BARAKA MPENJA ATANGAZA 'LIVE' BAO LA AZIZ KI KWA MKAPA | AUPIGIA SALUTE MTOKO WA KINJUNGA NA FUNGUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2023
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 119

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 10 หลายเดือนก่อน +21

    Kama umeinjoi stor ya mpenja achia like yako hapa👍

    • @MoDullah
      @MoDullah 9 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤ ilove you so much yanga MMwaaaaaaaaaaaaaaa yanga

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv 10 หลายเดือนก่อน +4

    Aaa huyu jamaa mpenja bwana namuelewa sana hodari

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 10 หลายเดือนก่อน +13

    Sijawahi kujutia kuwa Yanga Priva unajua unajua tena💚💛💚💛💚🙏🙏🙏

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 9 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa kunipa story ya timu yangu ya YANGA hongera Baraka wetu CHUKUA MAUA Yako bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 10 หลายเดือนก่อน +11

    Dah tumetoka mbali sana aisee duh

  • @martinkasera1642
    @martinkasera1642 10 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli zahera alihamasisha na kutupa moyo Yanga mbele nyuma mwiko

  • @rubenijackisoni5679
    @rubenijackisoni5679 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sina neno Mimi mjaluo wawatu Mungu wambinguni ibariki yanga mungu wambinguni mbariki baraka mpenja mwamba waumalila

  • @ChrictiaMapendo
    @ChrictiaMapendo 10 หลายเดือนก่อน +12

    Hakika yangatv ina tukosha sana tuna taka mahojiano leo na washezaji

  • @Adammasunga588
    @Adammasunga588 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa maelezo ya mpenja,nakubali maneno ya fei kama walikula ugali sukali

  • @daudiniyonsaba1113
    @daudiniyonsaba1113 10 หลายเดือนก่อน +7

    Nashukulu kwa historia ya timu ninayoipenda, asante sana!

  • @AdinanKatunzi
    @AdinanKatunzi 10 หลายเดือนก่อน +52

    Stori hii inagusa sana, wananchi tunatakiwa kuvijua vitu kama hivi ili tuwe na uchungu wa kuipenda timu yetu hata inapopoteza tuwe wamoja.

    • @user-ql2ie4gv2h
      @user-ql2ie4gv2h 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hatutaki😂

    • @senseiamani4684
      @senseiamani4684 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-ql2ie4gv2hkolo weweee

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tulipe ada za uanachama

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kila la kheri wachezaji wetu na benchi la ufundi katika mchezo wa kesho

  • @jumatamambele2841
    @jumatamambele2841 10 หลายเดือนก่อน +18

    Hakika Shafii sio mjivuni katoa watu wengi sana❤

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 10 หลายเดือนก่อน +4

    Priva nimependa Subaru miongon mwa gar nazozipenda maishan mwangu inachanganya kwa haraka sana

  • @user-zn8dm5yr5p
    @user-zn8dm5yr5p 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mh huy mpenja hat sijawah mwelewa an Bora hat angetangaza Pascal kabombe

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga daima mbele nyum mwiko

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 10 หลายเดือนก่อน +4

    Baraka mpenja sauti ya radi wooooooooooooooowwwwwwww😄😄😄😄😄😄

  • @EdwineEustachiusi
    @EdwineEustachiusi 10 หลายเดือนก่อน +2

    this is Young Africans

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 10 หลายเดือนก่อน +3

    Eti boo alikosa chai nilimwambia asifanye mazoezi🤣🤣🤣🤣

  • @bm4tv602
    @bm4tv602 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa wiki hii imeifanya TH-cam ichangamke jmn❤❤❤❤

  • @HawaDavid-pp6vr
    @HawaDavid-pp6vr 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mpenja nakuelewa sana

  • @user-tg7ki4bb9g
    @user-tg7ki4bb9g 10 หลายเดือนก่อน +4

    Yang hii nitam sana c❤❤

  • @JoseJose-hv5he
    @JoseJose-hv5he 10 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali Sana mwamba umarila baraka mpenja

  • @amanikitengegeofrey2956
    @amanikitengegeofrey2956 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mpeja..ni mmoja tu..mwamba wakubatiza wachezaji majina na yakapita...na kukubali😂😂

  • @omaryamiri3175
    @omaryamiri3175 10 หลายเดือนก่อน +8

    Nawatakia afya njema mzunguko mzuri WA bench zima bira kusahau wachezaji wetu wote siku ya kesho wapate ushindi mnono WA goal 5

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 10 หลายเดือนก่อน +5

    💐🌻 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚🖤💛

  • @user-bm5so8hj3g
    @user-bm5so8hj3g 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ki Master Day 🔥🔥🔥🔥🔰🔰🔰💚💚💛💛🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅✅

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 10 หลายเดือนก่อน +7

    Safi sana Mpenja

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 10 หลายเดือนก่อน +7

    Allah nakuomba tuepushie na hali mbaya km hiyo kwenye timu yetu na tuzidishie baraka nyingi Inshaallah

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dah! Nimecheka lkn na machozi yamenitoka maana tulipita ktk kipindi kigumu sana 🤔 acha tufurahi kwa sasa jamani Mungu ni mwema kwetu🙏🏻🙏🏻🙏🏻💚💚💚💛💛💛🔰🏆🏆🏆🥉🥉🥈🥇🥇🎖🎖🎖❤❤❤

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 9 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢yanga tulikotoka ni kama wana wa islael na MUNGU ametuvusha pakubwa kutoka utumwa wa kuombaomba mpk kufika juu na wakuu Asante YESU🙏

  • @Officialboysafi
    @Officialboysafi 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mpenja amebless 🔰🔰🔰🔰✅

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 10 หลายเดือนก่อน +11

    Yanga kama yanga ❤

  • @joelmdoutch2668
    @joelmdoutch2668 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story nzuri sanaa mzee #mwamba__wa#umalila upo vizuri sana kaka

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mpenja nomà saana aisee 🔥💥🌟🖐️⚽🔝💪💚💛Aziz Ki Mwamba Wa Ouagadougou ⚽🦵

  • @davidkasian7032
    @davidkasian7032 10 หลายเดือนก่อน +3

    Daah ilikuaga huzuni kwakweli😢😢😢

  • @user-le8tv4zl9z
    @user-le8tv4zl9z 9 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka mpenja ongera sana kwautangazi bola

  • @patricetworokiburi
    @patricetworokiburi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba wamarira baraka mpenja sauti ya radi pamoja sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @scopy0428
    @scopy0428 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga kwa sasa hana mpinzani kwenye masuala ya maudhui kam unaungana nami Gonga like yako hapa

  • @user-fd3eu5ee6g
    @user-fd3eu5ee6g 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hakika yanga yetu imetoka mbali Sana kongore Sana kwa viongozi wetu

  • @sumaissa3536
    @sumaissa3536 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali swahba

  • @BakariAlly-pg8pj
    @BakariAlly-pg8pj 10 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga media 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kwenye simulizi kama hizi mfano hapo kwenye freekick basi mnatakiwa kuziweka japo kwa ufupi😂😂

  • @ibrahimmwasamila6412
    @ibrahimmwasamila6412 10 หลายเดือนก่อน +7

    Duuu mpenja amenikumbusha mbali sana😂😂

  • @SilvaAmbrosioSilvaAmbrosio
    @SilvaAmbrosioSilvaAmbrosio 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nankubali sana uyu jama anajua kutangazia boli nipo Mozambique😮😅😊

  • @violethkalinga2980
    @violethkalinga2980 10 หลายเดือนก่อน +3

    We love you mpenja ❤

  • @MoajGraphics
    @MoajGraphics 10 หลายเดือนก่อน +4

    Acha tufurahi. Tumepitia magumu sana

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tunaisubir siku ya doctor KHALID AUCHO tutoke ki doctor zaid

  • @samsonjob592
    @samsonjob592 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mwamba huyooooo🔥🔥🔥

  • @HawaDavid-pp6vr
    @HawaDavid-pp6vr 10 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga chama kubwa

  • @jmasutv2228
    @jmasutv2228 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naipenda yanga

  • @enockjlory1814
    @enockjlory1814 10 หลายเดือนก่อน +14

    Baraka anaongea kutoka ndani ya moyoni

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 10 หลายเดือนก่อน +3

    I know dat Mpenja ww ni kolo fun bt ur thé best brother chukua mauwa yako

    • @user-zn8dm5yr5p
      @user-zn8dm5yr5p 10 หลายเดือนก่อน

      Ndomaan atangazag vzr Kam kabombe kwenye mechi za yanga

  • @faidapaul6275
    @faidapaul6275 10 หลายเดือนก่อน +2

    Much love bro Mpenja

  • @adventinalukiko9933
    @adventinalukiko9933 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naitakia ushindi nyanga Leo ndo Leo naipenda xana yanga

  • @user-pc9rl9nm1b
    @user-pc9rl9nm1b 9 หลายเดือนก่อน

    Nakubar sana tuwe na moyo mweupe kwa timu yetu

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan linatoka mtu linamatege eti oh kama unanipenda acha kushabikia yanga. Ww bora uniache😊

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Edna...tuchangie timu yetu kwa kujiunga uanachama

    • @johnshango5651
      @johnshango5651 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 Edna

  • @mzungumahenge305
    @mzungumahenge305 10 หลายเดือนก่อน +3

    Story Nzuli sana.

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wanachama na wananchi na wapenzi tuzidishe dua Kwa Mungu Inshaallah

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 10 หลายเดือนก่อน

      Dua pekee hazitoshi...tuchangie klabu yetu jamani

  • @manfredndunguru
    @manfredndunguru 9 หลายเดือนก่อน

    Mpenja noma sana keep it up

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 10 หลายเดือนก่อน +8

    Allaah Akbar

  • @AbdulSaidi-hs7vq
    @AbdulSaidi-hs7vq 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwnn yanga hisiwe no: 1 africaa

  • @justuceelias637
    @justuceelias637 10 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 10 หลายเดือนก่อน +4

    Aamina Inshaallah

  • @PeterNgwegwe-vm7yz
    @PeterNgwegwe-vm7yz 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kama Kuna mechi ya yanga iliwahi kumtia ukichaa huyu jamaa, Vs ruvu shooting 3-2 hiyo. Tambwe anaanza kufunga, Shaban msala anaweka pasi matata kwa jamaa hivi sijui dilunga yule anaweka kamba, lile shuti la Feisal baraka alipiga mwano kabisa kabla ya free kick ya ajib na makambo kuuweka mpira kambaani! Kwangu Mimi ndo mechi bora ya YANGA kuwahi kutangazwa na mpenja

  • @alexmadimo4299
    @alexmadimo4299 10 หลายเดือนก่อน +8

    Aisee mech yetu apewe kabombe pachal atangaze

  • @furebrownmelodytz751
    @furebrownmelodytz751 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wow😮❤

  • @renoxnmpinga576
    @renoxnmpinga576 10 หลายเดือนก่อน +9

    Yelowei hii ni ndo yanga bhn

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 10 หลายเดือนก่อน +3

    😃😃😃😃😃hapo kwa zahera daaah

  • @user-vt6zw2gw6q
    @user-vt6zw2gw6q 9 หลายเดือนก่อน

    Asante mpenja.nakupenda sana

  • @BarakaMeliyo-qj5fq
    @BarakaMeliyo-qj5fq 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good timing kunwa

  • @jumatamambele2841
    @jumatamambele2841 10 หลายเดือนก่อน +8

    Daaaa😂😂😂😂

  • @husseinomary3893
    @husseinomary3893 10 หลายเดือนก่อน +2

    "...we are 🔰🔰🔰

  • @RasmaPass-qj4kw
    @RasmaPass-qj4kw 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga kama yanga kwa ss ni level nyingine

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 10 หลายเดือนก่อน +7

    🔥🔥🔥

  • @mussamlowe9272
    @mussamlowe9272 10 หลายเดือนก่อน +2

    Daima mbele ❤❤❤❤🎉🎉

  • @adventinalukiko9933
    @adventinalukiko9933 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindi ni kawaida kwa nyanga🎉😂

    • @Deborahkarebu
      @Deborahkarebu 10 หลายเดือนก่อน

      Si nyanga 😂😂😂😂n yangaa adve😅😊

  • @meckson7389
    @meckson7389 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba wa Umalila

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw 10 หลายเดือนก่อน +6

    yanga atunaga jambo dogo

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana mdogo atafika mbali, namkumbusha ajivute kadiri ya mwenyezi mungu atakavyomjalia ana Vitu ambavyo wengine hawana

  • @georgemwanyange3832
    @georgemwanyange3832 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba kweli

  • @mwelimazozo9691
    @mwelimazozo9691 9 หลายเดือนก่อน +1

    Moto utawaka

  • @chinomtende8368
    @chinomtende8368 9 หลายเดือนก่อน

    Mwamba kweli mpenja

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 10 หลายเดือนก่อน +18

    Sawa Yanga timu yangu pamoja na ku-dominate mpira kuna tatizo la kutoheshimu mastraika yaani kuwapelekea mipira ya kufunga hasa wanapokuwa wamekaa eneo zuri. Tatizo hilo naliona sana kwa Aziz Ki anapenda kufunga yeye tu. Huo sio mpira heshimu nafasi ya mwenzako. Alakini kama upo sehemu nzuri ya kufunga unaweza kufanya hivyo. Vinginevyo wachezaji wanatakiwa kuheshimu nafasi za wenzao.

    • @GamaRacing123
      @GamaRacing123 10 หลายเดือนก่อน

      Umpra unamamuzi mengi sanaa

    • @user-yq7hi2tn2t
      @user-yq7hi2tn2t 9 หลายเดือนก่อน

      Upo sawa kaka💛💚💛

  • @ShamilaMsengi-rh9qs
    @ShamilaMsengi-rh9qs 10 หลายเดือนก่อน +4

    Dah ile YANGA sitasahau 😭😭😭tuliumiaaa

    • @ednambata9503
      @ednambata9503 10 หลายเดือนก่อน

      😢huwez amani nlikua nalia naichangia napata mshahara napata 110000 kwa mwezi lakin nilikua nachangia

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 10 หลายเดือนก่อน

      Gyule😅😅😅

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nilikua mwanachuo ila nilikuwa nachangia 4000 kila wiki aiseee😅😅

    • @MagdalenaMathias-lw5bh
      @MagdalenaMathias-lw5bh 10 หลายเดือนก่อน

      @@ednambata9503 that is what we call really love congratulations dear

  • @mtepaally5132
    @mtepaally5132 10 หลายเดือนก่อน +2

    oooo vilevile

  • @boniphacehamisi8053
    @boniphacehamisi8053 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mtoto wa nyok ni nyoka ko mpenja ni mwananch au !!???

    • @mariamsuku7021
      @mariamsuku7021 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kolo uyo

    • @ngulathfundikira4205
      @ngulathfundikira4205 10 หลายเดือนก่อน

      Kolo damu uyo,kwanza asitutangazie mechi zetu Ana ukolo mwingi tukicheza na makolo

  • @user-ui8ou8cx9q
    @user-ui8ou8cx9q 10 หลายเดือนก่อน +7

    🙏🙏🙏🙏

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 10 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw 10 หลายเดือนก่อน +6

    ha hahaaaaa

  • @winiejohn7020
    @winiejohn7020 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @mussaernest3916
    @mussaernest3916 9 หลายเดือนก่อน

    tunakupenda

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda hawajasema bado mpk waseme

  • @therealplatnumz
    @therealplatnumz 10 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂

  • @sumaissa3536
    @sumaissa3536 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂

  • @aloycekibaho8632
    @aloycekibaho8632 10 หลายเดือนก่อน

    hatari san

  • @elishamwanjela4443
    @elishamwanjela4443 10 หลายเดือนก่อน +1

    Isuto idumu milele

  • @user-ud5lt4ok5s
    @user-ud5lt4ok5s 9 หลายเดือนก่อน

    Tumemic sauti yake tunataka atangaze mpira

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 10 หลายเดือนก่อน +3

    Naaaaaam

  • @jacobmkirya9987
    @jacobmkirya9987 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂