Pt4_Nilisikia sauti ya Mungu na nikairekodi akionya kuhusu machukizo ndani ya kanisa|MCH.KABUJE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 54

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire วันที่ผ่านมา +5

    Hallelujah Hallelujah nahisi nguvu za Mungu kupitia kusikiliza ushuhuda huu. Nashukuru Mungu kwa neema niliyopata kuviacha vya dunia hii nikajikubali jinsi Mungu wangu alivyo niumba. Mungu akubariki sana Mtumishi kwa kuenenda kwa uaminifu wa Mungu mpaka ukaaminiwa mbinguni. Hiyo ni neema kubwa sana mbingu itembee nawe milele. Wana baraka sana wanaoogozwa na wewe.
    Promover kwa kweli mmekuwa wa baraka kwangu na kwa wengine wengi wenye kutii. Mimi nimejifunza mengi sana kupitia promover. Mbarikiwe sana

    • @annkim2690
      @annkim2690 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      promoverTV ni kweli imekua ya baraka lakini kuna wapenda mapambo hawataki kusikia kabisa

  • @rahelmnkondya4992
    @rahelmnkondya4992 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongera mtumishi kusema bila woga

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaaan umefafanua vizuri sana kuhusu ngano na magugu! Asante BwanaYesuKristo! Nilimuuliza mchungaji mbona wachawi unao kanisani na unawajua kabisa Mungu anakuonesha?! Akasema acheni ngano na maguu,,,Nikasikia hasira lkn kweli ni NENO sasa leo nimefurahi tafsiri hii

  • @KalumeRaphael-y8i
    @KalumeRaphael-y8i 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu wa Mbinguni akulinde utokapo na uingiapo, ubarikiwe sana

  • @blandinamwai3032
    @blandinamwai3032 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante sana mtumishi
    Ujumbe sahihi kabisa

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Baba yangu wa Mbinguni, naomba unirehemu mimi mwenye dhambi ili niweze kuishinda roho ya kupenda mapambo. Amina.

    • @annkim2690
      @annkim2690 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waa pole Kwani huogopi 🔥🔥🔥🔥 wa jehanam fatilia Aston Mbaya

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki kwa ushuhuda huu,

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amina mtumishi nabarikiwa

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtumishi naipenda sana mafunuo kama hayo yananijenga mapambo nimeacha

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 วันที่ผ่านมา +1

    Amen thanks for the wonderful massage glory glory hallelujah

  • @noeliamwakalunde8089
    @noeliamwakalunde8089 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana,na pia atusaidie kuijua kweli yake na kuyatenda yaliyomema.

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ni kweli ni kweli nimeachana na kila kitu BwanaYesuKristo nisaidie kuuona UFALME WAKO WA MBINGUNI

  • @felixBenos
    @felixBenos 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde na kukupa maisha malefu mwana wa Mungu ili uzidi kilihubuli neno lake.

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 วันที่ผ่านมา +3

    Ameni na MUNGU ANISAIDIE

  • @Mamas-06k
    @Mamas-06k วันที่ผ่านมา +1

    Tunaomba uendelee tu na huu ushuhuda, weeee i ve no words kwa huu ushuhuda

  • @annkim2690
    @annkim2690 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nadhania nihapa nilisikia Mungu akiwa mbinguni akiangalia chini anatuona kama maua na hizi nywele zetu

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mtumishi umesema vyema sana kuhusu jinsi MUNGU amesema ndo maana wakati anamalizia ushuhuda zizi matembo kwamba urembo ni sawa nikajua hapa hakuna kitu maana MUNGU hajipingi. Wanawake wabadilike vinginevyowatapotea

    • @annkim2690
      @annkim2690 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nasikia Ile ni Roho sio rahisi kukuacha ndio maana wanapingana kweli Mimi nikifikiria jehanam wacha nijifunge kitambara

  • @samjosh12
    @samjosh12 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtumishi ubarikiwe sana

  • @LucyMerchiorly
    @LucyMerchiorly 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mungu anisaidie na aturehemu wanawake

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hallelujah

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 วันที่ผ่านมา +2

    Ameni na MUNGU ATUSAIDIE ss na ubishi wetu

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naomba nifunuliwe juu ya mavazi ya batiki naomba nijulishe mtumishi

  • @lizdedanigmn1532
    @lizdedanigmn1532 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa kazi kubwa. Naomba kuuliza kuvaa Pete ya ndoa ni dhambi? Hii nayoipoje?

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huku kurekodi sauti ya Mungu sikubaliani na hili ,wakristo wengi wanashindwa kutofautisha sauti ya Mungu na ya shetani 😢😢, BWANA aturehemu

  • @MLIMA-WA-BWANA
    @MLIMA-WA-BWANA 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amen🙏

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ujumbe mzito

    • @EZRA-b1c
      @EZRA-b1c 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mzito hasa

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waambie pia Watumishi wanaume juu ya kubadilisha nywele zao. Wanapaka black na kuzitengeneza nywele salon ziwe na mawimbi mawimbi, na unyoaji wa mitindo mbali mbali!

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakati BwanaYesuKristo ananitoa catholic alinipatia mstari huo wathetharonike 2:7- hapo ulipoishia maana mm ktk kanisa hilo nilikuwa nikimuona maria yaan kwenye mafunuo ya uongo wa shetani

  • @neemakaywanga2526
    @neemakaywanga2526 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman hapa kajchanganya tu kdogo kuhusu kurekod saut ya Mungu saut ya Mungu hairekodk maana unakuwa unaskia wewe tu na siyo mtu mwngne ila yeye alchorekod ni maneno aliyozungumza Mungu kupitia kinywa cha mtu maana angezungumza Mungu mojakwamojabila kupitia mtu sauti angeiskia maskiobi tu yeye kama yeye kwa hiyo isngekuwa rahs kurekod

  • @janecorazon8530
    @janecorazon8530 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ezekiel had dreadlocks toa verses.pastpr dreadlocks are natural hair please

  • @Mamas-06k
    @Mamas-06k วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi, juu tumekuamini wewe, tuulizie kuhusu wanawake kuwa wachungaji, juu pia hili limelemea watu....

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaomba mwendelezo

  • @annkim2690
    @annkim2690 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpo wenye kumsakama dada Esther Msanja haya wengine hawa wamekuja na story ya mapambo

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 วันที่ผ่านมา

    Kwani Mungu hajakuambia mwanamke kuwa wachungaji ni dhambi

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb วันที่ผ่านมา

      Sikiliza ushuhuda wa Aston Adam Mbaya, aliambiwa mwanamke hana ruhusa ya kuwa Pastor....1 Timothy 2:12, 1 Kor 14:34

    • @pastorpetermageta6833
      @pastorpetermageta6833 วันที่ผ่านมา

      ​@@RoseMayige-gn9qbsawa mimi mwenyewe ni mchungaji wa mtumishi wa Mungu Aston mbaya,
      Kwa ni nineuliza ni kwa sababu amewagusiya wanawake wachungaji na maaskofu

  • @janecorazon8530
    @janecorazon8530 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samson had dreadlocks

  • @gervaskazinza3563
    @gervaskazinza3563 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunalo Neno linatosha Acha kayumbiswhwa na maono na mafunuo

    • @bartinkahenga1196
      @bartinkahenga1196 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Analolisema hapo pia Neno lenyewe asilimia 100. Unataka Neno gani?

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ushuhuda wa mtumishi wa Mungu margaret 14:55 uliwagusa watu wengi sana ikiwemo mimi binafsi.
    Ushuhuda wa Margaret au Magreth utakavyo penda kumuita haukuwa wa kweli hii ni baada ya kukili mwenyewe mbele ya kanisa.
    Margaret au Magret sio mtanzania, confession yake ipo hapa TH-cam ila ni kwa kiingereza.
    Kama una shauku ya kuujua ushuhuda wake search kwa jina la margaret utaupata ulio tafsiriwa kwa kiswahili
    ila kuhusu video ya kuomba msamaha kwa kulidanganya kanisa upo kwa kiingereza.
    Watu wa Mungu, ndugu zangu katika Kristo tuwe macho tumtafute sana Kristo tuwe na utambuzi(Descernment) tusidanganyike kila hisi.
    Mungu akubariki, jina la Bwana lisifiwe milele, amina❤.

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Japo inasemekana alidanganya, ila aliongea kweli ila pengine ali copy ushuhuda wa mtu mwingine ila alichokua akieleza ni kweli.

    • @pastorpetermageta6833
      @pastorpetermageta6833 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@LoFi_120 yar na mie pia nilitaka kusema vile, make alijitokeza na hadharani na akasema kwamba ushuhuda wake haukuwa wa kweli.

    • @EZRA-b1c
      @EZRA-b1c 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@pastorpetermageta6833BWANA YESU KRISTO ATUSAIDIE KWELI KABISA ROHO MTAKATIFU HELP US

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 วันที่ผ่านมา +1

    Nilifikiri wewe ni wale wale,nitaanza kufuatilia

    • @LoFi_120
      @LoFi_120 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unapo sema "ni wale wale" una maanisha nini mtumishi?.

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 วันที่ผ่านมา

    KAKA MCHUNGAJI ACHA KUDANGANYA WATU HUWEZI TENA HUWEZI RECORD SAUTI YA MUNGU HATA SIKU NA MOJA LAKINI MADUNDISHO HAYO ULIOSEMA NI SAHIHI

    • @barnabaabel9522
      @barnabaabel9522 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mm nimemuelewa karecord Mungu alikuwa akiongea kupitia mtu siyo direct.