BISHOP MASANJA ACHARUKA AKEMEA UZINZI MAKANISANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu Kristo akubariki mtumishi wa Mungu hakika injili yako Kwa hapa Tanzania 🇹🇿 ni kama upanga ulao haupepesi macho Mungu akubariki sana hili swala la watu kutegemea mafuta na chumvi kwa kweli wakristo tumezidi.

  • @MusokeDios
    @MusokeDios 7 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, ongeza sauti

  • @StephanoJohn-p9k
    @StephanoJohn-p9k 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi endelea havihivi na injili za namna hii hakika mbinguni unaingia usilegeze nati mtumishi.ubarikiwe sana.

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kaz ipo ila Mungu ni mvumilivu sana

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 5 วันที่ผ่านมา +1

    Glory to JESUS Amen

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 6 วันที่ผ่านมา +2

    UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @bravomwakibango6485
    @bravomwakibango6485 7 วันที่ผ่านมา +1

    waooooh MUNGU akutunze baba

  • @pendogwisu
    @pendogwisu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anza na. Mkeo

  • @neemadaudisospeter8211
    @neemadaudisospeter8211 6 วันที่ผ่านมา

    Umenibariki saaaana baba ongezaaaa sauti

  • @DeodatusPhabian
    @DeodatusPhabian 5 วันที่ผ่านมา

    Ukweli utajulikana Yesu akirudi.

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 4 วันที่ผ่านมา

    Ibada njema huanzia nyumbani

  • @lucaschacha633
    @lucaschacha633 4 วันที่ผ่านมา +1

    Acha unafiki unakemeaje umalaya washirika wako wengi wamevaa kama malaya..? Angalia vi mini Kanisani mapaja yote yako nje, wamevaa nguo zimebana makalio, acha kumdhihaki Mungu.

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 7 วันที่ผ่านมา +9

    Acha mizaha kwenye injili brother. Unakemeaje umalaya wakati washirika wenyewe wamevaa kimalaya?

    • @prince_godfrey
      @prince_godfrey 7 วันที่ผ่านมา

      Ulitaka asemeje ?

    • @prince_godfrey
      @prince_godfrey 7 วันที่ผ่านมา +2

      Ebu acha roho Mbaya na uwe na upendo ,kwasababu ww unayaona mabaya tu na kuyasemea inakupasa uyapongeze hata mema machache utayaoyaona na hivyo ndio walivyo kuwa hata mitume wa kale walisifia palipotakiwa kusifuwa lakin walikosoa palipotakiwa kukosolowa ,Mm nakujua ww na yule baba yako mmaroho Mbaya sana nyie huwa hamuyaonagi yaliyo mazuri ila macho yaonaga mabaya tu Mungu awasaidie

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 6 วันที่ผ่านมา +2

      @@prince_godfrey Mimi siwezi kuongea sawa na dunia au wewe unavyotaka. Masanja mwenyewe anajua ninachoongea ni nin.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 6 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@HelbethMlelwamdogo wangu acha kiburi cha uzima cha kujifanya wa kiroho sana kuliko wenzio.. Ungetaka Masannja ajue unachokisema ungeenda kwa DM. huku kwenye coment ni kwa ajili ya wengi. Acheni kiburi cha kujiona nyie ndo wenye wokovu kuliko wengine.

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 6 วันที่ผ่านมา

      Kubadilika si tendo la siku moja ndugu

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 5 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅sio kwa ubaya naijua hiyo

  • @JustinaEmmanuel-u5x
    @JustinaEmmanuel-u5x 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ipyana kafanyaje kwani

  • @JemimaPhilipo
    @JemimaPhilipo 6 วันที่ผ่านมา +1

    Asa wanacheka nn badala wainamishe vichwa watubu?

  • @lucaschacha633
    @lucaschacha633 4 วันที่ผ่านมา

    Na usipobadilika na kuanza kuhubiri utakatifu wa nje na ndani ya Mtu, wewe na Washirika wako mtaishia Jehanamu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 วันที่ผ่านมา

    Ukishajuwa namna ya kuwachekesha waumini wako,rayari inapata kibali cha kuwa askofu!!?
    Ama kweli wakiristo na ukiristo wao!!!

    • @JessyMediaSeries
      @JessyMediaSeries 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kachekeshee na wewe kama rahic

  • @athanasjoseph9529
    @athanasjoseph9529 6 วันที่ผ่านมา

    Why ipyana na bella 😢😢😢 sio jambo zuri ndugu yetu.

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona umemuweka ipyana kwanini wewe mtangazaji mnafiki

    • @victorjohn5837
      @victorjohn5837 7 วันที่ผ่านมา

      Hata na mm namshangaa