BOFLO STAR SEARCH Ni kipindi cha Comedy kitakachoruka kila jumatano saa moja kamili jioni Kipindi kitaongozwa na Uswege pamoja na Mchekeshaji Eliud Samweli kutoka CHEKA TU. Usikose.
Sema iyi combination ya Uswege na Eliud mume juwa kutufurahisha kwakweli mungu awabariki nawatakiya maisha marefu tuna subiri season 2 yaani munatutowa uvivu sisi mashabiki wenu.
🇹🇿/🇺🇲💕Jamani Aliud Nilimkubali kuanziaaa auditions Za cheka tu kua ni kibokooo! Aliud Na Jamaaa huyu fundi uchepeee dah Apo sasa fundi kwenye kwichi kwichi... kazi Eindelee Nachekaa tu Mieee Kwiiiiii Kwiiii hoi 💯💥💥💥🙏
Kama umeielewa hii shoo leo gonga like apa
😂😂😂😂kigoma na chum.......vini😅😅
😅😅😅😅
😅😅😅😅😂 Yan ata kama haichekeshi ila ukifocus na Eliud tu unavunjika mbavu😂😂😂❤
Kumbe Nilizinzi bwana 😂😂😂😂
😂😂😂😂mko vizuri hpo kwa baba levo mmetisha sana🔥🔥
Atleast eliud anajal kidg vipaji 😆😆😆
Eliud ka upiga mwingi sanaa 🔥🔥🔥🇦🇺
Kama hawa jamaa hawajawahi kukosea gonga lke hap
Sema iyi combination ya Uswege na Eliud mume juwa kutufurahisha kwakweli mungu awabariki nawatakiya maisha marefu tuna subiri season 2 yaani munatutowa uvivu sisi mashabiki wenu.
Good idea.....mecheka sana eliud duuh
I love this game
❤
Nimecheka mpaka majirani wakaja kuangalia show yenu hii hatari...twambieni next ni mkoa gani...😅😅😅😅
Bora hatawewe balikuja angaliya mimi nimecheka majirani wakazani nimelewa mupaka waka niitiya mapolice nyumbani
@@samsonmugobozi1462 🤣🤣mapolice kwer
Dar
Eliud na lafudhi ya mbeya naenjoy👏👏👏👏
Ety linatukalipia🤣🤣🤣 sema ni Kigoma Mwisho Wa #Reli
Eeeeeeeeeeh ni lizinziii bwaanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 nmecheka adi nikaanguka😂😂😂🙌
Jamaa wasumbufu sana
Next ni nyingi sana kaka😂😂😂
😂😂😂mimi pia nina kipaji kaka to kenya,🇰🇪🏃🏃
😂😂😂😂😂Ila eliudi we kichwa chako kimepinda eti hili linekaa kama liyahudi
Mc Eliud is so fun.... 😂🔥🔥🔥
Bwana weee! MC Eliud alivyomtimua Ali🤣🤣
😂😂😂😂😂 daa nyie watu mbarikiwe 🙌🙌🙌🙌🙌
Aki kazi yenu nzur sana kutengeneza content hiv si kazi rahisi let's appreciate these two guys Ubongo Smart sana 🤗🤗
Sio rahisi kuunda vidaa kama hii.. kazi nzuri sana boss wangu 👊🇰🇪
Goood joob
Hii chumvi sio chumvini, ungeacha aangeonesha uwezo😂😂🔥
Et kumbe ni lizinzi
🇹🇿/🇺🇲💕Jamani Aliud Nilimkubali kuanziaaa auditions Za cheka tu kua ni kibokooo! Aliud Na Jamaaa huyu fundi uchepeee dah Apo sasa fundi kwenye kwichi kwichi... kazi Eindelee Nachekaa tu Mieee Kwiiiiii Kwiiii hoi 💯💥💥💥🙏
Ila nyie ni zaidi ya kipaji kwa kweli nimefurahi 😂😂😂😂
Tunao tazama huku tunasoma comment tujuane hapa
Oi
@@MORTONTZ vip mzee baba
Safi kabisa mzee niambie
@@MORTONTZ gud pande zip leta hbar
Safii
😂😂😂😂😂 hapo kwa Mondi mbavu zangu mie
🤣🤣🤣🤣
Kipaji,ubunifu, nomaaaa 💣
This beautiful brother's creativity keep it up don't give up
Ila eliud 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣kikosi kimekamilika apo nimekubali saana pamoja saaana
Mi mb zangu zinaishaga kwa kumuangalia Mc eliud
😂😹😹mtuu ya suti yake kiini cha yai
The king👑 of music comedy 🙌@uswege
Chief jaj kafall love😂😂😂🇰🇪
Uyu Eliud nae ni mkali nyote ni noma.
Eliud....Umetisha xana Mwaisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eti eeh nili zinzi bhn mpk nimecheka kwanguvu 🤣😂 sema diamond hajawahi pitaga kwa uswege makofi kala sn mwana shv angalau atapumzika 🙌
Mngemuacha ALIKIBA ningewatukanaaa 😂😂😂
Nzuri sana wasafi Tv wakupe kipindi Uswege hii kitu ni kubwa
Show of the year 🙌
Nmecheka Kwa sauti kubwa sana 🔥🔥🚒
See you Man from Mbeya... 🔥🔥
Wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua😂😂kumbe mgonjwa wa akili hahhaha😂😂😂
Walahi nimecheka sana upande wa baba levo hongereni sana kaz nzuri
Eliud 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbn kama linadekaaa
Kumbe ni LIZINZI🤣🤣🤣🤣
Nimeinjoy kinoma noma.
Bros, keep up no Mara waah.
Hapoo kwa baba levoo ndioo nimechekaa mpaka metokwa na matee😂😂😂
😄😛
😂😂😂unyakyusa raha sana tunalafuz tamuuu balaa kwakwel najivunia kuwa mnyakyusa😍😍
Wengne wanaroho ya chuki
@@jullythedone8615 Pole bhana hakuna kikamilifu chini ya jua
Mnatishaaa sanaaaa unyama ni mwingiiii sanaaaaa😂😂😂😂
hapo kwa sunday mjeda,kumbe linaufanisi😂😂😂😂
Diamond p Did nimemuona😂😂😂😂😂😂lizinzi😂😂😂😂
Safi kabisa nashukuru saana kwa idea yenu kabisa bing up saaaaaana, mwendeleye ivo with new carecter 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦
😅😅😅 Vipaji vikubwa kwl, huwa nawaelewa sanaaaa hawa wadau 😅😅 utani yanasema ukwl🙌🏃
😂😂😂😂 Mnyakyusa 🙌🙌😂😂😂
Fire 🔥🔥
Nmecheka sana walahiiiii 🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂
Uswege mc eliud mbingun mnapita ukuuu🔥
😂😂🔥🔥wa kwanza leo dadeki 😂
Umeikuta yangu 😂😂😂😂
@@networkersirduntz 😂😂😂 uongo bhana
@@jadinyajuamungu9799 angalia mda
Apa tumuuulize uswege 😂😂😂
like za kutosha jaman koz nmefuata kuzichek huku TH-cam
Good job guys👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾such a masterpiece💕
Lakin ommy Dimpoz hamjafanyia kweli
😂😂😂😂Natamani isiishe nimeipenda sana 😂
Aaaaah kwa Ommy Dimpozzz mmenifurahishaaa 😃😃😃😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
Nachoshukuru ujinga ni mwingi sana.😂😂😂😂😂
Nimecheka eti kumbe ni lizinzi
hhhh umeona eee
Creativity 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ety ni lizinzi 😂😂😂😂😂😂
Altamente novidades do 2023 que posso váo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿🇹🇿💯
Hii combination ni noma sana 🔥🔥🔥🔥🔥🚒
Nyie majamaa mnajua kinoma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mmeua mamae next episode 🤣
Big talent 😅
Don't book the judge 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmetisha mnooo 👍💪💪💪💪
Ohoo! Tanzania tuna vipaji noma sana 🔥🔥
Kama unatambua Hawa jamaa ngonga like hapa
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ni lizinzi bhana😂😂😂
Show hatariiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri ,Big up sana
Eti twende nalo kambini litatufaa kwenye ujenzi
It's the best 🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani nimeangalia kwa utaratibu ila ilipofikia kwenye "Ni lizinzi" nimecheka sanaaa🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Xema eliud umetisha sana umevaa uhusika halisiii
Kujimyalika make up 😹😹😹😹😹😹😹
GONGA LIKE NIKUTUMIE ZAWADI KAMA UMEIELEWA HII SHOW
ni LIZINZI bana😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Ooh jamnii eliud big up sana kipaji unacho na io lafudh ya kinyakyu unaniua kabisa me😆😆😆
😂😂😂😂 chief judge ni li zinzi bhana
😀😀😀😀
Kumbe ni linzinzi🤣🤣🤣🤣
Ubunifu 100 uswe sijawahi kukupinga since enzi zile za old skull
Noumaaaa😂😂
Hapo kwa diamond nimecheka mpaka basi
Acha tyu
😂😂😂😂
From Kenya am so happy
Nyie mmeua sana wazee..machizi sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Well done guys this one was absolutely stunning
Kipotabo afanya yakeee bigg Yes ....
😂😂😂😂😂 Waongo! Kwa Queen
Eti nilizinzi bwana 😄🤣😂
Uswege#Eliud 🔥🙌🏾Hii ni zaidi ya Comedy Show.. Mashaallah Salute sana my brother napata burudani nikiwa974
😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫😫🙄🙄🙄🙄🙄 dont book the judge
Nmeisikia hiyoooo
Jaji pmbaf thanaaaaa🙄😫😫😫😫😫
One of the best shows🔥🔥🔥🔥🔥
Ya kuhudhunisha duniani ni mengi sana. Nipatapo chochote kinitiacho tabasamu huwa natumia muda wangu hapo. Please nawaomba hii kitu iwe endelevu 🔥 👍 👌
shkamoo ba mdogo🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂🤣🤣 hapo kwa diamond ndo nimecheka et fundi kama kwichikwichi kama lote arafu jaji eliudi et kumbe nilizinzi😂😂😂🤣🤣