Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Katika video hii utaweza kujifunza kanuni tatu za kisaikolojia ambazo zitapelekea kusoma masomo yako kwa wepesi ili ufaulu vizuri masomo yako.
    Kanunu zenyewe ni
    Mindset
    Motivation
    Methods
    MINDSET
    Hii inaeleza kuwa ili mwnafunzi afanikiwe anatakiwa kuielekeza akili yake katika jambo analosoma ikiwa ni masomo ya shule au ujuzi wowote ule.
    MOTIVATION
    Kanuni hii inaeleza umuhimu wa hamasa katika kujenga akili ili mwanafunzi aweze kufanikiwa katika masomo yake. hamasa huwa zinatofautaiana baina ya watu kwa sababu inatokana na mambo ambayo kila mtu anayatamani.
    METHODS
    wanafunzi wengi huwa wanafeli mitihani yao kwa sababu hawaelewi njia sahihi za kusoma. kwa hivyo wanafunzi wanatakiwa kujifunza njia bora za kusoma masomo yao.
    kwa kuzingatia kanuni hizi tatu wanafunzi wanaweza kusoma masomo yao kwa wepesi haijaalishi somo hilo litakuwa na ugumu gani kwao.

ความคิดเห็น • 30

  • @gilbertamon6144
    @gilbertamon6144 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimeipenda hiyo mbinu ya mindset👍👍👍👍👍👍👍

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 2 ปีที่แล้ว +2

    Wenye skill ya kuelewa wameelewa sema we gone wanawivu kisa wanamfaham. AI ubongo haukuwa tayari kuelewa Kama alivyosema

  • @MchangaHamad
    @MchangaHamad 11 หลายเดือนก่อน +1

    Na mm nimwanafunzi wa kidato cha 4 naomba uniingize kwenye group nijiokeee

  • @BrianChuga
    @BrianChuga ปีที่แล้ว +1

    Brother Mimi nimwanafunzi wa kidato channe naomba uniuge kwenye group lakujisomea

  • @AsaniPatrick-r6q
    @AsaniPatrick-r6q ปีที่แล้ว +1

    Brother Mimi ni mwanafunzi naomba kuni ingiza kwenye group ili uyumwaka Niko kwenye mtuyani wa exam grade 9 please my brother help me

  • @barakamgaya7265
    @barakamgaya7265 2 ปีที่แล้ว +2

    I like good information in TH-cam

  • @MonicaMale-cc1ny
    @MonicaMale-cc1ny 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini na feli masomo ya sayansi

  • @MchangaHamad
    @MchangaHamad 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ya kusoma

  • @AdamEvaristi
    @AdamEvaristi 3 หลายเดือนก่อน

    Asantee

  • @stellamagulu1510
    @stellamagulu1510 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana😭😭😭😭😭😭

  • @marymavura7777
    @marymavura7777 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante San ni mbinu nzuri

  • @Twiegmuso
    @Twiegmuso 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana 🙏🏽🙏🏽Mungu akusaidie

  • @shafiirajabushabani5509
    @shafiirajabushabani5509 2 ปีที่แล้ว

    Tafuta kaz nyingne kwa ushaur Wang hauna kipawa cha kuelekeza au kuchambua kitu