KESI YA MPANGAJI ALIYEGOMA KULIPA KODI KWA MIAKA MINNE YAFIKA KWA RC MAKONDA ARUSHA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
RC Makonda upo sawa big up
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
Mh.Rais akipata kiongozi kama Makonda hii nchi itanyooka mno mno hakika mama anamtazamo wa mbali bas tu baadhi ya viongozi wanamuangusha mama yetu na kuwafanya wananchi kuwa wanyonge kumbe baadhi ya wachache tu kwenda kinyume na mama
Angalia watu wanavyoteseka na watumishi wapo ! Alafu mtumishi akikosolewa eti kadhalilishwa mungu anawaona😱😱😱😱
Tanga tuna changamoto nyingi ikiwemo kesi yetu ya YOHANA MBAZI CHAMSHAMA na wenzake 16 dhidi ya TANGA cement ya mwaka 1998 ambapo 16/03/2021 ilitolewa hukumu na mahakama kuu na kutupatia ushindi. Muda wa rufaa ukapita nasi tukakazia hukumu, lakini baadae tunaambiwa hati ya kukazia hukumu inaondolewa mdaiwa amekata rufaa, hebu fikiria toka tar 16/03/2021 mpaka tar 24/04/2024 kesi inasomwa ili kuondoa hati yakikazia hukumu ili rufaa ya mdaiwa yaani TANGA cement isikilizwe kwa tarehe isiyojulikana, na tangu kesi hii imeanza hadi leo ni miaka 26 na wengi wetu wamekufa. Hivi tumpelekee nani malalamiko yetu atushughulikie ili angalau haki hii iliyocheleweshwa tuipate!!?
Umependeza sana Makonda....umenunua wap t-shirt na kofia ya Jesus
Kuna watu wala hawajari kbc kazi yao kula mali za watu kuiba mali za watu zuluma kwao ndio msingi wao
Hana hata aibu huyo dada unatumia nyumba ya watu alafu unatamba nayo kama yako
Mahakama iwe makini sana inatisha
Wanasheria wa jiji hawajielewi anaongea vitu havieleweki
Yaani nyie wa arusha mmepata bahati kubwa Sana.huyu kaka yangu natamani arudi kwetu usukumani,maana hata huku migogoro kama yote.
Huyu mwamba bado tunahitaj kumtumia
Simba na dodoma
Hivi unadhulumuje mali ya hao akinadada mwanaume mzima
Matajiri wengi ni matapeli hahaha na ndo principles za maisha ya kwenda juu
Raisi alikosea sana angemleta mkoa wa mara huyu makonda
Aseee hajakosea jaman
Mara na Arusha ni wale wale maana vita iliopo mara ndio vita iliyopo Arusha 😁😁