REV. DR. ELIONA KIMARO: WAKATI WA KUTOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2023
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 17/11/2023.
    KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
    "A SENSE OF PURPOSE"
    NENO KUU
    UNAFANYA NINI HAPA?
    WHAT ARE YOU DOING HERE?
    NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
    1 Wafalme 19 : 9
    UNAFANYA NINI HAPA?|
    "WAKATI WA KUTOKA"
    FROM TEST TO TESTIMONY
    Isaya 19 : 19 - 25
    Maombolezo 3 : 31 - 33

    Kutoka 11 : 1 - 5
    1 Bwana akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku; naye hapo atakapowapa ruhusa, atawafukuza mtoke huku kabisa kabisa.
    2 Basi nena wewe masikioni mwa watu hawa, na kila mtu mume na atake kwa jirani yake, na kila mwanamke atake kwa jirani yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu.
    3 Bwana akawapa watu hao kibali machoni pa Wamisri. Zaidi ya hayo, huyo Musa alikuwa ni mkuu sana katika nchi ya Misri, machoni pa watumishi wa Farao, na machoni pa watu wake.
    4 Musa akasema, Bwana asema hivi, Kama usiku wa manane mimi nitatoka nipite kati ya Misri;
    5 na wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa huyo kijakazi aliye pale nyuma ya jiwe la kusagia; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.
    Kutoka 12 : 31 - 36
    31 Akawaita Musa na Haruni usiku, akasema, Ondokeni tokeni katika watu wangu, ninyi na wana wa Israeli; enendeni, kamtumikieni Bwana kama mlivyosema.
    32 Twaeni kondoo zenu na ng'ombe zenu kama mlivyosema, enendeni zenu, mkanibariki mimi pia.
    33 Wamisri nao wakawahimiza watu, kuwatoa katika nchi kwa haraka, maana walisema, Tumekwisha kufa sote.
    34 Watu wakauchukua unga wa mikate yao kabla haijatiwa chachu, na vyombo vyao vya kukandia wakavitia ndani ya nguo zao mabegani.
    35 Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.
    36 Bwana akawajalia kupendelewa na Wamisri hata wakawapa kila walichokitaka. Nao wakawateka Wamisri nyara.
    Mwanzo 1 : 27 - 28
    27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
    28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
    MAOMBI:
    1. TOBA NA KUITA DAMU YA YESU
    2. KUOMBEA WABEBA KUSUDI LA KUWEPO
    3. KUSHUGHULIKIA UPINZANI NA VITA
    JUU YA KUSUDI LA KUWEPO.
    - MAAPIZO YA KICHAWI
    - MANENO YA WATU
    4. KUOMBEA KIJANA WA KIAFRIKA
    5. UREJESHO NA KUHUISHWA KWA KILA KILICHOIBIWA CHA KUWEZA .....KUSUDI ( UKOMBOZI )
    6. SADAKA
    Mhubiri : Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 47

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weuh! Middle East hapa tumetingizwa, tunarudi Africa na kuwa baraka 🙏🙏🙏

  • @user-ho6zt4ix3c
    @user-ho6zt4ix3c หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kimaro umeniamiinisha makubwa

  • @DorisKimario-sp3gm
    @DorisKimario-sp3gm หลายเดือนก่อน

    Asante Dr kimaro Mungu amekutumia umenivusha

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji kimaro una kibali Sana tunakupenda Mungu amekuweka hapo kwa ajili yetu Mungu akutunze na akupe ujasiri mwingi wa kumtumikia yeye kwa kila hali

  • @happynessjanuary6152
    @happynessjanuary6152 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni nabarikiwa Kwa mahubiri Yako yesu aendelee kukutumia

  • @user-zd1xb6ik1c
    @user-zd1xb6ik1c 4 หลายเดือนก่อน

    Amen bwana apewe sifa

  • @neemakimaro4475
    @neemakimaro4475 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimetoka kwenye laana na mikosi ufukara na umasikini kudhalilisha na kulogwa kabisa kabisa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti Aminaaaaaaaa

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 5 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 6 หลายเดือนก่อน

    Amen iwe kama mtumishi wa Mungu ulivyonena katika Jina la Yesu Kristo Mimi kama Mwafrika nitakuwa Baraka ya Dunia Amen 🙏🙏🙏

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 6 หลายเดือนก่อน

    Rev. Kimaro, we love you so much. From 🇺🇸

  • @user-dv5po2es2o
    @user-dv5po2es2o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mchungaj

  • @neemakimaro4475
    @neemakimaro4475 หลายเดือนก่อน

    Amina.wtoto wetu waww na akili za kimiujiza

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji azidi kukupa hekima na maarifa

  • @Filex-qt1iy
    @Filex-qt1iy 8 หลายเดือนก่อน

    A Amina mtumishi wa Mungu naminii napokea Kwa damu ya Yesu

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante pastor kwa fundisho lako mungu akubariki

    • @kenya588
      @kenya588 8 หลายเดือนก่อน

      Asante baba

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupata na kukufuatilia nikiwa nchini Ujerumani Gütersloh, hakika wewe ni Mchg. wa Kimataifa. Kwa jina la Yesu tutamiliki na kutawala popote. Amen

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 20 วันที่ผ่านมา

    Hfi divctq😊

  • @pasklinajohn9347
    @pasklinajohn9347 8 หลายเดือนก่อน

    Mchangaji ubarikiwe sana

  • @StellaPhilipo-yk5fu
    @StellaPhilipo-yk5fu 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina mchungaji

  • @restitutatheobald619
    @restitutatheobald619 7 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏🙏

  • @neemaswai8358
    @neemaswai8358 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @alvinngowi2193
    @alvinngowi2193 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-bu1oh5ee6h
    @user-bu1oh5ee6h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Àmina lmk mchungaji

  • @MeshyNgigwana
    @MeshyNgigwana 8 หลายเดือนก่อน +1

    Àmeeen.

  • @restitutatheobald619
    @restitutatheobald619 7 หลายเดือนก่อน

    Ninamiliki na kutawala

  • @user-rx6sd6vl6o
    @user-rx6sd6vl6o 6 หลายเดือนก่อน

    Ninatoka kwenye upweke

  • @ancillabura1457
    @ancillabura1457 7 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nitakwenda kumiliki nyumba yangu kwa jina la bwana

  • @lucykandie1109
    @lucykandie1109 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you rev dr Eliona this my remer word. I'm going to bless the world in Jesus's name amen.

  • @HonolinaKamgisha
    @HonolinaKamgisha 8 หลายเดือนก่อน

    Amina nabarikiwa

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa jina la yesu

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 8 หลายเดือนก่อน

    Amen baba mchungaji

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏🙏🙏

  • @neemaswai8358
    @neemaswai8358 8 หลายเดือนก่อน

    12:52

  • @user-zn5jo9kw4i
    @user-zn5jo9kw4i 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @HonolinaKamgisha
    @HonolinaKamgisha 8 หลายเดือนก่อน

    Na mimi nitamiliki nyumba yangu

  • @lucybhujo6774
    @lucybhujo6774 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @user-sy1vv6ej1m
    @user-sy1vv6ej1m 8 หลายเดือนก่อน +10

    Mch.kimaro maombezi yako hua yananijenga sana. Japo mimi kiimani ni muislam ila nakufuatilia sana mana wewe una kitu cha pekee

    • @greenermichael2057
      @greenermichael2057 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa huyu mchungaji Ni wa kipekee Sana jaman

    • @user-uj9zn6mj5b
      @user-uj9zn6mj5b 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiamini na kujiamini katika haki ya kweli inawezekana kwa Imani.

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 6 หลายเดือนก่อน

      Okoka sasa, njoo kwa YESU KRISTO

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน

    Natoka kabisa kabisa

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen