HAWA NITAREJEA:BANGI/NILIIOGA SANA/NILIKUWA NAIPENDA KULIKO HATA KULA/SASA HAPA BASI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana tena Sana My Dada @Hawa Ntarejea 👏👏💝👏💝👏👏

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Hawa nakupenda sana tena sana❤❤❤👍👍👍👍❤❤❤

  • @ashahamisi5884
    @ashahamisi5884 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana hawa yani kwa wasanii wote wewe kwangu namba 1 nikupendae bureeee

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda hawa. 😍👍✌

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sana hawa🤝

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 ปีที่แล้ว

    Hawa is so nice

  • @johnndahani1773
    @johnndahani1773 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada anatabasamu zur sana napend the way anacheka

  • @NazirFiddes9
    @NazirFiddes9 4 หลายเดือนก่อน

    Happy for her ❤

  • @ngashdavis
    @ngashdavis 5 หลายเดือนก่อน

    i am happy for you .

  • @fabbykhanbackup
    @fabbykhanbackup 4 ปีที่แล้ว +41

    ushaur Wang kwa diamond
    alifanya na hawa ngoma ya nitarejea sasa hawa alipata matatz so kwann asifanye ngoma inaitwa nimerejea

  • @issakamangila9113
    @issakamangila9113 4 ปีที่แล้ว +7

    Uyu mtanganzanji wa east Africa sauti yake ni nzuri

    • @mwalysmodel8232
      @mwalysmodel8232 4 ปีที่แล้ว +2

      Yan umewaza kama mm vle...tena wa ENEWZ

  • @linah9892
    @linah9892 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana umerudi kwenye ubora wako japo syo 100%

  • @godfreyfelix9762
    @godfreyfelix9762 4 ปีที่แล้ว

    Ningempeta uyo daaaa peace and love tu ndani maana anapenda sana kucheka

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 4 ปีที่แล้ว +8

    Kumbe bongo pia kuna chang'aa😂😂😂nilidhani ni Kenya tu 😭😭😭🤣🤣🤣

  • @ashaj8433
    @ashaj8433 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda Sana anajiamin anajiheshim sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah nice, hawa uko vizur mpenzi

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 4 ปีที่แล้ว +1

    God is good all the time 🙏🙏🙏🙏

  • @godfreyfelix9762
    @godfreyfelix9762 4 ปีที่แล้ว

    Jamani uyu Dada nampenda sana nipo tayali niwe mmeo uyo tabasam lake nalipendaga sana

  • @alyberriajumaa3785
    @alyberriajumaa3785 4 ปีที่แล้ว +3

    Good Beuty god bless you

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +4

    Sauti kavu nakupenda....

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer 4 ปีที่แล้ว

    Hawa Una sauti flani hivi unique....ukiamua kuitumia ktk kutangaza au kufanya simulizi kuna kitu kikubwa kitatokea....

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 4 ปีที่แล้ว

    Yaani huyudada hadi kuongea kwake nikama diamond hana kuremba matamshi anaongea kwakujiachia zaidi, nahuo mdomo kidogotu km wanafanana. Maashaallah mungu akujaalie kheri shost.

  • @dicksonfransisco6559
    @dicksonfransisco6559 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaacha starehe nzuri xana

  • @mwalysmodel8232
    @mwalysmodel8232 4 ปีที่แล้ว +11

    Wangapi wamegundua kama mm ...huyo mshkaj mshka maiki ni yule wa enewz EATV

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU MUNGU MUNGU .........MY GOODNESS MUNGU NI MAMA WALOTUZAA TUNAZALIWA HATUUMBWI UKIAMINI MUNGU UTAAMINI ULOZI TU AMBAO HAUPO

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 4 ปีที่แล้ว

      mama ni Mungu ! baba ni nani ? huamini kuhusu Mungu unaishi ishi tu hapa kwa Dunia ili tu uzae utafute maisha then uje kufa basi !! Zero brain kweli

    • @Ba63828
      @Ba63828 4 ปีที่แล้ว

      @@nurdinimndeme2912 matusi yako hayanipi shida kila mtu na mtizamo wake mungu mama yangu baba supplier of material period

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 4 ปีที่แล้ว

      @@Ba63828 sijakutusi but nimekujibu kutokana na ulichokiandika hapo juu " mungu mungu O ukiamini Mungu uta blah blah blah .... " so usichukie coz umeshambulia imani za watu pia so if nikaita we ni pagan usijali pia !

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 4 ปีที่แล้ว +1

      Weeee mzima lakini maneno gani hayo.unayosema

  • @anotvmtate7831
    @anotvmtate7831 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawa anandoto lakini pia anaheshima akaze buti

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Hawa aseee noumaaa

  • @energeticmbn4596
    @energeticmbn4596 4 ปีที่แล้ว +2

    Refresh 😍 😍 😍 😍

  • @mkalimotomalulu8624
    @mkalimotomalulu8624 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว +2

    sasa umeng'ara mshukru YEHOVA

  • @outdooradvertisingsolution8293
    @outdooradvertisingsolution8293 4 ปีที่แล้ว +1

    she is beautiful

  • @hanifamadenge2337
    @hanifamadenge2337 4 ปีที่แล้ว +6

    Lakin km umefanana na emmanuela mark angel 🤔

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wanaoongea wakweli kwenye interview
    Hawa Nitarejea
    Faiza Ali
    Wastara
    Aunt Ezekiel
    Wengine bado hawajaja kichwani.

  • @zaharadaffa6851
    @zaharadaffa6851 4 ปีที่แล้ว +8

    Kazuri kenyewe jamani diamond muoe huyu ni wife material

    • @sharifamfaume9342
      @sharifamfaume9342 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa uyo mondi yeye matilio😏😏

    • @andrewjulius3951
      @andrewjulius3951 4 ปีที่แล้ว +2

      Wakioana na diamond c itakua hatari hiyo midomo wakizaa mtoto hata kua na mdomo bali contena".

    • @shabanimlahagwa105
      @shabanimlahagwa105 4 ปีที่แล้ว +1

      hahahaha mechekaaa eti mdomo utakua kama kontenaaa

    • @shabanimlahagwa105
      @shabanimlahagwa105 4 ปีที่แล้ว

      @@andrewjulius3951 umenichekeshaaaaa wewe mukakaaa

    • @rahelmasiga1503
      @rahelmasiga1503 4 ปีที่แล้ว

      Mmh humtakii mema

  • @jifaqmoonwalker6032
    @jifaqmoonwalker6032 4 ปีที่แล้ว +2

    Demu anaongea vizur sana kachangamka

  • @robertrwegasira4541
    @robertrwegasira4541 4 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu demu pini kmbeee

  • @nurdinimndeme2912
    @nurdinimndeme2912 4 ปีที่แล้ว +3

    she's so beautiful *

  • @mariamramadan6154
    @mariamramadan6154 4 ปีที่แล้ว

    😍😍

  • @yusuphcharles1497
    @yusuphcharles1497 4 ปีที่แล้ว +14

    Kidogo umechangamka
    Usirudie ule ujinga wako sasa👿

  • @alyberriajumaa3785
    @alyberriajumaa3785 4 ปีที่แล้ว +4

    Ni kiwa host nitakutafta nikuhoji una story na umchesh sana hawa

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 ปีที่แล้ว

    Diamond msajili huyu dada ni wakat wake sasa

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว

    Hawa n mrembo Mashllh ilaa ungebadilisha muonekano wa nywele

  • @lukororokilosa2530
    @lukororokilosa2530 4 ปีที่แล้ว +4

    kama umeacha nijambo nzur god bles

  • @fonabo4829
    @fonabo4829 4 ปีที่แล้ว +1

    Interview ya hawa nime enjoy sana 😂😂😂

  • @officialifruit_x7549
    @officialifruit_x7549 4 ปีที่แล้ว

    Diamond atapiga tena hapa mzee mtoto karudi Yente

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 4 ปีที่แล้ว

    Duh kumbe kuna mdada wa maana kabisa alikuwa amefichwa kwa godauni

  • @T_macky
    @T_macky ปีที่แล้ว

    Muulize hawa ilienda wapi ile movie ya gift of diamond

  • @ezradaniel4613
    @ezradaniel4613 4 ปีที่แล้ว +1

    Ucpookoka hata ukipata hela utaja rudia tenaa hayo mambo

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 ปีที่แล้ว

    Mchangamfu utapona dada inshallah.

  • @papaesco5198
    @papaesco5198 4 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆😆changaa aliioga

  • @eriqemarson2362
    @eriqemarson2362 4 ปีที่แล้ว +7

    sasa bado mmetuwekea na Katangazo cha beer hapo "serengeti"??? anyway lakn Mungu mwema na tunafurahi Ccta Hawa kuamua kubadilika Mungu azidi kukusaidia mamie!

  • @hussenticha4074
    @hussenticha4074 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona hapewi ubalozi huyu dem

  • @fabbykhanbackup
    @fabbykhanbackup 4 ปีที่แล้ว +2

    hahahah POWa sna hanstone njoo inbox Mzee mana naona umeamua kunichmba humu

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @zakarialubita7291
    @zakarialubita7291 4 ปีที่แล้ว

    Interview ya hawa na chidi sikosi kufungua haya na dawa haha

  • @viviankakiko8406
    @viviankakiko8406 4 ปีที่แล้ว

    Napenda anavoongea😂

  • @issakamangila9113
    @issakamangila9113 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo bado anatumia

    • @ashahamisi5884
      @ashahamisi5884 4 ปีที่แล้ว

      Unahakikaa wewe nawee mwenzio alikaribia kufaaa yulee

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 4 ปีที่แล้ว

      Umemuina acha ujinga.huo mtoto.wakiume weeee

    • @chrisantafrancis2046
      @chrisantafrancis2046 4 ปีที่แล้ว

      Mnamlaumu nin jamani..someni jina lake then mwacheni😂😂😂