POLISI WAMEFIKA NYUMBANI KWA MBARIKIWA WAMETAKA KUCHUKUA VYOMBO VYA KANISA MBARIKIWA AMEWAKATALIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 335

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 11 หลายเดือนก่อน +17

    Nyimbo Za Uchi Za Uhuni Ni Halali Ila Za Dini Ni Kosa, Mungu Natamka Neno Kwa Uwezo Wako Angamiza Kila Aliye Husika Na Ujangili Usiku Wa Leo Kwanguvu Yako.

  • @user-jq6kb2cy9m
    @user-jq6kb2cy9m 11 หลายเดือนก่อน +17

    Pole sana mtumishi wa Mungu, haya yote yatapita hata hii serikali itapita tuu, MUNGU ni MUNGU tuu .

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 11 หลายเดือนก่อน +12

    Kamanda Sifa mtumishi Hezekia na wengine watakao kamatwa kwa ajili ya jina la Bwana Wana heri Sana mbele za Mungu.mwenyezi Mungu bado tunakuamini.

  • @Tukolive
    @Tukolive 11 หลายเดือนก่อน +12

    AISEEE... INAUMA SANAAAAAAA😭WAKIKUCHUKUA WENGINE TUTAONGEA TUMECHOKA KUKAA KIMYAA WAKATI NI SASA 💪 💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 11 หลายเดือนก่อน +9

    Ktk watu ambao watakuja kusimulia mateso ni pamoja na Mbarikiwa😭😭😢tupo pamoja kukuombea kikombe hiki kikuepuke, lkn najua unachokifanya kina baraka mbele ya safari! Damu ya mwanao itanena mbele za Mungu🙏🙏🙏Yesu alijua kuwa anaenda kuteswa na kuuawa lkn alisimamia msimamo wake hadi kifo kilipomkuta, Mungu awe nawe Mbarikiwa wa Mungu!

  • @ananiakyando3904
    @ananiakyando3904 11 หลายเดือนก่อน +7

    Nimejionea mwenyewe Elia wa sasa kwamacho yangu jamani tuamini mungu yupo maana Kila nikimuona huyu mtumishi mm imana inaongezeka sana

  • @LameckLameckmjwanga
    @LameckLameckmjwanga 11 หลายเดือนก่อน +5

    hatasasa naamini Ile saa imefika kwajili ya mapambano hapa hakuna jinsi kepteni uzurimandiko yalituwekawazi kabisa hapa haijalishi tutamwagadamu kama maji Mimi hapa sasa nikotayali kufia vitani nasematena saaimefika sasa duniani watuwahaki loho zetu mikononi mwa MUNGU mkuu amina

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 11 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana mchungaji mwakipesile, ngoja tuwaambie mawakili wa mbeya wasaidie

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu atawalipia tena kwa ukubwa muno, wanalingia vyeo tutaona Mungu na mamlaka nani zaidi

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 11 หลายเดือนก่อน +7

    Imani isio yumba hakika mungu yuko nyuma yako 💪

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 11 หลายเดือนก่อน +14

    E'Mwenyezi Mungu,ingilia kati jambo hili, maana kimwili inauma sana,mtumishi wako ameumia na kuteseka kwa muda mrefu,sasa ifike mahali ujidhihirishe kuwa wewe ni Mungu uliye juu ya vyote,piga kila mtu anayehusika ktk kuwatesa na kuwaumiza watumishi wako kwa namna utakavyo kufaa,naomba haya ktk jina kuu,jina la Yesu kristo,Amen.

  • @sadallahbataza1906
    @sadallahbataza1906 11 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mwalimu wangu Mungu akutangulie ktk mapito haya uyapitiayo

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 11 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani poleni Sana watumishi wa Mungu

  • @ludigomhagama4023
    @ludigomhagama4023 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe sana mtumishi. Husiongee. Ogopa Mungu baba tu

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 11 หลายเดือนก่อน +5

    KAMA MLIUWA ILI MTAWALE basi sisi Raiya woote wa Tz ni Malehemu watalajiwa ni swala la Muda tu.
    MTAENDELEA KUUWA ILI KULINDA VYEO NA NAFASI ZENU-acha inyeshe tuone panapo vuja

  • @user-wz4rq1wn7q
    @user-wz4rq1wn7q 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu jidhihireshe juu ya mtumishi wako maana wewe ni Hakimu wa haki. Sina shaka nawe maana unaweza na hakuna gumu kwako mkono wako si mfupi usiweze kuokoa au kutetea zaidi ya yote mapenz yako yatimie na utabaki kuwa Mungu Amen.

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu anakusudi na wewe mchungaji uwa na moyo mkuu hao ipo siku watakuwa chini yako

  • @user-or8ow5vr7m
    @user-or8ow5vr7m 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu awe nawe mbarikiwa mateso anayompitisha mungu ndie atakae mponya lakini mungu Yu mwema

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 11 หลายเดือนก่อน +9

    Pole sana Mtumishi wa Mungu kwa haya yote yanayokupata wakati huu

  • @FaithHozza
    @FaithHozza 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa mambo ya Mungu yanapingwa alafu yakidunia hawayapingi hakika Mungu atatoa hukumu kwa wote watakaofanya hivo kwa kanisa la kristo yesu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 11 หลายเดือนก่อน +8

    Eeh Mungu tunakuomba angamiza wote wanaoshiriki uonevu huu inauma sana 😢😢

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ni gunia amevaa,amefika mbali sana.Asikilizwe Huyu baba,hata viongozi wa dini,viongozi mbalimbali.

  • @eliapeter2950
    @eliapeter2950 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ila hakuna Jambo lisilo kuwa na mwisho haya yatapita Tu Mungu yupo pamoja na wewe mbarikiwa

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 11 หลายเดือนก่อน +5

    IMARA IMARA...MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU...HII NDIO TANZANIA 🇹🇿.

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 11 หลายเดือนก่อน +1

    Msiogope ndugu zangu, hao ni nzi tu hawana lolote. Mi nawapa hongera siwezi kuwapa pole, kwasababu, hamjarudi nyuma.

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoja inyeshe yuone panapo vuja.Mungu mungu wangu unasikia.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 11 หลายเดือนก่อน +6

    Inasikitisha sana

  • @titonsimbazi3309
    @titonsimbazi3309 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kanisa limesha ingia kwe ziki kuu. Wakristo tuchangamke.

  • @madafajulius3257
    @madafajulius3257 11 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi Mungu huwainua watumishi wake kwa namna ya ajabu, mtumishi wa Mungu anapitia kipindi cha majaribu namwombea kwa Mwenyezi Mungu amtie nguvu na uvumilivu!

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kweli auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.

  • @user-jc9ve7tf2p
    @user-jc9ve7tf2p 11 หลายเดือนก่อน

    Pole saana Mtumishi wa Mungu,Mungu yuu pamoja nawe ,maandiko yanasema kuna wakati wa kulia na pia kuna wakati wa kufurahi ,Mungu atakufuta machozi ,na wotee wanao husika na hayo Mungu atawapiga kipigo kali

  • @zawadimwaibako4065
    @zawadimwaibako4065 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hapa hata rudi nyuma mtu, msalaba mbele dunia nyuma.
    Andrew kantimbo na kundi lake mikono yao inawasha kumwaga damu za watu wa Mungu.
    Tunajua hivi vipindi vilitabiliwa Danieli 11:21-38

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 11 หลายเดือนก่อน +6

    Serikali Haina dini ila Ina Mungu wa mbinguni ,Ipo siku watatoa hesabu siku Zina hesabika Mungu ingilia Kati kwa hili

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu baba mfalme wa Falme ingilia hili Mtumishi wako Mwakipesile anateswa mwanae aliuwawa na watoto wa kiroho wanakamatwa mlinde pamoja na family yake hadi kuvamia kwenye nyumba ya sala inasikitisha sana pole sana

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 11 หลายเดือนก่อน +6

    HAKIKA HIKI NDIO KIKOSI KAZI CHA INJILI ...

  • @user-zq1ky3we2x
    @user-zq1ky3we2x 11 หลายเดือนก่อน +4

    Haya yote mungu anaingilia kati muda so mwingi maana imeandika bwana hatomwacha alie wake kamwe.

    • @alphoncekagezi4950
      @alphoncekagezi4950 11 หลายเดือนก่อน

      Kumbe tatizo ni wimbo! Hivi kila neno litokalo kinywani mwa mtu yeyote likipimwa ktk mizani ! Ni mangapi yatafaa?
      Mungu yupo mamlaka zote ziko mkononi mwake aweza kunyamaza ama kuamua kufanya atakavyo.
      jipe moyo Haki imstahiliyo MTU hucheleweshwa lakini haiwezi kupotezwa kabisa.

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mambo yanazidi hivi? Lakini Daudi kasema alikua kijana sasa ni mzee hajawai ona mwwnye haki ameachwa. Imeniuma sana

  • @davidikakombole8833
    @davidikakombole8833 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu, Mungu tukumbuke tu wakati huuu Yesuuuuuuuu

  • @ServantofGodNehemiahPDA
    @ServantofGodNehemiahPDA 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mtumishi wa Mungu.

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mtashinda tu bila shaka,!! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mtumishi Mungu akulinde Sana we pamoja na familia yako nawaliyoko Kalib nawe eee mungu Baba uko wapi angalia watu wako wakiteseka kwani ulimchukua magufuli ili iwe hiivi Baba

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mchungaji kwa yote yaliyo kukuta, huwa nikikusikiliza naumia sana maana mimi huwa cpendi mtu yeyote kuonewa ila naomba nikushauli tu kitu hivo unavo umia ndio alivo umizwa Mdude, Tundu Lisu, wazazi wa Azor Gwanda, Alphonce Mawazo na wengine wengi kipindi cha Makufuli, sasa ukiona walio teswa kipindi kilicho pita wanamuongea Makufuli usiwachukie na kuwakasilikia hao ni wahanga kama wewe. Pole sana.

  • @YonaCharles-or6px
    @YonaCharles-or6px 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah kumbe ni kwasababu ya ule wimbo iseeeh inaumiza sanaa

  • @FurahaEdward-xj3kh
    @FurahaEdward-xj3kh 11 หลายเดือนก่อน +2

    Polen kwa changamoto hii mungu yu upande wenu twaendelea kuwaombea

  • @eliudnguge9013
    @eliudnguge9013 11 หลายเดือนก่อน +1

    mbarikiwa upewe heshima yako 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @amospaul6528
    @amospaul6528 11 หลายเดือนก่อน +1

    We mweyez mungu ikomboe Tanzania Kuna watu hawana hofu na ww wanaona kwmba wao walijiumba

  • @davidmwaipopo5171
    @davidmwaipopo5171 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani huyu mtu wa mungu jamani kakosa Nini si mumwache amwabudu mungu wetu

  • @user-pf5zs6nm4n
    @user-pf5zs6nm4n 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu yupokazini hajawahi kushindwa

  • @hoseakamchapekaponya3502
    @hoseakamchapekaponya3502 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaal mbarikiwa, umelia lia sana kwa mungu wako bila mafanikio, bac labda umwombe shetani pia.

    • @kolisonkolison3681
      @kolisonkolison3681 11 หลายเดือนก่อน

      MUDA SI MREFU UTAINGIA KWENYE LAANA NA FIMBO YA MUNGU WA HAKI NA KWELI.... Jitafakari maneno yako!

  • @stevenvictor437
    @stevenvictor437 11 หลายเดือนก่อน +1

    Songa mbele mtu wa mungu, na pole sana kwa matatizo, ila Mungu hatakuacha.

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ifike Mahali watz tuamke,,, huu ujinga unaofanywa na watawala ni wakijinga sana Tena mavi kabisa

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 11 หลายเดือนก่อน +3

      Bongo akili ndogo inaongoza akili kubwa ali imba ney wa mitego

    • @ellyndossy3266
      @ellyndossy3266 11 หลายเดือนก่อน +3

      Big UUUUPPPP!!

    • @malingazeboss9351
      @malingazeboss9351 11 หลายเดือนก่อน

      @@mestonisimzosha203 kabisa mkuu

    • @malingazeboss9351
      @malingazeboss9351 11 หลายเดือนก่อน

      @@ellyndossy3266 ahsante mkuu

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mungu Yupo Atakusaidia Kwa Mapito Inayopitia Mungu Atakuenzi NaWasubiri Wataisoma NoHao Wanafiki.

  • @gustavrwekaza802
    @gustavrwekaza802 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hukumu hii imekuja kwa agizo la walinzi, na amri hii kwa neno la watakatifu; kusudi walio hai wapate kujua ya kuwa Aliye juu anatawala katika ufalme wa wanadamu, naye humpa amtakaye, tena humtawaza juu yake aliye mnyonge.
    Dan 4:17 simameni hukumu ya Bwana itapita

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 11 หลายเดือนก่อน

    Mna bahati sana mngekuwa wabarikiwa wa upande wa pil angekuwa segelea!tangaza mambo ya Yesu kama unayo mchungaji biblia na Koran hazina Chadema wala CCM.unapambana na dude kichwa na mkia havionekani,acha mapambano eneza neno,huyo anayesikika kukufunza useme nn,kaulizako zinaonyesha nmna mbarikiwa ulivyonausongo na Mhe Rais.
    Polesana

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 11 หลายเดือนก่อน

    Yatapita tuu mtumishi wa Mungu Bwana atakutendea muujiza

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @josephmkumbwa9836
    @josephmkumbwa9836 11 หลายเดือนก่อน

    Duu!! Hii nchi hatari sana

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona nyani anafanana na binadamu na yamkini aweza kuliwa, Bali chawa haliwi,,, hao polisi hawajatumia busara

  • @valeriokiputa3745
    @valeriokiputa3745 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni Mwema

  • @user-zq1ky3we2x
    @user-zq1ky3we2x 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aingilie kati hli jambo

  • @petulomwaitulo5826
    @petulomwaitulo5826 11 หลายเดือนก่อน

    Pole San mtumish munq yupo pamoj nawe

  • @titonsimbazi3309
    @titonsimbazi3309 11 หลายเดือนก่อน +2

    Chawa wa mama.

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 11 หลายเดือนก่อน

    kunakoelekea tanzania sijui tu. watawala wachukue hatua. watende haki watu wanahasira sana na maisha ni magumu.

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 11 หลายเดือนก่อน +5

    Imeniuma Sana ndugu yangu mbarikiwa lakini tumeandikiwa hayo acha tu Yesu kristo atalipa kisasi

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 11 หลายเดือนก่อน

    Hii Nchi Ifungue wodi nyingi za magonjwa ya akili aise,,,,tunapoelekea heshima hakuna kabisa

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen Amen

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 11 หลายเดือนก่อน +2

    Watumishi wa Mungu wakinena tuwaheshimu,tuwe wanyenyekevu haijalishi sisi ni nani,lakini tukishupaza shingo,itavunjika hakika wala hatupati dawa maana Mungu hujidhihirisha kwao!

    • @JohnNikodem-ts1nz
      @JohnNikodem-ts1nz 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@cleophacephelician6739wewe ni chawa tu ila utaelewa tu Kwamba Mungu Yupo Nasi Tumeonewa Sasa Yatosha

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ya Mwenyezi Mungu huwa... Haijawahi kuwa uongo. Piga kelele usiache....

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni wa Vita... Cha msingi tudumu katika Sala

  • @user-do1ut4gb1e
    @user-do1ut4gb1e 11 หลายเดือนก่อน

    Nawapa ushauri huu,siku tatu kufunga kutangua kauli za marumbano na mamlaka,muone Mungu kama hatatoa mlango wa kutokea.Amen

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nakushauri usipoteze muda kupambana na vyombo vya Dola; badala yake tumia muda mwingi kumkaribia Mungu naye atakukaribia na Mungu akikukaribia shetani atakukimbia! Amina.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  11 หลายเดือนก่อน

      Wewe kwako kukaribia Mungu ni kuwaibia wazungu. Ungejua maana ya kukaribia Mungu ungetambua kuwa tunamkaribia kwa kusema au kutenda tulilotakiwa.

  • @luganomunuwavanu9369
    @luganomunuwavanu9369 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo kwenye vyombo nao wanafeli. Vyombo ndiyo vimefanya nini sasa

  • @thobiasmasabile-cw9xo
    @thobiasmasabile-cw9xo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hao polisi wanatafuta kufa vibaya mapingo ya mungu, sio mapigo ya mwanadamu, Sasa niwambie tu kama wanasikiliza mama yao mungu Hana Cha mama Wala polisi wala c ninadhani hapa mungu onelana usjifiche, juu ya Hawa wtesi wetu wakijifichia kwenye kivuli Cha upolis kumbe machawa tu watakufa vibaya sana

  • @SameheRobert64-zf4ir
    @SameheRobert64-zf4ir 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @josephmagori4612
    @josephmagori4612 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kilio chako iko siku mungu atakipatia majibu tu ingawaji wanakulinganisha Kama kichaa

  • @mwaupinailejeyetu
    @mwaupinailejeyetu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awe na wewe milele maana upo kwenye kipindi kigumu sana

  • @denismlwati3285
    @denismlwati3285 11 หลายเดือนก่อน

    Serkl hii na endru chawa wa mama haya maisha Yana mwisho wake alicho pewa cheo atatoka ipo siku kkizazi chake kitajuta kua na baba Kama huyu kwa Jina la Jehovah Mungu aliye hai

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 หลายเดือนก่อน +1

    mh samia anaitengua tz na kuitaka tanganyika Rais mwenye mikosi mwizi wa kuuza bandari ya tanganyika sio kwao znz kwanini?? iwe bara tuu mimi nipo nawewe mbarikiwa

  • @veronicanzingula5426
    @veronicanzingula5426 10 หลายเดือนก่อน

    Yan Mungu anajizihilisha kwako baba usjal Mungu Yuko na ww

  • @user-zo3xl5du3n
    @user-zo3xl5du3n 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi mungu atakutetea tuu

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 11 หลายเดือนก่อน +2

    Polisi ni waonevu sana wanakamata watu bila hatia

  • @user-ze5yc9fl2z
    @user-ze5yc9fl2z 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde amina

  • @WilliamTete-kj5nx
    @WilliamTete-kj5nx 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaa pole sana watumishi Mungu awasaidie wamwachie tu sifa

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 11 หลายเดือนก่อน

    We Mzee Fanya kazi ya MUNGU punguza mdomo. Unashindana Sana na mamlaka nyingine. We tulia kwenye mamlaka ya MUNGU ndo maana unapata matatizo Kila siku wewe unapenda ugomvi unatafuta umaalufu

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi kweliwanaua asie na hatia halafu wanasema kuna Amani TZ,amani iko wapi sasa

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hawa chawa wa mama mbona wanabugi stepu Saaanaaaa.Wanaingilia kesi ambayo MUNGU akiamuwa kuuwa Ata anza na chawa wa MAma

  • @nigaone3904
    @nigaone3904 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani hata roho usipokuwa makini watachukua kaka

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yule MTOTO wa ILEMI Alisema SAMIA Ajichunguze kunakubwa litatokea. sasa Acha inyeshe tuone panapo vuja.Waendelee Kutesa(watanganyika) Wasio na hatia

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 11 หลายเดือนก่อน

    Haya Ni Maisha mabaya Sana
    Mambo mabaya yanawasimamizi wake.
    Alafu Viongozi wako hapo aliko Mbalikiwaila hawawanajiuliza kuwa unakuja kuwa rahana badae?
    Kwa kweli Ni sura mbaya.

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 11 หลายเดือนก่อน +10

    NI KIPINDI CHA ROHO YA UASI Ufunuo wa Yohana 20:4
    [4]Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia yule mnyama, wala sanamu yake, wala hawakuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; nao wakawa hai, wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.

    • @neemamangushi8187
      @neemamangushi8187 11 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @charlesgasper-wo9hc
      @charlesgasper-wo9hc 11 หลายเดือนก่อน

      Polisi hawanashida wenye shidani kulejuu hatahawaoni uzito wajambolinalowakabili

  • @ayoubmwampeta
    @ayoubmwampeta 11 หลายเดือนก่อน

    Mh! Sasa imekua shida Yan wameacha kupambana na wezi Ila wanapambana na watu wa mungu Atari Sana

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jama sion kosa lake ila nyie mnae huska kumsumbua mkumbuke mnashindana na Mungu si mwanadam yatakayo wakuta mtasimlia kizazi na kizazi.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awape hekima namna ya kudeal na haya mambo

  • @assayusuph3295
    @assayusuph3295 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana mutumishi wa mungu kwa kuwa na musimamo huo wa kimungu

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 11 หลายเดือนก่อน

    Msiogope wapendwa ,YESU karibu , sijui hao serikali mtasema nini mbele za Mungu

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine 11 หลายเดือนก่อน +2

    Uchafu uoimbwa kuoneshwa umealibu watoto hamchukui atua lakini hao wanaosema ukweli kwani tunaudumiwa sawa?rushwa imejaa haki hakuna uti jamani tunayaona ndio wako sawa kabisa

  • @kitengekikali3541
    @kitengekikali3541 11 หลายเดือนก่อน

    piga injili ukusanye sadaka zako tyu, aya mengine ay aah,!! achana na serikali utaumia wew si unaona unavolalamika bila mpango!! ushauli wangu piga mahubili yako uzingatie maokoto

  • @KibonaKibona-gf7bq
    @KibonaKibona-gf7bq 11 หลายเดือนก่อน

    Unajitesa mwenyewe.Acha kushindana na serikali.