MCH.MGUNDA ASISITIZA "(UNYAKUO NI 2026)hakuna chenga jiandae tu kwenda na Yesu ama ubaki na shetani"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 130

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 ปีที่แล้ว +1

    Baba mtumishi Yuko sahihi.mi nishaambiwa hatutafika 2030 kabla yesu kulinyakua kanisa lake hila Kwa WEWE ambaye huamini hatukulazimishi Wala hakuna hakukumuye.asante promover tv team.

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee YESU KRISTO unikumbuke na watoto wangu hiyo siku utakayokuja kuchukua kanisa lako....ROHO MTAKATIFU USITUSAHAU BABA

  • @GestinaSamson-sd7zh
    @GestinaSamson-sd7zh ปีที่แล้ว +7

    A Yesu nisaidie kuziacha dhambi peke yangu siwezi

  • @helenbahati8038
    @helenbahati8038 ปีที่แล้ว +3

    Yesu unichunguze moyo Wangu, unijulishe dhambi iliojificha ndani yangu nisioijua nitubu ili ukirudi unichukue, nisibaki katika dunia hii ya mateso ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu pamoja na promover

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Inaweza kuwa hata leo au kesho. Ni Mungu pekee ajuaye.

  • @jacksonmchami930
    @jacksonmchami930 ปีที่แล้ว

    Nakubali kuludi kwa Yesu na yamkini hata leo ila kusema anajua mwisho 2026 ni uzushi

  • @zahakiosward1575
    @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว +6

    Siko tayali kupinga chochote kilicho semwa ila kwa hali ilvyo sasa yuaja YESU. Ole wangu.

  • @damasjoachim4451
    @damasjoachim4451 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Mungu alisema,sitafanya lolote bila kuwaambia Watu wangu, Yesu Kristo anasema hakuna ajuae siku wala saa

    • @ElishaBensoni
      @ElishaBensoni 5 หลายเดือนก่อน

      Siku Wala saa sio mwaka

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@ElishaBensonimaana ya nitakuja kama mwivi ni nini?hakuna anayejua Yesu atarudi lini mengine uongo tu

  • @annajotham9478
    @annajotham9478 ปีที่แล้ว +2

    Jamani acheni kupinga kwamambo yanayoendelea sasa mimi nakubali EMungu ni saidie ni nyakuliwe

  • @dinairenge
    @dinairenge ปีที่แล้ว

    Pasta Mbona ufunuo 10:1 mpaka 7 habataye amo byenye unasema sasa itutumie maverse ilituelewe vizuri pengine ulisaabu papa Asant

  • @dinairenge
    @dinairenge ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu akubariki mwatasikia asikie umesemakweli

  • @akilimatoto8171
    @akilimatoto8171 ปีที่แล้ว +9

    Muelewe , unyakuo wa Kanisa ni tofauti Na mwisho wa dunia. Ni raha kwa wanao mngoja kristu,musiwe wa bishi kiasi hivyo

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana jacktan

  • @DaisyTarus-l8f
    @DaisyTarus-l8f ปีที่แล้ว +1

    All in all be ready.. Jesus Christ is around the corner 🙏🙏

  • @MLIMA-WA-BWANA
    @MLIMA-WA-BWANA ปีที่แล้ว +12

    YESU KRISTO atarudi kama mwizi hakuna ajuaye siku wala saa.
    Mathayo 24:36.
    36. Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
    Mathayo 24:42.,43.,44.
    42. Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. 43. Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. 44. Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว +2

      Maandiko yanazungumzia kutokujua siku Wala saa bwana ajapo hayazungumzii kuhusu mwaka, kwamba hatutajua mwaka.
      Ila ndani ya mwaka ndimo Kuna siku na saa ambapo mwana wa adamu atarudi ghafla. Siku izo na masaaa Yale ndio yaliyozungumziwa hatutajua na si mwaka mana hata ukijua mwaka hutajua atakuja siku Gani na saa Gani pengine pale ulipojikwaa tu ukatenda dhambi ndio masaa Yale Yale mwana wa adamu akaja ghafla.

    • @MLIMA-WA-BWANA
      @MLIMA-WA-BWANA ปีที่แล้ว

      @@andrewmmassy5204 Siku moja kwa Mungu kwetu ni miaka elfu. Hatujui siku wala saa YESU KRISTO ANARUDI UPESI SANA tuwe tayari na watakatifu.
      Mathayo 24:36.
      36. Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.

    • @helenbahati8038
      @helenbahati8038 ปีที่แล้ว

      ​@@andrewmmassy5204Amen Amen

  • @lucylyale7169
    @lucylyale7169 ปีที่แล้ว +2

    Ameen mtumishi🙏

  • @asteriasilomba4410
    @asteriasilomba4410 ปีที่แล้ว +6

    1Wathesalonike 5:1-4. Tusome .lle siku kwa walionuruni haiji kama mwivi.

    • @belovedflorence4109
      @belovedflorence4109 ปีที่แล้ว

      nakubali, watu wanasoma tu Mathayo wakisahau kuwa Yesu alikuwa anaongea na watu wasiookoka. Kwa tuliookoka tutajua wakati ukifika kwa vile Roho wa Mungu anashuhudia ndani yetu. Ila huyu mzee anajikanganya. Inawezekana kwsmba 2026 ukawa mwaka wa uamsho, yeye anasema unyakuo.

  • @fredmugatta122
    @fredmugatta122 ปีที่แล้ว +1

    Matthew 24:36 says it all, zingine ni dhana tu

  • @VictoriaSimon-od1dg
    @VictoriaSimon-od1dg ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mtumishi

  • @martinehangi8174
    @martinehangi8174 ปีที่แล้ว

    Ninamshukuru Mungu Baba wetu wa mbinguni kwa hii tahazari .kile ambacho ninaweza sema nikwamba Roho mtakatifu anaonesha mambo ambayo imefishwa.kisha tusije tukasahau ya kuwa Roho Mtakatifu ni Roho wa Mungu.Yesu Kristo,Roho Mtakatifu takatifu n'a Mungu Baba ni Mmoja.ndugu zangu nabii tumjuwa kwa utimilifu wa njumbe anazo zitoa zikotimia kama Yeremia anavyo sema...tuwe tu tayari kwa maana ni muhimu kwetu kujitayarisha.

  • @helenbahati8038
    @helenbahati8038 ปีที่แล้ว +2

    Wanapinga wacha waendelee kupinga,nikweli,niuwongo,unatakia nini? Wewe jiandae

  • @richardbwire4747
    @richardbwire4747 ปีที่แล้ว +1

    thanks

  • @naomiemasoka
    @naomiemasoka ปีที่แล้ว

    Jamani tuombe rehema tufanye mapenzi ya Mungu,hayo mengine tusiwe wabishi sana ila unabii unachunguzwa na kupimwa kwa roho wa Mungu!kikubwa jiandaeni kila mda tuwe safi na tayari,,, mimi ninacho kijua hapa Mungu wetu ni wa rehema hapendezwi na yeyote kufia katika dhambi bali amrudie Kristo nae amupe uzima!ikiwa leo bado Yesu hajarudi sababu ni moja tu anakusubiri wewe na mimi tutubu dhambi tuwe tayari kwa urejeo wake so yawezekana siku na saa haijajulikana kutokana na moyo wa rehema wake Mungu bado anazuwia parapanda kulia kabla mwenye dhambi hajaacha dhambi zake,tunapo soma neno tumuombe roho mtakatifu atufafanulie

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee ปีที่แล้ว +2

    Suala la siku na saa hakuna ajuaye ila mwaka unaweza kujua. Viashilio vinaonyesha Yesu anarudi muda wowote kutoka sasa na mpinga kristo ataanza kutawala muda wowote kuanzia 2028. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa matukio yanayoendelea utagundua. Mfano uzinduzi wa mashindano ya jumuiya ya madola 2022 ilizinduliwa sanamu ya mnyama inayotangaza mwanzo wa utawala wa mpinga kristo. Hata corona ilizinduliwa mwaka 2012 kwenye mashindano ya Olympic na hakuna mwanadamu aliyegundua maana ya fumbo lililoonyeshwa kwa mtindo wa igizo matokeo yake watu tumegundua baada ya 2019.

  • @evalinekitomary4307
    @evalinekitomary4307 4 วันที่ผ่านมา

    Huu ni uongo hata Yesu mwenye alisema hakuna anayejua siku wala saa hata malaika mbinguni hawajui isipokuwa baba pekee .
    Ila wana wa Mungu jiwekeni tayari muda wowote hata leo Yesu anaweza kurudi ila siku wa saa hakuna anayejua hata Yesu mwenye hajui atarudi lini kunyakua kanisa
    Na hayo yameandikwa kwenye bibilia hakikisha bibilia takatifu ndio unakuwa mwongozo wako hapa duniani

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa jacktan tujiandae ni wajibu wa kila muumini kukaa vizuri na bwana

  • @victoriamkumbo5866
    @victoriamkumbo5866 ปีที่แล้ว

    Mungu ajubarikimtumishiwa mungu

  • @EmilianaInnocent-yv4pm
    @EmilianaInnocent-yv4pm ปีที่แล้ว

    Yesu uturehemu sisi si wakamlfu na hatujui lolote ila utakapo kuja kwaajl ya kansa lako naomba nisiachwe dhiki kuu inatsha Jaman

  • @ps.gideonnyangela4450
    @ps.gideonnyangela4450 ปีที่แล้ว

    Tunaamini bila shaka kwamba Yesu atarudi..
    Lakini hakuna ajuaye siku wala saa.
    (Matayo 24:36-40.)
    Jambo la muhimu ni kuwa tayari kila siku.

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 ปีที่แล้ว

    Amen baba barikiwa wale wanaopinga wasome thessalonians,5 v 20 do not despise prophecies

    • @TrezaPeris
      @TrezaPeris ปีที่แล้ว

      True but prophecies should be in line with the word of God

  • @salomealphonce-ev7ko
    @salomealphonce-ev7ko ปีที่แล้ว

    Mungu turehemu kwa kumkashifu mtumishi wako

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 ปีที่แล้ว +5

    Wanaoipenda dunia ndio wanaobisha

  • @Ellyfaragha
    @Ellyfaragha ปีที่แล้ว

    Ndio nikweli naamini yesu kristo yuaja

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +7

    MUNGU wangu nakuomba unikumbuke ktk ufalume wako nisaidie kusimama kakika kweli yako.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc ปีที่แล้ว

    Hesabu hizo Akina Here. White ziliwapoteza Akina wiliam Mila,

  • @PrayMbwambo-c5q
    @PrayMbwambo-c5q ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @annachachage4931
    @annachachage4931 ปีที่แล้ว +1

    Ameni!

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +4

    It doesn't matter the day The Lord Yeshua is coming,what matters is,are you ready??????😢 30:13

  • @ivanf.lekule5618
    @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

    Je 2026 ikapita.? Wakristo muishi maisha matakatifu. Maana naona 2026 ikapita kuna watu wataacha kabisa Imani.

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 ปีที่แล้ว

    Mimi nakubaliana nae sababu bwana mungu anasema msipinge wanabii wangu

    • @riyadmanfuha9229
      @riyadmanfuha9229 ปีที่แล้ว

      Unabii lazima uapatanena neno la Mungu

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 ปีที่แล้ว

    Kuna msabato mmoja toka Rwanda naye anasema unyakuo utakuwa 2027. Hawajapishana sana naye alipiga mahesabu yake kimaandiko, Mungu unikumbuke ktk ufalme wako.

  • @dinairenge
    @dinairenge ปีที่แล้ว

    Ilababapekeyake

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว

    Jamani sisi sote tuzidi kumtafuta mungu kwa bidii kwa sababu neno linasema kwamba yesu atakuja kama mwizi imekuaje leo analeta mafunuo kwa watu tena huyu babu amethibitisha kivipi huyu babu ni sawa na yule yesu wa tongaren (mkenya) aliyesema ndie yesu? na yupo na ana mke hapa Kenya vipi tunaelekea wapi ? Mungu atusamehe hizi ni nyakati za mwisho kweli waumini tuache usingisi mbarikiwe

  • @mathewmutuki-qh3tn
    @mathewmutuki-qh3tn ปีที่แล้ว +1

    It's true may be rapturing day will be 2026 or Mzee wetu that year will longer not exist , it's two options, so it's good idea ,

  • @loisemuchiri8363
    @loisemuchiri8363 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabila Kila saa hii sauti nasikia the time is over

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 4 วันที่ผ่านมา

      Ndio muda umebaki mchache sana tujiandae ila hakuna anajuia muda wa kurudi ila yupo karibu

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mzeze

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 ปีที่แล้ว +2

    Hata wakati Nuhu anajenga safina watu walimdhihaki.

  • @saradavirginia-kd7tn
    @saradavirginia-kd7tn ปีที่แล้ว +2

    Ni heri maana tumechoka kuumizwa na ya dunia

  • @elizabethamon2801
    @elizabethamon2801 ปีที่แล้ว +4

    inaweza kuwa sio mwaka uwo ila Kwa mambo yanayoendelea Dunia mambo yamekaribia tumrudien MUNGU

  • @stephanomakoye6936
    @stephanomakoye6936 ปีที่แล้ว +1

    A satan knows that it is Left few seconds to end the world,, shetani anajua bado sekunde zisizo zidi tatu aje yule mwenye haki(YESU) ,, lakini binadamu vipofu hawajui majira ya kujiliwa kwao,,waonapo ni salama ndipo uharibifu ujapo

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Hakuna ajuaye siku wala saa. Asidanganye watu.

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 ปีที่แล้ว

    swali langu Sasa hio vita ya Tatu itakuja baada ya kanisa kunyakuliwa ao?

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Mimi napità Yesu wajua ninavyo pambania utakatifu

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc ปีที่แล้ว

    Huyo Mzee ni Muongo,

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza huku Kenya mambo ni mbaya kabisa wameleta mtamdao wa icon watu wajisajili walipwe pesa

    • @anthonymaina7100
      @anthonymaina7100 ปีที่แล้ว

      Hapa kwetu hatari tupu.. Mungu saidia Kenya... Naona nao watanzania wameanza vita vya kidini kati ya waislamu na wakristo

    • @EmilianaInnocent-yv4pm
      @EmilianaInnocent-yv4pm ปีที่แล้ว

      Du

  • @issachege5606
    @issachege5606 ปีที่แล้ว +4

    Usipinge chochote ila najua hawa mambo ni kweli ata noah alipingwa nawatu😢

    • @zahakiosward1575
      @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa mtumishi wa MUNGU hata noah hakuna alie mwamin kabisa

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi ปีที่แล้ว +1

    Nasema kwamba ila tujiandae maana hakuna ajuaye siku wala saa

    • @Martine-bd3sy
      @Martine-bd3sy 11 วันที่ผ่านมา

      Mutumishi hakusema Siku Wala saa ametaja mwaka Sisi tujiandae tu .tunaweza kufa hâta mbele ya hapo jiandaeni

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 11 หลายเดือนก่อน

    Ndugu jactan, napenda kufuatilia shuhuda zenu sana, lakini je huwa mnafuatilia usahihi wa shuhuda zenu kwa kiasi gani ili kuepuka kulisha wafuatiliaji wenu matango pori???
    Maana sasa kwa hili mimi najua neno linesman hayupo ajuaye siku wala saa..., yaani kwa kusisitiza jinsi ilivyo siri, andiko linasema hata mwana hajui kurudi kwake ,sasa huyu mchungaji amependelewa kwa kiasi gani?

  • @gahungubertin1214
    @gahungubertin1214 ปีที่แล้ว

    JAMANI MUSIPINGE, HATA UKU BURUNDI in 2021 ,KUNA MUTUMISHI ALIWAHI KUYASEMA HAYOHAYO KWAMBA MWAKA 2026 NDIO UNYAKUO ... kwani utapata hasara gani ukijiandaa kweli?? Siku hiyo itakuwa kama the day of Noah, wengi walimpinga ila wakaja kujata baadaye...

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 ปีที่แล้ว

    Hakuna aja ya kumkashigu mtumishi wa Mungu kama wewe hauamini nyamaza atakayeini akatengeneza atanyakuliwa kama usipotengeneza utajua wewe. Garama Iko wapi?

  • @Nchiyangu23
    @Nchiyangu23 ปีที่แล้ว

    Mzee sikiliza unyakuo tv. Ametufunulia maandiko vema. Juma la sabini ni miaka Saba na ya dhiki kuu na kunyakuliwa kanisa Ni sawa. ila hiyo miaka 33 nataka kujua

  • @juliusmaziku6095
    @juliusmaziku6095 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ni neema pia kuyasikia haya,kuamua ni juu yake mtu binafsi

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq ปีที่แล้ว

    Ila kwa habari ya nyakati tutatambua

  • @dinairenge
    @dinairenge ปีที่แล้ว

    Hakuna aijuaye sikuwalasaa

    • @Chosenbrian-nf9gb
      @Chosenbrian-nf9gb 7 หลายเดือนก่อน

      Bora uamini ujiandae
      Kuliko kudharau ukaachwa

  • @ellychacha2417
    @ellychacha2417 ปีที่แล้ว

    Nikweli unyakuo upo lakini usipotimia 2026 atasemaje

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq ปีที่แล้ว +1

    Vp kwaabari ya mwaka nimemwelewa mzee yeye anasema mwaka sio siku wala saa

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว

    Minaswali Kuna miaka Saba ya dhiki kuu duniani mbona miaka michache nakanisa nalo litapita ktk dhiki kuu navita kuu yatatu ya dunia halmagedon itatokea kanisa lipo aulimenyakuliwa,na kuuza na kununua bila chapa ile nindani ya hii miaka miwili??

    • @frankshitindi2628
      @frankshitindi2628 ปีที่แล้ว +1

      Kuna awamu mbili za ufufuo/ unyakuo ambapo kuna unyakuo wa kwanza na wa pili Ufunuo 20:6, unyakuo wa kwanza ni wa watakatifu wa wakeshao na kujitakasa sana, nao watatawala miaka elfu pamoja na kristo, wakati huo Wakristo vuguvugu wataachwa na ndio watakao pitia dhiki kuu tena wataokolewa kwa damu zao.Hivyo basi usipokubali kusulubiwa na kubatizwa na kukivywea kikombe alichonywea Kristo saiv wakati neema yake bado ipo basi ujue huenda ukaokolewa kwa unyakuo wa pili wenye dhiki nyingi na mateso ya mpinga Kristo.Amen

  • @cosmasshauri9002
    @cosmasshauri9002 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ajuaye siku wala saa hata malaika wa Mbinguni hawajui hata Mwana hajui ila baba pekee.

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 ปีที่แล้ว

    MUNGU unisamehe makosa yangu yote usinipite ukirudi wede na mimi

  • @bonfacemwakapenda8857
    @bonfacemwakapenda8857 ปีที่แล้ว

    Wengine wenu niuogatu hamuko Tayari ndomana munapinga

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 ปีที่แล้ว

    Huyo Mzee amezeeka vbaya TU, hakuna ajuaye siku Wala saa

    • @stephanomakoye6936
      @stephanomakoye6936 ปีที่แล้ว

      Kwani kibaya ni kipi hapo anataka tujiandae tu,,,hasemi hakuna unyakua

    • @stephanomakoye6936
      @stephanomakoye6936 ปีที่แล้ว

      Kwani kibaya ni kipi hapo anataka tujiandae tu,,,hasemi hakuna unyakua

  • @pablovicpabloski7929
    @pablovicpabloski7929 ปีที่แล้ว +2

    AMOS 3; 7 MUNGU HAFANYI CHOCHOTE BILA UFUNULIA WATUMISHI WAKE MANABI . TAFADHALI JITAKASENI HATUNA MUDA .NIKO KENYA

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 ปีที่แล้ว

    Mzee muongo sana huyu 2026 ????

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

    Hakuna ajuaye siku Wala saa

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Nae huyo nani kamwambianUnyakuo ni 2026?? Kaota

  • @neemawidisony5903
    @neemawidisony5903 ปีที่แล้ว

    Acheni kutabiri uongo jamani

    • @stephanomakoye6936
      @stephanomakoye6936 ปีที่แล้ว

      How sure are you?ni uongo,,,angekua anasema hakuna unyakuo hapo sawa,,, lakini anasema tujiandae siyo mbaya kujiandaa

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo bhna

    • @zahakiosward1575
      @zahakiosward1575 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo muongo

    • @devissyprian1526
      @devissyprian1526 ปีที่แล้ว

      @@zahakiosward1575 tutaona kama utafanyika

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 ปีที่แล้ว

      Nikweli unaweza kusema hakuna ajuwe hata malika mbinguni hawajui lakini JARIBU kuangalia matukio ya luka 24 KILA matukio yaliotabiriwa nakusemwa kwanye kitabu hicho yametukia YESU yuko malangoni anarudi

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 ปีที่แล้ว

      Soma bibilia yote kaka usisome tu msitari Moja unaitaji maombi kabisa

    • @hamisahtuman5595
      @hamisahtuman5595 ปีที่แล้ว +2

      Natamani niwe katika ufufuo wakwanza amen

  • @ambokilegwakisa3526
    @ambokilegwakisa3526 ปีที่แล้ว

    Huyu njaa tu kama sio njaa ni wakala wa kuzimu anajua anachokifanya.

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว

      Umekosea

    • @ambokilegwakisa3526
      @ambokilegwakisa3526 ปีที่แล้ว

      @@bonifasiemanueli21 lengo lenu ni Moja hakuna mandiko yanayopatana na hayo,ni wale tu mawakala wa shetani wanayoyaishi hayo.

    • @HildaPaul-hm4jk
      @HildaPaul-hm4jk ปีที่แล้ว

      Wee nawe shetani atakuambia habari za unyakuo au habari za mafuta ya upako na kupata magari

    • @HildaPaul-hm4jk
      @HildaPaul-hm4jk ปีที่แล้ว +2

      Wakala atakuambia unyakuo au atakupa mafuta na chumvi

    • @ambokilegwakisa3526
      @ambokilegwakisa3526 ปีที่แล้ว

      @@HildaPaul-hm4jk unajua maana ya mpinga kristo,ni shetani ameweka mawazo yake kinyume na maneno ya Yesu,Sasa wapi Yesu alisema na kutaja tar ya unyakuo,kwani wewe hujawahi kusikia kuwa watu wengi waliamini mwaka 2000 ni mwisho wa Dunia,soma kitabu Cha walaka wa yohana wa kwanza,anasema wapinga kristo wengi wametokea,walitoka kwetu lakini hawakuwa wa kwetu,na mpinga kristo ni nani ni yule aliye muongo,na muongo ni nani ni yeye hamkanaye kristo na anayemkana ni nani ni yeye anayekwenda kinyume na maneno yake,hivyo ukisapoti ujinga na wewe unakuwa wakala wa shetani,na shida ya wakristo hawajui maana ya dhambi,wao wanafikiri dhambi ni kuzini na kuiba tu,dhambi ni uasi au ni kwenda kinyume Cha maelekezo au sheria,Sasa kama Yesu anasema hata yeye hajui tar Wala saa,wewe utamsapoti vipi huyo,hapo hujaenda kinyume Cha maelekezo ya Yesu,judge mwenyewe.

  • @alexandervicent2263
    @alexandervicent2263 ปีที่แล้ว

    UBASHIRI KUPITIA BIBLIA

  • @wamburakinyunyi3854
    @wamburakinyunyi3854 ปีที่แล้ว

    Hakuna ajuwae siku wewe acha uongo tubu dhambi yako mzee mwisho umekaribia ila hakuna ajuaye huo wa 2026 ni wakwako na familia yako wa kanisa bado na hakuna aujuae we nani hats ujue we ni Yesu? Acha uongo tubu dhambi yako mzee

    • @yonarwebiita7035
      @yonarwebiita7035 11 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 24:36 (KJV)
      Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
      Zidi kujitakasa ukikesha na kuomba sana maana mwana wa Adamu atakuja bila taarifa kwasababu Hata yeye mwenyewe hajui siku atakapokuja
      Yesu hajui siku, malaika hawajui siku atakapokuja Yesu huyo mwanadamu kama mimi na wewe amejuaje..?

  • @ELLYJ24
    @ELLYJ24 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee nahisi anasoma biblia kama kitabu cha hadithi za kutunga wakati biblia inasema kuja kwa yesu kutakuwa kama mwizi halafu pia inasema hatujui siku wala saa ya kujiliwa so huyu mzee ni muongo na siyo mimi ninayedhihirisha bali ni biblia

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 ปีที่แล้ว

    Baba mtumishi Yuko sahihi.mi nishaambiwa hatutafika 2030 kabla yesu kulinyakua kanisa lake hila Kwa WEWE ambaye huamini hatukulazimishi Wala hakuna hakukumuye.asante promover tv team.