MAKONDA;RPC UKOWAPI KAMATA WOTE TIA NDANI/AMSAIDIA MAMA ALIYEKIMBIWA NA MUME KISA KUJIFUNGUA MAPACHA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Hakika Mungu amempeleka Mheshimiwa Makonda Arusha...Glory be to. GOD
tumeshaanza kupaki mabegi tunahamia arusha kwa makonda makonda oyeeeeeeeeeee. hicho ni chuma
jmni safi sana :) wewe ni mtu mwema
Nasikia raha sana nikiwa Kenya,aki mwenyezi mungu akulinde siku zote popote uendako dunia nzima.
sasa wewe njoo huku kwetu uhamie kabisa. tutakukatia uwanja ujenge ukae hapa kwa Makonda Arusha
Jamani Mungu akutiye nguvu sana na akuongoze katika uwongozi wako♥️♥️
Nitafutieni nyumba arusha nihamie huko 🙌🙌🙌
Mungu akutunze muheshimiwa.
Duh Makonda Mungu asimame na wewe...uwiii❤❤❤
Mama yetu Samia tunakupenda sana .usimtoe Arusha hyu Mkuu wetu wa mkoa .Arusha pana shida nyingi.
Yaan Rais wangu Samia hivi watendaji wengine angekuwa kama Makonda si nchi angekuwa mbali.Kumbe mambo haya yanawezekana hati. Ongera Mwanangu Makonda Mtani wangu❤❤❤❤🙏🙏👍👍
Hivi mm najiuliza kwa hasira sana,hv viongozi wengne wanakazi gani ? Mpaka Makonda kweli!?
Huwa nimewaza.Hivi hizi kero ,wakuu wa mikoa si watatue kero za wananchi kwa style hii ????
Yaani Makonda, nahisi wengine wenye mali za watu wanaweza kuanza kujiua. Unasolve mambo hadharani hadi watu wanongeza sala juu yako
Nakupendaa makonda akika unastahili kuwa rais una moyo wa huruma Mungu azidi kukubariki
Pongezi kwako mkuu wa mkoa,makonda,wakuu wa mikoa wengine wako kama mazuzu tu
Bro ubarikiwe sana
I love people who have empathy towards other
mama huko uliko tunaomba utuletee agrey aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa tabora alinogesha kama makonda anavokiwasha makonda miaka inayokuja apewe nchi waonevu watakiona
Uongozi ni kujiongeza!!
Nimekukubali sana
Watendaji ni wezi Sana rushwa imezidi Arusha hivi Mpaka Makonda kweli Watendaji oneni aibu mmeshindwa kutetea raia
Hvi nafikiria hata sielewi nikwann mtu atoke dar,Dodoma n.k akiwa labda anatatizo la aridhi hivyo anampelekea makonda Arusha je,mikoa hiyo haina viongozi wenye kujua majukmu yao?inashangaza sana Hadi mwanza, babati,najiuliza makonda atafanya kazi ngapi anafanya kazi Hadi za nje ya mkoa wake.lkn mungu anafanya kazi juu yake.nahao wanaomkimbilia nimungu anawaelekeza sehem mhimu yakutatua shida zao.
Thank you
Makomda bwana kweli chuma😅😅😅😅😅
,jamani wakuu WA mikoa wengina kwa nini wasifuate mfana makonda kutatua ma😮😮kutatua shifaa za wanyonge hapa tanga mjane na yatima wamedhulumiwa waziwazi kupitia mahakama ikawapa ushindi katikaya kutatanisha hospitali wakamfungia inateketea kwa si yao hawana uchungu nayo mazingiray
Kwa maelezo ya huyu dada hakuna haja ya wana sheria nikuangalia Documents kama ziko sawa maamzi yatolewe hapo hapo siyo wote wana moyo huo wa kusaidia
Jaman makonda abaki Arusha milele
SUKUMA NDANI WOTE MHESHIMIWA WAACHE JANJA JANJA
Makonda mtumishi wa Mungu, ulikuja kwa kusudi la Mungu.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa alikuwa anatatuaje kero hizi? Kuna ufuatiliaji hafifu sana wa utatuzi wa kero za. Watu. Mliopewa dhamana ya uongozi na rais igeni utendaji wa mkuu huyu wa mkoa.
Makonda yup vizur sana nikiongoz wa mfano kabisa
Jamani kudhulumiwa kunaumaaaa,
Wapendwa huu ndio wakati wa kudai haki zetu, Mungu kupitia mama Samia ametuletea Makonda Arusha.
Yupo na Silaa kule, mama Samia mama tunakushukuru,Mungu azidi kukulinda.
So sad
Nao makutano walimfuata Yesu, wakihitaji uponyaji...ameacha wafuasi wake wawasaidie watu, tunaona wazi leo watu wanamfuata makonda, huyu ni mtumishi wa Mungu alie hai,mpenda haki.
Ombi langu kwa viongozi wengine, mkuu wa mkoa ni mtu mkubwa sana ktk mkoa wake, amechaguliwa na mkuu wa nchi, tunaomba sana huku chini watu wanawahitaji sana, kuna vilioooo😢
Jembe
Kiongozi wa viwango vya juu mfano wa kuigwa
Hii biashara ya kuandika majina ya mpenzi wako kwenye vitu Hawa wata wazulumu mpaka kifo ,, aise siandiki
Jamni unalia mpaka ucheke.
❤
Jamn lini Tena hiki kitu kitafanyika jmnan ninashida mpk bas
Sina miseme nini,makonda nimekuelewa sana jaman unatusaidia sisi wanyonge
Mh jamani
Kweli chuma
RC MAKONDA WEWE NI JEMBE WATO WOTE WANYONGE WANAPATA MADAI YAO HAPO KWA HAPO ONGERA KWA KUWA RC UNAFAFFA KUWA WAZIRI MUNGU AKUBALIKI
NAWASHAURI NYIE MNAOSAIDIWA NA MWESHIMIWA MAKONDA
MUWE NA MOYO WA SHUKURANI .
Kwahyo naomba siku ukifanikiwa mumkumbuke
1.kwa maombi na kwa mengineyo na Mungu atawabariki sana
Makonda akipatikana mwingine Tanzania 🇹🇿 basi tutapiga hatua sana
Makonda Mungu amlinde pia ambariki sana binafsi namkubali.
Tunaomba uteuzi ujao makonda aletwe nahuku kwetu tabora
Tunataka katiba mpya , nchi haiongozwi naporajo majukwaani wao ndio wanaleta haya ,
Wengine vichwa maji kweli😮😮
Hata iyo katiba ikija kama watendaji ni ovyo ni ovyo tuu
Duh Makonda Mungu asimame na wewe...uwiii❤❤❤
Jembe