Pt1_Yesu alinitokea wakati najiandaa kujinyonga|USHUHUDA WA MCH.LUCUS MAGOKO ALIYEKUWA SANGOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @Farijimvela-fp8jy
    @Farijimvela-fp8jy ปีที่แล้ว +1

    Umenena kweli mchungaji Yesu anataka toba(watu watubu maovu yao)sawasawa na Mathayo 4:17

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 ปีที่แล้ว +6

    AMINA AMINA, mchungaji na Promover TV kwa ushuhuda mzuri huu.kwa hakika mbegu ya Mungu iwezi kupotea mpaka itimize kushudi lake. Baraka Baraka katika Jina la Yesu Kristo AMINA.

  • @PCharlzy-rr2iv
    @PCharlzy-rr2iv ปีที่แล้ว +4

    Kila mara iman yangu ikipoa naingia promover, nikisikiliza shuhuda zinanisogezq karibu na Mungu nabadilika

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ana mipango yake kwa kila mtu. Kutokewa na Yesu live ni nehema ya Mungu kwa mtu yeyote hapa dunia. Ushuhuda mnzuri na tumejifunza mengi kwa video ya ushuhuda.

  • @LadislausOdilo
    @LadislausOdilo ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji na baba yangu katika Yesu Kristo nakupenda sana Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wa jina lake

  • @LETTO2366
    @LETTO2366 ปีที่แล้ว +1

    woow amazing change from this testimony

  • @stellapaul2442
    @stellapaul2442 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia Amani sana kuona Mungu bado ana tupenda sana hataki hata mmoja apotee kwel yesu ana rudi watu ni wachache sana wanao ikanyanga mbigu

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +2

    Msishangae kwanini anacheka hivi,ni amani ya Yesu Kristo iliyo moyoni mwake.,barikiwa sana mchungaji.🙏🌹

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sanaa mchungaji wa Mungu kwa ushuhuda huu umenijenga sanaa

  • @IsayaNyingi
    @IsayaNyingi ปีที่แล้ว +2

    I am educated through this media God protect this media because it gives me different ideas to live in this world ameni

  • @ebiudshou4159
    @ebiudshou4159 ปีที่แล้ว +2

    Amen Yesu Kristo anaweza yote

  • @roidayoab9918
    @roidayoab9918 ปีที่แล้ว +2

    Yesu akuvariki sana mtumishi ushuhuda unaponya

  • @idrissandalino68383
    @idrissandalino68383 ปีที่แล้ว

    Asante.mch.bwana.yesiuazili.kukuupandisha.kipaji

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 ปีที่แล้ว +1

    Amina! Sifa ni za Yesu !

  • @DoricEverist
    @DoricEverist ปีที่แล้ว +3

    Naungana nawewe mtumishi wa Mungu watu wengi wanaojinyonga kunasauti wanasikia hata mimi kipindi nimezalia nyumbani tena nilizaa na mume wamtu hiyo sauti nilikua naisiki najiandaa kabisa mama akienda kanisani mimi najinyonga nashangaa mama akitoka nasahu maisha yakaendelea nikaja dar nikawa nauza bar sauti tena ikanijia niende kujiuza huko wanakojiuzi nikashangaa nimesahau ikaja tena niende mbali kusiko julikana nipotee kabisa ndugu wasiwe nataarifa na mimi nikasahau sikumoja nimelala usiku nikajikaba na mto yaani Sikujua ilesiku ni Mungu tu maana nilikua kwenye pumzi ya mwisho sitasau 😭Ahsante Sana Yesu kwakunitoa mbali

    • @bonniebaraka
      @bonniebaraka ปีที่แล้ว

      taf tupe huo ushuhuda mtumishi

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 ปีที่แล้ว

      Amina. Unafaa pia uende promover tv utueleze kuhusu hili swala.

    • @DoricEverist
      @DoricEverist ปีที่แล้ว

      @@bonniebaraka ushuhuda ni mrefu yaani mimi kipindi bado bint walikua wanatokea vijana wengi tu kutaka kunioa ila sikua tayari kwa muda ule ikaja wakati Hao vijana nikimpata nikuchezeana tu nikawa napendwa na wazee tu Tena wanaume za watu sasahivi nikimskiliza mchungaji Katekela ndio nafunguka zaidi anayoelezea ndio niliyopitia nimeishi maisha ya taabu Sana kipindi ambacho nilikua sijasimama na Mungu ila namshukuru Mungu hajaruhusu nifike dhambini kunakipindi nilisikia sauti ya kiume kabisa ikiniambia tengeneza maisha yako lakini bado ndio nikaaza Sasa kuuza baa nikajichanganya Sana nikawa mtu wakutoa mimba kila mara yaani nilijiona Sina thamani ni Yesu tu mwenyewe alinirudisha mana hakuna mtu aliyekua akiniambia habar za kurudi kundini ila mpk narudi kundini haikua rahisi

    • @DoricEverist
      @DoricEverist ปีที่แล้ว +1

      @@kennethogonda2947 Kuna wakati nawaza Sana kwanini Mungu aliruhusu nipitie mateso na taabu nilizopitia ila bado Mungu atabaki kua Mungu

  • @jennysabina8696
    @jennysabina8696 ปีที่แล้ว +1

    Amen MUNGU akulinde

  • @alexshiwala2426
    @alexshiwala2426 ปีที่แล้ว +1

    Mch Alex igunga.yesu anaweza

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 ปีที่แล้ว

    Jactan umekuwa mnene, waaa ni neema tu Nina tap Baraka kutoka kwako, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu

  • @UnitedChristiansSwahiliGospel
    @UnitedChristiansSwahiliGospel ปีที่แล้ว +1

    Amazing testimony and I have learned something from this testimony that Jesus Christ can transforms everyone no matter what he has done and is found in the book of acts when Jesus Christ appeared to Saul on the streets going to kill Christians. It's by Grace to be appeared by Jesus Christ, for not everyone can have that experience. It's by Grace of God for us to be saved. Amazing testimony. God bless you all.

  • @jesusforlife.5072
    @jesusforlife.5072 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu, naomba kuuliza.. ile huduma ya jenga Makanisa inaendelea?

  • @sarah.alainmloltokanyeba7825
    @sarah.alainmloltokanyeba7825 ปีที่แล้ว

    Mungu.asifiwe

  • @dilrukshijayalath877
    @dilrukshijayalath877 ปีที่แล้ว

    Umba kawuda kiyala man dannawa umbata sadu

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub ปีที่แล้ว

    Yesu wangu nisamee zambi zangu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana ase hapo kwa wanawake 500

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mtumishi namjua nmemsikiza kwa davista anaushuhuda mzuri kweli namefurahi kumsikiliza tena sasa nmejua ushuhuda wake niwaukweli kwa sababu yakuja hapa promover tv

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 ปีที่แล้ว +1

    Jactan saumu pia ni zoezi la viungo 😅 anyway ushuhuda mzuri huu naomba umuulize kuna kitu nilisikia kinaitwa soul ties yaani ukizini na watu wengi kuna roho zinakuandama vipi yeye idadi yake ishafika mia tano

  • @halimajuma3077
    @halimajuma3077 ปีที่แล้ว +1

    Nawaambia iliyokweli ya MUNGU huyu mchungaji ni wakweli na anafanya kazi ya MUNGU kwa uaminifu mkubwa na MUNGU anamtumia kwa kiwango kikubwa mno ,mimi mwenyewe nimemuona MUNGU kwakupitia huyu mchungaji nampenda ni baba yangu wakiroho ananilea vizuri sana,jamani watumishi wakweli hawavumi na ukiwaangalia kwa nje unaweza wadharau kama huna neema ya KRISTO ndani hao wanaovuma ndio mara nyingi wanaonekana ndio sahihi kumbe wengi wao ni matapeli walishamuasi MUNGU kitambo.

  • @halimajuma3077
    @halimajuma3077 ปีที่แล้ว +1

    Chumba cha matumizi ,baba leo umejua kunichekesha😂

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 ปีที่แล้ว

    HUYU MCHUNGAJI ANANICHEKEHA LAKINI NABARIKIWA SANA NA MANENO YAKE.HAKIKA MUNGU YUPO,NA ANABADILISHA WATU WAKE.

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 ปีที่แล้ว +1

    kwann umemkatisha kuongea Sasa nawew jacktan?

  • @neemamsalege6325
    @neemamsalege6325 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mwembamba duniani jactani umenenepa

  • @jasiri25
    @jasiri25 ปีที่แล้ว

    Dont speak much , get to hear more

  • @essy4664
    @essy4664 ปีที่แล้ว +1

    Jactan amekua munene

    • @stellapaul2442
      @stellapaul2442 ปีที่แล้ว

      Kwani alikuwa mwembaba lini

    • @jacksonsendwa3139
      @jacksonsendwa3139 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 sahh amenenepa Sana mtaalamu huyu

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub ปีที่แล้ว

    Yesu wangu nisamee zambi zangu