ZEMBWELA ALIVYOMVAMIA KITENGE KWENYE KUSARA ZA MAGAZETI WASAFI FM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 300

  • @benjamincharles3013
    @benjamincharles3013 5 ปีที่แล้ว +24

    Noma sana hii. Combination moja kali sanaa! Ongezeni muda jamani, nusu saa ni muda mfupi sana. Alafu Kitenge na Zembwela itabidi waanzishe kipindi kingine. Wako vizuri sana

  • @mayamohamad710
    @mayamohamad710 5 ปีที่แล้ว +48

    Yote Nassib Abdul tuu Allah amlinde Na jicho la hasda yy Na family yake Na kazi zke zote.Ameen Yaa Rabbi.

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 5 ปีที่แล้ว +44

    Viongonzi angalien kwa jicho la pili, kitenge anauwezo mkubwa sana lakini kwenye uchambuzi wa magazeti mwangalieni kwa jicho la pili mumpatie wasaidizi yani inapendeza kama hiyo ya leo, maana kunakuwa na huku na huku mala kile hadi laha hatakama hutaki kuangalia lazima utaangalia au kusikiliza, Ilike that well done you made it kitenge,....👌👌👌

    • @makoyeminzi5881
      @makoyeminzi5881 5 ปีที่แล้ว +1

      Cristian Amos ok

    • @nasorospati3075
      @nasorospati3075 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwan kitenge simchambuz wa michezo sasa mbona yupo ktk magazeti

  • @jeromejj9709
    @jeromejj9709 5 ปีที่แล้ว +60

    Safi sana.. Usafini kumenoga🔥🔥

  • @petroerinest2744
    @petroerinest2744 5 ปีที่แล้ว +21

    Beberu a.k.a ndimu ft maulidi wa kitenge a.k.a chumvi,hii ni bonge combo kwenye 88.9 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @opiyoomollo5333
    @opiyoomollo5333 5 ปีที่แล้ว +26

    Wanao ona zembwela anafa kuwa na chumvi W C B like twende sawa

  • @yahayammsiwa1651
    @yahayammsiwa1651 5 ปีที่แล้ว +18

    Jamani uyu dj mbavu itamuuma na kutcheka wcb💥💥💥💥❤❤

    • @belak999
      @belak999 5 ปีที่แล้ว +1

      Nlijua mimi tu ndio namuona

  • @bahatiomari1319
    @bahatiomari1319 5 ปีที่แล้ว +53

    apo itakuwa poa sana zembwela iyo nafasi asipewe mwengine

  • @emmanueltvmwakyesan4858
    @emmanueltvmwakyesan4858 5 ปีที่แล้ว +2

    Upele umemkuta mkunaji wasafi FM &TV mamamamamam balaaa nizitoooooo👏👏👏👍👍👍👍👍

  • @newtonemtayoba1550
    @newtonemtayoba1550 5 ปีที่แล้ว +51

    Inatakiwa awe na team y kumsapport kwnye magazeti akisoma yy bila sapport anachokisoma inakosa Radha kunatakiwa kuwepo na majibizano kudadavua hoja zaidi

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 5 ปีที่แล้ว +26

    Baba mondi embu leta wasafi FM Arusha na sisi tufurahi

    • @arsenemuhindo
      @arsenemuhindo 4 ปีที่แล้ว

      Wasafi FM ipo Arusha tayari; Unajisikiaje kwakuomba na wakalitenda?

  • @amritibashengwa9192
    @amritibashengwa9192 5 ปีที่แล้ว +31

    Sasa hapa wasafi mnataka kuuwa watu asubui asubui mmmmmh ila niwaombe toeni shaliti la kulipia 1000 tena kwenye kingamzi cha Azamu mm nitaweza kulipa ila mwananchi wa chini hatoweza yeye amelipia ili apate channel ikiwemo wasafi sasa kwann muweke tena process ya kulipia tena kwa njia nyingine sio vizuri

  • @godsonndamgoba1934
    @godsonndamgoba1934 5 ปีที่แล้ว +20

    Wasafi kwa Zembwela mmepatia ,redio ya jirani ijipange

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 5 ปีที่แล้ว +18

    these guys are going to takeover tasniaaa

  • @hajiizo
    @hajiizo 5 ปีที่แล้ว +21

    Hongereni wasafi..!

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 5 ปีที่แล้ว +3

    kama umemuona zembwela kanenepa mpk mashavu twende sawa kwa like zenu hapa

  • @elizaalony2231
    @elizaalony2231 5 ปีที่แล้ว

    Mkijipanga vzr mtakua pouwaa sana zembwela yuko vzr mnooo

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 5 ปีที่แล้ว +4

    Ilike that very nice fan

  • @naimamwaibanje156
    @naimamwaibanje156 5 ปีที่แล้ว +15

    Nimefurahi wallahy kumuona Zembwela, mbona show limekuwa
    Moto hili, si lakukosa

  • @barakachacha1795
    @barakachacha1795 5 ปีที่แล้ว +3

    Show Kali san

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 5 ปีที่แล้ว +8

    Oyooooooo........!!!!! Hatariiiiiii........ Sana team imekamilika very soon nahic kuna suprarise ya kipind kinakuja zembwela tena mbona ni shikidaaaa.....!!!!!

  • @girbatemmanuel7488
    @girbatemmanuel7488 5 ปีที่แล้ว +29

    yani kitenge kanifanya niwe shabiki wa wasafi hongera sana kitenge

  • @resplau7639
    @resplau7639 5 ปีที่แล้ว

    Daah !!!! Noma sana hiki kipindi huwezi kuchoka aseeee

  • @kamandab7976
    @kamandab7976 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mimi uwa si Mpenzi magazeti ila awa wajamaa watanifanya mda wangu ni pelekee magazetini dah 💥💥💥

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 5 ปีที่แล้ว +8

    Zembwela super mix umemwachia nani hahahahhahahahahaaaa

  • @januaryjohn1301
    @januaryjohn1301 5 ปีที่แล้ว +6

    balaaaaaaaaa ziiiiiiiiiiiiitooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  • @happymwasyeba7260
    @happymwasyeba7260 5 ปีที่แล้ว

    Dj nakuona kwa mbali mbabu zako zitakua zimeraluka🤣🤣🤣👍👍

  • @selemanikimbe4570
    @selemanikimbe4570 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaa.... Tunaomba huu uhondo iringa... Babu zembwela ndani ya nyumba

  • @lazarodaniely5377
    @lazarodaniely5377 5 ปีที่แล้ว +36

    Eatv ndn ya wasaf TV mapnduz kwenye music had kwenye kuhabarxha

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +1

      Lazaro Daniely nguvu ya pesa iyo

    • @SamuelCharles-111
      @SamuelCharles-111 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna mapinduzi mkuu

    • @SamuelCharles-111
      @SamuelCharles-111 5 ปีที่แล้ว

      Coz Hawa waTangazaji wote wana fan base zao kubwa toka awali

  • @janjatv9619
    @janjatv9619 5 ปีที่แล้ว +3

    zembwela is the best

  • @helbertsabai6490
    @helbertsabai6490 5 ปีที่แล้ว +18

    Kila MTU anaangalia kwenye maslai. Saiv kila MTU ataamia wasafi bcoz wanalipa vzur

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndo inavyopaswa kuwa mfanyakazi akilipwa vizuri lazima afanye kazi kwa bidii

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว

      Alafu Kesho Tena Wakija wengine wanalipa Zaidi Wanasepaaa..Haaahaaa

  • @maryelias2798
    @maryelias2798 5 ปีที่แล้ว +4

    Xafi xaan Mr chumviii na zembwela

  • @chafumirro5617
    @chafumirro5617 5 ปีที่แล้ว +9

    Camera man acheka mwenyewe kumuona zembwela

  • @evodiusmbilla
    @evodiusmbilla 5 ปีที่แล้ว

    This is really Super Wasafi

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 5 ปีที่แล้ว +2

    duuu aise shoo Kali sana hii zembela njoo wcb

  • @rammietv4907
    @rammietv4907 5 ปีที่แล้ว +4

    Asee WASAFI sio mchezo duh🙌

  • @godsonliker3482
    @godsonliker3482 5 ปีที่แล้ว +17

    🔥🔥🔥 nakubl

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi ipo

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 ปีที่แล้ว +9

    Tangu ufike wasafi ni suti kweli shikamoo simba

    • @aikakangalawe1846
      @aikakangalawe1846 5 ปีที่แล้ว

      ishu ni kwamb wanakuwa live show ndo mana.. wangekuwa kwny redio tu mmh unavaa hta carwash tu na kipensi nyanya

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 5 ปีที่แล้ว +4

    Zembwela yupo mbioni kuja wasafi

    • @mussajabili6836
      @mussajabili6836 5 ปีที่แล้ว

      Cjaelewa na zembwela yupo wasaf

    • @shabankawambwa4397
      @shabankawambwa4397 5 ปีที่แล้ว

      @@mussajabili6836 mualikwa tu ila kuna tetesi za kuhamia usafini

  • @stanslausjohn1709
    @stanslausjohn1709 5 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana Kitenge

  • @TEMSTUDIO
    @TEMSTUDIO 5 ปีที่แล้ว +10

    3 camera make sure kuna main Camera and close up shot Namuona Chuma its better to deal na chumvi and huyu mwingine adili na Zembwela afu wewe unae hangaika unashot wide shot which is unapiga tait wide shot please
    guys

  • @kelvinshayo3643
    @kelvinshayo3643 5 ปีที่แล้ว

    Wasafi motoooooooo asee

  • @leonardkomba686
    @leonardkomba686 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatarii

  • @uledicohnewstv1037
    @uledicohnewstv1037 5 ปีที่แล้ว +1

    Uku china tunawapata vzr sana

  • @evelinerichard7631
    @evelinerichard7631 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpiga picha wa central camera unazingua unayumbayumba mno na close up zako smtimes hazina maana unakata vichwa extreme close up iwe ya kihabari zaid isiwe km ni Movie, pili editor haendi na move ya mazungumzo au matukio yuko very slow, hivyo kuongezwe camera na mjiposition vizuri macamera man na editor uwe sharp kuunganisha matukio(picha)

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 5 ปีที่แล้ว +7

    Lakn ni kurasa sio kusara

  • @sidikgold1912
    @sidikgold1912 5 ปีที่แล้ว +8

    Hivi nyinyi wasafi mnataka nini 😂😂😂 haswaaa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +9

    Kitenge unakuwa wenge sasa!!!

  • @godykambali3412
    @godykambali3412 5 ปีที่แล้ว

    Zembwela amenenepa sana

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 5 ปีที่แล้ว

    Tunajifunza mengi kupitia watu wazima wenye kujielewa big up sana

  • @nansikilovele1424
    @nansikilovele1424 5 ปีที่แล้ว +10

    Bora umekuja usafin zembwela,mie nilikua nishakusahau kama upo MTU unaitwa zembwela! Jmn,amken amshen na wenzenu watangazaji wenye mijiakili wanazid kusafishika usafiniiii! Hahaaaaa,njoon,tyu musijali kaaa,bii,saaaaa!faranga,a.k.a pakhree,usafini zipo ka zotreeeeee,hatunanga njaa,njaaaa,walet yako inatunishwa ukitia maguu tyu!

    • @godrickngoda9843
      @godrickngoda9843 5 ปีที่แล้ว +1

      tunaosikiliza channel five hatukumsahau labda wewe

  • @kassiankanyopa7443
    @kassiankanyopa7443 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +4

    Pesa inaongea iyooooo dur wamekimbia eatv wamehamia wasafi shikamooo pesa diamond diamond utamaliza watu katika MEDIA

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 5 ปีที่แล้ว +3

    Maulid uko juu

  • @opiyoomollo5333
    @opiyoomollo5333 5 ปีที่แล้ว +3

    D chukua nauyo zembwela anawezaaa

  • @allysele2273
    @allysele2273 5 ปีที่แล้ว

    Zembwela nakukubali sana popote unapopiga kazi

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama zembwela yupo wasafi Mimi ni nani wasafi noma

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 5 ปีที่แล้ว +1

    KITENGE- ninooma Dd sanaa

  • @moshijongo9056
    @moshijongo9056 5 ปีที่แล้ว +3

    Daaa nakubarii bonge ra aidiyaa aiseee💥💥🤣🤣🙏🙏🌏🌎

  • @njunwadomician3354
    @njunwadomician3354 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazajii Wenomaa saana nimekupendajeee nakupaa bigapuuuu saana karbuu bukoba

  • @jovinmallya673
    @jovinmallya673 5 ปีที่แล้ว +10

    Bonge moja la collabo

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว

      Jovin Mallya
      Umeona eeeeh ?.?

    • @sunguraamrose2046
      @sunguraamrose2046 5 ปีที่แล้ว

      Boss chunv leteni wasafi kwao kigoma bgup sanaa mkubwa mondi mtoto wa dada.

  • @godsonndamgoba1934
    @godsonndamgoba1934 5 ปีที่แล้ว +7

    Chonde chonde msisahau nyimbo zetu za zamani

  • @habilichenza1721
    @habilichenza1721 5 ปีที่แล้ว +18

    Wasafi mme tisha endeleeni kutupa laza hiki ndoo tunacho taka ushindani ilikila mtuu abuni kipya yasiwe mazoea asanteninkwa chumvi na ndim

    • @fadhilimahonya4575
      @fadhilimahonya4575 5 ปีที่แล้ว +2

      Apo sawa kombinenga nimeipenda

    • @aminamasoud7060
      @aminamasoud7060 5 ปีที่แล้ว

      Chumvi na ndimu mnatunyima haki zetu za khasaubui watu wanakimbilia sebleni kwenye tv steaheni ya wasafi tv

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 5 ปีที่แล้ว

    Mmetisha sanaaaa

  • @salehemfuchu368
    @salehemfuchu368 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli tutachagua wenyewe tupulize ili iwake au tupulize ili ipoe asante wasafiii

  • @yahyaomar7021
    @yahyaomar7021 4 ปีที่แล้ว

    Kitenge samata mzuri ila sio kwa englandi tuache unazi

  • @awadherifasawath8131
    @awadherifasawath8131 5 ปีที่แล้ว +6

    Jmn leten wasaf 88' 9 kigoma

  • @kachendemacocktails7142
    @kachendemacocktails7142 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitenge Uko Powa but punguza wenge

  • @papaayawarembo6995
    @papaayawarembo6995 5 ปีที่แล้ว +3

    Zembwela ndani

  • @foxstreet8458
    @foxstreet8458 5 ปีที่แล้ว +11

    NIMECHEKA SANA LEO DAH

  • @pierreoriva4131
    @pierreoriva4131 5 ปีที่แล้ว

    Safi daaah hadi rahaaaaa

  • @mumyhaule7177
    @mumyhaule7177 5 ปีที่แล้ว

    Kweli mambo motoooo

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 5 ปีที่แล้ว +15

    kweli diamond sio wakawaida ad wa uswazi ndan,? jaman kumbe ntamuona ad yule Baba John aise

    • @juliusdaniel3185
      @juliusdaniel3185 5 ปีที่แล้ว

      Wew baba John siyo wa mchezo mchezo

    • @jumabunzari8378
      @jumabunzari8378 5 ปีที่แล้ว +1

      John Saimon haahaaaa baba john amekula sum huyo

    • @bahatisaimon6019
      @bahatisaimon6019 5 ปีที่แล้ว

      Juma Bunzari
      siunajua noti haishindwi k2

  • @aronnasibu8768
    @aronnasibu8768 5 ปีที่แล้ว

    washa moto mzee baba

  • @mbavuboytz5889
    @mbavuboytz5889 4 ปีที่แล้ว

    Noma kwel

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 5 ปีที่แล้ว

    Sahv watangazaji nao wanasajiliwa kwa dau nono

  • @ukashamajaliwa1280
    @ukashamajaliwa1280 5 ปีที่แล้ว +4

    Ila tenge unatisha Kila ulipo tupo

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 5 ปีที่แล้ว +5

    Zembwela umemfunika kitenge

  • @fumbukavicent5186
    @fumbukavicent5186 5 ปีที่แล้ว +13

    Sio vzuri kukalia wallet, inakufanya uumize uti wa mgongo

  • @ukashamajaliwa1280
    @ukashamajaliwa1280 5 ปีที่แล้ว +3

    east Africa redio kwisha sasa hapo MOND umeua kabisa umemvuta na Zimbwela

  • @amdunshomary7423
    @amdunshomary7423 5 ปีที่แล้ว +3

    Zembwera ndimu kweli

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa kurasa ingevutia ila hii ni kusara😀😀😀

  • @harunkassm1689
    @harunkassm1689 5 ปีที่แล้ว

    Zembwelaaaah" tumewekeza ktk kanya boya. Nimecheka sanaaa

  • @abdulkassim976
    @abdulkassim976 5 ปีที่แล้ว +5

    Aisee, hiiiiiiiiiiiiii!!!! Hawa jamaa wameamua aisee

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 5 ปีที่แล้ว

    Uyu zembwe noma

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 5 ปีที่แล้ว +6

    Mic ya tatu ilipaswa akae brothers k hapo mtauona utam wake!!!

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 5 ปีที่แล้ว +4

    Kitenge kiafya hutakiwi kukalia pochi, inaweza kukusababishi pingili za uti wa mgongo kupishana

    • @labanmapengu1179
      @labanmapengu1179 5 ปีที่แล้ว

      James Joseph I can learn something to you

  • @innocentmgona6351
    @innocentmgona6351 5 ปีที่แล้ว

    Daah! On the way 🙇🙇

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 5 ปีที่แล้ว +5

    baba imeisha hiyoooo....

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 ปีที่แล้ว

    Kweli shughuri imepata wakunaji gonga like Kama unamkubali zembwela

  • @mustaphambwana7944
    @mustaphambwana7944 5 ปีที่แล้ว

    Duh jamani mmenikumbusha mimi ni muhanga wa kanya boya yalinikuta ayo

  • @evelinerichard7631
    @evelinerichard7631 5 ปีที่แล้ว +1

    Kitenge ni mshereheshaji simchambuzi, hivyo apate sapot ya mtu wa tatu umuongezee nguvu Zembwela mtu alie makin mno ktk siasa,uchumi na current issues mfano kule Magic fm kuna Mkambala,Hores Kawawu hawa ni kelele lakini mchambuzi makini ni Kibwana dachi, sasa kwa wasafi mmebahatika mnae Zembwela kichwa wa current issue sasa apate kichwa kingine ili wajenge hoja kwa faida yetu lakini kuhusu muhamasishaji aisee Kitenge WCB wameramba Dumeeeeee

  • @sweetestgospelmelodies5723
    @sweetestgospelmelodies5723 5 ปีที่แล้ว

    dj dj dj poleeeeeee na mbavu zako

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 5 ปีที่แล้ว +2

    Mswahili ndani ya nyumba...💥🔥💥

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 5 ปีที่แล้ว +6

    Namwona DJ na cameraman wanafurahia maneno ya chumvi na ndimu matabasamu kwa mbalii...kweli kumenoga chumvi na ndimu

  • @khasanmottojr7533
    @khasanmottojr7533 5 ปีที่แล้ว +4

    Zembwela anafit usafini

  • @fatinaaman241
    @fatinaaman241 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitenge abaki na uhalisia wake show itanoga zaid,wenge hali mpendez

  • @kingsoboropayani5127
    @kingsoboropayani5127 5 ปีที่แล้ว

    Zembwela kamuachia nani super mix..? 😭😭😭

  • @herifredrickson2040
    @herifredrickson2040 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatari kabsaa kitenge 👏👏👏👏💪💪💪