MAULID KITENGE na GERALD HANDO WALIVYOKARIBISHWA GOOD MORNING YA WASAFI FM
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025
- MAULID KITENGE na GERALD HANDO WALIVYOKARIBISHWA GOOD MORNING YA WASAFI FM
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Dijital platform is everything now days,hongera Wasafi hamna mfano sasa tanzania
Happy kweli wasafi forever from 🇺🇸
Wasafi yetu watanzania 🔥 🔥
Nakubaliiii...ni fire hiyo chemistry ni hatariiiii tupu
Nawapenda sana minyamaaaaaaaa
Maulid kama maulid..mashaAllah 🎉🎉🎉🎉
CHUMVI alivo hama alihama na watu ,idadi y wafatiliaji kipindi ikapungua...........The living Legend 🎉🎉🎉❤❤❤
sisi ndo tume muama ivi tuta mrudia tena
@@abdallahsalehstar8221 yap yap mondi ana mashabiki zake royal kabisa hatuami hata iweje😊
That is not true walikuwa wanatapatapa watazamaji mara kule mara huku miezi mingi mfululizo wasafi wameongoza views na kipindi cha goodmorning kikiwa cha kwanza wewe unaongea kwa mihemko sio kwa research
Sisi tulioanza na simba toka kamwambie hatuwezi kuhama hatufuata mbwa tunamfuata mfugaji wa mbwa
@@swalehesaad1143 wao wakiondokaga huwaga nawa unfollow kabisa nisi waonag tena wakirudi tunakua marafiki tena
Hii battle litakuja jitu🙄🙄😂😂viva wasafi Media 🙌🙌
Nilihuzunika sana kuondoka kwa Kitenge Wasafi sasa nimepona maana Kitenge anavionjo vya kunishawishi kuskiliza Habari za Redio na TV 📺 kucheka lazima
Chumvi is back🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wasafi hoyeeeeeee
Safi sana inapendeza kwa kutuonesha upendo wenu
Wasafi for life
Waooooh wasafi for life 💪💪💪💪
Yaan zembwela si lwa furaha hii mungu awalinde muendlee kuwa pamoja zaid na zaid
Amiin
Wasafi chama lawana 💞💞
Du noma sana
Noumaaa sanaa 🔥💯
Zembwera nakk balisanaa💞💞💞
nawapenda sanaaa
Congratulations wasafi
Safi sana Wasafi media
Aisee nimejiuliza leo hawa watu wawili Efm mbona sijawasikia Kumbe wamesajiliwa wasafi hongera Diamond
Diamond na Majizo mungu anawaona
Wasafi❤🔥
Bonge moja la chemistry
Big movement tajiri❤️
Kitenge karibu wasafi...chama la wana!
Hii ndio unaambiwa ukihama sehem usihame kwa jeur
Daah, kumbe na HUKU mmetoa kijembe kama kule efm Nako duuh so poa kwahyo majizo ni Mzee kapigwa na mondi
Ila diamond ww ni sawa na maji usipo yaoga ukiwa hai utayaoga ukiwa umekufa
yaani kwa wote wanaofanya vitu vya kukushusha watabaki kupoteza mda wao mpka wanakufa wcb for life
Kinacho angaliwa siku zote huwa ni maslahi ndio mambo mengine yana fuata, hata ukienda kutafuta Kaz kwa office kwenye interview swali la kwanza kuulizwa huwa Kwa Nini unataka kuja kufanya Kaz kwetu, jibu sahihi kabisaa huwa kwa sababu natafuta pesa vingine ndio hufuata sijui mara Mimi ni mzalendo au nitakua mzalendo 🙌🙌🙌😄😄😄😄
Hongereni sana
😂😂😂 ni kweli nimemba kupata kazi ili niepukane na njaa
Chama la wanaaaa wasafiii
The living legends
Hii ndio wasafi sasa diamond ajawahi kushindwa kitu akiamua kufanya
Majizo kapigwa za uso 🤣🤣🤣 Diamond ni number nyingine ogopa sana🙌🙌
Thanks
Mauld uliendaje huko redio ya kiswahili watu walikushangaa sana .hapa ndo penyewe
Afu siku hizi tumeanza kuwa na team hadi kwenye redio...😂
😂😂😂
Yani aiseee
Radio za bongo bana
Usaji kama team za mpira
Umependeza Sana zimbwela
Dah kweli mabwabwa wengi
Duuu mondi kweli noma sana 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Rahaaaaaa, Gerald Hando
Diamond kiboko sana
Hii ngoma unaijuw
Gerald nakuelewa sn🙏
❤❤
EFM hawa deserve kuwa na mtu kama wewe, kule ni hadhi ya Jemedari Said na uruma. Honestly ulitupa wakati mgum Sana pale tulipolazimika tusikilize EFM ili tu tukusikie wewe.
Kama halipi mshahara,hata waliobaki,wataondoka
Motoooooooo!
Maulidi. Tulia. Wasafi. Pesa. Haina. Mwisho
Hii collabo daaaaaaah hatoki mtu. Wataisoma namba sana
Hahaha umetishaa Zembwela😂😂😂😂
Zembwela 😅😅❤❤❤
Hapo ndipo xehem yako xahii xaxa lakn kule kwa kina jemedri xaid na huruma xio xaiz yko xafi mwananchii lia lia
Kwa hiyo kitenge na Hando wamerudi Wasafi?
Sijui nani atamsikiliza Jemedari Said kule EFM 😂
Motooo alafu huo wimbo wakufungulia kipindi hatareee😅😅😅😅
Maulidi ni FBI Wa Tz
niwatangazaji ninao wakubali sana Andle na maulid EfM mmekosea sana sana sahauri yenu Francis vipi kaka
Huu mchezo hauhitaji HASIRAAAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safisana kitenge kulewaache wapuuzi kinaJemedira
Kijana mdogo diamond... mtu mzima majizo😂
Majizo mmoja zidi ya wamiliki watatu
Utaongea had kiyahud mammae
@@Aboodjan4- 😂😂adi kiyaud
♥️♥️
@@joycekaguo8476 😍
Zembwela amefurahiii sana na huyu ndio anaipendaa wasafi sasa
Mimi naupenda huo wimbo tu eti ulijiona mbabe sana leo umepigwa nakijana mdogo aibu imekupata
Mwaka huu majizo yamemkuta na dozen karud clouds
Mbona km fuumbooo zembwela vp
Mimi na Efm. Efm inasonga mbele.
Hakika pilau limempata mpika pilau
Safi
Khaaaaa jmn
Majizo na diamond ni manguli wa fitina za biashara .. they know what their are doing.🧐
Saida hamza:halafu Majizo na Diamond wanaongea saana tu wanajuwana kibiashara hao wakati watu wanapiga kelele sababu yao wao wanatengeneza pesa
Pongezi kwao wametisha saaana
huyu zembwela huyu ni shida sana
leo kiliwaka
Hili battle ni tamuuuu ila wasafi wako juu sana
Wasafi ni clouds kusanga anahamisha huku kule
Kitenge weeeee kama malaya
Maisha Bwana Acha Tu
Hii ngoma Anae ijuw please Niambien
Ushamba umekutoka
Nyimbo ya mbaraka mwinshehe jogoo la shamba inaitwa hivyo
Nawashukuru wazazi wangu by DDC Mlimani park
Daaaah
Sasa efm watabaki majungu t
Sema huy kitenge anawatesa San haw wamiliki was vyombo vyahabar😂😂
Dongo limepigwa Efm
mondi biashara anaijua vyedi
Phili ameachwa?
Wcb4life
Ni yetu sote
Sasa nipo wasafi sibanduki
Hii collabo ni atari
I can't believe
penina shungu kumbuka iyo ni ajira kama wachezaji tu wamepata mkataba mzuri wamekuja sio wameletwa wameitwa na uyuu unamtaja msafi
Wasafi wawe makini Hao wanaweza kuwa wametumwa
Wametumwa nn
Watumwe kufanyaje Sasa boss😅😅😅
😅😅ila bongo
Penina shugu: hakuna cha kutumwa Diamond na Majizo ni wafanya biashara na usicho kijuwa wanaongea saana, unaweza kusema Masanja na Liliane Diamond aliwatuma EFM?
@@nsanyarasheeed8693 hawajatumwa Bali wamekodiwa kama mwanzo alivyokodishwa kitenge
Hahahahahah😄😄😄 kigoma hoyee
Safe San
Iki ki Mbaba kina machokozi kweli 😅😅😅😅😅😅 yaani ni mswahili kabisa 😂😂😂😂😂😂
Maulid acha kutangatanga unakuwa km mbayumbayu
Kitenge wa nini bana
Wakna zungu nawengne wanawekwa wapi
Nmegundua ndoo mana Musa mwksu klud mana ktnge anamkub mno mwksu
kam.n kwel aanh mm asubuh tu kama kawaid chumv na ndimu nitasikiliza
🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍