CHIRWA AFICHUA SIRI YA UTAJIRI WAKE/NIMESHINDIKANA/NYUMBA 15/KUISHI TANZANIA NI AKILI/SAIDO KANIZIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @sandenzogela7868
    @sandenzogela7868 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki utukumbuke na sisi Kama mungu alivyokujalia.

  • @Wazirially-g9u
    @Wazirially-g9u 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera pacha

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 ปีที่แล้ว +3

    Nimekupongeza sana allah akujalie kheri sasa unacheza mpila kama furaha

  • @BahatiJuma-m2i
    @BahatiJuma-m2i ปีที่แล้ว

    Hongera kaka mungu akulinde

  • @fredybanda2861
    @fredybanda2861 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations mr chirwa well come to konkola you are blessed

  • @HamisKalulumbe-fv8hc
    @HamisKalulumbe-fv8hc ปีที่แล้ว +2

    Safi sana chirwa

  • @aishaomary7984
    @aishaomary7984 ปีที่แล้ว

    My men my boss ilike youu

  • @nurdinratibu1866
    @nurdinratibu1866 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana chores wanyooshe wasio kujua

  • @lama6310
    @lama6310 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza Kitu..jamaa Anadeal Na Vitu vya Maana,simu ya Kawaida Ila mali za Kutosha.

  • @mamaandraty363
    @mamaandraty363 ปีที่แล้ว

    Duh kweri hilo ni somo

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 ปีที่แล้ว +2

    Anaheshima sana kiukweli

  • @yahyamlawa2069
    @yahyamlawa2069 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaaaaah hapo sasa

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 ปีที่แล้ว

    Sawa anatoa somo ila sio.kila.kitu uteme huku
    Of kozi kutangatangaza hivo unaweza kuletea.watu.wivu bila sababuu

  • @elishamwaitebele
    @elishamwaitebele ปีที่แล้ว +3

    600kwacha au

  • @hafidhlabdi-sq5rp
    @hafidhlabdi-sq5rp ปีที่แล้ว

    Muhaya huyu😂😂😂😂japo jamaa anajielewa sana wachezaji waache bata wawekeze

  • @littlesakhoiv1893
    @littlesakhoiv1893 ปีที่แล้ว

    Watakuonesha kwelii 😅😅😅😅 chirwa inspired 👑

  • @limymasele21
    @limymasele21 ปีที่แล้ว

    Aoe Sasa kesha kua

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 ปีที่แล้ว +2

    Noma uyu jamaha

  • @silvestalighton1561
    @silvestalighton1561 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji umetunyima mengi mnoo kwa huyo jamaa, ongeza research

  • @badman_vibes
    @badman_vibes ปีที่แล้ว +2

    ✅✅👋

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว

    jamaa ni Tajiri sana

  • @johnjoseph7590
    @johnjoseph7590 ปีที่แล้ว +2

    Muhaya

  • @shakouramour4266
    @shakouramour4266 ปีที่แล้ว +4

    vatu,vanavachukulia poa

  • @EliudRenatus
    @EliudRenatus 8 หลายเดือนก่อน

    na kiswahili kafundishwa na nani huyu sasa ziadi ya mayele

  • @naftalkileo5224
    @naftalkileo5224 ปีที่แล้ว

    Anasema hajisifu hapo anafanyaje?

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 ปีที่แล้ว +2

    milioni 600 za Zambia

    • @stellahpaul5624
      @stellahpaul5624 ปีที่แล้ว

      Uki convert hakuna hela

    • @jafariomary75
      @jafariomary75 ปีที่แล้ว

      Usijidanganye, ni hela nyingi sanaaa.. maana zambia kwacha 100 ni kama 12,000 za bongo... hela ya zambia iko juu kuliko ya bongo wala kenya... we utakua umechanganya na zimbabwe.... yani ukiwa na zambia kwacha 10,000 ujue una 1,200,000 ya bongo hapo na chenji zake

    • @manaseliberatus1347
      @manaseliberatus1347 ปีที่แล้ว

      @@jafariomary75 Wacha utani

  • @khamisidowany6262
    @khamisidowany6262 ปีที่แล้ว

    Mpongeze sio et zambia kujenga laisi weng wa zambia uko uko na hawana nyumba

  • @johnjoseph7590
    @johnjoseph7590 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe wa zambia kama ni kama wacongo

  • @badman_vibes
    @badman_vibes ปีที่แล้ว +1

    Umiliki wa ardhi umekaaje

    • @chakubutakamangila2274
      @chakubutakamangila2274 ปีที่แล้ว +2

      Iyo ndio mtiani sasa ni bora asingesema kwasasa watamfatilia ili wapate kula

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +2

    Million mia 600 Kwa kwacha pesa ya kawaida sana hata wewe unaweza Yani Kwa Zambia hayo anayosema nikweliiiii Yani ukitaka kujenga Zambia hata nyumba 100 unaweza simpla hujengaji wao sio kama bongo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk ปีที่แล้ว

      Kwacha 1 kwa sasa ni sawa na 128 shillingi za Tanzania.

    • @DeusiMorisi
      @DeusiMorisi ปีที่แล้ว

      Hapo ni kama million 20 ya tz

    • @mtanzaniamwenzangu181
      @mtanzaniamwenzangu181 ปีที่แล้ว

      Uongoooo

    • @robsonwisdom1994
      @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +1

      @@mtanzaniamwenzangu181 huwezi kunielewa kijana wangu we Bado mtt mdogo sana mm nimeongea hivyo maanisha izo kwacha mm naishi nazo Kila siku

    • @iwambimpya1924
      @iwambimpya1924 ปีที่แล้ว

      acha uongo wewe kwacha 1 kwa sasa ni 125 tsh sasa kama ni 600,000,000 kwacha huku si 13bilion??? au ww hesabu unafanya za wapi??

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga ปีที่แล้ว

    MKAMBA LANDENIKO ICHIBEBA TUFWEKO BWINO BA CHIRWA

    • @justinekashililika6329
      @justinekashililika6329 ปีที่แล้ว

      Balelenda ati balikwata amayanda 15 pa Dar es salaam Tanzania huku ku ocean side

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga ปีที่แล้ว

      @@justinekashililika6329ok bakamba naufwako bwino Kashi balikwata lupia sana