KITENGE, ZEMBWELA, HANDO WACHACHAMAA STUDIO KISA BANDARI - "IMILIKIWE NA WATU BINAFSI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 37

  • @hassanabazar9411
    @hassanabazar9411 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi ni moto Asante kurasa za magazeti

  • @frankkaronge1609
    @frankkaronge1609 ปีที่แล้ว +3

    Hando clouds ulikuwa vizuri

  • @marcosmartinho3873
    @marcosmartinho3873 ปีที่แล้ว

    Aina ishu wasafi Mozambique EFm tu ndomabo mazur mrivyo toka kule amna mipango

  • @nazarethmwakila8370
    @nazarethmwakila8370 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wazee noma sana

  • @Michael-mr5rm
    @Michael-mr5rm ปีที่แล้ว +1

    Jaman naomba muwafikishie taarifa kuw huku hatuwaelewi kabs kelele kibao, wamekuja na bwebwe nying kujifanya wao wanajua hovyo kabx,punguzen kelele ili tuwasikie vrz

  • @simonkayondo4719
    @simonkayondo4719 ปีที่แล้ว +2

    Wazee wa bandari

  • @oscarurio1176
    @oscarurio1176 ปีที่แล้ว

    Nyie wakali kwanza

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 ปีที่แล้ว +2

    Ngoja nikasikilize EFM

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 ปีที่แล้ว +2

    Kelele nyingi hakuna jipya

  • @tadeymwalongo7709
    @tadeymwalongo7709 ปีที่แล้ว +1

    Hapo watafaidika wao

  • @elymollel
    @elymollel ปีที่แล้ว +1

    Kabla ya kukabidhi bandari kwa mwekezaji tuangalie TICTS wamefanikiwa kwa kiasi gani?

  • @bakarilimachinga6193
    @bakarilimachinga6193 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo mmepanic saana sijuwi kupania MWISHO wa siku tunaskia kelele Tu ...kuweni makini yule masanja Yuko mmoja tu asije akawakalisha wote nyie fanyeni Kaz achen kupanic studio inakuwa KELELE Sasa

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 ปีที่แล้ว

    Mauridi kaa kiti cha mbele please

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 ปีที่แล้ว

    Nyie niwapuuzi wakutosha nasio wakuwasikiliza maana nimachawa nahamuna uzalendo kabis

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว +2

    Kitenge ulipigwa mpunga sio

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi ปีที่แล้ว

    Kwakweli mimi ningekutana na kitenge popote, ningeishia jela hafai kabisa. Tena wanamharibia mama. Kwakuwa wanaongea porojo tu

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 ปีที่แล้ว +1

    Bado hamuumkutiii masanja

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 ปีที่แล้ว

    Nikweli mama ongera kwa kulitambua ilo

  • @vuaivuai9005
    @vuaivuai9005 ปีที่แล้ว

    Nyie makomed wa magazeti

  • @musangwajordan3635
    @musangwajordan3635 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo Kitenge kelele ninyingi hongea taratibu tu tuta kuelewa bwana

  • @hassanalawy4325
    @hassanalawy4325 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hii ni comedy au mimi nawashauri mtu akitaka matamgazo ya redio na habari….UFM…kama BBC flani hivi…… saa 12 asubuhi mpaka saa 3….. ukisikiliza siku moja tu kama mimi…..hivi vikatuni , cjui wasafi au efm…..hutasikiliza teeena

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 ปีที่แล้ว

      Yah ata clauds wanajitaiid tatizo hawa fujo xn

  • @MpokiBuya
    @MpokiBuya ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa mbona WANAONGEA tu PASIPO utaratibu 😂😂 yaani wameharibikaa vibaya mno/Hawa ndiyo watangazaji /Wameharibikaa mno /wamebaki kuwa waropokaji na wapiga kelele

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว +2

    kila mtu aangalie anapopapenda ma sio kuponda kwa mwingine

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 ปีที่แล้ว +3

    Hawa Ni watangazaji au wapiga kelele mi sijui.

    • @fredrickmatiku7783
      @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว

      Wadada wa vibarazaniiii wakipiga umbeya na kelele waige kwa masanja efm

  • @hassaniabbas7409
    @hassaniabbas7409 ปีที่แล้ว

    Maulid nyinyi mnahusika na nini kuhusu mkataba wa nabi nyinyi jadiri mpira sio nabi wakati nabi anakuja mlihusishwa au mlitangaziwa subirin yanga itangaze mnashindwa kujadili mpira mnajidili mkataba wa nabi wachambuzi wa bongo vip

  • @Issatayari-q9s
    @Issatayari-q9s ปีที่แล้ว +1

    Nawaona wazee wakuponda

  • @erickbenson8728
    @erickbenson8728 ปีที่แล้ว +1

    Tathimini zifanyike acheni kuweka chumvi muda SI mlefu apa tulikuwa na tunalia na tictc wanatupiga Leo tena mukezaji kitenge na chuvi angalieni langi izo mnazopaka.

  • @joycemfuru4752
    @joycemfuru4752 ปีที่แล้ว +2

    Hawana jipya nikaangalie comedy Efm miye

  • @marcosmartinho3873
    @marcosmartinho3873 ปีที่แล้ว

    Iyo studio imekuwa makelele tu ?uko Mozambique EF m