Alihamdulilah ,Alihamdulilah nimejaaliwa kufanya hazikuisha siku 7 nikakutanishwa na mchumba na sasa ni mume wangu ,mwenyezi mungu akulipe heri nyingi na afya tele uendelee kutuelimisha zaidi...Ameen
Nakuombea. Kwa uwezo wa Allah (SWT) utampata mume mwenye sifa zilioko moyoni mwako. Akupende kama Mtume na Sayyida Khadija (RA) na muwe pamoja peponi, Ameen! Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@hilyyaaliy7195 Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namuomba Allah (SWT) kwa Majina yake Matukufu Akutimie ndoto yako upate mume mwema na kheri kwako na muwe pamoja peponi. Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namuomba Allah (SWT) kupitia kwa Majina yake Matukufu Akupe mke wa kheri duniani na akhera. Awape dhuriya wema. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: 'Allah, Allah, Allah, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 ndoa itaweza kutimia. Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
@@mohamedalidini Wallah shukran sana sina cha kukulipa ila namuomba Allah akujaalie na akutimizie kila hitaj lako akufanyie wepes litimie..akujaalie umri mrefu wenye kheir na baraka...AMIIN🤲
@@fathiyahmuzney7367 Bila shaka utatia nia kwa ajili yakumsomea na kumuombea dadako au binti yako. Kisha ikifika wakati wa dua ndio wantaja jina lake. Lakiini kwenye swala ya haja utatia nia ya haja kama vile ukiswali swala ya faradhi. Nadhani nimeweza kukufahamisha vizuri. Barakillahu Feek. 🤲🤲🤲
Jazakallah sheikh mungu akuhifadhi akujalie jannah without hisab with ur families kwa kazi nzuri i pray ur videos impact so many lives.Allah awajalie wote wanao tafuta stara soon
Assalaam alaykum kaka Bii Bakhaty kutoka Zanzibar Allah akulipe kheri kwani mnatuepushia SHIRKI maana wengi hukimbia kwa Wataalamu wakati ALLAH tabaraka wata'aa'la yupo na anaweza kuliko chochote ispokuwa juhudi zetu zakumuomba yeye nakumuamini kama yeye ndio Mfalme wa ULIMWENGU MZIMA ALLAH ATUHIFADHI WAISLAMU WOTE DUNIANI INSHAALLAH.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa ombi lako. Utaratibu na Dua ni huu: 1. Swali rakaa mbili za haja. 2. Ukimaliza kuswali elekea upande wa Qibla. 3. Utamswalia Mtume (SAW) mara 10. 4. Utaleta Istighfar mara 10. 5. Utasoma Aya hizi mara 7: أعوذ بالله من الشيطان الرجيم (بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةًۭ فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ) الآنبياء 40 (هَـٰذَا يَوْمُ لَا يَنطِقُونَ وَلَا يُؤْذَنُ لَهُمْ فَيَعْتَذِرُونَ. وَيْلٌۭ يَوْمَئِذٍۢ لِّلْمُكَذِّبِينَ) المرسلات 35-37 (ٱلْيَوْمَ نَخْتِمُ عَلَىٰٓ أَفْوَٰهِهِمْ وَتُكَلِّمُنَآ أَيْدِيهِمْ وَتَشْهَدُ أَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ) يس 65 (قُلْنَا يَـٰنَارُ كُونِى بَرْدًۭا وَسَلَـٰمًا عَلَىٰٓ إِبْرَٰهِيمَ) الآنبياء 69. اللهم إني أسألك بأسرار وتجليات هذه الآيات أن تعقد كل لسان ناطق علي بالسوء وأن تكفيني شرهم. اللهم أبرد أسنتهم كما برد نار النمروذ على إبراهيم عليه السلام. وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم.
@@ayubually5933 Nimeandika Surah na namba ya Ayah ili iwe wepesi kuijua. Kwa sabau hapa kwa comments maandhishi ya Kiarabu hayakai vizuru. Unaweza chukua jina la Surah na namba ya Ayah kisha uangalie kwa Msahafu na utaipata vizuri. Afwan 🙏🙏🙏
Kuna hata wa kina mama ao bwana wa me vunja ndoa zao za kwanza wala wa kapoteza wezao kwa kifo na wa katamani ku pata wafariji wa kuoa ao kuolewa wata tumia dua gani juu umesema eti hii na ya wale weme chelewa ao waka kosa
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Pia unaweza tumia Dua hii kwa sababu unataka kuanza maisha mengine ya ndoa. Bila shaka unahitaji aliyebora na mwema kwako. Afwan.
Assalamu alaykum ustadhi. Mm nauliza je yafaa kusoma dua hii ikiwa umepata mume ila ndoa ni ngumu sana na imepatwa na hasadi kwa sababu wazazi wamume hawkutaki na wanafanya hasdi za kila aina ili uondoke kwenye hyo ndoa
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Suma Dua hii kwa nia Allah (SWT) Awajaalie wazazi wa mumeo wakupende na muwe na uhusiano mwema. Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: Allah!, Allah!, Allah!, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 wazazi wa mumeo watabadilika na kuwa wazuri kwako Kwa uwezo wa Allah (SWT). Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
Assalaamu alaykum ustadh Mm nauliza jee ikiwa umepata ndoa ila ni ngumu sana na imepatwa na sihri kubwa kwamba wazazi wa mume hawakutaki na wanafanya hasadi nyingi ili uondoke kwenye ile ndoa
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Suma Dua hii kwa nia Allah (SWT) Awajaalie wazazi wa mumeo wakupende na muwe na uhusiano mwema. Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: Allah!, Allah!, Allah!, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 wazazi wa mumeo watabadilika na kuwa wazuri kwako Kwa uwezo wa Allah (SWT). Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kuyasomea mafuta ndio asili na iko na siri kubwa. Ukiyasomea maji kama nyongeza haina shida. Allah (SWT) ni mjuzi zaidi. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. 🤲🤲🤲
Minikulize jambo moja shekhe ikiwa umefungwa usioleke waume wapo huja lakini dowa haisimami jee kwaduwa hii itafanyakaxi ? Au njia ipi ilikufanya njia zandowa kufunguka ? Kama visomo visha somwa sanamabadiliko hayapo miyaka yakatika , msaada inshaallah juuyahili
@@MariamSaid-ds2yt Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Allah (SWT) ni muweza wa kila kitu, na Akitaka jambo liwe analiamrisha na likawa papo hapo. Ruqya na visomo viko vingi. Na kutumia njia tofauti za kujinasua yakubalika na Tawfiq yatoka kwa Allah (SWT). Kadhalika Allah (SWT) amewapa waja wake viwango tofauti vya Qabul katika Dua. Kuna yule ambaye akiomba haichukui muda mrefu kujibiwa. Kuna mwingine atacheleweshwa na kadhalika. Yote yategemea uchaji Mungu na Yaqeen katika Dua. Kwa hivyo, ifanye hii Dua na kwa uwezo wa Allah (SWT) utatibika hata kama umefanyiwa sihr. Allah (SWT) ni mjuzi zaidi. Barakillahu Feek! 🤲🤲🤲
Shukrn san shekh Allah akuhifadhi ww na familia yako.nam nnashida sana nandoa mwanaume Kila siku ananitaka niwe na subra atanioa miaka inakatia nami had nakata tamaa.naifany nimimi Allah anifanyie wepesi nistirike na mm.
Unaweza tumia njia hii iliyoelezewa ndani ya video pia kusoma Surah Yusuf nakila ukifika kwenye jina lake utaomba haja yako. Kwa Uwezo wa Allah (SWT) utafanikiwa. 🤲🤲🤲🤲🤲
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Swali zuri sana. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Kwa hakika kinachohitajika ni binti yako ajipake kwa sababu lengo ni yeye. Jaribu jia yoyote ya kumkinaisha akubali ajipake. Barakillahu Feek.
Alihamdulilah ,Alihamdulilah nimejaaliwa kufanya hazikuisha siku 7 nikakutanishwa na mchumba na sasa ni mume wangu ,mwenyezi mungu akulipe heri nyingi na afya tele uendelee kutuelimisha zaidi...Ameen
Mashallah! Mashalla! Tabarakallah! Alhamdu Lillah! Allah (SWT) Awape maisha mema na furaha ya daima dawamu na awaruzuku dhuriya wema. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Tupe muongozo kwa anaetaka mke mwema
@@AhmadIbrahim-ph2wk Insha Allah nitawapa mwongozo huo. Afwan.
Shukran
@@SarahAbdi-v2c Afwan.
Alhamdulillah nimemaliza Jana Sheikh, Nimemkabidhi ALLAH s.w , Nasubiri matokeo kutoka kwake tu, Allahumma Amin 🤲🏾...
Masha Allah! Kwa uwezo wa Allah (SWT) malengo yako yatatimia. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Ee alla nibard n'a mimi nmpate mume bora 🌟💚inshaalla
Shukran my sheikh.
Allah akulipe jannat fildaus
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Allah atufanyie wepesi nami natamani Mumemwema wa kufanakuxikana nitashukuru sana yarabi takabali Dua. 🤲
Ameen! Ameen! Ameen! Ya Rabbal 'Alameen. 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
Asalam alaikum warhamatullah wabarakatuh.nipe namba yako ibx labda nikheir
@@HamenyimanaDanny lnshaallah
Shukran sana sana
Barakallah fiih
Allahumma Aamiiyn.
Allahuma Ameen Jazakallahu Khairan
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazzakallahu khair
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Walaiykum musalaam Warham thulaih wabarakatuh inshaallah mungu anifungulie na anijaalie mume mwema atakae fata maadili mema tulio amrishwa na mola wetu yarabi,mungu akufungulie palipo pungua maalim
Ameen! Ameen! Ameen! Sote ya Rabb! 🤲🤲
Allàh atakulipa sheikh
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaakallahu lkhair sheikh alla akujaze kheir na akuzidishie karama
Ameen ya Rabb! Sote Insha Allah Taala 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran Allah atukubalie inshallah
Karibu sana.
Àmmyn
Shukran sana Sheikh Allah akuhifazi Insha Allah nitafanya kwa uwezo wa ALLAH Allah atuafanikishe
Afwan! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Ammin ammin
Allah akubariki
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sheikh,nasi wajane twaeza itumia,Shukran
Assalam Alaikum Warahmatullah. Naam mwaweza itumia faida hii na Allah (SWT) Akupe mume mwema na wa kheri kwako. Ameen!
Wa alaikum salaam warahmatullahi wabarakattuh, Allahumma Aamiin ya Rabb
@@subra7215 Barakillahu Feek 🤲🤲🤲
Assalaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu
Shukran jazila sheikh wetu Allah akulipe mema hapa duniani na akhera
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Sote ya Rabb 🤲🤲🤲. BaraKillahu Feek.
Mwenye Enzi mungu akubariki shekhe wetu
Ameen! Ameen! Ameen! Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah Taala. 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
Shukrani shekhe Amina Amina shekhe.niombee .namba na Mimi nipate..mume.bora mwenye hekma. Mwenye kumcha.mungu.Amina.Amina
Nakuombea. Kwa uwezo wa Allah (SWT) utampata mume mwenye sifa zilioko moyoni mwako. Akupende kama Mtume na Sayyida Khadija (RA) na muwe pamoja peponi, Ameen! Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
Amiin @@mohamedalidini
@@Rajha-zs3ig Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana sheikh mola.
Ameen Sote Ya Rabb. Barakillahu Feek 🤲🙏
Shukran sheikh
Waiyyaak. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Naam Masha Allah tabarakallah
Shukran Dadangu mpendwa 🙏
@@mohamedalidini shukran pia
@@AshuraKhamis-qv3ld Waiyyaak. Barakillahu Feek! 🤲
JazakAllahu khry shk...mimi naomba unifanyie dua nipate mume bora
Insha Allah Dadangu mpendwa! Barakillahu Feek.
@@mohamedalidini A.lkm sheikh namie naomba dua naomba jipate stara ilio njema. Wallah atakupandisha darja siku ya kiyama
@@hilyyaaliy7195 Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namuomba Allah (SWT) kwa Majina yake Matukufu Akutimie ndoto yako upate mume mwema na kheri kwako na muwe pamoja peponi. Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@mohamedalidiniamiin yarab . Ustadh naweza kukueleza kitu unawezakupatia duaa lkn sipendi kukisema hadharani
@@hilyyaaliy7195 Nitumie kwa WhatsApp kwa nambari hii: +254 700047708. Afwan.
Baraka Allah
Waiyyaak! 🙏🤲
Asalaam aleikum shekhe niekee kwa maombi nikaeze kupata mke mwema,,hilo ndilo tatizo langu kubwa kwa ii dunia,,,,niombee shekhe😢
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namuomba Allah (SWT) kupitia kwa Majina yake Matukufu Akupe mke wa kheri duniani na akhera. Awape dhuriya wema. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran hakika sichoki kukufatilia Allah akulipe kheir ila naomba kuuliza mfano ushapata huyo mchumba dua gan uombe ili ndoa iweze kutimia
Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: 'Allah, Allah, Allah, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 ndoa itaweza kutimia. Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
@@mohamedalidini Wallah shukran sana sina cha kukulipa ila namuomba Allah akujaalie na akutimizie kila hitaj lako akufanyie wepes litimie..akujaalie umri mrefu wenye kheir na baraka...AMIIN🤲
@@fathiyahmuzney7367 Ameen. Sote Insha Allah. Barakillahu Feek 🤲🤲🤲
@@mohamedalidini je unanuia kwanza kabla ya kusoma au inakuaje yan unataja jina la huyo muhusika au unasoma tu?
@@fathiyahmuzney7367 Bila shaka utatia nia kwa ajili yakumsomea na kumuombea dadako au binti yako. Kisha ikifika wakati wa dua ndio wantaja jina lake. Lakiini kwenye swala ya haja utatia nia ya haja kama vile ukiswali swala ya faradhi. Nadhani nimeweza kukufahamisha vizuri. Barakillahu Feek. 🤲🤲🤲
Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Karibu Dadangu!!!
Jazakallah sheikh mungu akuhifadhi akujalie jannah without hisab with ur families kwa kazi nzuri i pray ur videos impact so many lives.Allah awajalie wote wanao tafuta stara soon
Ameen ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah, Barakillahu Feek 🤲🤲🤲🤲🤲
Ammin yàrab àmyn
asalaam aleykum shukran sana ukijaaliwa muda basi tupe faida na sisi tunaotafuta wake wema tufanye utaratibu upi
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa wale wanaohitaji wake wema wafuate maelezo yaleyale yaloelezewa kwenye video hii. Na Dua utaomba hivi:
«اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ زَوْجَةً صَالِـحَةً مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ»
@@mohamedalidini shukrani sana
Njoo unioe mimi mke mwema
@@abinandrimana7150 Afwan. Baarakallahu Feek ya Habibi 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
@@talkhshukry8308 Kheiran Insha Allah. Allah (SWT) Atutimizie malengo yetu ya kheri yote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
آمين آمين آمين يارب العالمين. وجزاك الله خيرا. وصل الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Shukran. 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekhe naomba uniombee dua nipate mume mwema
Ewe Mola wangu muweza wa kila kitu! Mruzuku dadangu mume wa kheri kwake mwenye sifa anazozitaka. Ewe Mola wangu tuitikie maombi yetu. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@mohamedalidiniAmin yarabby maana hata mm namuomba Allah anijaaliye mume mwema mwenye khery namimi
@@maryamChumas Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@mohamedalidini Ameen Yarab 🤲
@@mariammziray1965 Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shehe naomba uniombeee nipate mume.wa kheri
Namuomba Allah (SWT) Akupe akutimizie malengo yako yote ya Dunia na ya Akhera kwa siri ya Majina Matukufu ya Allah (SWT). Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Shukran sheikh naomba nikusumbie pls tuandikie hiyo dua hapo kwenye comment tuweze kunakili vizur
Dua ndio hizi:
«اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ بَعْلًا صَالِـحًا مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ» مرة. وإن كنت تقرئي لبنتك تقولين: «اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِفُلاَنَةَ بَعْلًا صَالِـحًا مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ» مرة.
Amin ishallah
Shukran sheikh kwa zawadi kubwa ya Dua Allah akulipe yaliyo ya kheri.
@@ZenaZena-kq6vk Ya Rabbala 'Alameen 🤲🤲🤲🤲🤲
@@arafasalum3169 Ameen! Thumma Ameen. Sote Insha Allah.
Assalaam alaykum kaka
Bii Bakhaty kutoka Zanzibar Allah akulipe kheri kwani mnatuepushia SHIRKI maana wengi hukimbia kwa Wataalamu wakati ALLAH tabaraka wata'aa'la yupo na anaweza kuliko chochote ispokuwa juhudi zetu zakumuomba yeye nakumuamini kama yeye ndio Mfalme wa ULIMWENGU MZIMA
ALLAH ATUHIFADHI WAISLAMU WOTE DUNIANI INSHAALLAH.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Jazakillahu kheran Ukhtyl Azizah. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Ammin ammin
@@AminaMsiyu Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
asalam alykm naomba kuuliza ikiwa watu wanakuzungumza sana kila unafanya majambo ya her je nisome dua gn ili watu watulie
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa ombi lako. Utaratibu na Dua ni huu:
1. Swali rakaa mbili za haja.
2. Ukimaliza kuswali elekea upande wa Qibla.
3. Utamswalia Mtume (SAW) mara 10.
4. Utaleta Istighfar mara 10.
5. Utasoma Aya hizi mara 7:
أعوذ بالله من الشيطان الرجيم (بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةًۭ فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ) الآنبياء 40 (هَـٰذَا يَوْمُ لَا يَنطِقُونَ وَلَا يُؤْذَنُ لَهُمْ فَيَعْتَذِرُونَ. وَيْلٌۭ يَوْمَئِذٍۢ لِّلْمُكَذِّبِينَ) المرسلات 35-37 (ٱلْيَوْمَ نَخْتِمُ عَلَىٰٓ أَفْوَٰهِهِمْ وَتُكَلِّمُنَآ أَيْدِيهِمْ وَتَشْهَدُ أَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ) يس 65 (قُلْنَا يَـٰنَارُ كُونِى بَرْدًۭا وَسَلَـٰمًا عَلَىٰٓ إِبْرَٰهِيمَ) الآنبياء 69. اللهم إني أسألك بأسرار وتجليات هذه الآيات أن تعقد كل لسان ناطق علي بالسوء وأن تكفيني شرهم. اللهم أبرد أسنتهم كما برد نار النمروذ على إبراهيم عليه السلام. وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم.
@@mohamedalidini unaweza kuniandikia izi sura vzr samahan mwalimu wangu
@@mohamedalidini mfano Yasin yote au laa
@@ayubually5933 Nimeandika Surah na namba ya Ayah ili iwe wepesi kuijua. Kwa sabau hapa kwa comments maandhishi ya Kiarabu hayakai vizuru. Unaweza chukua jina la Surah na namba ya Ayah kisha uangalie kwa Msahafu na utaipata vizuri. Afwan 🙏🙏🙏
@@ayubually5933 Hiyo Ayah pekee.
Kuna hata wa kina mama ao bwana wa me vunja ndoa zao za kwanza wala wa kapoteza wezao kwa kifo na wa katamani ku pata wafariji wa kuoa ao kuolewa wata tumia dua gani juu umesema eti hii na ya wale weme chelewa ao waka kosa
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Pia unaweza tumia Dua hii kwa sababu unataka kuanza maisha mengine ya ndoa. Bila shaka unahitaji aliyebora na mwema kwako. Afwan.
Mashallah
@@MariamSaid-ds2yt TABARAKALLAH!
@@MariamSaid-ds2yt Tabarakallahu. Shukran sana Dadangu mpendwa 🙏
Kama mume anataka mke
Sheikh nikisomea cream bila mtoto wangu kujua akijipaka zaid ya mara 3 haina neno naomba jawabu
Haina neno. Bora isipungue siku 3. Afwan.
Shukran sana shekh
@@shamzone388 Karibu Sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Assalamu alaykum ustadhi.
Mm nauliza je yafaa kusoma dua hii ikiwa umepata mume ila ndoa ni ngumu sana na imepatwa na hasadi kwa sababu wazazi wamume hawkutaki na wanafanya hasdi za kila aina ili uondoke kwenye hyo ndoa
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Suma Dua hii kwa nia Allah (SWT) Awajaalie wazazi wa mumeo wakupende na muwe na uhusiano mwema. Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: Allah!, Allah!, Allah!, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 wazazi wa mumeo watabadilika na kuwa wazuri kwako Kwa uwezo wa Allah (SWT). Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
Sheikh hapo kwa kumtaja Allah utasema hivyo hivyo Allah au ni sawa ukiongeza yaa Allah A@@mohamedalidini
@@LuuljilalBarre Unasema tu ALLAH bila ya kuanza na YA. Afwan.
Assalaamu alaykum ustadh
Mm nauliza jee ikiwa umepata ndoa ila ni ngumu sana na imepatwa na sihri kubwa kwamba wazazi wa mume hawakutaki na wanafanya hasadi nyingi ili uondoke kwenye ile ndoa
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Suma Dua hii kwa nia Allah (SWT) Awajaalie wazazi wa mumeo wakupende na muwe na uhusiano mwema. Dua ambayo ni mujarabu ni kulitaja jina la Allah yaani kusema hivi: Allah!, Allah!, Allah!, .... 5,000 (elfu tano) kila siku kwa muda wa siku 7. Insha Allah Taala baada ya siku 7 wazazi wa mumeo watabadilika na kuwa wazuri kwako Kwa uwezo wa Allah (SWT). Na hiyo idadi unaweza ifikisha aidha mchana au usiku au mchana na usiku. Muhimu ifike 5000 kila siku kwa siku 7 baada ya siku saba utakuwa umesoma mara 35,000. Hi njia ni mujarabu na ya uhakika. Shukran.
Allah akulipe kila la kheir Sheikh ila naomba namba yako please
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Nawe pia. 🤲🤲🤲🤲🤲 Namba yangu ni hii: +254 700047708. Shukran.
Mi ningeshauri kua video ziwe short and clear inapowezekana.
Insha Allah. Barakallahu Feek! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalaam Allaykum. Naomba kujua sheikh yyuwapatikana wapi ikawa mtu yuko na matatizo kwa ajili ya tiba
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Niko Nairobi. Afwan.
Asalamualaykumu warahmatullah wabarakatuh samahani nilikuwa naomba namba zako shehe
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ni hii: +254 700047708.
Ukiwa na mabint zaidi ya mmoja unaweza kuwataja wote kwa majina kwa kisomi kimoja?
Bila shaka unaweza. Lakini ukimfanyia kila mmoja yake ni bora. Allah (SWT) ni Mjuzi zaidi.
Assalam alaykum. Jee yawezekana kusomea maji na kunwa hayo maji, badala kusomea mafuta?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kuyasomea mafuta ndio asili na iko na siri kubwa. Ukiyasomea maji kama nyongeza haina shida. Allah (SWT) ni mjuzi zaidi. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. 🤲🤲🤲
Minikulize jambo moja shekhe ikiwa umefungwa usioleke waume wapo huja lakini dowa haisimami jee kwaduwa hii itafanyakaxi ? Au njia ipi ilikufanya njia zandowa kufunguka ? Kama visomo visha somwa sanamabadiliko hayapo miyaka yakatika , msaada inshaallah juuyahili
@@MariamSaid-ds2yt Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Allah (SWT) ni muweza wa kila kitu, na Akitaka jambo liwe analiamrisha na likawa papo hapo. Ruqya na visomo viko vingi. Na kutumia njia tofauti za kujinasua yakubalika na Tawfiq yatoka kwa Allah (SWT). Kadhalika Allah (SWT) amewapa waja wake viwango tofauti vya Qabul katika Dua. Kuna yule ambaye akiomba haichukui muda mrefu kujibiwa. Kuna mwingine atacheleweshwa na kadhalika. Yote yategemea uchaji Mungu na Yaqeen katika Dua.
Kwa hivyo, ifanye hii Dua na kwa uwezo wa Allah (SWT) utatibika hata kama umefanyiwa sihr. Allah (SWT) ni mjuzi zaidi. Barakillahu Feek! 🤲🤲🤲
Shukrn san shekh Allah akuhifadhi ww na familia yako.nam nnashida sana nandoa mwanaume Kila siku ananitaka niwe na subra atanioa miaka inakatia nami had nakata tamaa.naifany nimimi Allah anifanyie wepesi nistirike na mm.
@@AminahMtwa Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Allah (SWT) Akupe mume wa kheri anayependwa na Allah. Ameen! 🤲
Asalam aleikum shekh
jee unaweza piya kumu ombeya vijana ambawo awataki kuowa kwa kukhofiya kuogopa kupata mke mkorofi kwa familiya yake tuna weza kuwaombeya wavulana piya?
Waalaikumussalam Warahmatullahi Wabarakatuh. Bila shaka NDIO unaweza kuwanyia vijana wako. Na utasoma Dua hivi:
«اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِوَلَدِيْ (محمد، مثلاً) زَوْجَةً صَالِـحَةً مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ»
Akiwa wa kiume ana tafut mke mwema je?
Akiwa anataka mke mwema ataomba kwa Dua hii: اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ زَوْجَةً صَالِـحَةً مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ
Mm sheh nauli a nikiamka usiku kuswali hiyo sunnatul Haja nikimaliza huo usiku nawe a kutumia hayo mafuta au nianze siku ya 2
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio unaweza. Afwan!
Na vp km kuna mtu unataka akuowe unasoma sura gn
Unaweza tumia njia hii iliyoelezewa ndani ya video pia kusoma Surah Yusuf nakila ukifika kwenye jina lake utaomba haja yako. Kwa Uwezo wa Allah (SWT) utafanikiwa. 🤲🤲🤲🤲🤲
Je hii unaufanya mpangilio huu wote kwa siku3 yaan unasali siku zote 3 na kujipaka hayo mafuta naomba shekh uniweke sawa
Kujipaka pekee ni siku 3. Lakini kisomo ni mara moja tu. Afwan.
asalmualeikum sheikh ukisomea mtu nani atapaka mafuta hio
@@MoluKampicha Ukimsomea mtu unaweza mpaka au yule aliyesomewa kujipaka.
A.alykum mm nauliza kwaiyo unaswali siku Moja t au vp
@@KhadijaAly-lu7lk Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio utaswali mara moja. Afwan 🙏
Assalaam Aleikum. Ikiwa kumfanyia mtoto wako wa kike. Na yeye hajui. Hayo mafuta unaweza kujipaka wewe msomaji?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Swali zuri sana. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Kwa hakika kinachohitajika ni binti yako ajipake kwa sababu lengo ni yeye. Jaribu jia yoyote ya kumkinaisha akubali ajipake. Barakillahu Feek.
Akiwa mwanaume una taka mke mwem je ?
Akiwa anataka mke mwema ataomba Dua hii: اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ زَوْجَةً صَالِـحَةً مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ
Kama anaeomba ni mme dua anisomaje
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kama anaeomba ni mume dua ataisoma hivi:
«اللَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ زَوْجَةً صَالِـحَةً مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ»
@@mohamedalidini15:16
@@MwanamgeniSalimMwachega Kheiran. Shukran.
Jazzakallahu khair
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲