SAM WA UKWELI - KISIKI (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 มี.ค. 2017
- Published on March 29, 2017
This Song was written by Sam Wa Ukweli in Tanzania 2016 The beat was produced, mixed and got Mastered by Abbydady from Chaidas record Tanzania....The Video was shot in Tanzania by Director HOBO from Tanzania, on the 23th of Ferbuary 2017.... - เพลง
Wale bado wanapenda huu wimbo gonga like hapa 2024 ❤
Kwa hii 2024 wapi likes za kumkumbuka Sam Kweli
Nani anasikiliza 2024 gonga like
Awa ndo walikuwa wasanii wa ukweli kama bado unasikiliza 2024 goga like hapa R.n p sam
Anae sikiriza hi Ngoma 2024 gonga like 😢😢
2024/3 Muda huu nipo naisikiza kwa ham zote ❤❤❤
Hi dear
2024
Nan anasikiliza nyimbo hii mwaka huu 2024
mm nasikiliza, na ninaupenda sana
Mimi
Nani yupo hapa 2024?🤭❤️
Am here too😢
Tuko mwaka wa 2023 naniko hapa nikiskiza hii nyimbo tamuu .Rest In Peace Sam
ErstcccxCXXFXÇ
Same here
same here, kenya
Hata mimi
mmi pia bado narudia tu hii ngoma
ambaye bado anaisikiliza mpaka leo 2024 like zenu
Nan anasikiliza 2023,kama yupo aje hapa🥰🥰😍😍😊😊😊😊
15/02/2023
🔥❤️
Nipo hap
Nijewapi mam Mimi nasikiliza hii nyimbo ya Sam wahkweri kisik come mam
Atakayesikiliza 2050 Ataelewa Huyu Mwamba Alikuwa Ni Hakuna Mfano Na Bahati Mbaya Katuachia Pengo Lisilozibika Daima #RIP SAM WA UKWELI 🥺
Nani kasikiliza mwezi huu 4 mwaka 2024
Team 2024 angusha like
Kama umemkumbuka samu wa ukwel 2020 achia like r.i.p
R.i.p
Edwin Gwesso R I p
RIP bro
Kifo kibaya
R.I.p,bro Sam,
Kama wamkumbuka Sam 2021 gonga like tujuane
Rest in peace sam
Rest in peace sam w ukwel
Sam waukweri
@@ashashamte9685 😥😥😥😥😥😥
Mercy chebe mambo vio
2024 and this song still gives me goosebumps, Rip Sam wa ukweli.
Kama unamkumbuka sam wa ukweli gonga like!!!!!!
2023 still bado naupenda huu wimbo rest in peace brother
WALE WA 2023..GONGA FIVE CHAPU WANANGU😥😥..R.I.P🇹🇷🇹🇷🇹🇷📚🖊
Kama bado unaipigaa hii ngoma huu mwaka 2023 reply my comment!!!say r i P Sam wa ukweli😢😢
Ukiangalia hi mwaka 2020 achia leke bas
Tulikupenda ila mungu alikupenda Zaidi
Mwamba huyu punzika kwa amani
Nani bado anaskiza hii wimbo 2020 RIP Sam
Kwa kweli nyimbo za zamani zilikua na mashahili mazuri sana, asannte sam pumzika kwa Amani 🙏
Alale Mahalia pema aki
Amina
Hii sio ya zamani sema nzuli ndugu yangu,ila Mungu anajua nilipi linafaa kwa wakati gani tunabaki na tulimpenda ila yeye ndiye kampenda zaidi
2023 tuko hapa i still love song za sam wa ukweli
Daima tutakukumbuka Sam Wa ukweli
TUNAOJUA MUSIC, hili ni bonge la ngoma. vocal kali.
Kabisa
Kwahii ngoma atakama huelew utaelewa tu
Rip
Ni zaidi ya Kali..RIP Sam
Kiukweli nliposikiliza huu wimbo nmeumia sana najikuta nalia tuu . sjui kwa nni ulikufa ukiwa bado unahitajika katika hili taifa na familia yako sam . pumzika kaka nami ntakuja
2024 still listening rest in peace sam😢😢😢
Kila siku nasikiliza huu mziki lyrics zinaujumbe mzuri zinaeleweka, beat zuri alinigusa sana. RIP
Kama niliona basi nishasahau lakini naikumbuka samaki na wenye majungu hata kwetu wapo nayo nzur ilipendwa
Nakumbuka kipindi hicho inaimba Kuna Kuna msela tu njian I alivyoisikia inaimba akasema ni kweli kabisa hata kwetu wapo
Georgina Pembe Big up sana mdada,hata mimi naupenda sana
Hii nyimbo tamu sana. Ukisemea biti ndo kabisaaa tamu hadi raha
Sam waukweli R.i p
Who is here 2021 for sam ..let's keep his songs alive forever😘😘
Rest easy bro Sam. Mwenyezi Mungu akurehemu In Shaa Allah
Ni mwishoni kabisa 2023 still hii nyimbo inanikumbusha mengi sanaa ,,,,, back in the days Rest Easy Wa Ukweli 🙏
*Kizuri hakidumu aisee*
*Ukisikiliza nyimbo za huyu MTU then uambiwe amekwisha kufariki inakuwa ngumu kuamini😢😢😭😭😭😭* Rest In Paradise SAM*
Daah bas mungu alimpenda zaidi
Huyu mwamba bana sema wa ukweli rip brother
2020 Jamaniiiii Like za Uzuni Apa😧😧😧😧
Atariii
Daaah wangap wanaickiliz hii ngoma 2023 alaf bado tam ❤
Kumbe alikua msanii mkubwa nyimbo one million . Kadhaaa 2juane hapa watakao endelea kuitaza ht 2020
R.IP
I always play this song when I'm with my lovely wife, nyimbo inatufanya tu feel tupo wenyewe duniani as a King&Queen
watching till 2019
Mung akueke sehm Ambyo inactahili n matend yk
Nice
😂😂😂😂🤣🤣❤
Huwa naumia San nikisikiliza huu wimbo
@@devotamasanga8937 😥😥😥😥😥🤝🤝
2023 hapa nani mwingine
R.I.P legend of good musics, who is here 2023 nipe likes twende sawa
Still remember you 2020...this song touch me a lot and memories...continue R.I.P SAM.
Jaman na mimi 2020 hii naiona kama imetoka jana yaan hakuna Expire date ngoma ya ukweli sana hii pumzika kwa Aman brother
sichoki kuisikiliza hii nyimbo
@@shanianamwasa7593 hbbbhbbhbbbbbhvvvvvvvvvvvv. V
@@shanianamwasa7593;;;
Sanaaaaaaaa daaah machozi huwa yanatokaga daah
Dah punzika kwa amani kaka tutakukumbuka daima I R P😭😭😭 nikisikiliza hii nyimbo nahisi kulia dah 💔
Duh rip bas tyu
Pumzika kwa amani Sam. Mziki mzuri kama huu tunaumiss kwenye gemu ya sahivi iliyojaa chuki
2021 Sam bado tunakuenzi au vipi wangwana?
😢bro nilikupenda Mungu alikupenda zaidi pumzika kwa amani ukweli huu wimbo umenikumbusha
Allah Akurehemu bro! Akusamehe maovu yako na ayafanye mazuri yako kuwa kivuli chako cha kukuweka mbali na adhabu za kabri-Amiin.Inauma sana ila kazi ya Allah siku zote haina makosa.
Amiin
@@onesmoandrew1339 🤗🤗🤗
Who Is Whatching In 2020 🔥🔥🔥😥😩Mziki Mzur Unaishi R.I.P 🙏Kama Unamkubali Samu Waukweli Gonga Like Na Comment 🥰🥰🤗Nice Song🔥💌
Rest In Peace mwanangu SAM. Hii ngoma kali.
Mwezi wa valentine day huu 2023
Who is watching in 2019 R I P sam
Andjelani Nyassa nipo mdau
Watching at Eldoret
Watching at Uganda
Such a talent mob love from Kenya 😘😘😘😘😘 RIP sam
Watching from Kenya may his body Rip
daaaah Mungu mkubwa Sam kweli umekufa daaah r. i. p broo
Ngoma kali sana aisee Tanzania 🇹🇿 .... imempoteza Msanii Mkubwa sana💔💔 ..... Rest In Peace Ma Brother Sam ....🕊️
2024 mko wapi bado ngoma inaheat ...continue rest in peace star
Nasikiliza nikiwa omani
R I P MZEE BABA TUTAKUKUMBUKA DAIMA SAM.
Amina
R I P
innalilah wainnailah rajiiun maut achen tu ukiyafikiria mhhhh😭😭😭
Amina
I loved this guy and his Music, R.I.P Sam , much Love from Niedersachsen Germany . Africa and the World has lost a Great Artist
😭😭😭😭😭 you nakuelewa kinoma 24/09/2020 like kama na wew unalielewa ili songs
2023 still here ah! Hii nyimbo tamu bhana❤
Sam left a landmark 🇰🇪 🇰🇪
Much love 🇹🇿
Mwamba kaondoka na mziki wake
My favorite song ❤
RIP bro sam mungu azidi kuhilaza roho yako pema peponi 4 year now 🥺😭😭🥺 sisisote ndo njia yetu
You still in my Heart ♥️
Japokuwa ni 2023 bado naukubal huu wimbo it is very fantastic R.I.P Sam wa ukwel.
2024 still Bado napenda hii nyimbo R.I.P sam😢
R I p Sam wa ukweli,kwakweli napenda nyimbo zako 2020 kama unaipenda nyimbo hii gonga like
I love this song ❤️❤️❤️❤️❤️...forever will be in my heart....❤️🌹❤️ Rest In Peace
Sam wa ukweli bado tunakutambua😢akujatokea mwingine kama wew bado❤
2024 june nan kaja tena mwez kama huu kiiskia tena tuonane kwenye like
Show love to hit makers coz when they are no more there is no coming back. RIP Sam wa Ukweli
r i p big man we always loved you wherever u are...jamani wapi wapi likes za sam\
Jmn hii song atar naskiza 2023 my favorite always
If yo from Uganda thumbs up for Sam this song oh God endelea kupumzika kwa amani ndugu
In 2022 and still his music rocks continue resting well sam
Listening it 2022
Rest in peace sam
😭😭😭😭😭😭 i r p Sam mbele yako nyuma yetu innalilah wainnalilah rajjuun
Who's is here, the last day of 2023.
Its 31 - 12 -2023, still listening to Sam wa Ukweli.
RIP bro
Kama Bado 2024 uko apa keep those likes coming,Rest in peace Legend😭😭💔💔🕊️🕊️🕊️
Why you Sam.....whenever I listen to this song can't believe you went....forever remembered .R.I.P
Your song sina raha once made me fail in love with my son's dad whom we loved each other so much he never got tired of playing your songs though we breaked up but I'm glad he left his duplicate for me but always on my mind and your song is the only thing I will keep on listing whenever I misses him......dear salum hammad wa ukweli rest In peace till we meet again I will always love you I'm very much hurt but kazi ya mungu haina makosa rest in peace Sam
Nakupenda sam wa ukweri mungu akupumzishe kwa amani akupunnguzie azabu ya kabuli
Jamaa angekuwepo angekuwa kwenye list ya wasanii angewakimbiza saaana
May your soul continue to rest in peace Kaka we still remember you kwa vitendo vyako we still here 2022💯 Kisiki 💯💯💯
Continue resting in peace legend
Continue resting in peace sam...😢 watching this in 2024...na bado nyimbo ni tamu
Hongere sana uliyependa wimbo huu
Wimbo mzuri sana japo haukupewa nafasi redioni. REST IN PEACE BRO, tutakukumbuka kwa ngoma zako kama Sina Raha, Hata kwetu wapo na huu
His songs never get old, mzuki 2023
Natizama hio ngoma 26 june 2023 bado inaishi kwangu endelea kupumzika kwa aman brother salum ❤❤
Nani anasikiliza hii ngma mpaka 2024❤❤
rest in peace mkali but tunakukmbuka xana
Nime kuku mbuka sana brother samu 😢 ila tuta kutana kaka kifo ndo moja ya safari ya kila mwanadamu pumzika kaka samu 🙏 2020 Leo ujumbe uloacha kwa kwa voc song hii ume nigusa Sana 🙏🙏🙏🙏💖
ALLAH AMSAMEHE AMHIFADH MKAMILIFU NI YEYE BINAADAM NIKIUMBE DHAIFU BASI MSAMEHE...SAME HII NYIMBO ALIFANYA KAZI KUBWA SANA...2023 Ukiisikiliza kama imetoka leo.allah AMSAMEHE mjawake,, Allah tusamehe wanadamu WOTE,,alie andaa hii instrument na producer mlifanya kazi team yote.mnajua.. mjitahid kufatilia HAKI ZAKE Ili ngugu wafaidi kazi za mtoto WAO
R I p Sam wa ukweli nakumbuka siku tumekutana karatu daaa ilikua bonge LA shoo
Kama umeipenda 2020....gonga like
R.i.p somo.
R.I.P sam wa ukweli , ur songs still rocks all the way . 2019 ending who is with me
Mm 2024 nani mwingin ebu nimuon
Mimi bado nipo nae hata kama alishatutangulia.Mungu amsitiri ndugu yetu pazuri💪
Why him walai my ever favorite artist in TZ legend after ameamua kucom back with hit songs.. R. I. P Sam wa ukweli... Ata siamini bt God alikupenda sana r i p bro...
r i p brw nakumbuka mara ya mwisho tulichat ukaniambia utakuja kweny show ila skubahatika kuonana na ww ila daaaah saw brw ahadi zako nazkumbuka san mungu akusamehe uishi peponi milele
Rip broo sam
Tarehe 6. 10. 2020 ngoma kali sana R.i.p Sam wa ukweli...
Mitihani
Rest in peace
mwaka 2024 namskiliza SAM , RIP BRO
Naupenda Sana uu wimbo nkianzaga kuuskiliza huwa nauweka repeat mpaka namaliza nacho kifanya,,,nakukumbuka daima😢😢😢
Leo nimekukumbuka Sana bro, may you continue resting in peace. Nitakuskiza Hadi kifo .
😭 still banging on my eardrums july 2020 .R.I.P SAM
Daaah!!! Siamini kabisa yaani Sam umekwenda bado Tanzania tunaitaji nyimbo zenye ujumbe kutoka kwako sikuamini siku niliyotia udongo kwenye kabuli lako
NilishawahiM kucoment kwnye nyimbo yako ya kwanza utakuwa msanii mkubwa ila mungu amekupenda zaid R. I .P