Shirki Ndoa za Siri wapambe na Mawifi ni moja ya vyanzo vya Mipasuko Katika Ukewenza - Fatma Mdidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @sadiqfatma
    @sadiqfatma 2 ปีที่แล้ว +5

    MaashaaaaaA (A)llaahu laa kuwwata illa bi(A)llah ! AL-Hamduli(A)llahi bi(A)L-islaaam !
    Jazaaki(A)llahi khayran ukhtiy , umeeleza kila nyanja kiufasaha !

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว +2

    MUME MOYO WAKE UKIWA HAUKUPENDI! HATA K
    UKATIYA MANUKATO YA DUNIYA NZIMA NA HINA NA MAUDI YOTE ! YEYE ANAYONA BULL SHEET😢 NA YULE MOYO WAKE UNAPOMPENDA HOYO MKE❤ BASI HATA AKAWA HAJITII HAYO MAFUTA YA DUNIYA BASI ATAMPENDA HUYO MOYO WAKE ULIPOPENDA ❤TUU❤👍👌

  • @hatimalnaamani876
    @hatimalnaamani876 2 ปีที่แล้ว +6

    Walahi Uke wenza si uadui hata kidogo bali ni Neema kubwa sana. Mwenyezi Mungu atupe Hekima na Elimu juu ya Ibada hii hazimu.

    • @bas2823
      @bas2823 9 หลายเดือนก่อน

      U MUST BE CRAZY U ARE! MAYBE U DONT LOVE YR HUSBAND U HAVE SOME BODY ELSE BEHIND THE SEEN! THATS WHY! U LIKE TO HAVE SHARE HUSBAND! BUT IF!? U REAL ❤️ LOVES HIM U WONT EXCEPT ANY BODY TO HAVE HIM! OR U R LAZY U CANT MANAGE HIM N YR HOME WORK! THATS WHY! U WANT TO SHARE WITH ANOTHER WOMAN TO YR HUSBAND! BUT EVEN THOUW IF!? U TRULY LOVE❤️ HIM U WONT EXCEPT TO SHARE WITH ANOTHER LADY! AT ALL

  • @saadakhalfan945
    @saadakhalfan945 7 หลายเดือนก่อน

    mashaallah tunakupenda sana dada Allah akuhifadhi pamoja na uwapendao

  • @sadikingstudio8166
    @sadikingstudio8166 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akujalie mwisho mwema, Akujalie Pepo.

  • @shanisaid6744
    @shanisaid6744 2 ปีที่แล้ว +1

    manshaAllaha shukran ukti kwa kutuelimisha inshaAllaha tutajitahidi kumuelekeya Allaha atufanyie wepesi kwa kila jambo

  • @allyhassany3848
    @allyhassany3848 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah! maashaaAllah! Allah akuhifadhi my ukhty

  • @fatmerhabibth8015
    @fatmerhabibth8015 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah Ukhty...una confidence yakutosha kwenye Darsa zako..like it from 🇰🇪

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah JazzakaAllah khayr🥰🥰

  • @khadijamziya1234
    @khadijamziya1234 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah ukhty,Allah atuongoze

  • @zulfatmanisudi598
    @zulfatmanisudi598 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar ! nafurahi kwa darsa zako bibi fathma !

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabaraka Llah Subhanallah Yani ukewenza Lau wanaume wangekuwa na uadilifu na usawa Wanawake wengi wangelipupia ila chanzo Cha mi gogoro ni Wanaume Subhanallah 🤔😔

    • @asyamohd7389
      @asyamohd7389 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakika

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      hapo chacha 😄🤣😂😆😄

    • @UmmuhShurahabili
      @UmmuhShurahabili 7 หลายเดือนก่อน

      Ukhuty nakupenda kwa ajili ya Allah Masha Allah mawaidha yako Kwa kweli alahdulilah Allah akulipe kherii duniani na akheyra

  • @mwaringakali483
    @mwaringakali483 2 ปีที่แล้ว +1

    Kongole dada kwa mawaidha yako na darasa unayo itowa Allah akupe nguvu na afya njema

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 5 วันที่ผ่านมา

    MAASHALLAH.🙏

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarakaAllahu shukran

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    HAYO YA ZAMANI LAKINI SIO LEO TENA! WANAWAKE WANAFANYA KAZI OFISINI! MOJA NA WA NAUME! INNAMA L'AAMALU BINIYYATTUKUM! AMALI ZENU ZIKO KATIKA NIYYA ZENU ! WU BAAS!👍

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    NO BODY WILL EXCEPT TO SHARE HER MANAZEL WHICH SHE LOVE IT!❤!

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah. Yaan ukhty umenfurahish apo kweny status

  • @abdulsamadhassanali4003
    @abdulsamadhassanali4003 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalamu aleikum Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah

  • @peterlarngamatingokoyoy9696
    @peterlarngamatingokoyoy9696 2 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana

  • @sakinadjuma1681
    @sakinadjuma1681 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheiri n'a allah à tuongoze n'a .pia ajiliye kutomuogopa muke

  • @حبيبعيد-ح7ب
    @حبيبعيد-ح7ب 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah tabarakallah

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว +1

    MTU YAKISHAMFIKA HUWA HANA HILA😢 ILLA ANAJIDAI KUJIFANYA KAMA YUKO KATIKA MAISHA YAKE😢 ANAKUWA HANA FURAHA TENA KATIKA MAISHA YAKE!😢 UWADUWI UNAANZA HAPO😢 MUME WA KU SHARE NI BIG PROBLEMS😢! JE!? MUME ATAKUBALI MKE WAKE TO SHARE WITH ANOTHER MEN!? OF COURSE HE WONT EXCEPT IT!😢 BEC. HE HAS A MEAT HEARTS❤ NOT A STILL HEARTS😢! N EVEN A STILL HEARTS WILL CRAKE DOWN😢! N WHAT ABOUT MEAT HEARTS❤!

  • @rukiakilindo5941
    @rukiakilindo5941 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ❤️

  • @yassinshaban9596
    @yassinshaban9596 2 ปีที่แล้ว

    Jazakoum Allah khyrn

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 ปีที่แล้ว

    Mashalaah

  • @zaharangonyani2206
    @zaharangonyani2206 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ukhty wangu .naomba namba ya ukhty Fatma

  • @habibaomary7866
    @habibaomary7866 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye uwadilifu ndyo shida kubwa,,inayopelekea wakewenza kutoelewana

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    DEPENDS OF THE MAN IKIWA SIO MUNAFEK KUWAFITINISHA HAO WAKE WENGI NA KUWAFANYA HAO WAKE WASIKILIZANE NA WASIGOMBANI! DAIMA MUME HUWA NDIE FITNA JUU YA HAO WAKE WENGI! KWA SABABU ANAFANYA HAYO! ILI APATE KUPENDWA KILA ANOPOKUWA NA ZAMU YA MMOJA WAO😢 ILI AONE RAHA! ANAGOMBANIWA HUKU NA KULE😢KUWA NA UKE WENZA! NI KUWA KATIKA! HELL FIRE😢 NO HAPPY LIFE AT ALL😢! ASIKUDANGANYE MTU EEEE! MUME WA KU SHARE ITS A BIG HEADACHE OF LIFE TIME!😢!

  • @rahiladenge3444
    @rahiladenge3444 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukhti andaa darsa ya kuwaomba wanaume kua na uadilifu katika ndoa zao wanawake hatukatai ukewenza Bali tunahofu kutokuepo kwa uadilifu na kusababisha matatizo katika huduma za watoto

  • @MutoniwaseLatifa
    @MutoniwaseLatifa 11 หลายเดือนก่อน

    Darsa zuri sana

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 2 ปีที่แล้ว

    Alla akurinde dada

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukhty wako wapi hao wanaopewa mawaidha kama haya watakusikiliza na kuyaacha hapo hapo

  • @maindachausa3912
    @maindachausa3912 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa sha ALLAH, darsa zuri sana

  • @ayubuiddi8563
    @ayubuiddi8563 2 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah ♥️

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    FIND GOOD ISSUES TO TALK WICH IS GONNA BRING U BENEFITS IN YR LIFE TIME👌👍! LEAVE THOSE MEN TO DO WHAT EVER THEY WANT TO DO😢 AFTER ALL U TAKE CARE OF YR SELF! N YR KIDS! IF U HAVE KIDS! OK! REST N RELAX PLEASE OKAY! LOVE❤ YR SELF N TAKE IT EASY N BE SAFE ALWAYS❤

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 2 ปีที่แล้ว

    masha allah tabarakka allah

  • @sindayigayaathuman4453
    @sindayigayaathuman4453 2 ปีที่แล้ว

    Karibu Burundi bujumbura

  • @umujurayji8838
    @umujurayji8838 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 2 ปีที่แล้ว

    Yasalaam

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    AH! I DONT WANT TO BE INVOLVING WITH MEN MARRIEGE MANY WIVES WITHOUT REASONS JUST FOR HIS HAPPYNESS ONLY😢! WAS NO REASON FOR HIM TO MARRY ANOTHER! ONE A MAN AXCEPT BY HIS SELF TO MARRY HER❤N THEN AFTER MANY YEARS HE WILL GO N MARRY ANOTHER ONE! WAS NOT FORCES MARRY FROM THE PARENTS NO LOVE❤❤ ❤

  • @ayubuiddi8563
    @ayubuiddi8563 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️

  • @hanafanysociety7405
    @hanafanysociety7405 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
    Naomba namba za huyu Ukht fatma mdidi

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    HAVE REST MY DEAR U TALK TOO MUCH😢 YR KIDS NEED U N WANT U! RELAX MY DEAR SISTER PLEASE OK

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    IF!? FORCES LOVES❤ TO FOR MALES N FEMALES BY PARENTS THEN MALES OR FAMALES HAVE WRIGHT TO MARRY ANOTHER ONE👌 BEC.THE HEARTS NO LOVE TO EACH OTHER😢 ONLY GOT MARRIED BY FORCES FROM THE PARENTS N HE OR SHE COULDNT REFUSED BEC PARENTS WANTS A MALE OR FAMELE-S WANT HIM OR HER TO GET MARRIE THE WAY THEY WANT PARENTS😢!

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    I THINK U NEED REST NOW! BEC U TALK TOO MUCH😢 HAVE REST MY DEAR SISTER😢 U CANT DO ANYTHING ABOUT MEN TO MARRY MORE WIVES! WE BETTER SHUT UP OUR MOUTH😭 N LET THEM DO! WHAT EVER THEY WANT TO DO IT! IF!? U CANT TAHAMAL LEAVE HIM N U GO AWAY FROM HIM😢 N HAVE A PEACEFUL OF YR LIFE! ONLY EVEN IF!? IT WILL BE DIFFECULT FOR U! TO CARRY IT! BUT BETTER TO GO AWAY FROM HIM😢 IF!? U CANT CARRY IT!😢! IN OUR WORLD NO UADILIFU AT ALL😢!

  • @rukiagambere8050
    @rukiagambere8050 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 ปีที่แล้ว

    W'me wafanye kazi kwanza mana nahuduma zimehimizwa pia nasio kuongeza wake tu halafu ukawafanyisha biashara au ukawatesa. Pengine huyo mmoja humuhudumikii unakwenda ongeza mizigo....tahamaki wtto wakiisilam wanaishia kufanya machafu na maovu kwa kukosa mababa wakuwapa haki zao km wtto.

  • @aminaswaleh3639
    @aminaswaleh3639 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jamani somo zuri sana

  • @meswaleheramadhan6559
    @meswaleheramadhan6559 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nna swali ukht..... Na mimi nikiolewa, alafu tukose watoto, na baada ya uchunguzi isemekane mume wangu ndio tasa,,,,, hapa ntafanyaje ukht?

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 2 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuomba Taraka kwani una haqqi pia ya kutaka watoto.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      achika uolewe na mwingin

    • @kezakimanamelisa6102
      @kezakimanamelisa6102 2 ปีที่แล้ว

      Unahaki yakuomba talaka ila mme silazim akupe talaka akigundulika anautasa. Allah ninwadilifu alhamdulillah kwakuujuw uisilamu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      @@kezakimanamelisa6102 c lazima kivipi wakati mwanaume hawezi kumpa mimba wee angalia mwanamke akiwa mgumba mwanaume anaoa vipi mwanamke abaki na mwanaume kma huyo

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +1

    hakuna mwanaume anapenda kuoa mwanamke mwenye watoto labda kma ana kamoja au viwili tofauti na hapo kila mmoja anaoa mtu ambae hajazaa bint

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 2 ปีที่แล้ว +2

      Siku izi hao ndio wanaongoza kuolewa hao wenye watt

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      @@sadahgullam8228 mweny mtot mmoja au wawili sio mweny tim

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว +1

    WHY U TALK LIKE THIS!? BEC. YAMESHAKUFIKA HABIBTY! NDIO MAANA UNAJARUBU KUWAVUTIYA WANAWAKE WENZIO WAKUBALI KU SHARE WAUME ZAO NA KUUOWA WANAWAKE WENGINE! KWA SABABU IKIWA UNA MOYO YA KUYABEBA HAYO! NA WENGINE HAWAWEZI KUTABEBA KILA MTU ANA MOYO WAKE❤😢! SO NYIE WANAWAKE MSIWA SHAJJEE WANAUME KUOWA WAKE ZAIDI YA MMOJA TUU👍👌THAT IS CORRECTS TO HAVE ONE LOVER ONLY N NOT MANY😢 LIKE ROOSTER HAS MANY HENS😢!💔!

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    I KNOW U TALK ALL THESE BEC. U R IN PAINFUL U HAVE NO WAY TO SCALP! SO! U NEED HELP OF YR SELF TO IGNORE ALL😢! TAKE CARE N BE SAFE ALWAYS. AH! IM TIRED TO LISTEN! I DONT WANT TO GO CRAZY OR TO GET HEART ATTACTS! HAMNA IBADA WALA SHEY MEN BROUGHT ALL THESE FOR THE SAKE OF THEM SELF ONLY😢!

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

    😄🤣😂😆niache kuangalia vitu vingine bado nixubae etiiii nibadilishe mavitanda haloooooo

    • @nassrubushoot5750
      @nassrubushoot5750 2 ปีที่แล้ว

      Weye sio miongoni mwao huwezi dadaa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      @@nassrubushoot5750 😄🤣😂😆😄🤣mwanaume hana shukran kma punda tu hao wanabadilisha huachwa kila siku aukuongexewa wake mie hanitishii nyau

  • @sandrankunzi4622
    @sandrankunzi4622 2 ปีที่แล้ว

    Le ui

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 ปีที่แล้ว

    Mashaallah