima uekeze labda mwenzetu bado anajiokota tumuombee dua. Kama ally nipishe dem alibeba kila kitu ndani kwake asa angeanzia wapi 😢

  • @wilsonpius8217
    @wilsonpius8217 ปีที่แล้ว +2

    2023/4/30✌️✌️✌️

  • @vumiliajuma8361
    @vumiliajuma8361 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 3 หลายเดือนก่อน

    Kimbunga hidaya 😂😂😂

  • @farajamagesa
    @farajamagesa 9 หลายเดือนก่อน

    2023❤❤❤❤

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 ปีที่แล้ว +2

    pasha yuwapi???

  • @user-wr2pm7of5w
    @user-wr2pm7of5w 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @lilianjohnson9469
    @lilianjohnson9469 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kawimbo kametulia haka Achana na za saivi amapiano ka yotee😅😅😅😅😅😅😅ni kuruka tu

    • @pashamtepa7596
      @pashamtepa7596  8 หลายเดือนก่อน

      Ooh asante sana endelea kuenjoy mziki mzur

    • @pashamtepa7596
      @pashamtepa7596  8 หลายเดือนก่อน

      Ooh asante sana endelea kuenjoy mziki mzur

  • @allentasu9512
    @allentasu9512 3 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @eliudmugisha8129
    @eliudmugisha8129 17 วันที่ผ่านมา

    H

  • @DonDon-mh8sp
    @DonDon-mh8sp 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni Soo iko wapi

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l 11 หลายเดือนก่อน

      Andika nisooo cocomedia

  • @dainahussein9942
    @dainahussein9942 9 หลายเดือนก่อน

    5/11/2023