Hawa is good and talented the only thing she needs is support but the biggest problem in Bongo fleva is lack of support for each other. The issues of Teams and segregation within media houses is killing our industry musically.. I hope and pray things will change in 2020 coz this year can be divided. Love from Doha +974
@@salamafabian6620 wewe nakuonea huruma sana hatamimi nilikuwa mkiristo by birth nikaja kujua uislam na nika convert to Islam na ninajivunia uislam so my dear karibu usome Qur'an utaelewa
Usijidanganye nafsi yako kwa ukuta wa Giza la dini,mtu atapata misukosuko pale TU anapoacha kutenda mema na kuingia uovuni.Hivyo shika kutenda mema na sio dini.
Upo vizuri ata mimi sipendi aya mapenzi acha tu ila usiolewe kwanza endelea kumchunguza japo ata miaka mitatu awaelewekagi awa wanaume nawenyewe siku izi kama wamama
Daaaaaa diamond ukweli tuuuuu bro unasaidia saaaan kaka mm nafangilia wat kama nyiny mnaojua watu weny matatzo bro nataman niseme meng ila mung aklinde brooo
Wachana na mambo ya wanaume Hawa wewe jibidiishe tuu ki vyako kwanza na ilio kheri yako Mungu atakuletea wanaume ni wale wale wata ku breack heart yako na kukubwaga
Alafu Kuna tumbiri ataka kushindana na diamond wakati diamond anabaraka zake kila siku kuna watu wanamuombea, Ebu vuta picha hawa alivyokua na saizi vile alivyo yani mi mwenyewe naskia raha kwa alichokifanya diamond, na tunazidi kumpa support WCB FOR EVER
Niwanasihi binadamu munao msaliti Allah kwa kufuata kiumbe Mungu hchezewi kaa ukijua ipo siku na yule ulo mfata atakusaliti jiulize utapenda wapi? Mrudie Allah uombe msamaha na atakusame ( laa ilaha illaa anta subhaanaka in II kuntu Mina dhwalimiin)
FANYA KUBONYEZA JINA /PICHA HAPO JUU UPATE RAHA BURUDANI YENYE UTAMU NA RAHA NDAN YAKE KILE UPENDACHO UNAKIPATA HUKU SUBSCRIBE ,LIKE NA SHARE VIDEO ZETU ASANTE SANAAA
Pore hawa kipenz ila zidi kumtukuza mungu kwani maumivu ya miezi 4 mimi nimekaa miaka 4 najuta ila niliamua kusimama na mungu sana # usiombee uoe au kuorewa kumfata mtu ktk imani wanakuwaga awaja simama ktk imani soma biblia sana
That is why I love diamond. He is unique . to bring up talents. he does not forget the bridge. I love the song they had with hawa
Brother Diamond Platnumz wewe ni mtu poa Sana Mungu akuongoze
th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
I like Hawa she is so funny and full of life. Hongera Diamond
th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
Hawa nimrembo masha Allah 😘😘😘😘😘
Mungu akuweke nautimize malengo yako.milele 😍😍😍😍nakupenda hawa milele
Hadiri raha wallah Hawa kweli umerejea😍😍😍😘
Karejea kwa kishindo
Yaan nikikuonaga ww dada nafurah sana nilikua nakufatilia sana kwenye mitandao unabiteseka kweli Mungu Mkubwa
Dah! Acha tu
Daa Amin dad yetu ume pona
Jesus is the way the truth and the life .keep that pace always hawa am your fun .God bless you.
😁😁😁ameenda kunako endana na kipaji chake
SawaSawa kabisa unavyosema
Alwah akubarikie Ameen
Hawa is good and talented the only thing she needs is support but the biggest problem in Bongo fleva is lack of support for each other. The issues of Teams and segregation within media houses is killing our industry musically.. I hope and pray things will change in 2020 coz this year can be divided.
Love from Doha +974
th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
Dada umependeza duuu
Ukitoka uislam lazima upate misukosuko rudi kwenye njia ya haki na Allah atakuwepesishia njia bado huja chelewa
Nan kakudanganya
@@mathiaszakaria7052 hiyo haina ubishi jaribu ujionee
Big Bossman Bossman usijidangany hakun dini isiyo ya kwel nyie waislam ni wapotovu sana polen sana but msifos tufanane
@@salamafabian6620 wewe nakuonea huruma sana hatamimi nilikuwa mkiristo by birth nikaja kujua uislam na nika convert to Islam na ninajivunia uislam so my dear karibu usome Qur'an utaelewa
Usijidanganye nafsi yako kwa ukuta wa Giza la dini,mtu atapata misukosuko pale TU anapoacha kutenda mema na kuingia uovuni.Hivyo shika kutenda mema na sio dini.
Wow so nice love you baby girl shukuru saana pale ulitoka Mungu kweli ni mkubwa saana iam a very big fan of yours love love love from Uk
Upo vizuri ata mimi sipendi aya mapenzi acha tu ila usiolewe kwanza endelea kumchunguza japo ata miaka mitatu awaelewekagi awa wanaume nawenyewe siku izi kama wamama
Happiness looks good on you, Hawa😍❤
Kujuwa mtu nivizuri sana dada hawa, Diamond ni mtu muimu kwako
Hawa kawa💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I do appreciate you my sister,keep on developing your art.
Hawa made Nitarejea even better 💙💙💯
Hawa nakupenda tu bure 😘😘😘
Unabadilika kiuzombi weee uchawi nichiuzombi mungu akuhurumiye 😁😁😁
Barikiwa my dear endelea kumtegemea Mungu
Hawa shukuru nilipitia hayo kuachwa na mtu aliekubadili dini ni uchungu sana ila songa mbele mungu atakulipia
Hawa wewe ni mzuri sana nani super star your my inspiration
🔥 moto Sana,nampenda Hawa hadi basi tu
We msichana mzuri sanaaa
Nakupenda hawa😘
It true is god and diamond helper
I love you Hawa
Ww hawa mjinga sana yani kupenda mtu ndio ubadilishe dini hayo sio mapenzi alikuwa anakupotosha tu
Kweli Hawa 💪💪💪💪💪💪💪
Natamani siku nikija dar tz nikutafute nikuone live. Nakupenda bure hawa
Diamond anafaa kukuchunga sana bado unaumuhimu mkubwa kwa diamond
Una sauti Nzuri sana Hawa wa Adamu
Good hawa
Long life mzeee mondiii
Hawa is so nice
😁😁😁😁limenitoka cheko wallha 😁😁hawa umesema unataka mwanamume💪sio kafanana Na Nani😁 nimekaa umo
Asante kwa kushukuru
But this gal is always happy
Appreciate my sister
I love that girl ❤️
Duh pole sana hawa ni kweli yote uliyoongea
Jambo la kumshukuru kwa msaada huo ila mengine yaache yapite kila jambo anapanga mungu
I really like hawa ways
Karembo haka kadada mweee hawa uolewe
Hawa mashaallah
Dd hawa jitaidiusiweke vituvyako vyote mtandaoni plz nakupenda mno kazabuti pigakaz 😘❤wwnisawanamwezi unaoangaza dunia nzima mmmh simalizi but😍
Hawa nakupenda mpaka basi MUNGU akupe umri mrefu insha Allah
Hawa kazuri rangi yake mashallah
Pole Sana kwa mitihani iliyo kukuta
Eti tatoo mbaya😂😂😂elia nakupenda sna
Wow 🔥❤️
Nakupenda mdogo wangu
💙simbaa
Daaaaaa diamond ukweli tuuuuu bro unasaidia saaaan kaka mm nafangilia wat kama nyiny mnaojua watu weny matatzo bro nataman niseme meng ila mung aklinde brooo
Wa kwanza kukoment
Nakupenda awa jmn
Shiz blessed
Same name like my sister like u Hawa to be back in the game
She's intelligent.
Can someone tell me what she's saying?
Natural beauty
Kweli mungu alikuletea diamond
Silimu rudi kwenye dini yakk
Mm nataka mwanaume me stak kafanana nanani wara nanan 😂😂😂😂😂atar nanusuuuh
Kwel mungu ndo kakusaidia sio mond
Nakupenda sana
Diamond baba lao
Wachana na mambo ya wanaume Hawa wewe jibidiishe tuu ki vyako kwanza na ilio kheri yako Mungu atakuletea wanaume ni wale wale wata ku breack heart yako na kukubwaga
Hawa kawa msupuuu jaman kwel
Hawaaaaa
Soo cute 🙏🙏🙏
Mungu akujalie
Kweli haw yan mungu hakikupa mtihani na anakupa mtu wa kukusaidia
Kitu ulichojosa diamond ktk Manisha yako ni kumkosa huyu dada...anafuraisha Sana...muoe huyu
hawa nakukubar sana nawimbo wenu mtalejea sema2 acha madawa
Nani amekuambia Hawa anatumia madawa saivi ameshaacha uko dunia gani Kuma wee acha ushamba au unatumia simu gani
Alafu Kuna tumbiri ataka kushindana na diamond wakati diamond anabaraka zake kila siku kuna watu wanamuombea, Ebu vuta picha hawa alivyokua na saizi vile alivyo yani mi mwenyewe naskia raha kwa alichokifanya diamond, na tunazidi kumpa support WCB FOR EVER
Dada aliumwa nyie, acheni Mungu awape watu vipaji
👍👍👍❤
ila hawa ni cute jamn
Hilo jina badilisha hawa hawaheleweki hawa hawaoleki
Allah ndo kakusaidia uhai
Hawa nakukubali
Hawa umekula bugiiziiiii
Mzalie Diamond kukamilisha urafiki wa kitamboo
Mond atamtaka kwani? 😁😁
Binti Iddy, wakati walikuwa wanaishi ilikuwa kwa sababu gani? Usiwe first kurukia mtu hivo!
@@nahyialetomia9284 tofautisha zamani na sasa mwanzo alikuwa nasbu now simba wanawake anao kuwanao sasa hawez muona Hawa
Binti Iddy, mashini haina grade! Anaweza kurudi!
😂😂watanzania bhn...
Nakubali hawa
Niwanasihi binadamu munao msaliti Allah kwa kufuata kiumbe Mungu hchezewi kaa ukijua ipo siku na yule ulo mfata atakusaliti jiulize utapenda wapi? Mrudie Allah uombe msamaha na atakusame ( laa ilaha illaa anta subhaanaka in II kuntu Mina dhwalimiin)
Kwan kuama din ni kumsalit Mungu sini the same God we worship but in different religions
Mungu si mungu wa dini
Na mpenda hawa jmn yn ajui kununa sawa hawa kukumbuka uyu ni jambo zuri sn
Very cute
Kama namuelewa elewa hivi😂😂
This Lady is full of life and verry funny
Hawa😍😍
FANYA KUBONYEZA JINA /PICHA HAPO JUU UPATE RAHA
BURUDANI YENYE UTAMU NA RAHA NDAN YAKE KILE UPENDACHO UNAKIPATA HUKU
SUBSCRIBE ,LIKE NA SHARE VIDEO ZETU ASANTE SANAAA
Pore hawa kipenz ila zidi kumtukuza mungu kwani maumivu ya miezi 4 mimi nimekaa miaka 4 najuta ila niliamua kusimama na mungu sana # usiombee uoe au kuorewa kumfata mtu ktk imani wanakuwaga awaja simama ktk imani soma biblia sana
Wewe mwenyewe uko kwenye dini gani hueleweki
Kwani hawa amebadilisha dini gani?
Kashakuja,kama na muelewaelewa kieehh ?
Ndio mahana hunaitwa Hawa. Kwasababua hunajuwa sana jinsi ya kuhongea. Nasasa nahelewa ni kwanini hunaitwa Hawa mke wa Adamu.😁😁🤣🤣
Huyu dada hanajua sana hanajibu maswali vizur
ila ningependa ufanye kolabo moja ya moto na mondi ili akuweke vizuri kwenye ramani ya muziki
Ww ni mzr ww ni mrembo Hawa
Hawa mcheshi hadi raha
Wcb 4 life