HII HAPA CALENDAR YA MWISHO WA DUNIA MCH MGUNDA AKIIHUBURI INJILI YA DR MOSES KULOLA YA UNYAKUO WAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @dicksonjames-u7t
    @dicksonjames-u7t 16 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @Ellyfaragha
    @Ellyfaragha 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mtumishi najiandaa nikaishi mbinguni aniwezeshe yesu kristo 😢😢

  • @anisethmisana
    @anisethmisana หลายเดือนก่อน

    Aameen

  • @GodisOne-Yeshua_AnneJeptoo
    @GodisOne-Yeshua_AnneJeptoo 27 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 26 วันที่ผ่านมา

    Eeh Baba yangu wa Mbinguni unirehemu mimi mwenye dhambi.

  • @mamamtakatifu6465
    @mamamtakatifu6465 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Baba ata Nuhu aliwambia watu kutakuwa na gharika lakin walimcheka nakumzarau mwisho wasiku wakaangamia wote mwenyesikio na asikie

  • @elizabethawuor5402
    @elizabethawuor5402 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwanifu sana

  • @RevocatusEzirom
    @RevocatusEzirom 7 หลายเดือนก่อน

    Barakiwa mtumishi

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 7 หลายเดือนก่อน

    Uzee shida sana🤣

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 7 หลายเดือนก่อน

    Watu ukiwahubirii huwa hawakubalii

  • @leticiakato395
    @leticiakato395 7 หลายเดือนก่อน

    Majira tutayajua kwa kuona dalili lakini siku Ile hakuna ajuaye hata mwana hajui ila Baba peke yake. Cha msingi tujiweke tayari

    • @user-mwl.marashi127
      @user-mwl.marashi127 7 หลายเดือนก่อน

      Hapana mwana anafahamu vzr sana, enzi anasema hivo YESU alikuwa kimwili Kwa sasa yupo kwenye utukufu wake

    • @Martine-bd3sy
      @Martine-bd3sy 11 วันที่ผ่านมา

      Nuhu aliambiwa Kuna baki Siku 40 watu hawakujali.Roho Mtakatifu anafunuwa kula kitu wazi Siku hizi...kaeni macho tujiandae

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 7 หลายเดือนก่อน

    Muda mwenginee unaweza kudhani..wazee ni wenye hekima watatupereka mbinguni....., Kumbe ndio wanaowasindikiza wengi PEPONI..😂😂.
    Huu ni mwisho wa dunia, kuokolewa ni kwa rehema kama sio neema.
    Tubu makosa upate rehema...
    Au uwe umechaguliwa usamehewe upokee Neema.

    • @Martine-bd3sy
      @Martine-bd3sy 11 วันที่ผ่านมา

      Wewe omba Mungu ni mwenye rehema atakwambia...wazee wana hekima Zao...tusubiri tutaonana