Soma Dua hii kabla hujakubali oa au kuolewa na mtu,Allah atakuonesha ni mtu sahihi kwako ama la

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 2 หลายเดือนก่อน

    Allahumma Amen Mungu mwenyezi atufanyie wazi na wepesi kwa kupata wachumba 😢 shukrani ya ukhuti

  • @shanisaid6744
    @shanisaid6744 2 ปีที่แล้ว +8

    shukran hukt kwa kutuelimisha Allaha akuzidishie nuru elimu na mwisho mwema

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq ปีที่แล้ว

    MASHAALAH TABARAKALLAH ❤️ shukran Sana mama yangu ngj nami niiswali hii Sunnah maan nipo kwenye uchumba ..... jazakumllahu khayra mola akubariki akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah amiin I LOVE MY MAMA....❤

  • @samirakassim6751
    @samirakassim6751 2 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana madamu wangu allah akuongoze njia sahihi na akupe mwisho mwema inshaallah.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah mungu akuzidishiye ishaalah mungu akuzidishiye

  • @BizabishakaDominique
    @BizabishakaDominique 4 หลายเดือนก่อน

    Emungu wangu na itaji mucumba naelemewa sana naomba musada all all nisaidiye

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah dadangu..Mimi nishaswali pia kwa mpenzi wangu na alhamdullah 🙏 mungu alinionyesha

  • @sultansuleiman5943
    @sultansuleiman5943 2 ปีที่แล้ว +1

    shukran kwakweli nafsi ime lipokea vyema

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Mungu ndye atkulipa kwa kutufungua akili

  • @a.856
    @a.856 2 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah khayran

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khairan dada yang

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Jaziilan 🙏🙏

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuhifadhi akubarikieni waumini woooooote mtupe mawaidha elimu njema daima Ameen Yaarabi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khaillah maashallah tabarakallah ilatu mama ungevaa nikabu kidogo ijapohata sauti pia mtihani Allah atujaalie mwishomwema

  • @aminagodwin8282
    @aminagodwin8282 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah..shukran kwa ushauri mwema

  • @fatomimran310
    @fatomimran310 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah asante mama fatma kwa ushauri mwema

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 2 ปีที่แล้ว +3

    Dadangu mpaka wazee Wanasema Masha Allah

    • @fatumaroba905
      @fatumaroba905 2 ปีที่แล้ว

      May Allah bless us righteous spouse

  • @rahmaaltoki9835
    @rahmaaltoki9835 2 ปีที่แล้ว

    Masha allah maneno yako mazuru sana allah akubarik yarab

  • @adijamuke8590
    @adijamuke8590 2 ปีที่แล้ว

    ManshaAllah Allah akulipe kilalakheri Dada yetu baraka Allah 🙏❤️

  • @dullysavage5939
    @dullysavage5939 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulipe kheri kwa ushauri wako ndugu yangu .

  • @mvugwamanajeem5109
    @mvugwamanajeem5109 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah heri zaidi

  • @ibtalaa
    @ibtalaa 2 ปีที่แล้ว

    Assalaamu alaykum, maa shaa Allah ni mawaidha mazuri, swala ya kutaka khiyari ya Allah ni miongoni mwa sunna zilizoachwa, tujitahidi kuiswali katika mambo yetu yote ya kidunia, hata ikiwa kwenda kununua chumvi dukani kama ilivyokuja kwenye hadithi.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว

    Jazzaka llahu kher shukraan hubbty

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah, asant sana kwa uladi

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 2 ปีที่แล้ว

    Maashaa Allah maashaa Allah tabaraka Allah

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah swadkta darsa

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 2 ปีที่แล้ว +1

    Baraka Allahu fiiQ Yaa ukhuty.

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah jazzakallah khayra

  • @swabrassumeiya6773
    @swabrassumeiya6773 2 ปีที่แล้ว

    Shkran ukhty kwa kutukumbusha maana hata mimi Nina mtihani kama wa huyo binti MUNGU akupe mwisho mwema

  • @shadyaally471
    @shadyaally471 2 ปีที่แล้ว

    Ukhuty ungevaa nikab !! Ss wanawake mtihani !!!!allah atuongoze

    • @mwanahawaomarimashaka197
      @mwanahawaomarimashaka197 2 ปีที่แล้ว

      Sura na viganja ruhsa...labda ungesema kuhusu sauti tuu

    • @HamisiMohamedi-kg3yo
      @HamisiMohamedi-kg3yo 5 หลายเดือนก่อน

      Mashallah yupo vzr ukhuty alinifundisha maarifa ya uislam kuhusu niqabu sio razma yupo sahihi

  • @jaz9974
    @jaz9974 2 ปีที่แล้ว

    Shukran ustadhat kwa ushauri mzuri.allah akulipe kila lenye khier

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH barik

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran jazzakallah khair

  • @asmchandu4584
    @asmchandu4584 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nakupataje

  • @ZawadiAli-j7b
    @ZawadiAli-j7b ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @zakiasaid4352
    @zakiasaid4352 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabaraqallah

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli_kabisa_usemayo_MUNGU_ndo_ANAJIBU_DUA

  • @nettyachieng7524
    @nettyachieng7524 2 ปีที่แล้ว +1

    mashallah mama mashukuru kwaushauri wako

  • @mozanamata4628
    @mozanamata4628 2 ปีที่แล้ว +2

    Inshaaaaaallah mama

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤❤❤

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alykum warahmtullah wabaraktuh.... nakupenda Sana ukthy wangu

  • @hadijayusufu9414
    @hadijayusufu9414 2 ปีที่แล้ว +4

    Naona siku hzi wanawake nao wanatoa da'awa innalillah wainailaihi rrajiuun haya kwa mwanamke iko wapi anachokiongea Ni sahih Ila hakustahili kukitolea hapo anapokitolea ,in the social media? Ebo mnaupeleka wap uislam jaman

    • @mubaraqotyeno9061
      @mubaraqotyeno9061 2 ปีที่แล้ว

      Swadakta akhy

    • @abdillahsuleiman8359
      @abdillahsuleiman8359 2 ปีที่แล้ว

      Hadija assalaamu alaykum

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 ปีที่แล้ว

      Kwani kakosea

    • @hadijayusufu9414
      @hadijayusufu9414 2 ปีที่แล้ว

      @@maloomaalmnsj5111 cjasema kakosea ila hamna sehem ata moja ambayo tumeamrishwa wanawake kupaza saut zetu katk social media

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 2 ปีที่แล้ว

    Shukraan sana

  • @MwanajumaRashid-r5r
    @MwanajumaRashid-r5r 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba hiyo Dua Kwa kiswahili nijue

  • @sabriyasuluh3002
    @sabriyasuluh3002 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwili wanisisimuka

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @mmangajuma5642
    @mmangajuma5642 2 ปีที่แล้ว

    masha allah

  • @fatmam470
    @fatmam470 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 ปีที่แล้ว

    Walaykum msalaam waramatullah wabarakatuh mashallah tabarak Allah akuifadh mamangu ila video hii nitaipataje?

  • @antoinettemukalulangwa9896
    @antoinettemukalulangwa9896 2 ปีที่แล้ว

    allahumma amiin

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 2 ปีที่แล้ว

    Vidio yako inamawimbi sana

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 2 ปีที่แล้ว

    KWELI MANA WANA WAKE BAADHIYAO WA MEKUWA KAMA MIKOKOTENI KILA DEREVA ANA ENDESHA

  • @furahandabadugitse2659
    @furahandabadugitse2659 2 ปีที่แล้ว

    Sasa akiwa natabia njema lakini hana dini sana inaswihi kuowa ao ku olewa ?
    Na mfani nimuingiaji wa dini tabia ziko sawa ila dini sio sana nikidogo kasoma ila ukimuelewesha anafata na anapenda dini sana

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 2 ปีที่แล้ว

    Na istihara inachukua mda gani kujibiwa na utapata majibu kupitia vipi naomba ufafanuzi

    • @hshshsshjdjejjejejejej9823
      @hshshsshjdjejjejejejej9823 2 ปีที่แล้ว

      Hauchukui muda inakuwa Tofauti sa unawez ukaona kwa ndoto au Moy kuwa mzim kwa huy mtu ukion hv inabidi uach unaweza ukawa unampend San Lakin baad ya kufa ushaur uwa Allah Moy ukaw mzito San

    • @fat-hiyarashid4605
      @fat-hiyarashid4605 2 ปีที่แล้ว

      @@hshshsshjdjejjejejejej9823 shukran sana

    • @hshshsshjdjejjejejejej9823
      @hshshsshjdjejjejejejej9823 2 ปีที่แล้ว

      @@fat-hiyarashid4605 afwan my love

    • @swama9820
      @swama9820 2 ปีที่แล้ว +1

      Inakuwa haina aina moja ya majibu bali ni inategemea na Allah atakujibu vipi
      1,Unaweza ona kwenye ndoto jibu ya kile ulichokiomba
      2.unaweza ona tuu nafsi imeridhika na jambo husika kwamba haina shaka nalo bali kuwa makini kutotanguliza matakwa binafsi
      3.Akatokea mtu akakupa tafsiri au maelezo au chochote kuhusiana na ombi lako la istikhara mfano uliswali kumuomba Allah kukuonyesha kher ya jambo fulani akaja mtu akalielezea lile jambo kana kwamba ulimzungumzisha kuhusu hilo jambo au akaja hadithia mfano wa hilo jambo.... N. K
      Allah ni Mjuzi zaidi.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@swama9820shukran

  • @mwanashaali4863
    @mwanashaali4863 2 ปีที่แล้ว

    Masha aa Allah

  • @saumkisira9328
    @saumkisira9328 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @AbdulMalechela
    @AbdulMalechela หลายเดือนก่อน

    Mashaallah