Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @moreenmichaelmichael1079
    @moreenmichaelmichael1079 2 ปีที่แล้ว +30

    Wale wananchi tuliokuja kuangalia 2023 tuweke like hapa

    • @nailaidd9591
      @nailaidd9591 2 ปีที่แล้ว

      😋

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 ปีที่แล้ว

      Mimi huwa narudia mara kwa Mara yaani hawa mwaka huu wameyatimba tarehe25 ifike tu tukiwa hai na uzima

    • @Joshuajoshua-ix1cb
      @Joshuajoshua-ix1cb ปีที่แล้ว

      Tupo

    • @tiromagori803
      @tiromagori803 ปีที่แล้ว

      Hahaha kwel ehh

    • @AmaniJacob-w8k
      @AmaniJacob-w8k 4 หลายเดือนก่อน

      Vcyfytryfttftftpr bbv 😊❤🎉😮😅😊

  • @josephmbwana448
    @josephmbwana448 3 ปีที่แล้ว +21

    Wanaoangalia kipindi rais wetu mpendwa katuaga naomba like

  • @asiaathuman128
    @asiaathuman128 4 ปีที่แล้ว +58

    Km bado unaangalia hii gonga like hapa

  • @peacemollel2347
    @peacemollel2347 4 ปีที่แล้ว +26

    Kama umeona wanacho mtendea morrsn gonga like hapa

  • @njungujames7501
    @njungujames7501 2 ปีที่แล้ว +20

    Wanaoangalia hii 2023 gonga like apa

    • @nailaidd9591
      @nailaidd9591 2 ปีที่แล้ว

      Tupooo

    • @daggerslick
      @daggerslick 2 ปีที่แล้ว

      Tupo😂

    • @AmaniJacob-w8k
      @AmaniJacob-w8k 4 หลายเดือนก่อน

      Sbvcbcsb do m ahoyiytyt can you send batggdy

  • @congratulationmayunga414
    @congratulationmayunga414 4 ปีที่แล้ว +24

    Kama unaipenda sana #Yanga kama mimi Gonga like hapa

    • @pastorsundaylloh4972
      @pastorsundaylloh4972 4 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934 tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you

    • @shabymaji6515
      @shabymaji6515 4 ปีที่แล้ว

      Weacha yanga ikiamua akuna wakuweka mguu

  • @jumasuleiman5443
    @jumasuleiman5443 4 ปีที่แล้ว +61

    Mashabiki wa yanga gonga like wa simba comment

  • @zephaniahenry3463
    @zephaniahenry3463 26 วันที่ผ่านมา +14

    Wanao gusa na kuachia twende kwao tujuane kwenye comments 2025

  • @rashidally4224
    @rashidally4224 4 ปีที่แล้ว +26

    Leo wa Kwanza nipen like jman

    • @zahrasephu
      @zahrasephu 6 หลายเดือนก่อน

      Mwijaku ajiandaee

  • @regiuscloud5678
    @regiuscloud5678 4 ปีที่แล้ว +20

    Chama leo alikuwa anakanyaga watu tu 😂😂😂 miqson nae kumbe ni pimbi tu

  • @jumambwana7074
    @jumambwana7074 4 ปีที่แล้ว +79

    Wanaongalia hii mechi 2021 gonga like twende sawa

    • @mariamsosten4265
      @mariamsosten4265 ปีที่แล้ว +1

      😝🤪🤩😉🙂☺😇🤗🤗

    • @allymaziwani5794
      @allymaziwani5794 ปีที่แล้ว

      Kwel kabis

    • @yudamagesa5594
      @yudamagesa5594 3 หลายเดือนก่อน

      Mi naangaria leo 2024 mwezi wa 10

    • @RevithaRevitha-f5q
      @RevithaRevitha-f5q 3 หลายเดือนก่อน

      Me niko hapa 2024 October ​@@yudamagesa5594

  • @johnmkama5063
    @johnmkama5063 ปีที่แล้ว +7

    Wale wananchi tuliyokuja kuangalia 2023🎉🎉🎉🎉

  • @hassanichijumba7222
    @hassanichijumba7222 4 ปีที่แล้ว +30

    Gonga likes hapa Kama unaikubali #YANGA

  • @florampeka
    @florampeka 2 ปีที่แล้ว +19

    Waliokuja kurudia kuangalia hii mechi, baada ya Azizi Ki kufunga free kick ya kibabe dhidi ya Simba
    23/10/ 2022, gonga like

    • @maryberege3093
      @maryberege3093 2 ปีที่แล้ว +2

      Naangalia kwa kweli maana hawa tumewafunga kwa Marais 2 magufuli na samia wanao kataa waje hapa

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 2 ปีที่แล้ว +1

      🤝👏💛💛💚🙏

    • @Fredy-oz5vu
      @Fredy-oz5vu 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @abdallahkumkana712
    @abdallahkumkana712 4 ปีที่แล้ว +20

    Simba 2mekubali kuwa yanga ni mme we2

    • @ignatuspius7537
      @ignatuspius7537 4 ปีที่แล้ว

      Abdallah Kumkana wee mjinga kufa na timu yako iyyo itayosikia tu kombe mbali mno

    • @hamisfaraji4725
      @hamisfaraji4725 4 ปีที่แล้ว

      Haaaa we kuwez

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +13

    Daah! Inaniuma Sanaa hii game😩 Ila ndyo hvyo mpra una matokea matatu kushnda, kushndwa,kutowa sare,,, Hongera Yanga na Hongeren sanaa Chama langu la SIMBA 🙏

    • @pcpoint1224
      @pcpoint1224 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa yanga Mpira una matokeo mawili kushinda ama kudroo

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว

      @@pcpoint1224 🙏

  • @magdalenaandrew5457
    @magdalenaandrew5457 4 ปีที่แล้ว +18

    Yanga yangu yaan nakupenda mpaka kufa wallah tareh8 nilipata raha Sana mpka leo ubarikiwe Sana Morrison pamoja na wachezaji wote was yanga ❤️❤️❤️

  • @issamatula9818
    @issamatula9818 4 ปีที่แล้ว +16

    Mbele ya rais wa nchi Simba kwa mara nyingne wanatobolewa tena tundu

  • @bonykaro9097
    @bonykaro9097 4 ปีที่แล้ว +21

    Nimependa kile manula alimfanyia mkude kwa kumfokea kwa kucheza mazambi bila sababu ,mpira ni maisha kumvunja mwanzako makusud sio kitu kizur viva manula

  • @Zina-t5j
    @Zina-t5j หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema sana leo 29 December 2024 niko hapa💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🎉🎉🎉🎉

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 ปีที่แล้ว +11

    Vizuri Sana Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @rehemaahmed2227
    @rehemaahmed2227 4 ปีที่แล้ว +6

    Collective Responsibility waliyoonesha Yanga imetupa Ushindi. Hongera sana kwa wachezi walimu, waamuzi na Mashabiki wote wa Yanga. Watangazaji mlitupa Burudani ya kutosha Hongereni sana.

  • @nasrasuleiman2552
    @nasrasuleiman2552 4 ปีที่แล้ว +20

    Piga kelele kwa yanga akeeeeeeeeeee

  • @SLPSAID
    @SLPSAID หลายเดือนก่อน +3

    Kama unaiangalia hii mech mpaka leo tareh 31 2024 mwez wa 12 gong like kesho tuingie mwaka mpya 2025 pamoja

  • @dembeherbert7750
    @dembeherbert7750 4 ปีที่แล้ว +13

    Can't get enough of this Derby❤️🇺🇬The biggest Derby in E.Africa

    • @markomalimi840
      @markomalimi840 3 ปีที่แล้ว

      Together brother from 🇹🇿

    • @vivaanavery3571
      @vivaanavery3571 3 ปีที่แล้ว +1

      I know im asking the wrong place but does anyone know of a way to log back into an instagram account??
      I somehow forgot the password. I love any help you can give me!

    • @clayzakai8203
      @clayzakai8203 3 ปีที่แล้ว

      @Vivaan Avery instablaster :)

    • @vivaanavery3571
      @vivaanavery3571 3 ปีที่แล้ว

      @Clay Zakai thanks for your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now.
      I see it takes a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @vivaanavery3571
      @vivaanavery3571 3 ปีที่แล้ว

      @Clay Zakai It did the trick and I finally got access to my account again. I'm so happy!
      Thank you so much, you saved my ass :D

  • @moriskisaka7178
    @moriskisaka7178 2 ปีที่แล้ว +10

    Wanaoangalia hii mechi hadi leo 2023. Mungu anawaona 😀😀😀😀😀😀

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว

      Hata wewe Mungu anakuona kwa unafiki wako

  • @zubeirhabibu9401
    @zubeirhabibu9401 4 ปีที่แล้ว +11

    Simba mama yanga👑 baba lao 😁😁😁😁😁😁

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 4 ปีที่แล้ว +12

    Wakawa Wanauliza, Mbona Sare Nyingi Sana.!!!??? Tukawaambia Tarehe 8 Tunaoa. Ndoa Imeenda Vizuri. ALHADULILLAH.

  • @willymtanzania5394
    @willymtanzania5394 4 ปีที่แล้ว +23

    Like za kutosha kwa METACHA MNATA😁😁

  • @shaabaniselemani7566
    @shaabaniselemani7566 4 ปีที่แล้ว +9

    Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @fransiscodaud7243
    @fransiscodaud7243 4 ปีที่แล้ว +31

    Nan mwingine yuko anarundia hii mechi kama mm

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 4 ปีที่แล้ว +16

    Bernard Morrison (BM33) - Ballistic Missile

  • @princeelikana5345
    @princeelikana5345 4 ปีที่แล้ว +6

    Dah! Soka safi sana la kukonga nyoyo za watu vijana wa Yanga walionesha nimeipenda sana hiyo

  • @princedullah6833
    @princedullah6833 4 ปีที่แล้ว +21

    anaeangalia mda huuu naomba rike

  • @murjijamal7994
    @murjijamal7994 4 ปีที่แล้ว +19

    Kagere bila power Bank ni nyuki wamashineni ty 🤗🤗🤗

  • @anjelasirikwa4601
    @anjelasirikwa4601 4 ปีที่แล้ว +13

    Jamani afadhali yanga wamexhinda manake kelele za cmba Leo mtaani cjui ingekuwaje

  • @johnygerasi4609
    @johnygerasi4609 4 ปีที่แล้ว +8

    Yanga fireee🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samshelembi9528
    @samshelembi9528 4 ปีที่แล้ว +17

    Chimbi Mapinduzi na Nionzima leo mmefanya vzur xana

  • @greatthinker370
    @greatthinker370 4 ปีที่แล้ว +19

    Yule MPANDA MPIRA LEO KAMPANDA SIMBA JIKE😀😀

  • @bashiruchambuli2462
    @bashiruchambuli2462 4 ปีที่แล้ว +9

    I support yanga from spain,,,together we can

    • @mbdieye2238
      @mbdieye2238 4 ปีที่แล้ว +1

      Bashiru Chambuli t

  • @elizaatilio527
    @elizaatilio527 4 ปีที่แล้ว +12

    Saaafiii Yangaaaa 2memfunga cmba mbele ya Marais wa3
    Rais wa Jamhur ya Muungano wa Tz
    Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Baran Africa (Caf)
    Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (Tff) bila kumsahau Rais wa ZFA nae alikuwepo 😂😂😂😂😂 amakweli aliezoea kazoea 2 aibuuu hyo cc Wananchi ha2jawah kabsa kwa cmba ni kawaidaaaa yaoooo polen 2ndu fc

    • @steveprosper4084
      @steveprosper4084 4 ปีที่แล้ว

      Eliza Atilio. Na jumla walikuwa 6 pamoja na wakezao sema magu ilimuuma sana kashindwa kusema mwishoe akahisi tupo kwene kampeni eti kutunyooshea kidole gumba Bernad Morison akajibu kwa thereu kweli etitulia piga magoti shika chini kilichoendea mimi yewuuuuuwiiiii.

  • @RajeshChauhan-wb9pm
    @RajeshChauhan-wb9pm 3 ปีที่แล้ว +4

    Mechi hi namkumbuka marehemu Rais John Pombe Magufuli,your the best PRESIDENT

  • @willymtanzania5394
    @willymtanzania5394 4 ปีที่แล้ว +9

    Yanga naipenda jmn daah👏🖒💪

  • @msafitv8663
    @msafitv8663 4 ปีที่แล้ว +17

    Yanga wangekuwa makini Simba wakepigwa sita hapa🤣🤣🤣🤣

  • @agnesschongolo4527
    @agnesschongolo4527 4 ปีที่แล้ว +14

    Yanga wangekua watulivu wangeshinda hata gori 3

  • @ireensimon8269
    @ireensimon8269 4 ปีที่แล้ว +13

    01st may 2020 bado naichek tuu..yanga baba lao👊

  • @Richyy_257
    @Richyy_257 4 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda Sana yanga

  • @anetymwangake3763
    @anetymwangake3763 4 ปีที่แล้ว +16

    Niseme nini Yesu bali ninashukuru

  • @adjussahkindamba3111
    @adjussahkindamba3111 3 ปีที่แล้ว +6

    🇦🇪 Good Game congrats my great team Young Africans ❤️❤️

  • @patricessentongo6899
    @patricessentongo6899 4 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda yangaaa😍😍😍😍

  • @asumaandrew4872
    @asumaandrew4872 4 ปีที่แล้ว +8

    Yanga dam naipenda mpaka nauwa

  • @habesha6883
    @habesha6883 2 ปีที่แล้ว +5

    I just googled every East African derby match and none of them impressed me like the Tanzanian league now I’m watching every match of these two teams

  • @abeiddaudi4589
    @abeiddaudi4589 ปีที่แล้ว +9

    2024

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 4 ปีที่แล้ว +13

    Tunaocheki mpaka sasa hii game gonga like hapa

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 4 ปีที่แล้ว +20

    7 mwezi wa 5, 2020 💫 kesho wanayanga tunaweka kumbukumbu nyingine 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 tarehe 8 si ndio kesho!!!! 😂 😂 😂 😂 😂

  • @TINAMOLLELY
    @TINAMOLLELY 11 หลายเดือนก่อน +4

    2024 mwezi wa 2 tar 19 nipo hapa

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 4 ปีที่แล้ว +9

    Nikiangalia hii mechi huwa najisikia burudani simba kalala mbele ya mh rais wetu. Yanga mnajua kunyamazisha waongeaji. Yanga ukitia maneno mengi wao wanakumwagia pili pili uwashwe kweli kweli. Hii itaishi miaka

  • @kelvinmassawe9060
    @kelvinmassawe9060 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe makazi mazuri kiongozi wa wanyonge Dr John pombe Joseph magufuli we n shujaaaa kwangu wa muda wote katika historia

  • @noelajohni3189
    @noelajohni3189 3 ปีที่แล้ว +7

    All the best my team YANGA

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 ปีที่แล้ว +7

    Rest in peace mzee wetu Magufuli 😭😭 ktk mechi hii uliweka historia kwa Simba na yanga

  • @husseinndondole2061
    @husseinndondole2061 3 ปีที่แล้ว +7

    Napenda sana yanga

  • @odirafranco2887
    @odirafranco2887 4 ปีที่แล้ว +8

    Nice Young African

  • @ahmedaliahmed1252
    @ahmedaliahmed1252 4 ปีที่แล้ว +6

    مباراه رائعه تحياتي ليكم زملكاوي عاشق لسيمبا

  • @sleimanhero4582
    @sleimanhero4582 4 ปีที่แล้ว +9

    Fei toto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥⚽

  • @katocephas1069
    @katocephas1069 4 ปีที่แล้ว +12

    i love the way Tanzania support their football league ,in uganda even the top clubs like KCCA FC & VILLA cant get namboole stadium fill up at full capacity .

    • @cletusmubezi8068
      @cletusmubezi8068 4 ปีที่แล้ว +3

      Good day ,so why? Football is not agenda in Uganda?

  • @mapete2154
    @mapete2154 4 ปีที่แล้ว +13

    Hii game ndio ilinifanya nitoke Simba na Kuhamia Yanga Shikamo Yanga

  • @jumangome6432
    @jumangome6432 4 ปีที่แล้ว +11

    Happy yanga

  • @mgandotv
    @mgandotv 4 ปีที่แล้ว +7

    Aisee yanga ni balaa sana

  • @emanuelkasiano6934
    @emanuelkasiano6934 4 ปีที่แล้ว +11

    Kidudeeee kimewanasaaaaa😆😆😆😆🙏🙏🙏

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 ปีที่แล้ว +10

    Bernard Morrison

  • @abuzoomtz
    @abuzoomtz 4 ปีที่แล้ว +16

    Tukiwa kwenye majonzi ya kuwapoteza ndugu zetu kwa corona tunafarijika kuangalia game ya bm33

  • @lamecknkila3291
    @lamecknkila3291 4 ปีที่แล้ว +9

    Morrison

  • @msabahamalonda
    @msabahamalonda 4 ปีที่แล้ว +13

    Tuliwaambia kuwa bila kubebwa tutawafunga hamkuamini sasa mmejionea hii ndiyo timu ya WANANCHI

  • @josephjose8902
    @josephjose8902 4 ปีที่แล้ว +12

    Miezi miwili sàsa imetimia tangu ndoa yetu ifanyike March 8

  • @othmanmalongo4499
    @othmanmalongo4499 4 ปีที่แล้ว +6

    Wape Salaam🔥🔥🔥

  • @edwadilwanda6600
    @edwadilwanda6600 4 ปีที่แล้ว +7

    Penda sana yanga tim yangu mungu ibaliki

  • @kassimnassoro3526
    @kassimnassoro3526 4 ปีที่แล้ว +15

    Yanga piga kelele

  • @julianaluhende9964
    @julianaluhende9964 4 ปีที่แล้ว +14

    March 8 2015 nilipoteza mjomba yangu kwa ajali ya agari na kufariki, akitoka uwanjani kuangalia derby ya simba na yanga
    Simba ilimfunga yanga 1-0
    Mjomba wangu alikuwa shabiki wa yanga tarehe ya leo yanga wameifunga simba moja kwa sifuri kwangu hii ni zawadi kwa mjomba wangu.

  • @scholahaule6611
    @scholahaule6611 4 ปีที่แล้ว +6

    YangaaaaAaaaaaa baba laoooooo metacha boy👏

  • @fabianaloyce7427
    @fabianaloyce7427 4 ปีที่แล้ว +13

    axt yanga umeweka heshima mjini axt

    • @bahariboy6013
      @bahariboy6013 4 ปีที่แล้ว

      yanga inibalaaa jiji kimnya bumbavu

  • @kurwapiter4453
    @kurwapiter4453 4 ปีที่แล้ว +12

    Licha ya goli LA Morrison nimependa shuti LA dumaaaaaaaa

  • @chrifordcostantine8422
    @chrifordcostantine8422 4 ปีที่แล้ว +4

    Yanga mmecheza vzur snaa hasa mlichokuja nacho cha kukabia mbele na kushambulia muda wote bek ya simba inajlikana haiwez kutuliza presha kama inashambuliwa...wale wanaokuja na matokeo uwanjan chungen sana mtakufa na presha! Yangaaaaaaaaaaaaaa💚💛💛💛

  • @teclamahenge4425
    @teclamahenge4425 4 ปีที่แล้ว +9

    Leo uwanjani Simba walikuwa hawaonekani kabisa yanga walikuwa wengi kuliko Simba jamani

  • @sehewawilliam9015
    @sehewawilliam9015 4 ปีที่แล้ว +12

    YANGA YETU WOYOOOOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatmahissa3019
    @fatmahissa3019 4 ปีที่แล้ว +16

    Hiii ndio yanga buuuuuaaaan simba acheni kushindana na watu walio anza kuota mavuzi mmbwa nyie😂😂

  • @janemakoye3924
    @janemakoye3924 4 ปีที่แล้ว +11

    Yanga oyeeeeeeee

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 4 ปีที่แล้ว +14

    Tunaoiangalia hii mpaka sasa ni wananchi tuu mikia wanaipita ka kituo cha polisi

  • @HajiLingove
    @HajiLingove 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ebwanee leo 13/10/2024 naitazama nikiwa Mtwara,makolo walichapika,ubaya ubwela 😂😂😂

    • @FatmaMiraji-od4rr
      @FatmaMiraji-od4rr 3 หลายเดือนก่อน +1

      Oooh tupo pamoja😂😂😂

  • @mawazomgassa6400
    @mawazomgassa6400 4 ปีที่แล้ว +14

    Hii game haichoshi kuangalia

  • @merymsigwa8438
    @merymsigwa8438 4 ปีที่แล้ว +7

    Metacha mnata wow💓💓💓

  • @deotingo1812
    @deotingo1812 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndio timu ya wananchi hyo! Hongera Yanga!

  • @albertnestorylukoo9716
    @albertnestorylukoo9716 4 ปีที่แล้ว +12

    Yanga yangu jamani. Teheeeeee!!!

    • @chomajuma7718
      @chomajuma7718 4 ปีที่แล้ว

      Tyson

    • @catherinejoseph60
      @catherinejoseph60 4 ปีที่แล้ว

      Yaani kiukweli wawa anatakiwa kupelekwa kamati ya nizamu anacheza vibaya sana

  • @OchuTv
    @OchuTv หลายเดือนก่อน +3

    January 2, 2025 mpo wapi?

  • @popekatalango9409
    @popekatalango9409 4 ปีที่แล้ว +9

    hongereni watani zetu yanga baada ya miaka mitano kupita mkiambulia vipigo na sare leo mmeshinda pongezi kwenu na mechi ilikuwa tamu

    • @fatmahissa3019
      @fatmahissa3019 4 ปีที่แล้ว

      Msitushobokee hatutak shobo

    • @farajampenzwa7939
      @farajampenzwa7939 4 ปีที่แล้ว +1

      Pope Katalango miaka mitano ya bibi yako au hukumbuki 2016 tambwe na ngoma walivowanyoosha

    • @farajampenzwa7939
      @farajampenzwa7939 4 ปีที่แล้ว

      Pope Katalango miaka mitano ya bibi yako au hukumbuki 2016 tambwe na ngoma walivowanyoosha

    • @martintave5035
      @martintave5035 4 ปีที่แล้ว

      Mmepigiwa mpira mwing sana

    • @kenmtitu9137
      @kenmtitu9137 4 ปีที่แล้ว

      Miaka mitano! Kwani ule msimu mnapigwa 2-0 back to back ilikuwa ni mwaka gani?

  • @AimeeUngwa
    @AimeeUngwa ปีที่แล้ว +5

    RiP 🙏 🪦 john pombe magufuli

  • @janengunguru4710
    @janengunguru4710 4 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda yanga

  • @ellyboy4165
    @ellyboy4165 4 ปีที่แล้ว +9

    Wanaocheck hii game December gonga like

  • @yasridrisa1671
    @yasridrisa1671 4 ปีที่แล้ว +7

    Yanga baba lao

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 ปีที่แล้ว +3

    December 29 .2022 nimerudi kutazama 😊😊💛💚 Rest in peace Magufuli 🙏 🕊

  • @hassansalum9808
    @hassansalum9808 4 ปีที่แล้ว +12

    Mechi ya leo ina hadhi ya club bingwa sio hadhi ya ligi kuu kabisa yaan