Mkasi - S02E01 with Dida Wa G

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 204

  • @Shadia544
    @Shadia544 4 หลายเดือนก่อน +55

    Wangapi wameirudia kuwangalia kama mimi LIKE 10 😢😢leo R. I. P DIDAH 😢😢😢JAMANIII LEO TRH 9/10 2024 😢😢

  • @gladnesskajela7263
    @gladnesskajela7263 4 หลายเดือนก่อน +282

    Tuliokuja kuangalia baada ya kifo cha Dida tujuane. R.I.P 😢

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 4 หลายเดือนก่อน +3

      Me mmoja wapo

    • @bahatimwakilima3273
      @bahatimwakilima3273 4 หลายเดือนก่อน +6

      Innalillah wainaillaih rajiun
      Pumzika dida
      Kumbe ulikuwa na rangi ya chochote nzurii

    • @gladnesskajela7263
      @gladnesskajela7263 4 หลายเดือนก่อน

      @@bahatimwakilima3273 tena alikua mnene hivi maskin

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 4 หลายเดือนก่อน +2

      Me pya

    • @RabiaSaid-sh1km
      @RabiaSaid-sh1km 4 หลายเดือนก่อน +2

      𝐌𝐞 😢😢😢😢

  • @Peace-x6s
    @Peace-x6s 4 หลายเดือนก่อน +53

    Ni mzuri jamani ❤RIP sis nimefika hapa baada ya kuskia msiba wako 😢😢😢🇩🇪

  • @NaomiKasimu
    @NaomiKasimu 4 หลายเดือนก่อน +10

    Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umuangazie alumzike kwa amani amin😢

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว +9

    Daah Leo nimesoma ya Ezden kumbe kuna Gervas na wa awali Mchops, pole dada!!

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 4 หลายเดือนก่อน +13

    Sitachoka kukutazama dida wangu jamn nimeukia sana sana sana

  • @tahiyasaeed
    @tahiyasaeed 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe alikuwa ana mwili mwili MashaAllah mcute pia. Mwishoni akawa ki-portable RIP Dida

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน +27

    Alikuwaga mnene kumbe daah 😢😢vidonda vya tumbo vinakondesha sana ht dada alikonda kwa vidonda vya tumbo 😢😢😢Allah ampe kauli thabit kaburini mwake inshallah 🤲🤲

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmhh

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน

      @@khadi-z4o kanye

    • @1599k6g
      @1599k6g 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha tu wengine tunavyo vinatesa SANA 😔😢

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 4 หลายเดือนก่อน

      @@1599k6g pole sana tafuna sana mahind mabich yale yanayotoka km maziwa maziwa

    • @AnasaMaliki
      @AnasaMaliki 4 หลายเดือนก่อน

      Ushaambiwa aliacha dawa unajua dawa gani?? Vidonda unatumia dawa kila siku???

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 4 หลายเดือนก่อน +8

    Sister inna Lilah wainna ilaih rajioun daah kama utani😢😢😢

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 4 หลายเดือนก่อน +8

    BAADA YA KIFO NIMEKUJA😢

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน +19

    RIP DIDA,,LEGEND

  • @KADOGOFOUNDATION
    @KADOGOFOUNDATION 4 หลายเดือนก่อน +9

    Eee haki kifo hakina huruma😊

  • @Mega123456789m
    @Mega123456789m 13 ปีที่แล้ว +19

    pamoja na kuwa na mwamko wa kileo na mambo mengine lakini kama mtoto wakiislam , kuvaa msalaba ni kosa kubwa sana . na mimi nawajibika kukumbusha tu, pumzi zako zote zinaweza kusimama in a sec , kwa mungu hakuna kubwa, n ushauri tu. kwako Salama.

    • @FarhanahannanaHassanah
      @FarhanahannanaHassanah 4 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe ni mtu wa IBRA
      Mashaallwah uloeleza yamekuwa
      Alitabiriwa na wengi arudi kwa mola

    • @FarhanahannanaHassanah
      @FarhanahannanaHassanah 4 หลายเดือนก่อน

      Wahenga walisema
      Mdomo uliponza kichwa

    • @laysele1649
      @laysele1649 4 หลายเดือนก่อน

      😢😭😭

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@FarhanahannanaHassanahanamwambia salama maana yeye ndo kavaa msalaba hakuna atakaeishi milele hata wewe utakufa

    • @FarhanahannanaHassanah
      @FarhanahannanaHassanah 4 หลายเดือนก่อน

      @@anastaziamathias8861 eee tujifunze kuishi vyema kwa ajili ya muumba wa mbingu ardhi na vyote vilivyomo
      Ha Kuna atakae Baki
      Ila tuchunge mipaka ya muumba wetu

  • @mwanahamisiabdallah3819
    @mwanahamisiabdallah3819 6 ปีที่แล้ว +5

    Jamani m uwa namkubali xana uyu salama jabir....

  • @rukiasamwe9575
    @rukiasamwe9575 7 ปีที่แล้ว +10

    tulia kwenye ndoa zako dada acha kufunda wenzio alafu we mwenyewe kicheche na muogope mungu hii dunia atakufunza umri haurudi nyuma dada

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hivi upo au na ww umeenda 😢

    • @ochu09
      @ochu09 4 หลายเดือนก่อน

      Khaaah 😂😂😂😂 ila BONGO SHIKAMOO 😊​@@OfficialA83640

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 astaghafiruallah laadhiim dah jmn ALLAH atujalie mwisho wema na kupata mwisho mwema lzm tuuutafute ​@@OfficialA83640

    • @JacintaWambui-jt4od
      @JacintaWambui-jt4od 4 หลายเดือนก่อน

      😂😢​@@OfficialA83640

    • @SophiaAsma-x1l
      @SophiaAsma-x1l 4 หลายเดือนก่อน

      Naona keshaaenda huyu sibure
      ​@@OfficialA83640

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 4 หลายเดือนก่อน +15

    Leo tarehe 11/10/2024 nimekuja tizama baada ya kifo Cha dida r.i.p dida😢😢

  • @juditholotu769
    @juditholotu769 4 หลายเดือนก่อน +4

    Watu waliopita kwenye hiki kipindi wengi hatunao 😢

  • @mrishobhaya8965
    @mrishobhaya8965 7 ปีที่แล้ว +10

    Uko wakati wa kujuta utafika mcheni Allah mlejee kwa kwake Dada zangu
    Ufedhuri sio

  • @mwashabanisultani5542
    @mwashabanisultani5542 4 ปีที่แล้ว +8

    nakupenda dida

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 4 หลายเดือนก่อน

    😍Daah Salamaaaa aisee, umenifanya nisisikie vema kwa miondoko uliyoonyeshwa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน +5

    Daaaaa muda mrefu sana miaka 12 uwiiiii hata smart phone Sina jamn rest in peace 🕊️ hakika sisi ni WA Allah na kwake tutarejea

  • @prettylove7534
    @prettylove7534 5 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda DIDA jaman mm

  • @doammifh
    @doammifh 10 ปีที่แล้ว

    Ila nawe Salama ni exeptional. Big up sana....

  • @CosmasLeza
    @CosmasLeza 4 หลายเดือนก่อน +11

    Nimeangalia leo tar 10 /10/2024😊

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 4 หลายเดือนก่อน

    Innalilah waina ilah rajiun ALLAH amjaalie kaul thabit Amin

  • @boazmasha5251
    @boazmasha5251 10 ปีที่แล้ว +4

    Kipindi kizuri, maongezi poa lakini ia Big up kwa Taji liundi kutoa vipaji kisha vikakutana kumkubabali kuwa amesaidia

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 4 หลายเดือนก่อน +9

    INNALILLAH WAIN ILEIHI RAJ.UN

  • @mosesthuranira6553
    @mosesthuranira6553 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeskiza hiii 2024 Dah maisha lakini ....

  • @nouratjunior5616
    @nouratjunior5616 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan hpo alikuwa ana miaka 30 hii interview ina miaka 12 now

    • @husnakijoji3911
      @husnakijoji3911 4 หลายเดือนก่อน +3

      Na alikua mzuri zaidi Mungu ampe makazi mema😢

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@husnakijoji3911Kabisaa mashallah ila mpk kifo chake amebadilika sana aisee

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@husnakijoji3911kabisa

  • @mamaummy-q5g
    @mamaummy-q5g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mwanamme hapo kandoo anamtizams dida kwa kumtamani jamani au nimemuangalia vibaya😮😮

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 4 หลายเดือนก่อน

      Humjui huyo n mudi hapo salun anaruhusiwa kuuliza swal kwasababu n timu ya Salama pia na huyo n mtengeneza kucha hapo salun

  • @aishababy6672
    @aishababy6672 12 ปีที่แล้ว +9

    Namfurahiya Dada uyo Sana kwamaneno yake ya ukweli na ucheshi

  • @amirijosiah7897
    @amirijosiah7897 4 ปีที่แล้ว

    Naikubali kazi yako salama

  • @zainabsimbamtoro6790
    @zainabsimbamtoro6790 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akurehemu mwanangu

  • @SelemaniWage
    @SelemaniWage 3 หลายเดือนก่อน

    tutamkumka sana adija shaibu dida

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 4 หลายเดือนก่อน +12

    Dida Allah akupe kauli thabit ❤️ ❤️

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 4 หลายเดือนก่อน

      Mmhh

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 4 หลายเดือนก่อน

      Atalipwa Na ALLAH Alichokipanda Kipindi Yupo Duniyani.

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb 4 หลายเดือนก่อน

      Usipoteze muda kibiriti tu

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@khadi-z4oHiyo ni kwa Kila mtu

  • @josephcharles9790
    @josephcharles9790 7 ปีที่แล้ว +22

    Dida Malaya tu ...Mume wake Ezden alikuwa mpole sana

    • @sophieaden5367
      @sophieaden5367 6 ปีที่แล้ว +1

      joseph charles, hii sura?

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

      hilo kweli kicheche sana

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ya ndani huwezi yajua jamani, tusihukumu tu.

    • @AminaHasani-i9s
      @AminaHasani-i9s 18 วันที่ผ่านมา

      Watu wapole hatareeee na nusu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

    tatzo watu hujifunza ssaloni maisha ya ndoa
    wamesahau bitanu vua din ndıo mwalimu bora!
    na ndıpo mtaoana na kuachika kila wakat n uchafu tu!!

  • @jamilahiyosikesiujafumanuw8644
    @jamilahiyosikesiujafumanuw8644 8 ปีที่แล้ว +1

    didamzurisana lroveyou Saramaumependezajeee w anaume ndiyowarivo songambereeeee

  • @msollahbazemule9265
    @msollahbazemule9265 9 ปีที่แล้ว +2

    safi sana dida wa mipasho

  • @khadigappi3618
    @khadigappi3618 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda dada dida

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 4 ปีที่แล้ว +1

    Dahhh salama wewe dini gani kwani ?

  • @thomasmario950
    @thomasmario950 4 ปีที่แล้ว +3

    Wewe kahaba utakuwa unajiuza bila shaka

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 4 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢😢leo hayupo jmn

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 4 หลายเดือนก่อน +2

      Amekufa dada mzuri sasa sijui why ulimuita kahaba Sad indeed 😢😢

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@palokuthereza2555Mzuri kwenye nini? Kila mtu ana mazuri na mabaya yake

  • @saadiyesuleiman8232
    @saadiyesuleiman8232 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haha nmecheka salamAa alivyotembea😂

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 3 หลายเดือนก่อน

    2024 pole dida

  • @racheltemu6657
    @racheltemu6657 9 ปีที่แล้ว

    WATOTO WA MAKONGO MKO JUUU KAMA NAWAONA KIPINGU BRAND

  • @mayiramayre4062
    @mayiramayre4062 6 ปีที่แล้ว +4

    Salama ww dini gn naona umevaa msalaba

  • @doammifh
    @doammifh 10 ปีที่แล้ว

    Salama umesema ukweli wanawake WENGI sio Tanzania tu bali hata nchi za nje ni most recklesss.... yaani ovyo kuendesha gari

  • @lynnensincia
    @lynnensincia 13 ปีที่แล้ว +2

    gaagaaagaaagaaaagaaaagaaagaaaaagaa salama salama.....lyk thc craziee gorl.

  • @doreenlema7612
    @doreenlema7612 4 หลายเดือนก่อน

    taarabu aliridhi kwa mama yake, mamake alipenda mno taarabu mtaa mzima toka asbh anapiga tarabu tupu, hivo aliridhi bila kujua

    • @MaryamSimai-b9f
      @MaryamSimai-b9f 3 หลายเดือนก่อน

      Miaka 23 hujui kuishi na mume .

  • @marynchinga1666
    @marynchinga1666 12 ปีที่แล้ว +2

    napenda sana mipasho yako dida

  • @bishaaibrahim8802
    @bishaaibrahim8802 8 ปีที่แล้ว +2

    dida unaelimisha bali mbona hukai kwamabwana unatatizo gani mume watano huyo

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 4 ปีที่แล้ว

    Da salama vipi umeshaolewa ? Naona age inaenda zake hiyo

  • @thomasmario950
    @thomasmario950 4 ปีที่แล้ว

    Wewe Malaya sana

  • @babujay9132
    @babujay9132 12 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah dida nakuwaminia kwa madogo unampa mtu ukweli na ndivyo inavyotakiwa kwa maisha baaabu kubwa!

  • @saidiseif6172
    @saidiseif6172 7 ปีที่แล้ว

    tatizo nyinyi hamtaki kujifunza dini angalieni wenzenu.

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 13 ปีที่แล้ว +4

    he he heiyaaa mwachenu mtoto wa watu kufa kwaja kwa kila mtu mwenye haki ya kumnyooshea kidole ni Mola tu siyo sisi wanaadam wadhambi!!

    • @nasibndaro6281
      @nasibndaro6281 4 หลายเดือนก่อน

      Duhh😢😢😢

  • @BeatriceJesa
    @BeatriceJesa 4 หลายเดือนก่อน

    Didah jaman 😢

  • @SamraAlly
    @SamraAlly 4 หลายเดือนก่อน

    Dida,,,RIP. 😢😢😢😢

  • @LilianSigarethi
    @LilianSigarethi 4 หลายเดือนก่อน

    Much love RIP Dida

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 4 หลายเดือนก่อน

    Kama siamini vile 😢

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tarehe 11 october 2024.

  • @innocentvallerian2319
    @innocentvallerian2319 6 ปีที่แล้ว

    Ww Dida ni mwanamke usiye jielewa

  • @chesiretsiret2638
    @chesiretsiret2638 8 ปีที่แล้ว +2

    eti ameolewa tena na ata huna adabu unaolewa ukiacha mume wako wa dini kwa machozi kumbuka alikua myonge kwako lakini mungu sio mchoyo wa g nimekupa mda kifupi tuu utatoka pia wewe dida wewe ni mayala sana je ukilala usiku unawaza nini ama kende lala ndani ndio zako haha duh tafakari hilo usiku moja wazimu wa mapenzi jicho ndevu kahaba wa g

    • @elizabetherichard3008
      @elizabetherichard3008 8 ปีที่แล้ว

      ww mchepuko sana bora wema sepetu

    • @elizabetherichard3008
      @elizabetherichard3008 8 ปีที่แล้ว +1

      jamani ww mbona kila siku harusi

    • @aminatwaha4795
      @aminatwaha4795 8 ปีที่แล้ว +2

      huna lolote Malaya tu yani umepata mume mwenye din umeshindwa kumheshimu

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 7 ปีที่แล้ว +1

      kumbe ndo alivo uyoo hee aibu kazi kufundisha mwenziwe kumbe hana lolote heee

  • @musamohamed1241
    @musamohamed1241 9 ปีที่แล้ว

    Nakipenda kipindi hichi cha mkasi.

  • @modenasayi
    @modenasayi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa mnene jomoni

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 4 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehemu mja wako huyu huko aliko

  • @priscambaru3404
    @priscambaru3404 11 ปีที่แล้ว +2

    salama nashangaa na mavazi yako enyewe....mbona wavaa kiume hivo

  • @FaridahMuhammad-x1f
    @FaridahMuhammad-x1f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rip sis 💔

  • @felistersanga7889
    @felistersanga7889 8 ปีที่แล้ว

    acha mawenge sister tulia aiseee

  • @NeemaMoshi-h3b
    @NeemaMoshi-h3b 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani D

  • @rerisamba
    @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe unapendeza bila miwani

  • @felixrutaraka237
    @felixrutaraka237 8 ปีที่แล้ว

    Big up dada

  • @AshuraKitola
    @AshuraKitola 4 หลายเดือนก่อน +2

    Rip dida

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 4 หลายเดือนก่อน

    IVI SALAMA NAE KAOLEWA

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dida jamani😭😭😭😭

  • @proffg2420
    @proffg2420 4 ปีที่แล้ว +2

    Now I believe

  • @maryammaryamkiriwashwa1626
    @maryammaryamkiriwashwa1626 7 ปีที่แล้ว +1

    salama acha ujinga uo mstaraba ww wa nn

  • @Gshs-u1o
    @Gshs-u1o 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @rapkartoon
    @rapkartoon 12 ปีที่แล้ว

    heee kumbe salama nae anahaga hivyo!!!

  • @MaadamShine
    @MaadamShine 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢rip

  • @paulothomas7270
    @paulothomas7270 8 ปีที่แล้ว

    aaaaah!!! sasa kwani zimebana? c kawaida" dida" salama john" muhba mnatisha hatareee

  • @angelabsalum3516
    @angelabsalum3516 5 ปีที่แล้ว

    Love u dida ake

  • @noelarhobininestide5190
    @noelarhobininestide5190 4 หลายเดือนก่อน

    huyo g ni ezden au nani?

  • @ashuramachano
    @ashuramachano 4 หลายเดือนก่อน

    Malaya wewe unamjuaje mtu maiti hasemwi vibya mpumbavu mkubwa wewe anaumalaya gani we ndo uliolewa na huyo mumewake ovyo

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢

  • @tundaisabelle3218
    @tundaisabelle3218 4 หลายเดือนก่อน

    RIP DIDA

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

    dida Malaya sana tulia punguza unahesabu ndoa kila ucha mmmh unatia aibu

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 8 ปีที่แล้ว +1

    dida kila siku unaolewa umeshindikanaaa punguza nyodoo

    • @ashuraatanas5967
      @ashuraatanas5967 7 ปีที่แล้ว

      salma masoud
      hahahahah nilikua nampenda kumsikiliza huyo kumbe hajatulia

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

      Malaya sana

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 4 หลายเดือนก่อน

    Baada ya msiba nimerudi kuitizama mkasi😢

  • @doreenlazaro4954
    @doreenlazaro4954 5 ปีที่แล้ว

    Mama zima umalaya mtupu yule kaka ni mstarabu xana

  • @ramsey_onally2291
    @ramsey_onally2291 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢💔💔

  • @AllyMalya
    @AllyMalya 4 หลายเดือนก่อน

    R.i.p

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 4 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @ibrahimsinsakala5354
    @ibrahimsinsakala5354 11 ปีที่แล้ว +2

    Dida waukwee!

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 7 ปีที่แล้ว

      ikisha huyu salama ukimuona anavo vaa kama haja soma kurani kumbe anajua kila sura msahafuni na juzuuni kakini anavaa kiumbe mmmh mtihani kweli kweli yani

  • @babamijicho2324
    @babamijicho2324 10 ปีที่แล้ว +2

    dida nouma

  • @amirijosiah7897
    @amirijosiah7897 4 ปีที่แล้ว

    Salama umeweza

  • @priscaoscar9263
    @priscaoscar9263 4 ปีที่แล้ว

    23 mdogo mmmmmmmm

  • @khairatjns1508
    @khairatjns1508 4 ปีที่แล้ว

    Miss you dida