SIMULIZI ZA KIPEKEE ZA BARAKA MPENJA 'SAUTI YA RADI'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มี.ค. 2020
  • Azam Sports2, imesheheni Watangazaji mahiri wa kandanda wanaotikisa nchini Tanzania na ukanda wote wa Afrika mashariki na kati, miongoni mwao akiwa ni Baraka Adson Mpenja maarufu 'Sauti ya Radi'.
    Hapa tunakuletea baadhi ya simulizi za kusisimua alizofanya wakati akitangaza Mubashara mechi za mashindano mbalimbali msimu wa 2018/2019, ikiwemo Ligi kuu soka Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 10