Mchungaji masania Namkubali sana anatema madini safi sana,ila huyo anaeitikia hapo ndo anaharibu anaondoa uhalisia naomba nayeye awe msikilizaji kama wengine itapendeza zaidi maana anapofanya hivo anaondoa u serious wa ibaada
Masanja uko sawa lakini hayo makelele ya hao wanaitikia unapohibiri neno ondoa hiyo kitu hayo ni makelele usiige wenzio bhana watu tunasikia makelele tu
Barikiwe na Bwana Mtumishi nikweli unachosema watu wanadanganywa kwa kutokujua Neno la Mungu linasema nini kila kitu kimetoka Isreli ina maana huwa wanasafiri kufuata hivo vitu au utapeli tu
Kiukweli mungu anasema toshekeni na mnacho kipata ss ndugu yetu masanja mungu amekujalia kipaji cha uchekeshaji kinatosha uache tamaa za Dunia zina mwisho kaka ndiomana mungu anawapa mitiani watu kama nyinyi wenye tamaa mpaka wakezenu wanawasaliti yote kujitia vidume kumbe vinazi
Anatema cheche halafu anatembea na mabaunsa...kawaweka mpaka madhabahuni. Kama tu hao manabii anaowadiss. Hawa manabii na wachungaji wa siku hizi mungu wao hawezi kuwalinda kwahiyo wanahitaji mabaunsa wawalinde😅
Sasa ayo masuluwali kwa wanaweke ni nini baba, unawafundisha ayo wanao? Desculpe, não sou fluente no idioma Swaili 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 mas aguardo pela vossa resposta!
Masanja ana Injili ya Kweli ila Kuna vitu vichache bado huwa anavitetea, huu ni Wakati mzuri sana kwake kuweka msimamo kwenye kila kitu ambacho hakiko SAWA! Mchungaji yeyote ni Baba wa Kiroho, Kioo Cha Jamii, Lzma awe kielelezo Bora Kwa kila eneo la Maisha yake.
Mara ya mwisho niliona ukimsifia kiboko ya wachawi hapo hapo kanisani kwako ina maana na wewe Mungu wa kweli Huna, ndio maana ulishindwa kuipima nguvu iliyoko ndani ya kiboko ya wachawi ulipowaita ile siku....
Safi sana Bishop Masanja Kwa Neno la kuokoa roho za watu Asante sana Kwa injili ya kuokoa
Mchungaji masania Namkubali sana anatema madini safi sana,ila huyo anaeitikia hapo ndo anaharibu anaondoa uhalisia naomba nayeye awe msikilizaji kama wengine itapendeza zaidi maana anapofanya hivo anaondoa u serious wa ibaada
Yaan hata Mimi wananikwazaga mbaya
Makelele km ya kimara kule ayatoe ibaki sauti ya washirika ila huyo mwn mike anaharibu
Hallelujah mtumishi. Umenena vyema
Kiukwel MASANJA ameanza kukomaa,
Kweli hyu anaye itikia unaondoka concentration ya mahubiri 🙏, aache, Bora kipigwe kinanda
Amen !ubarikiwe sana
Huyo jamaa back vocal inakera.....atulie tusikilize neno
Nilikuwa sijawahi kukusikiliza Leo nimegundua kumbe uko vizuri,barikiwa sana.Ila huyo mtu mwingine aache kuongea na yeye kwenye mic
barikiwa na wafuasi wake masikio yame basti ety masanja anasapoti maji masanja ana maanisha mtu kumuendea mungu bila kutegemea maji
Yes barikiwa sanaaa
Barikiwe sana
Uko vzr
Hao machawa kwenye Mic ni shida. Sasa hapo kuna tofauti gani na hao wanauza maji???
Sawa kabisa Ila kuwa na walinzi madhabahuni hiyo imekaaje kuwa na walinzi kanisani Ni kujimwambafai
Ni kweli ila huyu mtumishi wa Yes na Ameminaaaa kidogo anatoa vitu vzurii atupisheeee tafadhali
😢😢😢😢😢kwani huyu jamaa anayepiga makelele hapo analipwa shilingi ngapi mbona anakera jamani😢😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Analipwa ndo maana anakazia aminaaaaaa babaaa
Wanasema bussesn sio neno la Mungu rena
Tafuta wakwako
Safi sana. Tunaihitaji neno. Huyo mpambe anaharibu sana
Masanja uko sawa lakini hayo makelele ya hao wanaitikia unapohibiri neno ondoa hiyo kitu hayo ni makelele usiige wenzio bhana watu tunasikia makelele tu
Kweli kabisa nikama ushabiki fulani
Kila kitu ni 'Amina' (Iwe hivyo)
Akisema 'Watu wanapromoti maji badala ya Neno la Mungu' utasikia aminaaa😮 1:12
😂😂😂😂😂😂 sure
😂😂😂😂😂😂 sure
Changamoto kweli
Amen Bishop wangu
Exactly......neno ni Kila kitu, barkiwa mno
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masanja unahubili yalioko ndaniya yabibilia
Siokamawengine
Ila wanaoitikia wanyamazishekidgo
Tusikilize dailecti 🤝🤝🤝🤝🤝
Ukovizur sana pastor ila hao jamaa wapunguze mayowe
Hivi huyo anayepiga mikelele ya amina kila neno ,anajua maana ya Amen kweli😂😂😂😂
Anaboa
Anakera
BIG UP MCHUNGAJI WETU
Acha kuishi na waumini Kwa vitisho.
Piga injili ya Kweli,Yesu awaponye kwelikweli na siyo kufanya michambo AU kuimba taarabu madhabahuni
Barikiwa Mungu akutumie katika nyakat hz za mwisho
That's good. Yesu alisema acha wafu na wafu wazikane
Mfano huu huwa hawaelewi.
Hilo vuta bangi linalopiga makelele nyuma ya maiki linatutoa kwenye reli kama linasoma ujumbe huu lisirudie tena kutupgia makelele
very sure anatuchanganya. yaani ujumbe ni mzur. lkn huyo anauharibu
Ndio Vibe linanoga
Barikiwe na Bwana Mtumishi nikweli unachosema watu wanadanganywa kwa kutokujua Neno la Mungu linasema nini kila kitu kimetoka Isreli ina maana huwa wanasafiri kufuata hivo vitu au utapeli tu
Kiukweli mungu anasema toshekeni na mnacho kipata ss ndugu yetu masanja mungu amekujalia kipaji cha uchekeshaji kinatosha uache tamaa za Dunia zina mwisho kaka ndiomana mungu anawapa mitiani watu kama nyinyi wenye tamaa mpaka wakezenu wanawasaliti yote kujitia vidume kumbe vinazi
Uko vizuri sasa ivi
Kazi nzuri but huyo anaeitikia aache mara moja
Verry nice message
Uko vizuri kwenye neno na ujumbe uko vizuri lakini hiyo chawa mtoe ili ujumbe wako ue na nguvu ya kiungu
😂😂 et chawa
Anayepambiza anakera neno safi liende lenyewe ushabiki mnaharibuu tuu pastor masanja endeleaa tunakupendaa
Mind sana mtumishi
Mungu azidi kukuinua Bishop injili ya kweli kama hii ndo inatakiwa
Ubarikiwe! Nimekuelewa sana
Mafundisho mazuri sanaaa sema huyo mpiga baki anakelaa Sanaa yani natudia tena kaalibu mafundisho kwa mabaki voko yakee😂😂😂😂
Hapa nimekuelewa sana Kaka Masanja
100%.......❤❤❤❤
Ubarikiwe masanja
Huyo anaetikia anaharibu upako wa neno.
Back vocal😂😂😂😂
Ayayaaaaaa,, sounds like zunguka zunguka
Uyo jamaa anaye gumia ana shida gan anatoa userios achane na hko ktu
upo saihi mtumishi ❤ mwenyezi Mungu akutumie
Tupe ukwel maana hao maanabii wanaleta mazingaombwe sio neno la mungu mungu akubariki
Kaka haina haja huyo anae itikia anatoa atetion ya mahubili
Komedi zinaendelea
Huyo anayepiga back up za Amina Amina Amina😅😅😅😅😅 Yuko vzr
Hahahahaaaa😂😂😂😂😂😂......hiyo inaitwa kenge ya pakistani
Hiyo ilianzia kule ngomeni kwa kuhani mwacha😅😅
Kwa sababu ya huyo chawa bimnafsi sijakuelewa ilá ubarikie sana from 🇲🇿 Nikwampa
Uko vzr sana ila ,huyu mwenye kusema Amina ...ache kupambilizia sio vzr
Huyo anaeongea ongea angekua anakaa kimya ingekua vizurii saana.
mahubiri mazuri ila uyo anayepiga kelele na mic anaharibu
Mi mwenyewe simuelew sjui kapiga cha Arusha au vp mana sio kwa kelele izo za kinoko
Uyo hyper anakera mnooo
Masanjaa sema baba tupone ila uyo jamaa anapiga makelele
Machawa kibao😊
Amina baba
Ndio hao hao ambao wanatuzidishiya fujo eti eeeeeeeeh wambiye baba 😂
100% TRUE,BIG UP BROTHER
Mashanja big up pastor
Ondoa hao machawa church kwako ...neno zuri Sana Ila huyo chawa muondoe anaharibu huduma
We baba ako wa kiroho ni nabii musa mwacha unakuaje tena mbogo kwa manabii kwaiyo uko kinyume na baba yako😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Anatema cheche halafu anatembea na mabaunsa...kawaweka mpaka madhabahuni. Kama tu hao manabii anaowadiss. Hawa manabii na wachungaji wa siku hizi mungu wao hawezi kuwalinda kwahiyo wanahitaji mabaunsa wawalinde😅
Baba yake wa kiroho ni Mwakibolwa
Mungu atusaidie sana 😢kama niliwaona madhabahuni pako ukiwasujudia wakupe pesa 😮
Mwitikiaji unazingua unafanya iwe kama kwa kiboko Acha iyo
Nikwel kabs uyo mtumishi anae itikia duu anahalib sana
Sasa ayo masuluwali kwa wanaweke ni nini baba, unawafundisha ayo wanao?
Desculpe, não sou fluente no idioma Swaili 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 mas aguardo pela vossa resposta!
Motoe huyo mpiga kelele neno zuri
Huyo muitikiaji na vibwagizo anakera bwana mzuie anatuboa sisi tunataka kusikiliza neno Kwa umakini anatuudhi hatusikilizi vzr
Mpambe anaharibu
Madini haswaaaa reality kweliiii Bab
Masanja ana Injili ya Kweli ila Kuna vitu vichache bado huwa anavitetea, huu ni Wakati mzuri sana kwake kuweka msimamo kwenye kila kitu ambacho hakiko SAWA! Mchungaji yeyote ni Baba wa Kiroho, Kioo Cha Jamii, Lzma awe kielelezo Bora Kwa kila eneo la Maisha yake.
Vibua wanakaangwa 😅😅😅
Aminaaaa
Sahihi kabisa
Machawa wameingia kanisani😮
Huyu anayevuruga ujumbe na makelele
Mungu akubariki
Mbona kuna mtu anaitikia nyuma nyuma kama kwa Kuhani musa😂😂😂😂
Acheni kulitetea neno la Mungu kwani linajitosheleza kujitetea.
😂daah huyo hyper
Congs bro you are too good go on like this
Mtu wa mwisho kumkubali mimi!
Dah m badala ya kusikiliza neno nasikia kelele ya huyo jamaa anazingua sana jaman dah umetoa neno kali sana ila naomba huyo apunguze mzuka anazingua
Amen
Huyu anae sema as muna Sina uhakika kama Kuna kitu ana pokea zaidi ya kitu leteaapepo aminaaa babaaa hebu acha.
Huyu anayeropokaropoka anaharibu mahubiri
Uyo anaesema amina anaelewa kinacho ubiriwa
Sasa hvi Mnaanza kujikanyaga wenyewe
Masanja mtoe huyo anaeongezea maneno anapunguza upako wa neno,
Na mimi naomba sana huyo mpiga debe anyamaze ndoo kanifanya nisiendelee kusikiliza anakela sana
NENO Kama NENO ,Limetusaidia
Sasa huyo anae sema Amina baba Ana halibu
Motivation speeches
Huyo wa mic anaharibu mahubiri
Amina
Mfukuzee huyo jamaa
Aaaah mina Baba ,mmmmmhhhh anakuharibia
Amen mtumishi...lakini mim nachokiamini mahubiri huwa hayahitaji backup....badilishen namna... huyo anaeongea kwenye maiki aache ....Wakishangilia washirika inatosha...
Hyo jamaa anaefanya backup naona ni kama kazingua some time anakasirisha
Ukimaliza kusema hayo na wewe tuseme ya kwako tena machafu kuliko hayo....😂😂😂😂😂na wewe tunakuanika wazi
Hananja Jr mwingine
Masanja sasa ndio anafanya kaz ya bwana
Mara ya mwisho niliona ukimsifia kiboko ya wachawi hapo hapo kanisani kwako ina maana na wewe Mungu wa kweli Huna, ndio maana ulishindwa kuipima nguvu iliyoko ndani ya kiboko ya wachawi ulipowaita ile siku....
Soma ufu 11:6,Ifalm 2:19,Isaya 10:27,mark 6:13,yako 5:14
Huyo backing vocal anaharibu
Uyo jamaaa wa aminaaa mbona anaboa inaonesha anacha kisema masanja yeye anakijua zaidi duh aminaaa baba hahahhaa yeesu ndonini